Whozu - ROBOTI (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лют 2025
  • #ROBOTI ,Audio produced by #S2kizzy.
    Stream this on spotify - open.spotify.c...
    Video directed by Joowzey.
    #WhozuAndaskoo

КОМЕНТАРІ •

  • @godywyne7671
    @godywyne7671 4 місяці тому +10

    Nani yupo apa 2024 🔥🔥

  • @selemanimsahani3919
    @selemanimsahani3919 5 років тому +331

    Kama umekuja kuhakiksha kwa mala ya mwisho kuwa huyu mdada katangulia mbele za haki gonga like

  • @OfficialKiliPaul
    @OfficialKiliPaul 6 років тому +7

    Kwahiyo Siku hizi chuga mademu ndo wanakalisha,hahahah,good job Whozu

  • @emmanueldavidy2783
    @emmanueldavidy2783 5 років тому

    Kama na wewe umeguswa na kifo cha huyu demu gonga like yako hapa

  • @victorvancharlz
    @victorvancharlz 5 років тому +5

    Mbwa wew mamae, hii nyimbo inaniamshaga popote nilipo.. Juzi imepigwa nipo ukweni nikaenda kuicheza chumban. Ma mkwe akanibamba kumbe nae ngoma imembamba nae akaanza kulicheza

  • @MabantuOfficial
    @MabantuOfficial 6 років тому

    Ulipo tupo big yani #kamatulivyo

  • @blackmamba7553
    @blackmamba7553 6 років тому +3

    kila nikiingia UA-cam lazima niiangalie
    naiona namba #01 on trending
    keep it up #WHOZUUUU

  • @robizzo44
    @robizzo44 6 років тому

    Like zenyu kwa Mkenya wa kwanza kumtambua whozu kabla ya yeye kuhit nchini kwetu

  • @ebenezajibrian
    @ebenezajibrian 6 років тому +5

    kali kinoma yani
    kama unaamini s2kizzy haangushi mtu gonga like hapa

  • @hopesonnassary8539
    @hopesonnassary8539 6 років тому

    Kama unaamin dem wa whozu haendi mbingun naomba like plz ngoma ni fire

  • @empaul3612
    @empaul3612 5 років тому +55

    Kama umekuja kuitazama nyota ilio zima jitambulishe kwa 👍

  • @makinitv6996
    @makinitv6996 6 років тому

    Kama unaendelea kuangalia gonga like.. alafu uje kwenye acc ang

  • @sadamdominic7030
    @sadamdominic7030 5 років тому +67

    Duu,nimekuja kumuangalia martha tu.

  • @alexjumanne2971
    @alexjumanne2971 6 років тому

    Kama kuna mtu anataka chokoleti video gonga like ila umeuwa asee chalii ya R

  • @barakachami8218
    @barakachami8218 6 років тому +13

    Roboti Good song pambana chaliangu pambana yaelayote Dingii lay Akuna kufeli

  • @emmanueldavidy2783
    @emmanueldavidy2783 5 років тому +1

    Kama umekuja kwa ajiri ya mathar Kama Mimi gonga Like yako hapa

  • @elisantesamweli9052
    @elisantesamweli9052 6 років тому +10

    whozu the baddest😱, mambo ni mingiiii na muda ni mchacheee😃

  • @juliusmkwiji283
    @juliusmkwiji283 6 років тому

    Huu wimbo kila nikitafuta option ya ku like mara mbili naikosa! Jamaa yupo so creative. Wimbo mtamu sana

  • @yusuphjulius9853
    @yusuphjulius9853 6 років тому +11

    Whozu waga mwehu sana
    Ila namkubali sana coz yuko tofauti na wengine #robot🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @lameckntahondi8073
    @lameckntahondi8073 5 років тому +1

    Duuu poleni sana watanzania kwa kumpoteza MATHA ,, R.I.P matha ulinichekeshaga sana kwenye hii video.... Sasa eti haupo Duniani

  • @wizkhamad4240
    @wizkhamad4240 5 років тому +317

    Kama umekuja uku baada ya kuskia uyu demu kafa gonga like ya hudhun😵

  • @stanisdory2998
    @stanisdory2998 5 років тому +2

    Whozu hanaumia akiikumbk hii xku pole taif kumpotez mwanadad R.I.P BOSS MARTHA mung akurehem uko ulipo

