Wakati wote tunakila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kuwa yeye anatujua kuliko sisi tujijuavyo wakati huu tumekuja si kuelza shida zetu bali kukusifu na kukushukuru
Huu wimbo unanipaga nguvu saana nikiona nimefika mwisho wa akili zangu nasikiliza huu wimbo unafanya nimsifu Mungu Wakati wa shida zangu ninavuka kwa ushindi
Mungu awabarikii sana kwa nyimbo hii navukaa viwango sio kila wakati kulia na shida zangu bali kuziacha na kuanza kumshukuru Mungu na nimeona milango ilifungukaa
Bwana wewe wajua ninayoyapitia wanijua mimi kuliko nijijuavyo nimekuja mbele zako si kueleza shida zangu bali kukusifu na kukushukuru" A HEALING AND POWERFULL MESSAGE.
Wakati wote tunakila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kuwa yeye anatujua kuliko sisi tujijuavyo wakati huu tumekuja si kuelza shida zetu bali kukusifu na kukushukuru
❤kweli si kila wakati ni kujieleza tu wakati mwingine tumshukuru TU kwa kila jambo
Nyimbo hii naipenda sana kila kuitwapo leo
Yes Good song utukufu kwa Bwana
Huu wimbo unanipaga nguvu saana nikiona nimefika mwisho wa akili zangu nasikiliza huu wimbo unafanya nimsifu Mungu Wakati wa shida zangu ninavuka kwa ushindi
Tunamtukuza Mungu
MUNGU ni mwema wimbo wenye funzo kubwa na ujumbe mzito ndani yake haleluyah❤❤❤❤❤❤
Mungu awabarikii sana kwa nyimbo hii navukaa viwango sio kila wakati kulia na shida zangu bali kuziacha na kuanza kumshukuru Mungu na nimeona milango ilifungukaa
God bless you keep praying for us🙌🙌
Nmekuja mbele zako si kueleza shda zangu bali kukusifu na kushukuru
May God uplift these ministry, mwanikuza moyo wangu kila niwatamavyo
Ubarikiwe sana
waliotazama more than once like here....
Ubarikiwe sana
Ni kweli Mungu wewe wajua ninayoyapitia kwako hakuna siri hata moja. Mungu awabariki sana.
Ubarikiwe sana
Bwana wanijua kuliko nijuavyo haleluya
Kazi nzuri Mgamale na Bwagamoyo to Jesus team @bwagamoyotojesus3026 May God bless you exceedingly. cc Gwamaka
BWANA wajua changamoto ninazozipitia, najua utanivusha!
Ubarikiwe kwa kukiri ushindi
Hii nyimbo inanibarik sana ninapo his kukata tamaa hongera sana kaka joshua
Ubarikiwe sana
Ohoooooooooooooooooo Chuma yetu hii hapa Sasa .
Safi sana…. BONGE LA WIMBO
Bwana ndiye anatujua zaidi ya tujijuavyo 🥹its blessing song 🥰😇
Waoooh nimebarikiwa sanaa sanaaa barikiwa sanaaaaaa
Proud of Bwagamoyo to Jesus....proud of you Man of God since day one
Thanks ndugu yangu
Nimebarikiwa sana 🙏🏽alafu nimejiona pia 😂🙏🏽
Ni kweli kwa maana ajua tunayohitaji kabla hatujaomba🙏🙏🙏🙏, Glory to GOD.
Hakika Mungu ametukuzwa
Huu wimbo umenibariki sana..niliuona Upendo TV. Mungu awabarki sana
Ubarikiwe sana
Gwamaka to Jesus 💯
Bwana wewe wajua ninayoyapitia wanijua mimi kuliko nijijuavyo nimekuja mbele zako si kueleza shida zangu bali kukusifu na kukushukuru" A HEALING AND POWERFULL MESSAGE.
