Whozu - Ding Dong (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- Music Video by Whozu performing Ding Dong (Official Release 2022) The Music Video was shot in Dar es Salaam, Directed by Lucca Swahili, Audio produced by S2kizzy.
Stream/Download:linktr.ee/Whozu
Digital Distribution by Ziiki Media (PTY)
Listen to Whozu on Digital Streaming:
Audiomack:audiomack.com/...
Apple Music: / whozu
Boomplay:www.boomplay.c...
Spotify:open.spotify.c...
Follow Whozu on Social Media:
Instagram: / whozu_
Spotify:open.spotify.c...
Audiomack:audiomack.com/...
+For More Information Booking Whozu:
Contact:bookwhozu@gmail.com
WhatsApp Booking:+255 762 755 755
©2022 Too Much money Records.All rights reserved.
#Whozu #DingDong
Ndy ndy kaka haunaga haraka yaan daaaah imeisha hyo
🎤🎤whozu we nyoko akuna fara yoyote anae jua km wewe tisha mby👌👌👌👌👌👌👌👌
Kama unampenda huyu kijana gonga like❤❤
,❤
Walahi this song hits sooo deep.. it hits sooo different.... Whozu umeniweza hapa... Love❤️🇰🇪
Whozu unawezèsha
Whose here 2024 tujuane kw wino wa kutosha
Mbona sijaona anaempongeza huyo mrembo Jaymee
huyu kijanaaaaa haha bayaa ndan ya muzkiiiiiiii
Whozuuuu hapa sawaaaaaa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Daah huu wimbo ndio nakutana nao leo...balaa sana
Ngoma Kali sana 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Mzee wa auwendi mbinguni
jinsi ya kuedit video adobe premiere ua-cam.com/video/Sa7d2TkC_CU/v-deo.html
🙌🏽⚡️⚡️⚡️
kakaa mziki umesha ujua tyr. 🙌🙌🔥🔥
Bonge la video umetisha sanaa blood
walolidia hii ndomana nipeni like
waloludia hii ngoma mwaka huu nipeni like
Kenya love🇰🇪🇰🇪,s2kizzy umeua kinyama pia aliyeshoi video hongera
The king he's back in the world 🌎 again
jinsi ya kuedit video adobe premiere ua-cam.com/video/Sa7d2TkC_CU/v-deo.html
Today izi ezi alika noma snaaa
brother unajua sanaaa
Hili dude noma sana..big up whozu..#ding ding dong Dido
Goma kaliii sana
WAMWANZO NASISI TWAITAJ 2WAITAJ KUZINGATIWA KWENYE TUZO MWAKANI KAMA NAWEWE UMELIONA LIKE TWENDE SAWA muyao washamba hapa nalasi
Iyi ni kiboko na ipenda sana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🌹🌹🌹
Aseee whozu ili goma ulitulia kinomaa 🔥🔥🔥🔥🔥💞💞💞❤️❤️❤️❤️🙌🙌🙌🙌 yaaan linapenya adi kwa mtima
nimemmisi whozu wa huendi mbinguni, this is tanzania tunavesha ivo2 yani
Hii ngoma aisee naiona mpya kila siku
Whozu ding dong hatari sana congratulations ngoma yako kali sana kaka
Ya moto sana💥💥💥💪💪💪
My new favorite...bora usiovertake Bae wangu Jeshi,Teacher Konde 🇰🇪 🇰🇪
Leo silali aloh ... Dah ifike tu
Hakuna kulala ... Inasubiliwaaaaaaaaa
Wanenepa kweli haha whozu ingiza gym baana 😆😆hata kudance sku izi inakua taabu na venye najua we dancer mzuri kweli
Ngomaaaa kaliii san kiukwel unajuaaaa
Naikubali sanaaa hii ngoma tam sanaaaa
Wapi nduru kwa whozuuuu ding ding dong📯📯📯📯
Jamaaa kauwa saaanaaaaa nyimboo 🔥, ila kwa upande wake apunguze kunenepa ajaribu ku maintain body lake
Bata tu ilo 🤣🤣
Jamani usimwache tunda mfundishee ajitambue muongozee mvumilie mpendeee
Nilisha zoea masihara masihara huu mziki uko serious aise
Whozu unajua sana god bless you love
Whozu ukiimba nyimbo za Aina hii Nakukubalii sana,, 🔥🔥🔥🔥
Nyimbo nzuri dogo nakubali kazi imenyooka
Nice song yaani mpaka mwili wasisimka
Nyimbo nzuri sana
Umeumiza sana man👊
💯kaka nakukubari sana ngoma zako kali zote
Hii ngoma kali Sana
Hapana bby nitakuwa nakufuru tuu🥰🥰
Hii ngoma kali kuliko zote ulizowahi fanya ila promo ndogo sana
Ipigie promo ni ngoma ya taifa hii
Whoz hii nyimbo umefanya video Mpy au
We noma kaka
ngoma yangu mwakani jamani ding ndong
mkali wangu ma whozu ❤ ebana vidio fimbo imekaaa ile ile saluty keep going on bra dont giv u up
nakubalii ki nomaa 🙏
Umeuaaa ndugu yangu💝💝🙌
All the way from Kenya wapi like...
