Alikiba - Mnyama (Simba SC Anthem)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 жов 2024
  • Get it now Sumu:smartklix.com/...
    Stream/Download:linktr.ee/Alikiba
    Listen to Alikiba on Digital Streaming:
    Audiomack: audiomack.com/...
    Apple Music: / alikiba
    Boomplay: www.boomplay.c...
    UA-cam: / alikibaofficial
    Spotify: open.spotify.c...
    Connect with Alikiba on Social Media:
    Instagram: / officialalikiba
    Facebook: / officialalikiba
    Twitter: / officialalikiba
    Snapchat: / officialalikiba
    TikTok: / officialalikiba
    Connect with Marioo on Social Media:
    Instagram: / marioo_tz
    Facebook: / thisismarioo
    Twitter: / kingbad_
    +For More Information Booking Alikiba:
    Contact:emailalikiba@gmail.com
    ©2023 Kings Music Records.All Rights Reserved.
    #Alikiba #Mnyama

КОМЕНТАРІ • 8 тис.

  • @PendoMagitha
    @PendoMagitha 7 місяців тому +16

    Nampenda sana mnyama

  • @mohamedshariff-s6x
    @mohamedshariff-s6x Рік тому +10

    nakubali KING UNYAM NI MWINGI Ssio leo toka zamani

  • @limymasele21
    @limymasele21 Рік тому +12

    Ila Mwijaku Bwana

  • @FatumaAlly-n9c
    @FatumaAlly-n9c Рік тому +4

    Jicho langu kwa mwijakuuuuu anavyohangaikaaaaa

  • @oscarkibona5873
    @oscarkibona5873 Рік тому +8

    Kwa hii nyimbo Kiba ametuheshimisha Bonge la ngoma

  • @emmanuelmuhando1052
    @emmanuelmuhando1052 Рік тому +20

    Wow huu wimbo umeni toa machozi kiba unajua Sana 💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽

  • @bishazaroug2785
    @bishazaroug2785 9 місяців тому +55

    I'm Sudanese..I love Tanzanian people and Simba Club ❤ and this Song...
    I'm a fan of Alhilal..Thanks Tanzania 🇹🇿 and people of Tanzania..Asante Sana 😊

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 7 місяців тому +2

      Thanks so much Welcome to Tanzania ❤🇹🇿

    • @bellenoe414
      @bellenoe414 4 місяці тому

    • @salamSalehhhhh
      @salamSalehhhhh 3 місяці тому

      We appreciate 🔥🔥🔥🔥❤️🇹🇿 welcome too

  • @FatmaAyubu
    @FatmaAyubu Рік тому +3

    Mm mnyama from kenya

  • @akatendaambrosio4579
    @akatendaambrosio4579 Рік тому +140

    Nahamia Simba kwazia Leo,mashabiki WA Simba naomba munipokee,🏃 king kiba respect for you 🇲🇿🇲🇿

  • @Nuru9568
    @Nuru9568 2 місяці тому +20

    Nani kajatena leo simba day kusikiliza goma letu❤ubaya ubwela

  • @FalesnestoryBilago
    @FalesnestoryBilago Рік тому +9

    Woooyooo big up saaana king kiba unasitailii upewee maua yako❤❤❤

  • @FaithaAli-cy5nr
    @FaithaAli-cy5nr 2 місяці тому +25

    Si tuiregeshe trending hii ngoma wana #simba #ubayaubwela

  • @einotisambeke3180
    @einotisambeke3180 Рік тому +48

    Mimi Yanga dam lakin kwa hili goma natoa saluuuuut kwa king kiba.. My favourate 😘

  • @makaroyakisasa7199
    @makaroyakisasa7199 Рік тому +20

    Kama kweli wewe ni shabiki wa SIMBA sema UNYAMA MWINGI ❤

  • @MichaelErasto-q9d
    @MichaelErasto-q9d Рік тому +36

    Kwa kweli wimbo huu nimeukubali japokuwa mimi sio shabiki wa simba @alikiba fundi sana

  • @innocentkilogha5959
    @innocentkilogha5959 9 місяців тому +5

    Hakika Unyama mwingi sana, huu wimbo wa taifa wa Simba

  • @yeyemkulu8743
    @yeyemkulu8743 Рік тому +13

    Mwana younga mimi ila mziki wa Mfalme sirahisi kupita bila kuusikiliza mara miya 🎉🎉❤❤❤❤🔥🔥🔥👑👑👑

