MAJASUSI WA MAREKANI WAPELEKWA ZAIDI UKRAINE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 20

  • @user-ts4lg4ow6c
    @user-ts4lg4ow6c Рік тому

    Nakukubali sana the hill

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk Рік тому +2

    WAMARECANI INAWAUMASANA KUWAPA URUSI USHINDI, NA KINACHOWAUMAMNO NIKWAMBA AFGANISTAN WAMEVYEKWA MAKOMANDO WENGISANA WA AMERICA KWAMSADA WA URUSI. LAKIN UCREIN WANAJESHI WA MAGHARIBI WANAFYEKWA SANA.

  • @mohamedimcheni2068
    @mohamedimcheni2068 Рік тому +3

    Timu putin oyeeee

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Рік тому +2

    viongozi wa Afrika nzima waungane kumshitaki Kiongozi waNATO wakipindi hicho kwakuzuia viongozi wa Afrika waliokuwa wanataka kwenda Ribia kusuruhisha mgogoro Halafu Nato wakamuua gadafi. bila kufanya hivyo marekani wataendelea kuua watu halafu wanaenda.

  • @tiffanyakramJr822
    @tiffanyakramJr822 Рік тому +2

    Safari hii, Russia kaionesha dunia kuwa taifa la marekani ni changa mbele yake. PUTIN anapigana vita na NATO tangu siku ya kwanza.. Sasa hao cia wamejazana kule na wengi wamekufa

  • @dismasmaturine8685
    @dismasmaturine8685 Рік тому +2

    USA CIA mbwembwe tu urusi anawamudu sana marekani na wenzake ,,huwa wanazionea nchi changa

  • @bugybuster5788
    @bugybuster5788 Рік тому +1

    wacha waende wakamalizwe putin vita anaipenda ndy maana anampiga polepole ukrein uwezo wa kuisambalatisha kwa mda mfupi uwezo huo anao sema anawaonyesha manyang,au uwezo wako wa kijesh

  • @allybetese6201
    @allybetese6201 Рік тому

    😅😅jaman urus s kongo au Sudan kichap kitaendelea tu

  • @febinelson2820
    @febinelson2820 Рік тому

    Hamna kitu hapo ilikuwa zamani

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 Рік тому +1

    Wa Marekani wanao kwenda Ukraine Mwanzo walikuwa wana vaa za jeshi la marekani sasa wana vaa yunifomu za Ukraine wasitambulike lakini wanazungumza Kingereza

  • @gonanzaro5580
    @gonanzaro5580 Рік тому

    Watakoma Russia si Afghanistan

  • @IsmailBagayabakwe-bb1pl
    @IsmailBagayabakwe-bb1pl Рік тому

    Lazima marekani aakikishe nafasi yake

  • @TatuMuanda-ub7ud
    @TatuMuanda-ub7ud Рік тому

    Waache waende watapigwatu

  • @panadomadola3064
    @panadomadola3064 Рік тому

    Acheni ushabiki wa kijinga Marekani akiamua Mrusi amuezi mmarekani ata kwa dawa.kama wakitaka kumshinda mmarekani waungane:Korea Kz,china,Irani, na Urusi labda wanaweza kidogo kumtingisha Marekani lakini bila kluungana Mrusi peke yake amuwezi Marekani ata kidogo

  • @elishantelekwa9793
    @elishantelekwa9793 Рік тому

    Putin fyeka hao wajinga wakitia mguu Ukraine 🇺🇦

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Рік тому

    Why is NATO used as the world's army goes everywhere in the world where I work? saivi nato is fighting in krein, krein is a member of nato?. let us not allow it to be misused. Nato and the army of the 28-nation alliance are not in Ukraine. Why is Nato in Ukraine? let's wake up and ask them

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Рік тому

    kwanini NATO inatumika kama jeshi la dunia linaenda kila mahali duniani nikufanya kazi? saivi nato anapigana ukereini, ukereini ni nimwanachamwa wa nato?. tusiruhusu nato itumike vibaya. nato nijeshi la mwungano wa mataifa kama28 ukereini haipo .kwann nato yuko ukereini? tuamke tuwaulize

    • @bugybuster5788
      @bugybuster5788 Рік тому

      ukrein hana jeshi kwa sasa washakufa ukrein haipo nato ila nato kwa sasa ndy wanaopigana na urus au mmarekan ndy yuko vitan na putin mfua nyuma wa kgb mwambaq

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Рік тому

    Why is NATO used as the world's army goes everywhere in the world where I work? saivi nato is fighting in krein, krein is a member of nato?. let us not allow it to be misused. Nato and the army of the 28-nation alliance are not in Ukraine. Why is Nato in Ukraine? let's wake up and ask them