NDEGE ZA URUSI ZARUSHWA KARIBU NA KAMBI ZA MAREKANI|MAREKANI YATOA LAWAMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 19

  • @thehill2099
    @thehill2099  Рік тому

    ua-cam.com/video/AqPm_oeRCZg/v-deo.html
    Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel yetu mpya ili kupata habari nyingi zaidi

  • @user-hh5ff1ip3h
    @user-hh5ff1ip3h Рік тому

    Kiongozi vp mbonakimya atupati habali au. Umepigwa pin

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 Рік тому +5

    Sasa Marekani anafanya nini Sirya anakalia nchi kimabavu na kuiba mafuta ya Sirya

    • @GeorgeUsele
      @GeorgeUsele Рік тому +1

      Akitakaga kupindua akashindwa Sasa ana roburobu tu😂

  • @gonanzaro5580
    @gonanzaro5580 Рік тому +3

    Badooo mtaimba nyimbo za mazishi Russian hoyeeeeee

  • @chachamtatilo423
    @chachamtatilo423 Рік тому +1

    Jamani tukubali tu Russia inatisha USA kwenye vita akubali 2 kwamba anazidiwa na mkubwa Putin, maana yeye na genge lake la mashogo bado hawaja fua dafu .

  • @bugybuster5788
    @bugybuster5788 Рік тому +2

    mfua nyuma huyu hapoi mimi nilitaka sana mmarekani aingie vtan ili achapwe ili apunguze umbea na mfua vyoma anawatega tuu

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 Рік тому +3

    Nimecheka Sana Urus inatunyanyasa

  • @hashirali4587
    @hashirali4587 Рік тому +2

    Sasa vita ya Rassia na Mareksni itapigwa Siria hapo Mareksni ndio mwisho wake Kama state power

  • @alhajjwaupe4593
    @alhajjwaupe4593 Рік тому +2

    Kwani marekani siria ni kwake

  • @jumakhamis226
    @jumakhamis226 Рік тому +1

    Hapo ndio patamuuuuuu kudadeeekiiiiiiiiii

  • @kiumbenatural-ii5jb
    @kiumbenatural-ii5jb Рік тому

    Mungu yupo na malipo ni hapa duniyani Majizi makubwa

  • @kijokasumu
    @kijokasumu Рік тому +2

    amerika wakati wenu wa ubabe unaishia kwa sasa ni wakati wa russia biden bwia cocaine

  • @anoldishengoma4229
    @anoldishengoma4229 Рік тому +3

    Ivi kwanini pentagon isilipuliwe tu na Biden akafia humo

    • @Awatee
      @Awatee Рік тому +1

      Afe mara ngapi 😂😂😂sasa weye umemuona mzima kdg dogo tuu hatak bomu

    • @stellanyamuhogota1832
      @stellanyamuhogota1832 Рік тому +1

      😂,,😂😂

  • @mbokanitaribo5106
    @mbokanitaribo5106 Рік тому

    Acha kupotosha watu wewe nahabari zako zauwongo