LAVROVE:HATUTASHINDWA KWENYE HII VITA|TUPO VIZURI KILA IDARA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 21

  • @abdallahkikungulu9141
    @abdallahkikungulu9141 Рік тому

    Mungu ailaani marekani dunia utulie

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 Рік тому

    Safi sana

  • @IsmailBagayabakwe-bb1pl
    @IsmailBagayabakwe-bb1pl Рік тому +1

    Siyo leho urusi wana penda waikale meza moja zamazngumuzo

  • @GeorgeUsele
    @GeorgeUsele Рік тому

    Panya wengi hawez kuchimba shimo likaenda mbele

  • @allybetese6201
    @allybetese6201 Рік тому +1

    Minaomba kuuliza wananzengo wenzangu uraya Kuna mirembe?

  • @NOORMOHAMED-sg9lo
    @NOORMOHAMED-sg9lo Рік тому

    Ana wivu Na Rais Putin
    Anataka aondoke URais kama yeye alivyobakia barabarani mara ulaya mara Nato na wananchi wa Ukrain hawana nchi.
    Mpuuzi asiye na maana

  • @MUSTAPHAMCHUCHA-sp3tq
    @MUSTAPHAMCHUCHA-sp3tq Рік тому

    ukovizuli bro urusi kashindwa vta sasana m babe malekani vp mbona haonyeshi umafia au nae tee

  • @othmanalnabhany3208
    @othmanalnabhany3208 Рік тому +1

    Kama lengo ni kuishinda urusi hao wa ukrain naona wasahau hilo yaani uishinde urusi kwa silaha za kuomba omba? Utamshindaje mtu alieshinda vita ya dunia?

    • @IsmailBagayabakwe-bb1pl
      @IsmailBagayabakwe-bb1pl Рік тому

      Namba modja ni marekani wewe ki pesa ki siraha kijeshi wewe Nani kakudanganya kama urusi ninamba moja

    • @thehill2099
      @thehill2099  Рік тому

      Takwimu hadi Sasa zinaeleza wazi kuwa Russia ndiyo nchi duniani inayomiliki silaha nyingi na za kisasa kuliko Taifa lolote.
      Tangu enzi za Usoviet ndiyo Taifa lililokuwa na teknolojia ya Hali ya juu katika silaha.
      URUSI ingekuwa dhaifu kijeshi, isingetoboa hadi wakati huu, lakini fikiria inapambana na MATAIFA yote makubwa ya Magharibi yakiongozwa na America, UK, Germany na France na bado ipo ndani ya mipaka ya Ukraine.
      Ni kweli uchumi wake umeshuka lakini uchumi wa Russia ni tofauti na Germany na France,watu wanaandamana daily kwenye hizo nchi lakini siyo URUSI.
      Halafu kitu kimoja ni kwamba Russia mafuta yake yanauzwa na China na India

    • @IsmailBagayabakwe-bb1pl
      @IsmailBagayabakwe-bb1pl Рік тому

      @@thehill2099 iyo ni wewe unasema siyo esabu namatangazo inafanywaka kila mwaka Nina juwa esabu ya kila mwaka namba moja ni marekani namba mbili urusi namba tatu China namba ine india namba Tano Mujermani namba sita mungereza namba Saba mufarasa namba nane Canada sema niendeleye kukupa esabu kama aujuwi

    • @Awatee
      @Awatee Рік тому

      ​@@IsmailBagayabakwe-bb1plwee kazi yak ubishani tuu chuki ndio zinakusumbua Ikiwa silaha imara kwa nini ukrein isishinde tulia uko Marekani waache watafutie haki zao mashoga ndio wanalo waza na kulazimisha mataifa mengine na kuwaharibia maisha ya waukrein😮

    • @stephanomoses7694
      @stephanomoses7694 Рік тому

      ​@@IsmailBagayabakwe-bb1pl we unaonekana unasikiliza propaganda za us. Kuliko uhalisia. Hufikirii nchi moja inapigana na nchi kubwa 27 lakini bado anawatoa jasho la meno. Wanajeshi wa nato wanakufa kinyama pale UCRAINE ila wanaficha . Kwan wew hujamjua mmarekan hapendagi kudhalilika lazima ajisifiage2 . . Hivi unajua kwamba mziki wooote mrusi anaowachezesha hawa mashoga bado jeshi la nchi ya urusi halijaingia mzigoni.

  • @abuubakarhaji2078
    @abuubakarhaji2078 Рік тому +1

    Wamagharibi waonata ndoto za mchana kweupe

  • @msukumamnywamaziwa2785
    @msukumamnywamaziwa2785 Рік тому +2

    safi sanaaaa,RUSSIA/PUTIN

  • @IsmailBagayabakwe-bb1pl
    @IsmailBagayabakwe-bb1pl Рік тому

    Nyinyi musubiri tu urusi alisha shindwa vita apende asipende atapigwa tu

    • @Awatee
      @Awatee Рік тому

      Akili zako zinakutosha mwenyeo 😂😂😂utafikiria mshipa wak umeungana na mavi 😂😂😂

    • @Hamad-gy2og
      @Hamad-gy2og Рік тому

      Ww ni shoga au naona wataka uku afrika tuletewe mashoga

    • @Hamad-gy2og
      @Hamad-gy2og Рік тому

      Ww ni shoga au naona wataka uku afrika tuletewe mashoga

    • @Hamad-gy2og
      @Hamad-gy2og Рік тому

      Ww ni shoga au naona wataka uku afrika tuletewe mashoga