  • @denisigaza9797
    @denisigaza9797 6 років тому +8

    Yuko vizuri kijana akaze buti

  • @Selphar-u6i
    @Selphar-u6i 2 місяці тому +1

    Kipaji kizuri saaana

  • @khadijamsafili7632
    @khadijamsafili7632 6 років тому +37

    iko poa Sana'a kweli muziki wako whozu unanoga sana ukiweka comedy like zenu tuone wangapi tunainjoi na comedy kwenye muziki wa whozu

  • @g.p.ubandusa7564
    @g.p.ubandusa7564 6 років тому

    Kama umekubali hii song gonga like hapa

  • @mwanatalenttv
    @mwanatalenttv 6 років тому +14

    #Whozu kaza sana mziki
    wa bongo mgumu sana
    kama umegundua uyo
    #mamsi ni toto la chuga
    gonga like kwa #whozu
    kama unamkubali #whozu
    gonga like twende sawa

  • @jordanfromyt2861
    @jordanfromyt2861 5 років тому

    Kam uta shirikiana na Whozu kukakaba mpaka macho ikatoke gonga like apa

  • @vascovickodindo
    @vascovickodindo 5 років тому +17

    KANUNA KAMA NINIII .... KANUNA KA ROBOTI PIGA LIKE KAMA UMEKUBALI WHOZUUU NI FIRE

  • @bernard4954
    @bernard4954 6 років тому

    leo nafkiri nmefika on time kuchukua hizo likes

  • @nambilili4269
    @nambilili4269 6 років тому +14

    whozu we ni msanii tena noma wadau km unaamen whozu anaweza weka like apo aone jisi gan.twamuelewa

  • @yusuphandrea2083
    @yusuphandrea2083 6 років тому +2

    Huy mbwa anajuaaa sanaaaa mpk anakela sanaa namwona mbali sanaa kweny tasinia ya muzk wetu hap bong

  • @yvonnelisah7739
    @yvonnelisah7739 5 років тому +18

    My favorite Tz artist 💋💋💋💋. This song is an anthem daily lazma niskize❤❤❤

  • @vibeking3735
    @vibeking3735 5 років тому

    Kama na
    wewe umependa gonga like hapo.

  • @Kaskazinimixtv
    @Kaskazinimixtv 6 років тому +14

    Good song Nyimbo kali endelea kufuatilia KASKAZINIMIX kupata interview zote za Whozu na wengine wote😀😀😀😀

  • @ismailramole1700
    @ismailramole1700 5 років тому +1

    Piga kazi mdogo wangu...uko vizuri sanaaa 100%.unakipaji ya pekee.down low.

  • @propertymedia8090
    @propertymedia8090 6 років тому +3

    I have seen pure Talent....the next Super star...254 tuko pamoja

  • @hashimsadick5519
    @hashimsadick5519 6 років тому

    yeyote alyetambua kama verse inavyoanza mwanzoni melody imefanana na kwa Leo gonga like

  • @selem2ungwe421
    @selem2ungwe421 6 років тому +3

    Whozu unaumiza 🙌🙌 ngoma kali sana

  • @fatnahiddy3530
    @fatnahiddy3530 5 років тому +1

    martha mi sizani kama nitakusahu my inaniwia ngumu sana siamini na staki kuamini kama kweli umekufa

  • @fabricemugheni2950
    @fabricemugheni2950 6 років тому +8

    Poa sana bro
    Team 243
    Tunakubali tz Kuna vipaji

  • @renieartist
    @renieartist 6 років тому

    wee unajua 254 tunakupenda kweli

  • @raston4gkalonda821
    @raston4gkalonda821 6 років тому

    Huyu jamaa noma aise nipeni like basiii

  • @faridahmustafa3866
    @faridahmustafa3866 5 років тому +34

    Nmekuja kumwanglia hyu mdada vzr 😭 r.i.p

  • @victorsir-nga7708
    @victorsir-nga7708 6 років тому

    wanawake wahivyo mm na wapenda Sana though iam gentleman kwa nje ila msela wa moyo.kama yupo demu kama huyo comment nikupe Namba.

