Mtajitetea sana Tigo, lakini Brand yenu ya Tigo ndiyo imechafuka .....wakati mnanua Kampuni mlizinunua na liabilities ikiwemo Brand ambayo kwa sasa inachafuka ....na bado tutaona mengi
Wakati umefika kwa Kampuni zinazotoa faragha za watu kuziwekea vikwazo sisi wenyewe wananchi ambao ni watumiaji, kwa umoja wetu tukaamua kuzitupa line zao kabisa ....na kuachana na Kampuni inayojihusisha na mambo ya Kigaidi.
HAWAHUSIKI VIPI, KWA WENZETU WALIOENDELEA KILA KITU NI WAZI, NI SUALA LA MUDA. ROSTAM UTACHANGANYIKIWA SANA. UINGEREZA NA ULAYA SIYO TANZANIA, MBONA MILLICOM ILISHAKUBALI KUHUSIKA NA UTOAJI WA TAARIFA ZA LISSI? MUDA UTATUAMBIA
Mtandao wa magumashi... Mwana FA na AY walilipwaga pesa zao nyingi tu.. Zaidi ya billioni ya ki Tanzania.. Sasa kwa lissu kweli! Na kesi inaendelea na aliyewachoma ni aliyekuwa mfanyakazi wao wenyewe!
@@ajiaally3269 Kwani yeye ni nano?Walikuwepo walio tisha zaidi yake,cha ajabu hata makaburi na historian zao hazipo,lenyemwanzo linamwisho.Kumbuka bora kuwa mchumia tumbo kwa kuisema ukweli.Upuuzi mtupu,jitafakari na ubadilike kwani wa Tanzania waleo si wa miaka milioni iliyopita.
Tz haiongozwi kwa sheria Weza ilaumu tgo Lkn km serkali ndio ilitaka izo taarifa Wangefanyj Tulia alitamka waz wanaomsema rais au yy akisema nyooka nae Hiyo kauli ilikua na uzto Lkn hakuilzwa na yyt et yy yuko juu ya sheria
@@charlesseba2000ndio hapo sasa,na kama lissu alikuwa na makosa wangemkamata na kumfikisha mahakamani na siyo kumpiga Lisasi, Leo magu Yuko wapi ,Dunia ni hapa mwamuzi ni MUNGU pekee
Hawajakana taarifa za kuvujisha data na siri za wateja wao. Wamekana tu kuwa wao Honora hawakuwa wamiliki wa kampuni ya TIGO wakati huo. Cha ajabu ni kuwa TIGO wapo na wanaendelea kufanya kazi hii hii ya kutoa biashara ya mawasiliano ya simu kwa jina hilohilo la TIGO tangu wakati huo. Honestly, haieleweki wanakana nini hasa!!
Eh! Mimi mpaka kesho sijaona mtandao au mtu aliye jiaminisha kwa wateja wake kama Mello wa Jamii forum alipo takiwa kuwa dhihirisha wateja wake wakati wa Mhesh. Magufuli jamaa aligoma kata kata pamoja na kutishwa na kushikiliwa na polisi sasa hawa kina Tigo kama ndio hiv,i dah! haya tusubiri tuone.
Halafu Hadi Leo Ile kesi iliisha hivo hivo tu,magu alikuwaga muuaji yule mwanaharamu, huwezi jiita mzalendo huku unatoa roho za watu wengine kisa hutaki kukosolewa
Tigo namba za siri zetu tukiweka tumeweka nimeona mtu yeyote akitaka kubadilisha mnampa 0000 ili abadilishe hio tunaweza kuibiwa na Yeyote akabadili hata sio mhusika Tgo pesa
Kama wapanga ugaidi wanatumia mitandao ya nini hawajulikana na taarifa zao za upangaji hunaswa wakipanga,yote sawa kama ni kweli walipanga hayo Tigo weka ukweli maana watz wanataka kujuwa hao wasiojulikana,kama ni yy mwenyewe Lisu na timu yake au wahusika wowote wahukumie .