  • @mickykiteu7446
    @mickykiteu7446 Рік тому +14

    Kesho huu wimbo uwe namba moja hakuna wakutuzuia kengeyoyote

  • @sakinasakina1286
    @sakinasakina1286 Рік тому +7

    100%❤❤❤❤❤❤❤ kiba wetu jmn safi sana

  • @SehnMayunga
    @SehnMayunga Рік тому +6

    Msim huu hatukamatiki watoto wa msimbazi

  • @eunicegerminus193
    @eunicegerminus193 Рік тому +18

    Mimi yanga ila nimekuja hapa kwaajili ya king of Africa kama unanisapoti tujuane. From Tanzania 🇹🇿

  • @rajimadope6465
    @rajimadope6465 Рік тому +14

    Mliosema mtakaa trending milele hapo ni wap😊

  • @boionemkenyaofficial8822
    @boionemkenyaofficial8822 Рік тому +13

    Jamanii kumekucha huku
    Kweli king 👑 ni King 👑 tu 💯✅ hata waseme nini huyu jamaa Bado mkali sana 💯👌 acha Mungu awatie nguvu Kwa kazi nzuri 💯
    Nice and good music 🎶💯 forever ♾️

  • @mfundiko
    @mfundiko Рік тому +2

    Furaha kwamashabiki wasimba tu....❤❤

  • @tosh8921
    @tosh8921 Рік тому +13

    Yani huu moto🔥🔥🔥hauzimwi😂😂🙌🙌🙌

  • @winfridasanyenge6510
    @winfridasanyenge6510 Рік тому +9

    Unyama mwingi.timu niipendayo na msanii nimpendae 🔥 🔥 🔥

  • @neemaarex1194
    @neemaarex1194 Рік тому +15

    Watoto wa Dar watoto wa Msimbazi dah!! ngoma kali mnoo from kwa Wahaya Bukoba.

  • @selemanibalezi6182
    @selemanibalezi6182 11 місяців тому +6

    Simba hashikikikikiiii🤣🤣🤣 gonga tano 🤜 kama una juwa iyo simba yaki mataifa. Ayaaaa twende mbele. SELEMANI.B from CONGO DRC

  • @BobbyBrown-hr2bk
    @BobbyBrown-hr2bk Рік тому +33

    Love from Nigeria 🇳🇬

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 Рік тому +12

    Sasa king kiba wimbo bora wa mwaka Aise tushindwe sisi tu kila kitu tuko vizuri ❤❤❤❤ kwa Wimbo mtamu

  • @AllyMasoudi
    @AllyMasoudi Рік тому +11

    Hongera sana wajina wangu Ally karibibu sana u nyamani ngoma kali tutakutana kwa mkapa tukiimba pamoja na kucheza

  • @patimayoelias
    @patimayoelias Рік тому +2

    Sio leo tangu zamani 🎶🎶🎶🎶

  • @maherzain2555
    @maherzain2555 Рік тому +11

    Piga hela mfalme, viongozi wa yanga walikutenga wapuuzi wale 😢, mwenye nakuja taifa kucheza hii nyimbo

  • @rakiamohamed645
    @rakiamohamed645 Рік тому +10

    Nilikuwa nashangaa siku zakaribuni mwijaku na ali kiba zinaiva sana kumbe walikuwa na jambo lao nguvu moja💪

  • @pauljuma4384
    @pauljuma4384 Рік тому +13

    Mnyamaaaa......
    Bonge la nyimbo salute kwa king kiba nakubali sana unacho kifanya, #Onelove #Nguvumoja. 🦁🇹🇿🙋

  • @JoharKhalfan-u1h
    @JoharKhalfan-u1h Рік тому +3

    Nan kamuon mwijaku😂😂😂 love simba ❤❤❤

  • @juliethmarealle91
    @juliethmarealle91 Рік тому +63

    Kati ya nyimbo moja kali sana ya timu iliwahi kutunga .kazi kwetu mashabiki kuimba kwa pamoja lupaso..❤❤❤