  • @emanuelsilayo7070
    @emanuelsilayo7070 6 років тому +6

    Atakapeleka kibosho akale ndiz aki whozu we trick sana

  • @unambwegoodluck
    @unambwegoodluck 10 місяців тому +2

    coomedy! ulikiwasha big up my friend

  • @djmatomatreezee4909
    @djmatomatreezee4909 6 років тому +8

    WHOZU, THIS IS A GURANTEE AND ASSURANCE FROM ME, DJ MATO MATREEZEE FROM 254.AM YOUR NUMBER ONE FAN

  • @najimjrmuhaji1442
    @najimjrmuhaji1442 2 роки тому +1

    Kama unaangalia hii ngoma 2023 gonga like

  • @everinallynn6940
    @everinallynn6940 6 років тому +3

    Mwaka huu ni shemela#mimimars ft #whozu

  • @shedlcknashon9894
    @shedlcknashon9894 5 років тому

    sanaaaaa borooooooo tupeee v2 vikali kama hiiiiiiii 👏👏👏👏👏👏

  • @ommynaah3801
    @ommynaah3801 6 років тому +31

    Noumaaaa sana hujuag kukoxea dngoooooooo
    Unamjuaaa. Dingoooo

  • @emilucydaniely4151
    @emilucydaniely4151 6 років тому

    nooma sana mzeee inatisha sana pambana mungu iko na ewe asante

  • @festobatuliko_tz
    @festobatuliko_tz 5 років тому +4

    Hili song nikiliskia huwa sichoki hata kidogo.

  • @onestkasmir4297
    @onestkasmir4297 6 років тому

    Kama mnaamin whozu ajui kitu ni kiki tuu gonga like hahahahahaa amna kitu apa kaotea huend mbinguni tuu

  • @originalflo9829
    @originalflo9829 6 років тому +42

    Kama huna mkubali the only whozu gonga like yako apo chini 👇👇
    Love this song
    Watching from 🇺🇸🇺🇸

  • @ashashabani4210
    @ashashabani4210 6 років тому

    noomaaa sana mchizi wangu mamiiiloooooo

  • @iddyshabani4144
    @iddyshabani4144 6 років тому +3

    kwel nakubal whozu

  • @gastomushi6880
    @gastomushi6880 5 років тому

    .....ooooooh my MAMILOOOO .....NKAPELEKE KIIIIIIIBOSHOOOOOO....PALE KINDI NKALISHE NDIZI INANAMBO.....KAKIIIINA .......NAKAUWA....KAKIIIIII...NAKAUWA.....

  • @pogbapogba4702
    @pogbapogba4702 6 років тому +4

    Ngoma ipo 🔥🔥🔥🔥

  • @younginspired3899
    @younginspired3899 6 років тому

    Whozu baddest.. At list sijachelewa sana.. Haya waliorudia Mara 2 tujuane hapa.. Kichupa nikikali nachakinyamwezi 🔥🔥🔥🙌

  • @nicsuu6062
    @nicsuu6062 6 років тому +13

    This Guy has never disappointed me ever since he came to the music industry. Lol +254

  • @abrahmansleiman9743
    @abrahmansleiman9743 6 років тому

    Kama unaamini ngoma sikuhizi nyingi zinafanana gonga like

  • @mwanambokahauliers1295
    @mwanambokahauliers1295 5 років тому +83

    Waliokuja hapa kwa ajili ya kifo cha matha tujuane

  • @chaileeportraits
    @chaileeportraits 6 років тому

    Hii kali mi mwenyewe sielewi nyi wenyewe hamuelewi

  • @GPVEVO
    @GPVEVO 6 років тому +45

    Kama una mwelewa whozu nipe like

  • @superherotv1750
    @superherotv1750 6 років тому

    Kama umemkubalii uyoo demu wa mwanzo wa video weka like apa

  • @abeidmgao2695
    @abeidmgao2695 6 років тому +10

    ambaye anahamini jamaa ni fundi agonge like

  • @imanimpenda763
    @imanimpenda763 6 років тому

    😀😀😀Whozu nakukubali kinoma kama umeona ugali like hapa🏃🏃🏃

  • @salomemwendo4281
    @salomemwendo4281 6 років тому +4

    jaman nyimbo nzuri like zen

  • @isabelaleonard1691
    @isabelaleonard1691 4 роки тому +1

    Kibosho oooooyyyyeeee

  • @lenjeevara3407
    @lenjeevara3407 6 років тому +21

    Pwaaaaaaaaaaa I REALLY DON'T UNDERSTAND THE LANGUAGE BUT HUYU MSENGE JAMAN ANAWEZA

    • @samuelniyknkuru1168
      @samuelniyknkuru1168 6 років тому

      😂😂😂

    • @ruthshango7269
      @ruthshango7269 6 років тому +1

      😂😂😂😂

    • @Bnduati08
      @Bnduati08 6 років тому

      Chekini uyu mchizi 😁😁😁

    • @catherineewald4041
      @catherineewald4041 5 років тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nmecheka jamaa msenge kwel asa umejuaje ka kaua ka uelew😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @ernestjohanes9087
    @ernestjohanes9087 6 років тому