Kwa Tanzania hii hakuna mawasiliano yaliyo salama na sio tu Tanzania bali ni karibu Africa nzima, na TUNDU LISU imejulikana Kwa sababu yeye ni mtu maarufu lkn sisi ambao hatuna umaarufu wowote 😂😂😂😂😂😂
TIGO HAPO HAIWEZI KUKWEPA KITU. NI SAWA NA MTU ANUNUE BANK AF WATEJA WALOFUNGUA ACCOUNT KABLA YEYE HAJANUNUA ASEME HAWATAMBUI NA SIO WATEJA WAKE. AU MFANO MWIGINE NI SAWA ETI USEME SERIKALI IMEKOPA PESA AWAMU LABDA YA 5, ET AWAMU 6 ISEME HAIYAJUI NA HAITALIPA HAYO MADENI. 😂😂😂😂😂
Yaani mtu kakuibia yy alaf umwmbie achungzw wez ninan Hilo tukio lilifanyka kwny makaz ya viongoz waserkali yanayolindwa na polisi Iv inahitaj hata elimu ya darasa lakwnza kujua mhusika ninan? Alaf umeambiwa kiongoz alikua makonda Wkt huo alikua mkuu wa mkoa dar
Acheni kuona taarifa zawehu kesi Ina ongozwa na wazingu naye mzungu kama siyo kibaraka ninini awe more hata mbinguni upumbavu huo hauvumiliki kwanza jua huko Hakuna vyama vingi na ndiyo maana shetani katolewa wote wanaoshadadia ni mashetani hao wazingu ni mabwana zenu au ndinyie hakili hamna Hadi leo watu wamewaua wazee wetu unacheka nao nn acheni upumbavu mjitambue hamtoacha kufananishwa na nyani kwaubwege wenu huo
Km kweli mimi na wewe wala hawawezi kunishughulisha wao wana dill na wakubwa na wale wanao hatarisha usalama wa nchi ila mm na wewe ugali sukari wala hawasumbuki, hv km lissu kwa nn wasidili naye maneno yk tu yana vunja amani ya nchi yy anasema atadili na ndege zikituwa tu anazikamata huone km ana kamata jasho la wallpaper modi yy mmoja tu nchi iwe na vueugu anataka nn ktk Tanzania hii, Tigo wao wana dili na mtu km hyu,
Km kweli mimi na wewe wala hawawezi kunishughulisha wao wana dill na wakubwa na wale wanao hatarisha usalama wa nchi ila mm na wewe ugali sukari wala hawasumbuki, hv km lissu kwa nn wasidili naye maneno yk tu yana vunja amani ya nchi yy anasema atadili na ndege zikituwa tu anazikamata huone km ana kamata jasho la wallpaper modi yy mmoja tu nchi iwe na vurugu anataka nn ktk Tanzania hii, Tigo wao wana dili na mtu km hyu,
Watanzania machoko kweli ss mlishindwa nn kumsaidia kipindi cha maandano juzi .halafu hta akili hmna makonda ni mmoja bali ccm ni wengi magu kafa anayemshitaki ni nani acheni ujinga kwenye maandamani wapo wachache tu ila kwenye kukoment mpo wengi 😢😢
Nasema acheni kukomet ujinga tuiombee nchi yetu .hkuna maana Raisi ni samia mambo ya makonda na lisu hyana ushaidi .kama kweli ww unajidai mkeleketwa tungekuona kwenye maandamano
Tigo ndio inayo toa taarifa adi watu wanatekwa na kuuwawa tooooh atar kwel kwel
Kumbe uu mutandao siyo muzuli unavujisha siri zawateja kwanzie reo mimi nauama kabisa
Yaani hizi taarifa za tigo kuhusika ilibidi watoe polisi
Ila Tundulisu kawapita intelligentsia
😅😅😅
TIGO kumbe usarama mdogoo😮😮😮!!!!!!
Tena mimi tigo nawapenda sana kwa horo basi
Kumbe mnavujisha Siri zetu
Mbona sisi tunawaamini Sana
Mbona walishalalamikiwa kitambo tu hawa majamaa!! Hata wengine pia nadhani hivyohivyo... Labda afadhali TTCL
TTCL tena? we mbona ndo kma huelewi kabisa...haha bora tgo kma ndo ivo@@saltechnologiesco.ltd.2377
@@saltechnologiesco.ltd.2377T T cl SI ndio mtandao ubia na ccm
Haya makampuni ndo maana hayana huruma wanakata tu hela za wananchi
WATATAPIKA NYONGO, LISSU NI NAMBA NYINGINE
Acha kabisa , mwamba namkubali kweli, watajulikana hata waliotumwa, wapelelezi wapo kazini
WAMEANZA KUJICHANGANYA,PUMBAVU SANA TIGO WAUWAJI MBWA MLAANIWE
Lisu anajaribu sana kuvunja amani ya nchi
Kumeanza kuchangamka huko, na kitaumana haswaaaaaaa
Hata hao waliotekwa, ifuatiliwe, kama walikuwa na Laini za Tigo, huenda wamo pia
Wameshajua wamefanya uhuni alafu wakauza kampuni
Soon watajulikana wasiojulikana.. tuombe wasije kugeukana wenyewe.. si ajabu wataanza kutekana wenyewe..