  • @alterboyafrica
    @alterboyafrica Рік тому +34

    Jamani watanzania wanavyozipigia timu za kwao upato Hadi napata kushishabikia tu bila kujua wachezaji.Mimi shabiki wa simba tayari😂gonga like kama unaikubali simba💪

  • @globaltv_online
    @globaltv_online Рік тому +1029

    Alikiba MNYAMA..ngoma kweli ni unyama..KING you kill it

    • @albertkatuga2434
      @albertkatuga2434 Рік тому +21

      Tuache utani yanga walitufunika kwa ngoma ya marioo ila kwa hili goma weeeee tumewafunika wao sasa

    • @Amosmsechu
      @Amosmsechu Рік тому +9

      Unyama ni mwingi

    • @josephfuni756
      @josephfuni756 Рік тому +10

      @@albertkatuga2434 kweli kabisa,ilahuu utadumu kwakua haujataja majina ya watu kwakua watu wakati wowote wanahama,ona leo mayele hayupo sasa huo wimbo utakua na maana

    • @aminihamisi3551
      @aminihamisi3551 Рік тому +8

      @@josephfuni756 uko sahihi ndiyo maana Kiba alisema mtakuja kunishukuru na kunikumbuka hata ikiwa nitaondoka kwa kufariki huu wimbo utabaki milele ni simba anthem

    • @daktar_kapaku_natural529
      @daktar_kapaku_natural529 Рік тому +6

      Unyama mwingi

  • @ibrahimmtinangi8443
    @ibrahimmtinangi8443 Рік тому +2

    Nyimbo ni ya motooo sana

  • @teacherd
    @teacherd Рік тому +10

    I can't wait uwanja utavyokuwa unaitikia MNYAMA MNYAMA MNYAMA MNYAMA MNYAMA MNYAMA MNYAMA 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AthumaniMohamedi-bg9ij
    @AthumaniMohamedi-bg9ij Рік тому +46

    Huu wimbo wetu wanamsimbazi wa muda woteeee.....big up brother king kiba umewaza mbali sana kutomtaja mtu yeyote maana watu huja na kupita ila simba ipo milele

  • @maishaubishi7349
    @maishaubishi7349 Рік тому +31

    Yaani nimeurudia kuusikiliza na kuutazama wimbo huu Mara ya ishirini leo...KING KIBA umetuheshimisha mjn aisee💪💪❤️❤️❤️

    • @felisterwilson9259
      @felisterwilson9259 Рік тому

      Yaani we acha tu, mi ndo nimeirudia hata sielewi mara ngapi😃🥰

  • @RahamaUbaya
    @RahamaUbaya 8 місяців тому +3

    Unyama ni mwingi sanaa hutopolo hawajasema bado yaan mpak waseme ❤❤❤❤😂🎉🎉🎉🎉simbaaa nguvu Moja

  • @DrNangwaIP_international
    @DrNangwaIP_international Рік тому +29

    Karibu sana mfalme KIBA ndani ya Msimbazi!!!!! Ulichelewa sana!!! Chapa kaziiii SIMBA NGUVU MOJA!

  • @philippemukandama2960
    @philippemukandama2960 Рік тому +30

    King Kiba tunakubali sana kazi zako mjini ottawa.
    We love you so much brother.

  • @Pppppppp5161
    @Pppppppp5161 Рік тому +11

    Simba yangu milele moyoni mwangu kiba umeupiga mwingi🙏🙏🙏 SIMBA

  • @hancepopessau2527
    @hancepopessau2527 Рік тому +2

    Unyama ni mwingi sana simba nguvu moja

  • @VareliDimoso
    @VareliDimoso Рік тому +10

    Hii ngoma kali sana inatufanya Wana Simba tuinjoy sanaaaaaaasaaaa

  • @lourykibudu
    @lourykibudu Рік тому +11

    Hii nyimbo dahhh kiba imewauma sana kukupoteza ❤❤❤

  • @SwahiliAmbasador954
    @SwahiliAmbasador954 Рік тому +28

    Imepenya hiyoooo
    Hii nyimbo itaishi milele kwa watu wa simba 🎂🎉❤️🔥

  • @SteveTegemea-fj6de
    @SteveTegemea-fj6de Рік тому +2

    Umeuaaaaa......Imeenda Iyo...

