UNANISINGIZIA UONGO NA BADO SIJAFA | MUHAMMAD MAFUTA MIMI NA WEWE HATUTAKUWA NA MZOZO HAPA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 40

  • @yakoubsalum5292
    @yakoubsalum5292 20 годин тому +1

    Maa shaa Allah, shekh Myhammad Bachu, Allah akuhifadhi na akulipe kila la kher

  • @YassirMapoch
    @YassirMapoch 21 годину тому +1

    Maa shaa Allah

  • @TufailuTuwano
    @TufailuTuwano 20 годин тому

    Mungu akuzidishie Muhammad bachu

  • @mohdjuma3637
    @mohdjuma3637 15 годин тому +2

    Sasa mbona mara unawaambia wao si masalafi alafu unasema usalafi hautetewi hivyo na ww unafanya khiyama bwana mdogo

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 11 годин тому +1

    Katibu wa mahzib Muhamad bachu.

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 4 години тому

      @@swahilitherapytv3846 huyu ni hizbi kuh! Kabisa aliwatukanaga maulamaa wanavyuoni wa ahlsunnah mpk leo ajataraja na anajiita mtu wa sunnah et bachu nae ajiita salafi, sijui salafi kwa mapito yepi

    • @MohammedBakari-pn9yg
      @MohammedBakari-pn9yg 3 години тому

      Endelea kua mshabiki ​@@AbdulIssa-o7e

  • @mohdjuma3637
    @mohdjuma3637 15 годин тому +1

    Kaeni naye mbali huyu mtu

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 4 години тому

      @@mohdjuma3637 ni hizbi aliwatukana kina shekh rabee ajataraja mpk leo arafu ajiita nae ni salafi sijui salafi kwa mapito yepi, kuwashambulia ulamaa wa kisalafi walotunga vitabu mbali mbali wenye kuinusuru sunnah bachu kawabeza na kuwadogosha arafu atakae nae aitwe salafi

  • @qarimohdmakamemossi4676
    @qarimohdmakamemossi4676 5 годин тому

    Mnafanya dhambi kubwa kwa ujinga mnaoufanya

  • @mohdjuma3637
    @mohdjuma3637 15 годин тому +1

    Hizbi mmoja huyu

    • @saidsalum523
      @saidsalum523 2 години тому

      Tumcheni Allah tuache kusikiliza kiushabiki,,tuangalieni haqqi tusiangalie nani kasema,,ukwe mwalimu wetu Muhammad Mafuta(Allah amuhifadhi) hapa kasomeshwa,,tukitaka tusitake amezidiwa kwa hoja..Nampenda Muhammad Mafuta na kaka yake,na WALIMU wetu wote wa kisalafi nawapenda sana,lakini ukweli wanateleza katika kuwapa hukumu watu..namuomba Allah atuongoe sisi na wao.

  • @KAIPAAA3211
    @KAIPAAA3211 9 годин тому

    Hawa ndio mazezeta wa mitandaon najifanya wasom na vitabu vya uongo wapumbavu nyie,

  • @mohdjuma3637
    @mohdjuma3637 15 годин тому +1

    Kazi yako mapicha tuuuu hemu tupe faida moja tu unayopata

    • @omarabdullah-k8j
      @omarabdullah-k8j 14 годин тому

      kauli yako kakwambia na.sheikh fauzan Allah amuhifadh nayepia anajipiga

    • @omarabdullah-k8j
      @omarabdullah-k8j 14 годин тому

      huo ni ujinga mnafuata upepo tu nyinyi

    • @AbduliAshiru
      @AbduliAshiru 9 годин тому

      Mmmmmh!

  • @RamadhanAbdul-l1h
    @RamadhanAbdul-l1h 20 годин тому +1

    WEE
    HIZBII
    MUDI BACHU

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 8 годин тому

    Mwamba yupo kasi kupambana na daawa salafiya, arafu xhaa ajabu anajiita salafi , huku wanaupinga huoo usalafii, ww ni jahli ndio baba yakoo tuu! Umemtoa makosa, mashekh wakubwa nao kina rabee umewazungumza vibaya afu wajiita mtu wasunnah huku upo na li barhyani

    • @saidsalum523
      @saidsalum523 2 години тому

      @@AbdulIssa-o7e Tumcheni Allah jamani, naomba namba yako ya wasap mwalimu wangu mpendwa

  • @KHALIFAJUMARUCHONDO
    @KHALIFAJUMARUCHONDO 20 годин тому

    Mashekh tuwe na tafsida ktk nasaha zetu kamani

  • @SaidiMohamed-bj2wg
    @SaidiMohamed-bj2wg 21 годину тому

    Wee wanaachuoni watunzi wavitabu umewaita makafiri Wacha uwongo. Kumbe inakuuma muovu mkubwawee