👏👏 hom boy, hongera sana
Video kali sana
Nilikuwaga sikuelew ila kwa hapa salut
Mr dingdong likes nyingi kwako😄😄💯💯
Whozu umetuangusha Saaana ...Hii Nyimbo Kali Saaaaana Sio Ya Kutokea Video Hii ,Kama Ulikuwa Hujui ThisIs International Banger ,Ilikuwa Uipigie Promo Vizuri Tu
Mzee unajua sana
Nakukubali sana
Oy we chagaa embu waoneshe kwamba 2po
💥💥💥💥
Ding dong ngooo Mr whozu
Mr ding dong ume weza san mzee
Yes whozu chapa baba chapa by promy
KAZI safi sanaa
Oi ngoma ya kwenda man
Whozuuu king of melodies..🎙🔥🎬
Yerere marani 👉💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
jinsi ya kuedit video adobe premiere ua-cam.com/video/Sa7d2TkC_CU/v-deo.html
Hii ndio inaitwa Komesha matozi. Big up.
BONGE LA NGOMAAAAAAAAA #whozu🔥🔥🔥🔥
nakuelewa sanaa mr whozz
Meipenda sana hiii nyimbo ningekua Kwa mahusiano ningemdedikeitia baby but no way
ngoma kalii
Quality sana dingoooo 👊🏽
Music mzuri san
Whozuuu🇰🇪🇰🇪🙌
Moja yakizazi sana,
Beat, Lyrics, Melody and the Video is hot 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
jinsi ya kuedit video adobe premiere ua-cam.com/video/Sa7d2TkC_CU/v-deo.html
Noma
S2kizzy umekua🔥
I don't understand but I am feeling the track... love from Zimbabwe
Kali sana🔥🔥🔥👌
from the king kaka account kumbe jamaa mnoma
Big up brother 💪💪💪❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mangi tena ujawai kukosea mzeee wa kiboshoooo
I love you whozu😘😘 love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
N'goma iko powa sana
Penda wewe sanaa
Aisee huyu dingo n nomaa 🏃♂️🤤
I love the melody and the beat this song is on fire 🔥
🔥 🔥
Jamaa umekaa kizembe lakin unajua
Kitu yakwenda🙌
Nomaaa hit
Nimependa Sauti
Kali💯💯💯💯
Cograruation for you🎉🎉🎉🎉❤❤
Kuja Kenya show
Nilijua focalistic
Umetisha bro
Sijawahi penda wimbo wowote wa whozu ila HUU ndo wimbo Nilio upenda nilio penda na sichoki kusikiliza
Kenya 🇰🇪🇰🇪 Representing the best artist I know in Tz keep burning ✨💥 🇰🇪 we support your songs
jinsi ya kuedit video adobe premiere ua-cam.com/video/Sa7d2TkC_CU/v-deo.html