  • @matondopaul2942
    @matondopaul2942 Рік тому +13

    Jaman naomben like 100 kuniunga mkono kumpongeza King kwa huu Wimbo wa Taifa wa simbaaa🔥🔥

  • @bernaberna4159
    @bernaberna4159 Рік тому +18

    Kama tumefurah pamoja kwenye unyamaa huu wa kingkiba tujuane hapaa👌🔥🔥🔥🦁🦁🦁🦁

  • @josephaugustine3643
    @josephaugustine3643 Рік тому +64

    Daaaaah kidogo nidownload huu wimbo kwa utamu huu nikakumbuka mm Yanga nkaamua yaishe big watani kwa anthem kali Mungu awabariki wote Simba moja, Young Africans 💚 na timu zngne 🙏🙏

  • @DanielBarack-tn7ep
    @DanielBarack-tn7ep 9 місяців тому +2

    Unyamaaaaaaa

  • @joycemakori3835
    @joycemakori3835 Рік тому +8

    Wimbo mzuri sana ungeufanya uwe mrefu kidogo

  • @lowasameliyo4027
    @lowasameliyo4027 Рік тому +154

    Waoooo hiii kalii na ndio wimbo umevunja record UA-cam kwa kuangaliwa na watu wengi kwa mda mfupi jmni naipenda Simba kwanzia SAs nahamia mnyama mnipokeee, naomben likes zangu

  • @samuelsamuel9665
    @samuelsamuel9665 Рік тому +8

    huu wimbo ni mtamu Santa sana Mungu amubariki Kiba

  • @Mahenzocute
    @Mahenzocute 7 місяців тому +2

    Kali sana nakubali kaka kiba

  • @jasmaekasayari1856
    @jasmaekasayari1856 Рік тому +20

    All the way from Kenya,,, I salute this bang,,, mnyama lina unyama mwingi mno❤❤

  • @petermalusu-gp1te
    @petermalusu-gp1te Рік тому +37

    Najua king up yanga ila yanga hawa kupi heshima yako me nimekubali kwa ulicho kifanya japo kua nime umia moyo ww kwenda kwa makolo ila nimeipenda kazi yako pamoja san anko king 👑 goma la 💥💥💥💥

    • @rashidgogo5558
      @rashidgogo5558 Рік тому +3

      Uto nenda vidudu Ili myaka10 ijayo ucheze super ligi uto nenda vidudu uto

  • @AmirHk-mh1xc
    @AmirHk-mh1xc Рік тому +55

    Huu wimbo unaenda kumpa Alli Kiba mashabiki wengi wapya, mimi nikiwa mmoja wao. Bonge moja la ngoma. salute salute Kiba

  • @EmmanuelKazembe-vq3ni
    @EmmanuelKazembe-vq3ni Рік тому +7

    Unyama Mwingi Simba Nguvu 1

  • @maujanjatv9196
    @maujanjatv9196 Рік тому +53

    Haijawahi kutokea timu Tanzania ikatungiwa Ngoma kali kama hii🙌🙌🙌
    Kama unakubariii gonga like💪💪💪

  • @PaulMaina-sy6fn
    @PaulMaina-sy6fn Рік тому +27

    Aaah wee, unajua simba(mnyama)
    Si huyo wa picha(mnyama)...the goosebumps modi alipata after hizo maneno😂😂😂
    King Kiba twakumbali🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @lionizerofficial8619
    @lionizerofficial8619 Рік тому +13

    King KIBA 👑. Huku ni mahali pako wewe umechelewa tu kuja, sio siri brother. Umekamilisha furaha yangu kwa kuwa SIMBA 💪💪💪🦁🏆

  • @DamianKamage-rg7cc
    @DamianKamage-rg7cc Рік тому +1

    siyo leo toka zamani mnyamaaaa

  • @maftahmwinyi7781
    @maftahmwinyi7781 Рік тому +12

    Tuliorudia NGOMA hii mara mbili tujuane hapa 🔥🔥
    Melody 100% ✅
    Matusi 0%
    N.b unaweza kuimba bila ya kupaisha boss na NGOMA ikawa kali TU

  • @ahabuntimba5114
    @ahabuntimba5114 Рік тому +15

    Kuna alikiba na Rayvanny. My favorite artists in beautiful land of my country tz 🇹🇿. Nyimbo zenu hazijawahi nikifu Kuzisikiliza. Coz tungo zenu nizaleo , kesho na Hata milele.

