Nashangaa huyu mwamba hapewii Heshima zake Na viongz wetu wa Simba!..Big up Tundaman wanachama na washabikii tunakuelewa zaidiiii...Ni sisi Simba Sikuzote
Yaan bro tunda ndio anaeipatia club nyimb nzr tang enz anamoyo cn ipo ck nawe itakuwa juu tunakupenda usikate tamaa tunakujali mashabiki na kukudhamin🔥🔥
Ili ndo my best SIMBA song kuliko zote zilizowah kuimbwa…. nairespect sana ngoma ya kiba but this is my best… much respet kwa TUNDA MAN mwana simba mwenzetu kindaki ndaki…big up brother
Tunda Man go in sooo hard on this right here, straight up BANGAA! IDC if tunda used *AUTHENTIC VIEWS* dawt cawwm to get mad exposure on their socialz like every other artist has done too, not a big deal anymore to use them
Wimbo mzuri sana ila ungekuwa balaa kama kwenye video ungeonesha na sehemu ya baadhi ya magoli makali yaliyofungwa ikishindikana basi weka hata lile la chama alivyowafunga Nkana pale taifa.
Naipenda Sana ya nyimbo ya kwanza nzuri simba❤❤❤💯🔥🔥💃💃💃
Mini yanga ila HUU unyama apana❤❤❤
Hii ngoma kali kuliko ya daimond kama unakubali piga like hapa
SHABIKI WA YANGA KINDAKI NDAKI ILA GOMA NIMELIELEWA.. 🇹🇿🇹🇿 PROUD TO 🇹🇿🇹🇿🔥🔥
Mimi shabiki wa yanga lkn naipenda hii nyimbo
Nashangaa huyu mwamba hapewii Heshima zake Na viongz wetu wa Simba!..Big up Tundaman wanachama na washabikii tunakuelewa zaidiiii...Ni sisi Simba Sikuzote
Baaada ya kuwapga platinum fc ndio nasikiliza kwa mara nyngne.like twende sawa
Hongera kwa mashabiki wenzangu wa Simba mnyama mkali dunian hakika simba hafungwi mara 2, daima kwetu ushindi japo utopolo wazee wa faul na kufos mambo... 👊👊
Kiko wapi sasa kwisha habar yenu
Ss ndyooo siimbaaaaaaaaaaaaaa🦁🦁🦁🦁🐅🐅🐅
Hiii ndio nyimbo Kali ya Simba naisikiliza Tena Leo tar 8/8/2023 🎉🎉
Sure 👍
❤😊
Wimbo wa simba of all time ni mnyama ya alikiba, mle amna jina la mchezaji, kiongozi wala shabiki yaani ni wimbo bora wa timu zote TZ.
Simba fan from Kenya.
Mutanipiga mupaka.muniue Mimi Simba sihami na love San Simba
Hii ndio nyimbo bora ya muda wote hapa simba naisikilia tena leo tarehe 27-3-2024
Hii kali kuliko ata ya Diamond,sema tu wa madale star kuliko Tunda
Kabisa hili song Kali!!!
Hacha nangoma ya mond wewe hile songs aina MPINZANI....nani kukuambia diamond anafeligi kwenye kutunga wimbo.
@@mukaplatnumz2313 we una mahaba tu na mond lakini hujui muziki
Yani upo sahihi hili goma kali sana sema basi tu
Kabisa ani
Baada ya kumpiga al ahly nasikiliza tena gonga like wanangu wa SIMBA
Yaan bro tunda ndio anaeipatia club nyimb nzr tang enz anamoyo cn ipo ck nawe itakuwa juu tunakupenda usikate tamaa tunakujali mashabiki na kukudhamin🔥🔥
Tunda wewe ni zaidi ya msanii
Nani yuko hapa baada ya kuwapiga al ahaly kimoja...this is simba😻😻😻😻😻
Mm hapa!
Simb bab lao
Mm@@safinahasantbabkwakaz6645m
@@danieldm92 0
Nipo hapa
Hii ngoma inastahili kuwa wimbo bora wa wakati wote bado sijaona nyimbo kalii kuliko hii🔥🔥🔥
Aise Nimejiunga Simba naaomba Mnipokee 😌😌
Karibu ubaya ubwela
Wana simba wenzang hii ngoma ni kali sana asee...sema tu diamond ni *
Jaman Nani ajitokeze anitolee nauli yakunifikisha kigoma,najua kigoma lazima tufunge iwe isiwe,Yan hata mniloge Simba sihamiii ❣️❣️❣️❣️
Leo ni 19
Mwanangu Tunda umetisha
Nyimbo naipenda kila wakati nairudia
Baada yakulchukuwa kombe kgomaaaaaaa
Ili ndo my best SIMBA song kuliko zote zilizowah kuimbwa…. nairespect sana ngoma ya kiba but this is my best… much respet kwa TUNDA MAN mwana simba mwenzetu kindaki ndaki…big up brother
Nimeelewa jamani , Tunda upo good sanaaaa
Lazimaaaa tutambeeeee
SIMBA NDIO CHAMA LA WAKUBWA🏃♂️🏃♂️🏃♂️🇹🇿
Nguvu moja to every simba fancy 💪 I love this Chama kubwaa simbaa, , tundaman mkali wao
Kaz ime smama sana ilitakiwa uwe wimbo wa Pomona sio awamini macho yao kawaida sana
Simba haina mpinza❤
Tuliinjoy jamani sio sili,kaka mwaka huu iwe kubwa kuliko
Tunda Man go in sooo hard on this right here, straight up BANGAA! IDC if tunda used *AUTHENTIC VIEWS* dawt cawwm to get mad exposure on their socialz like every other artist has done too, not a big deal anymore to use them
Umelongwa
MWAMBA ANAJUA SANA HUYU 💪💪
Simba mkali ! Said chande..tawi la simba mombasa 🇰🇪
Nipo hapa kuelekea simba day❤
wekundu wa msimbazi. wache tutameee simba oyeeeeeeee
Big up Tundmani you deserve respect for your Hugh performance and pride for simba.