  • @mohdjuma3637
    @mohdjuma3637 15 годин тому

    Acha kujipiga mapicha bwana mkubwa

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 8 годин тому

    Mwamba yupo kasi kupambana na daawa salafiya, arafu xhaa ajabu anajiita salafi , huku wanaupinga huoo usalafii, ww ni jahli ndio baba yakoo tuu! Umemtoa makosa, mashekh wakubwa nao kina rabee umewazungumza vibaya afu wajiita mtu wasunnah huku upo na li barhyani adui wa daawa salafiya

    • @MohammedBakari-pn9yg
      @MohammedBakari-pn9yg 3 години тому

      Ebu njoo ww uelekeze mwemnendo sahihi wa bwanamtume....sio usibirie kucoment

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 години тому

      @MohammedBakari-pn9yg mwendo wa mtume ni sahihi so kila adaie anafata mwendo wa mtume atakuwa ahlsunnah kweli, kuna wengine madai tuuh! Kuwafatilia kiundani ndo utajuwa ahaaa kumbe Hawa ni mahizbi, sabu hata shia anajiita ahlsunnah nae, sasa mahizbi nawo wanaojinasibisha na sunnah lakini sunnah ipo mbali na wao, ndani yake wana bidaa bidaa fulani sisi hatuwahesabu kama ni masalafi ukiharifu njia ya mtume na maswahaba utabaki kuwa hizbi hata kama utajiuta salafi ni madai tuuh!

    • @MohammedBakari-pn9yg
      @MohammedBakari-pn9yg 2 години тому

      @@AbdulIssa-o7e sawa.. mimi kiupande wangu hawa ni masalafi na wanatetea sunna za mtume yaan qassim mafuta,muhammad bach,barahiyan,Dr Islam na mfano wao ispokua wanamakosa yao coz ndiosifa ya mwanadam ...watu bidaah wapo waz wanajulikana wala hawjifichi..kama upepo,othuman maalim,muhammad iddi na mfano wao hawa niwatu wabidaah tena upotoshaji

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 11 хвилин тому

      @MohammedBakari-pn9yg dini ya mtu angalia na wanaofiatana nae, shida hawaa jamaa wanashilikiana na watu wa bidaa na wengine unawakuta wapo na masufii kabisaa

  • @mohdjuma3637
    @mohdjuma3637 15 годин тому

    Wewe unataka uichafuwe DAAWATU SALAFIYYAH ila sahau hilo jambo kijn

    • @omarabdullah-k8j
      @omarabdullah-k8j 14 годин тому

      kwani hiii manhaji.ni.maalum kwenu mbona munatuo.esha maajabu nyinyi

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 4 години тому

      @@mohdjuma3637 huyu ni hizbi na naibu wa mahizbi tz sindo alisaidiana na salimu barahyani kuwabeza ulamaa wa sunnah shekh rabeey na shekh muhammadi ljamii, wamewadosha bendera hiyoo ilishikwa na barahyani akisaidiana na bachu, chaajabu hajataraja mpk leo arafu ajiita nae ni salafi sijui salafi wa wapi huyu hizbi, wazi kabisa

  • @SaidiMohamed-bj2wg
    @SaidiMohamed-bj2wg 21 годину тому

    Wee nimwehu makubwa

    • @khadijaabeid2980
      @khadijaabeid2980 21 годину тому +2

      Muogope Allah kwa kumwambi ndugu yako ktk imani mwehu mkubwa

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 8 годин тому

    Mwamba yupo kasi kupambana na daawa salafiya, arafu xhaa ajabu anajiita salafi , huku wanaupinga huoo usalafii, ww ni jahli ndio baba yakoo tuu! Umemtoa makosa, mashekh wakubwa nao kina rabee umewazungumza vibaya afu wajiita mtu wasunnah huku upo na li barhyani

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 8 годин тому

    Mwamba yupo kasi kupambana na daawa salafiya, arafu xhaa ajabu anajiita salafi , huku wanaupinga huoo usalafii, ww ni jahli ndio baba yakoo tuu! Umemtoa makosa, mashekh wakubwa nao kina rabee umewazungumza vibaya afu wajiita mtu wasunnah huku upo na li barhyani adui wa daawa salafiya

    • @allymbarouk5362
      @allymbarouk5362 8 годин тому

      Anawapiga bakora Kwa hoja

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 4 години тому

      @allymbarouk5362 hoja hata sufi anaweza kukupa hoja ndo inamanisha yupo katika njia ya sawa? Hata mashia wanahoja vip wapo katika njia ya sawa?

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 години тому

      @allymbarouk5362 hoja hata mshia anaweza akawa nazo ndo atakuwa katika mstari wa sawa?? Bachu ni hizbi kabisaa wala hatuna shaka na uhizbi wake

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 8 годин тому

    Mwamba yupo kasi kupambana na daawa salafiya, arafu xhaa ajabu anajiita salafi , huku wanaupinga huoo usalafii, ww ni jahli ndio baba yakoo tuu! Umemtoa makosa, mashekh wakubwa nao kina rabee umewazungumza vibaya afu wajiita mtu wasunnah huku upo na li barhyani