  • @DONALDMTOWE-u9g
    @DONALDMTOWE-u9g Рік тому +37

    Jamani kila simba ikicheza mashabiki tuimbe kwa nguvu uwanja mzima kuleta hamasa Wimbo mzuri unaimbika,is the song who show what Simba is great club in the world,, if you baliver or not.

  • @KevinOnchwari
    @KevinOnchwari Рік тому +5

    Kama Alikiba ni fan wa Simba pia Mimi ni fan. Nice Anthem

  • @mwajumaabdallah3254
    @mwajumaabdallah3254 Рік тому +16

    Mwaka wetu huu,labda Mungu asipende tu,yaaani unyama ni mwingi sana aisee❤❤

  • @elikanateonest3126
    @elikanateonest3126 Рік тому +17

    Huu ni wimbo wa karne!
    Wana simba wanapaswa kutembea kifua mbele kwa wimbo huu❤❤❤❤❤❤❤

  • @passoussenepasso5808
    @passoussenepasso5808 9 місяців тому +8

    Sou Moçambicano e não percebo Suahily, mas gosto e amo musicas e talento do magnífico Alikiba, se eu fosse musico diria que ele é o meu ídolo. Força

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 2 місяці тому +4

    Hiii nyimbo niyadunia aise

  • @BacaryMusheikh
    @BacaryMusheikh Рік тому +42

    Nilikuwa mshabiki wa yule mtoboa pua anaye jiita Simba kumbe uto rasimini sasa mimi ni mshabiki wa king kiba na king music kwa ujumla umenitendea haki kwenye chama langu na pia sio mtu wa sikendo. Allah akujahalieni kheir kwenye maisha yako ya music na maisha yako nje ya music. Hakika ngoma kali na itaishi kwenye vichwa vya wana Simba. Una baya 🦁🦁🦁💪 KING KING KING KIBAAAAA.....!!!!!.

  • @tierrahtanya4396
    @tierrahtanya4396 Рік тому +32

    It's how Mwijaku is dancing for me 😂...nimeikubali ngoma🔥

    • @issaathumani7610
      @issaathumani7610 Рік тому +2

      Mwijaku hana maana!! Na yeye kafanya unyama umemuona kumbe!?

    • @simonmachupa6767
      @simonmachupa6767 Рік тому

      Nilikua naona chawa nimemuona pekeangu

  • @dondrizzotv4456
    @dondrizzotv4456 Рік тому +40

    Huu wimbo ndo umefanya ticket siishe mapema 💯,hilo performance lake lupaso utakua unyama sana #KING

  • @MariusKupelelwa-n8u
    @MariusKupelelwa-n8u Рік тому +7

    Pamoja sana mkuu kila la heri ❤❤❤❤❤❤❤❤❤!!!!!🎉!

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 Рік тому +23

    Sijawahi kuwa shabiki wa Ali japo sikuwahi kuwa na shaka na kipaji na uwezo wake ktk uimbaji. Amethibitisha tena kwenye hii na ameitendea haki haswaa brand ya Simba anthem ni kali sana. Simba nguvu moja 💪💪💪

  • @msagatijackson
    @msagatijackson Рік тому +26

    No one on trending unyama ni mwingi sana kama nawe ulisubili kuiona iko number moja on trending gonga like kuonyesha unyama wako 🦁🦁🦁👑👑👑

  • @jumajuma7995
    @jumajuma7995 Рік тому +43

    Kama tunawezaaa kujazaa uwanjaa kwa siku 3 tunashindwa nn kuifanyaa hii ngoma kufikishaa views elf 60 mpakaa jpilii wanachanama na mashabikii wa mnyamaaa tuanzee kuifanyaa kuwa ya ajabuu tokaà leoo mnyaamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaamaaaa hakamatikiiiiiiiiiii ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉❤❤❤❤🚘🚘🚘🚘📢📢📢📢📢📢📢📢📢📢📢

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA Рік тому +3

    Mi sio shabiki wa soka ila huu wimbo ni mzuri safi sana alikiba

  • @neemaarex1194
    @neemaarex1194 Рік тому +11

    Hongera Kingkiba karibu unyamani mwaka huu hatuachi kitu WANASIMBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA Hatujamaliza Bado Mzungu nguvumoja.