    Jamaa kumbe ni balaa kwenye kuimba

  • @kbdmsafi_tz8094
    @kbdmsafi_tz8094 6 років тому +6

    Hii Ngoma Kali Gonga like Kama Zote Hapa

  • @sheilaporomoka8079
    @sheilaporomoka8079 6 років тому

    Wa kwanzaaa..... Nipo hapa tangu asubuhi....

  • @aisharamadhan8778
    @aisharamadhan8778 6 років тому +10

    Nice one❤❤❤much love from Kenya☺☺☺☺☺

  • @mahamdummbaga2733
    @mahamdummbaga2733 6 років тому

    whozuuuuuuuu..... duuuhhh broo na apriciate ur work broooo unajua xanaaa

  • @fabricemugheni2950
    @fabricemugheni2950 5 років тому +6

    From congo,nimeuzunika San kupata taharifa za kifo chako BOSS MARTHA
    Mimi na mdogo wangu tulikuwa shabiki wako sana
    Rip 😭😭😭MARTHA

  • @bobjimmy93
    @bobjimmy93 6 років тому +2

    huyu dada mwenye vest ya white..kwenye chorus anacheza vizuri sana...big up ninja bonge la ngoma

  • @fellowyt3096
    @fellowyt3096 6 років тому +5

    Tz kumoto 💯 more love from kenya

  • @buharimwanga284
    @buharimwanga284 6 років тому

    ndugu ujue we international kabisa sema ukatuni mwingi decide kitu kimoja jombi

  • @alvinkirk2904
    @alvinkirk2904 2 роки тому +4

    Dance moves check
    Talented check
    Beat check
    This guy is the best if you are still here in 2022 u are a legend . 254

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 6 років тому

    Nipeni like kinyama kwa whozu support.

  • @fernandohander7087
    @fernandohander7087 6 років тому +5

    mkalii wozhuuuuu

  • @dreamz16349
    @dreamz16349 5 місяців тому

    Huyo dada kulia kwa Whozu ,knows how to smile before Camera🎉🎉❤

  • @tensotv
    @tensotv 6 років тому +3

    Safiii Bhuda.... Umeua

  • @eliasmrosso9939
    @eliasmrosso9939 6 років тому +1

    Good sana ma. Boy whozuu.....u atoaga upudated song and ya style is so unique keep it up

  • @faridatomno8784
    @faridatomno8784 5 років тому +3

    Ngoma iko on top from kenya

  • @nurdinnatai7005
    @nurdinnatai7005 6 років тому

    Dingiii kaza man!! Huyo ndio manzi ya chuga

  • @pascasiohubert2687
    @pascasiohubert2687 6 років тому +8

    umetisha sana man pia directer Fundi sana

  • @onjenikatindasa7315
    @onjenikatindasa7315 5 років тому

    Daaahhhhhh.......Whozu ......uwezo binafsiiii

  • @sosteneskmboya5516
    @sosteneskmboya5516 6 років тому +3

    This Creativity is next Level.Nice one @Whozu

  • @mansourynawab8923
    @mansourynawab8923 6 років тому

    kazi nzuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @worldrapamako3960
    @worldrapamako3960 6 років тому +6

    kama unaamini whozu alivyo suka haendi mbinguni gonga like yako hapa nataka like 20 tu

  • @anicyaedward5605
    @anicyaedward5605 6 років тому

    Mim cmkumbuki tumaaaaaa ...yan nakuelewa ujueeee ......

  • @hdesantos8435
    @hdesantos8435 6 років тому +5

    #Mars anatak mwnaum wa Aina gan

  • @hillaryoyaro5399
    @hillaryoyaro5399 6 років тому

    Heeeheeee hii ngoma si imenibamba ni comedy tu full time heeheee

  • @zaddy2549
    @zaddy2549 6 років тому +8

    Love from🇰🇪🚀🚀

  • @nadyajuma5223
    @nadyajuma5223 6 років тому

    Nakupenda mpk kizungu zungu nyimbooooo kaliiiii 💕💕💕💕💕💕

  • @sangijamadukwa1486
    @sangijamadukwa1486 6 років тому +5

    Whozu is real talented!!!