TIGO mnazidi kuyakanyaga, mimi nataka mulimwe faini ambayo itaiwezesha kampuni ifilisike, mnaijua thamani ya LISSU nyinyi? Shenz tight
Yaan Acha tu ,hiyo kampuni ipo ubia na rostam azizi na nimwanaccm ,lissu hawezi kuongea kitu bila evidence,
Tigo na mlio husika ote Mwenyezi Mungu na awalaaani na mlaaaaniwe
mambo ya wamiliki hatujui..cc tunajua ni TIGO
Hongera muhimiwa ndulisu
Alihisemea Ruge,ogopa Mungu na technologia
Mtajitetea sana Tigo, lakini Brand yenu ya Tigo ndiyo imechafuka .....wakati mnanua Kampuni mlizinunua na liabilities ikiwemo Brand ambayo kwa sasa inachafuka ....na bado tutaona mengi
Hakuna hizo, tumejua. Limesemwaje kama si kweli.
Hapa ndio na wengine watapona maana makumpuni ya mawasiliano watajifunsa hapa
Wakati umefika kwa Kampuni zinazotoa faragha za watu kuziwekea vikwazo sisi wenyewe wananchi ambao ni watumiaji, kwa umoja wetu tukaamua kuzitupa line zao kabisa ....na kuachana na Kampuni inayojihusisha na mambo ya Kigaidi.
Watanyoosha tu maelezo na bado
Tigo sio
Pumbavu sana Tigo, wekeni press na other media mji teteee wauwaji wakubwa na tunawahama
Kumbe tigo ndio wasiojulikana
HAWAHUSIKI VIPI, KWA WENZETU WALIOENDELEA KILA KITU NI WAZI, NI SUALA LA MUDA. ROSTAM UTACHANGANYIKIWA SANA. UINGEREZA NA ULAYA SIYO TANZANIA, MBONA MILLICOM ILISHAKUBALI KUHUSIKA NA UTOAJI WA TAARIFA ZA LISSI? MUDA UTATUAMBIA
Hata mimi niltaka nishangae wife kajuaje kua npo gest flan na kimcheuko kumbe yawezekana tigo walimtonya daahh😢😢
😂😂😂😂
Lisu ni zaidi ya Simba anapoamua kuunguruma🙏🙏🙏
Yaani, Wana chadema wote nchini, tunavunja line zote za tigo, na kususia bidhaa zake zote
Sisi tushajua tigo wanatoa faragha za watu bila utaratibu maalum Alafu tumemsikia lisu na tigo hatujasikia mahakama
Tunawahamaaa na hii Tigoo ifungweee
Ni usalama wa hali yajuu usihame kaka
Ukweli utajulikana tu.
Doh Tigo
Oohooo kumakucha
Tigo wanaonga kwa wizi mtandaoni
Mtandao wa magumashi... Mwana FA na AY walilipwaga pesa zao nyingi tu.. Zaidi ya billioni ya ki Tanzania.. Sasa kwa lissu kweli! Na kesi inaendelea na aliyewachoma ni aliyekuwa mfanyakazi wao wenyewe!
Tigo wauaji mlaaniwe pumbavu
Awo waliopotea akina soka na wenzie walitumia mtandao Gani? Tuchunguze namba zao uenda ni tigo😢😢
Wanajinyea hao
Namwona makonda ameaza kutetemeka na sabaya kwambaliiiii namwona
Kwa kipi cha kumtisha makonda ww
Mnahangaika na wachumia tumbo lazima awalipe belihium anajiita makamu m.kiti wakati anaishi beligium?? Ona lilivyonenepeana
Kuna watu wataharisha ,bruuuuu!!!
@@florencemeza6540 Acha ujinga,wewe subiri uteuzi mambo ya kusema haki waachie wengine wanao weza.
@@ajiaally3269 Kwani yeye ni nano?Walikuwepo walio tisha zaidi yake,cha ajabu hata makaburi na historian zao hazipo,lenyemwanzo linamwisho.Kumbuka bora kuwa mchumia tumbo kwa kuisema ukweli.Upuuzi mtupu,jitafakari na ubadilike kwani wa Tanzania waleo si wa miaka milioni iliyopita.
Kama siyo wao mbona jina hawajabadilisha? huo ni uwongo washitakiwa kulekule wanakoumbuana mwisho kitaeleweka tu.