  • @سالماحمد-خ2ج
    @سالماحمد-خ2ج Рік тому +10

    Design ya nyimbo kama za ma World Cup, nice song Ali bin Kiba 👏🏻

    • @faidamisalaba5759
      @faidamisalaba5759 Рік тому +1

      Uyu jamaa anajua sana basi tu anatumelody tuzuri sana nimempenda bure aisee

  • @abravivan643
    @abravivan643 Рік тому +26

    Huu wimbo unafaa kabisa kuwa ndio mahususi kwa klabu ya simba 🔥🔥

  • @JamesLameck-m1m
    @JamesLameck-m1m 11 місяців тому +2

    Mtt la kigoma naiku bali
    Kinoma ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @paulmohamed649
    @paulmohamed649 Рік тому +15

    Tafadhar naomba sana Huu wimbo uwe SIMBA DAY ANTHEM🙏🙏🙏

  • @VanydeeClassic-mz5zz
    @VanydeeClassic-mz5zz Рік тому +8

    wanaSimba tupo tunafanya yetu ili nyimbo iwe nafasi wa 1 on trending soon tu apa

  • @jonsonmuluta8053
    @jonsonmuluta8053 Рік тому +98

    Wimbo mkali sana,inaimbika,inachezeka,inavutia na nibora na inashikika kwa wepesi...kutoka kwa mwimbaji bora zaidi....nipe like kama ww ni mnyama🎉🎉🎉🎉🎉🎉#nguvumoja#kingkiba#cmba day.

    • @piusvictor8780
      @piusvictor8780 10 місяців тому

      ❤❤❤❤❤❤❤♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️😭💯💯💯💯💯🦁🦁🦁🦁🦁💌💌💪👏👏👏💪🫶🫶🫶🫶🫶❤❤❤🤳🫅😍😍😍 Simba pamoja
      Ngufumoja 🦁🦁🦁🦁🦁❤❤❤

  • @GidionSylivester
    @GidionSylivester Рік тому +2

    Mfalme Kiba mfalme 🦁🦁🦁 unyama mwing

  • @RubenJames-jk6se
    @RubenJames-jk6se Рік тому +11

    Ukwel nyimbo ni Kari Sana, unyama mwingi ,King pokea maua Yako umetutendea haki Wana Simba.

  • @ClementMakenzi-sf3vn
    @ClementMakenzi-sf3vn Рік тому +379

    Alikiba ni artist mwenye IQ kubwa sana mwimbo Haujataja majina ya wachezaji, viongozi wala mtu yeyote kalijua Hilo maana mtu ataondoka lakini Simba itaendelea kuwepo. SIMBA NGUVU MOJA🦁🦁🦁🏆

  • @Officalnaph
    @Officalnaph Рік тому +7

    woyoooooooooooooooooooo hiiii ndio ngoma inayoenda TREND number 1 mpaka kesho saa moja usiku. tunamtoa kizuchu pale

  • @arvinarvic227
    @arvinarvic227 Рік тому +3

    Kweli mnyama

  • @ramadhaanmathey5065
    @ramadhaanmathey5065 Рік тому +33

    KING 👑 KIBAAAA ❤❤❤Nimefurahi Msanii Wangu Pendwa Anai Support Team Yangu Pendwa 🎉🎉😊

  • @ABELVILTV
    @ABELVILTV Рік тому +77

    Nimependa sanaaaa mwishoni This is Simba sisi ndio mabingwa wa Africa nzima❤... Kwa matumiz ya baadae hii

  • @agnessfabian8092
    @agnessfabian8092 Рік тому +79

    Nyimbo bora ya club africa mashariki na kati
    Nyimbo quality
    Nyimbo inavibe
    Nyimbo ina imbika na watu wa rika zote
    Nyimbo inafaa kwa ringtone mpk alarm
    Hongera #Alikiba

  • @aishamavura8139
    @aishamavura8139 Рік тому +2

    Bonge la ngoma