Pp
SIMBA NDIO KILA KITU 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Ipo powa sana ngoma Hilo nimebonyeza nyota
Tunda man nakubari kaz zako uishi sna mzeee
Aise tundaman Unajua kuimba jmn
Hiii nyimbo kali sana tunaomba nyimbo mpya tundaman
Mungu aibariki Simba Leo ipate ushindi 5/11
Tuliokuja hapa baada ya Simba kuchukua FA kigoma kwa kuwapiga utopolo gongeni like hapa
Simba simba simba yangu ina tu na jambo lute leo
Chunga sana nitakuroga tunda
Song Kali kuliko hata la Diamond
Love simbaa
Nani anasikiliza mda huu 3/4/2021 baada ya mechi ya Simba na AS Vita 4_1💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💕💕💓💓💗
nakupenda man tunda, wimbo safiii
MNYAMAAAAAAA WERAAAAAAAAAAA🦁🦁🦁🦁🦁
WeraAAAAAAAAAAAAAAA🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁
Simba namm sihamiii jmn.....nice Tundaman
Huyu Mwamba #TUNDAMAN Ndo Shujaa Wetu Kitambo, hajaanza Kutupaisha kwa kuangalia #UpepoMzuri, Like za kutosha kwa Mkali #TundaMani #Tambeni
Ndo kwenye tunda man
Tunda unaweza mbaka basi
Baada ya kuwapiga asec nimerud hapa
simba tamben uuuuh tutamben jamn siami nasema ata mniue
🦁🦁🦁🦁🦁🦁tunatamba tunatamba na tunatamba tena watakoma
Safi sana tunda yani umenikoshaje hukuuuu wacha tutambee tuuuuu
Kuna wakati maisha matamu sana, bonge la song
Kabisa!!!
tunaenda kufurahia maisha kama nyimbo mpya ya Mejakunta
Simba sihamiiiiii ngoooo
Simba baba laoooo nimeipenda sanaa
Weweweeeee 👊👊👊👊👊
Mimi ni simba
Wanangu njoeni tutambe huku....simba kafanya yake na platinum
Imekaa pw bro 2nda abdu kiba
Na ipenda simba milele
Tunda asante sana ,mtanipiga mniue simba mi sihami .hki simba haina mpinzani hkika .
Fact wanasimba wenzangu
Oya weeeeeeeee🔥🔥🔥🔥
Woyooo Wapi Nduru Ya Simba Sport 💃💃💃💃Weuweee
Piga kelele kw simba yake
Poa sana simba
Tundamn nyimbo mpya
Mtunzi bola kwa ni tundaman
Wimbo mzuri sana ila ungekuwa balaa kama kwenye video ungeonesha na sehemu ya baadhi ya magoli makali yaliyofungwa ikishindikana basi weka hata lile la chama alivyowafunga Nkana pale taifa.
Baada ya kumla kimoja utopolo nipo hapa najinasbu😀😀😀😀
Hatariii ❤
Sisi ndio wekundu wa msimbazi
Wana simba mpo wapi leo tar.25-07-2021
Nawauliza utopolo aya mambo kwao yapo au manenotu simba nguvu moja
Ebu wanasimba fanyen kufikisha 1 m view
Simba siipendi ila ngoma hii ikopow imeweza kutunanga
Piga mpaka mniuwe me simb siami ng'ooo
Nimeikubkl hiyoooooo
Nan Yuko Hapa Baada Ya Kuwapiga Uto Kimoja Kigoma ASFC.... 2020_2021💪
Kaka iyhoo. Ngg ok ma hatalii in
Niko APA baada ya kuipiga De Agosto kwa mkapa moja kali la phiri
Pg keleleee kwa simbayakeeeee woyooooooooo
Hili song balaaaaaaa nilidhani wana
Sijui kwanini Simba hawampi heshima huyu jamaa.
Ila tundaman ulilipata hili goma hapa tarehe 11/1/2024 nasikiliza tena
Nakubali mwamba hakuna mpinzan
I love you so much simbaaaaa ❤❤❤❤❤
Hatari sana
simba kweli chama kubwa
Hongera sana tunda
Nakubaliana
Simba ni chama kubwaaaaaaa
Kaizer Chief haoooo 4g
Simba lahaaa
Simba🦁 level za juu usifananishe na makirikiri🐸😂🔥
Magiriki anasema c makiriki
Simba nguvu moja inga ufee 🐸🤭 🤭
Chapwaaaa