Waongo hao. Ukibadiki umiliki, na jina linabadilika, wauaji wakubwa hao. Mmeyatimba wenyewe
@@upendomwamsojo6614napia kampuni ikiuzwa inamaana na wafanyakazi wataondolewa wote?
Tz haiongozwi kwa sheria
Weza ilaumu tgo
Lkn km serkali ndio ilitaka izo taarifa
Wangefanyj
Tulia alitamka waz wanaomsema rais au yy akisema nyooka nae
Hiyo kauli ilikua na uzto
Lkn hakuilzwa na yyt et yy yuko juu ya sheria
Kwanini mtoe tarifa za wateja wenu ?
Watu wanafaa wajue kua all matters causing national security threats mtandao wowote unapeana taarifa kwq serikali
Hiyo sio national security matters, huo ulikuwa ugaidi ku track mtu yupo wapi kwa ajili ya kumuua
@@charlesseba2000ndio hapo sasa,na kama lissu alikuwa na makosa wangemkamata na kumfikisha mahakamani na siyo kumpiga Lisasi, Leo magu Yuko wapi ,Dunia ni hapa mwamuzi ni MUNGU pekee
Hayo majibu apeleke uingereza
Daaaa daa kumbe ndiyo mambo yalivyofanyika walidhani siri itabaki kuwa siri kumbe kweli inaweza cheleweshwa tu
Hawajakana taarifa za kuvujisha data na siri za wateja wao. Wamekana tu kuwa wao Honora hawakuwa wamiliki wa kampuni ya TIGO wakati huo. Cha ajabu ni kuwa TIGO wapo na wanaendelea kufanya kazi hii hii ya kutoa biashara ya mawasiliano ya simu kwa jina hilohilo la TIGO tangu wakati huo. Honestly, haieleweki wanakana nini hasa!!
❤⁰0
Eh! Mimi mpaka kesho sijaona mtandao au mtu aliye jiaminisha kwa wateja wake kama Mello wa Jamii forum alipo takiwa kuwa dhihirisha wateja wake wakati wa Mhesh. Magufuli jamaa aligoma kata kata pamoja na kutishwa na kushikiliwa na polisi sasa hawa kina Tigo kama ndio hiv,i dah! haya tusubiri tuone.
Hatuko salama na kibaya zaidi wameungana na zantel tuwe macho tunawezwa kumalizwa kiulaini
@@KassimHanga-xr7rbkama kweli vile naona inaingia akilini
Halafu Hadi Leo Ile kesi iliisha hivo hivo tu,magu alikuwaga muuaji yule mwanaharamu, huwezi jiita mzalendo huku unatoa roho za watu wengine kisa hutaki kukosolewa
Tigo na Mimi Bye Bye
Tigo tigo tuu
Tigo namba za siri zetu tukiweka tumeweka nimeona mtu yeyote akitaka kubadilisha mnampa 0000 ili abadilishe hio tunaweza kuibiwa na Yeyote akabadili hata sio mhusika Tgo pesa
Kama ulikuwa shetani leo umekuwa malaika haiondoi ule ushetani wako😊😊😊
Watawajibaka hao wamiliki wa sasamana madeni na mtaji waliridhi wao
Kama wapanga ugaidi wanatumia mitandao ya nini hawajulikana na taarifa zao za upangaji hunaswa wakipanga,yote sawa kama ni kweli walipanga hayo Tigo weka ukweli maana watz wanataka kujuwa hao wasiojulikana,kama ni yy mwenyewe Lisu na timu yake au wahusika wowote wahukumie .
Fedhea tu..
Kumekucha
Wataenda kukataa mahakamani
Tigo line naivunj
Kuhama huo mtandao
Ndio maana hata malipo ya zanfast ferry yameondoshwa
Kwa Tanzania hii hakuna mawasiliano yaliyo salama na sio tu Tanzania bali ni karibu Africa nzima, na TUNDU LISU imejulikana Kwa sababu yeye ni mtu maarufu lkn sisi ambao hatuna umaarufu wowote 😂😂😂😂😂😂
TIGO HAPO HAIWEZI KUKWEPA KITU. NI SAWA NA MTU ANUNUE BANK AF WATEJA WALOFUNGUA ACCOUNT KABLA YEYE HAJANUNUA ASEME HAWATAMBUI NA SIO WATEJA WAKE. AU MFANO MWIGINE NI SAWA ETI USEME SERIKALI IMEKOPA PESA AWAMU LABDA YA 5, ET AWAMU 6 ISEME HAIYAJUI NA HAITALIPA HAYO MADENI. 😂😂😂😂😂
Mmiliki wa sasa wa kampuni iliyovujisha taarifa za mteja wake,anasema tuhuma hazimuhusu ingawa ni za kweli.Hapo sasa tusubiri sheria inasemaje.