I'm so proud of you my team ❤️
Ubarikiwe ndugu
Kaka Joshua barikiwa sana Mungu awabariki sana sana
Ngoja ipo fresh sana .... Mungu awabariki kwa ujumbe mzur
Good song ❤❤❤❤ naupenda sana huu wimbo
Amina🙌Wimbo umenibariki sana, Barikiwa mtumishi wa Mungu 🙌🙏
Bwana pokea sifa hizi... ❤
Ameen nabarikiwa Sana na team hii ya bagamoyo
Mbarikiwe sn imenibariki hii nyimboo
Nyimbo ipo🔥🔥🫡 ngoma zimenogesha saaaaana😄 mpiga ngoma anitafute😆
Mbarikiwe sana ,huu wimbo unanipa nguvu tena
Ubarikiwe sana
waooooo kazi nzuri sana mmbarikiwe mnooo❤❤❤
Mbarikiwe Sana,Mungu awainue viwango vya juu zaidi
Amen
M,balikwe, na awatie nguvu sn kwenye hiyo uduma
Hakika Bwana anajua yote ninayopitia. ❤
Mungu mwema sana kuna saa ya shukurani mbele za Mungu
Amina. Huu wimbo unatukumbusha kushukulu ,barikiwa sana kaka joshua
Utukufu Kwa Bwana. Be blessed in Jesus Name.
❤ wimbo mzuri sana yaani
Kazi nzuri sana nimebarikiwa sana👏👏
Glory to GOD, wimbo umejaa sifa za kweli mbele za MUNGU.
Kaka Joshua hongereni kwa kazi nzuri Mungu azidi kuwainua kwa viwango vya juu
Mungu azidi kuwainua, wimbo unabariki sana.
The drummer ❤
Amina mungu ni mwema
Hallelujah.!Wimbo wangu pendwa ❤Glory to God
Mbarikiwe sana team ya Bwagamoyo to Jesus
Mungu awabaliki sana nafurahii kwa hatua mzr sana
Nyimbo hii imebadilisha sehemu ya maisha yangu na kuongeza imani yangu 😭😭😭😭
Tunamtukuza Mungu kwa ajili ya hilo ,ubarikiwe sana
The lyrics for me🙌🙌🙌😭
Thanks
Mungu awainue Sana Sana
Jina la Mungu litukuzwe mnooo
Nice song
Be blessed bwagamoyo may the mighty lord bless you abundantly
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉waooo🎉🎉
Wimbo mtamu sanaaaaaa
The mask the guy🙌
Powerful message...Utukufu kwa Mungu
Amen, amen. Mungu Ni mwema
PETER, nimekutafuta sikuoni bro
Mungu awatie nguvu na ujasir
Amen amen hakika nimebarikiwa sana
Mungu n mwema 🙏🙏
Bwagaaamoyoooo🎉🎉🎉🎉🎉to jesus
Utukufu kwa YESU
🔥🔥🔥
Huu wimbo🙌🙌🙌🙌🙌😭
God bless you my Bagamoyo family! YESU AMETUKUZWA🙌🙌🙌
Mungu akubariki kaka Joshua na timu yako,hakika Mnatubariki sana
hakika❤❤
🔥🔥🔥🔥
Mbarikiwe. @ Gwamaka bless u
🔥🔥🔥 Zaburi 19:14 🔥🔥🔥
Mungu awabariki kwa huduma yenu
The song of the year
Wow wow wow. Nzuri sana hii
Bwagamoyo to Jesus.
No matter what.. but I praise you and thank you 🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌
Mmetisha sana barikiweni sana
Amenii Amen watumishi
This song is the best since day one ... Full of really revelation of praising God
Ubarikiwe sana
Ameen Ameen nabarikiwa Sana
Hakika funzo sana
Waooo.. Powerful.. Anointed.. Song.. Glory to God..
Mungu ni mwema
Imekuwa baraka sana
i Love you Bwagamoyo to Jesus❤❤❤God bless for this powerful song ❤🤝🙌
hongelen sana
nyimbo nzuli
Mbarikiwe sana❤❤❤
Good song. Ubarikiwe
Amina🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
It's a powerful song
God bless you and your team
nabarikiwa sanaaa
🙌🙌 GOD IS GOOD..!!!
Powerful, Glory to Jesus