Huyu taahira tasilimu.
Yan,nyie tigo ndio mana hamtanuki kibiashara kumbeeeee
haijalishi mmiliki mama ni nani
Wataelewa tu hio michezo ya kiswahili wataelewa tu puuzi hao
Bora wangenyamaza... 😅wamejichomekea kweli. Na Bado mtasema yote.
Eti hawaja Husika moja kwa Moja anyway ili mradi wamehusika hata kama ni in direct 😂😂
HAWA N WATU WAZITO LISU HAWEZ KUTOBOA AF MIONGON MWA WATU ANAO WATUHUM ASHA FARIKI KO HAPO HAMNA LOLOTE ITAVUMA MDA SIO MLEFU ITAPOTEA
Ludi shule ukasome
@bahatiTena akaanzie awali 1 .elias6443
Hi Ishu Itakua Kubwa Kama Itaendelea
Tigo tutahama wengi ngoja tusubiri tamko. La mwamba
tigo had kwny uchanguz wanatumika na msg zao chagua mtu flan😂
Tigo tuikatae tu wanatoa siri
Ingetakiwa uchunguz huo utoke ktk jesh la polisi. Hii inamaanisha kuwa Bwn Lissu amewazid intelligencia police. Lissu jembe aisee.
Yaani mtu kakuibia yy alaf umwmbie achungzw wez ninan
Hilo tukio lilifanyka kwny makaz ya viongoz waserkali yanayolindwa na polisi
Iv inahitaj hata elimu ya darasa lakwnza kujua mhusika ninan?
Alaf umeambiwa kiongoz alikua makonda
Wkt huo alikua mkuu wa mkoa dar
Acheni kuona taarifa zawehu kesi Ina ongozwa na wazingu naye mzungu kama siyo kibaraka ninini awe more hata mbinguni upumbavu huo hauvumiliki kwanza jua huko Hakuna vyama vingi na ndiyo maana shetani katolewa wote wanaoshadadia ni mashetani hao wazingu ni mabwana zenu au ndinyie hakili hamna Hadi leo watu wamewaua wazee wetu unacheka nao nn acheni upumbavu mjitambue hamtoacha kufananishwa na nyani kwaubwege wenu huo
Mlqniweeeee
Km kweli mimi na wewe wala hawawezi kunishughulisha wao wana dill na wakubwa na wale wanao hatarisha usalama wa nchi ila mm na wewe ugali sukari wala hawasumbuki, hv km lissu kwa nn wasidili naye maneno yk tu yana vunja amani ya nchi yy anasema atadili na ndege zikituwa tu anazikamata huone km ana kamata jasho la wallpaper modi yy mmoja tu nchi iwe na vueugu anataka nn ktk Tanzania hii,
Tigo wao wana dili na mtu km hyu,
Km kweli mimi na wewe wala hawawezi kunishughulisha wao wana dill na wakubwa na wale wanao hatarisha usalama wa nchi ila mm na wewe ugali sukari wala hawasumbuki, hv km lissu kwa nn wasidili naye maneno yk tu yana vunja amani ya nchi yy anasema atadili na ndege zikituwa tu anazikamata huone km ana kamata jasho la wallpaper modi yy mmoja tu nchi iwe na vurugu anataka nn ktk Tanzania hii,
Tigo wao wana dili na mtu km hyu,
Watanzania machoko kweli ss mlishindwa nn kumsaidia kipindi cha maandano juzi .halafu hta akili hmna makonda ni mmoja bali ccm ni wengi magu kafa anayemshitaki ni nani acheni ujinga kwenye maandamani wapo wachache tu ila kwenye kukoment mpo wengi 😢😢
Mimi tigo nilacha kutumia tangu jana
Sawa kabisa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Aaahhh kwahakika nami navunja laini
Nimeanza kuiogopa hii tigo
tg tutawahama
Wanajitengaje kwa mfano😂😂😂😂
In other words, if you provide customer information, you are definitely not suitable.
Mtandao ni tigo tu
Nasema acheni kukomet ujinga tuiombee nchi yetu .hkuna maana Raisi ni samia mambo ya makonda na lisu hyana ushaidi .kama kweli ww unajidai mkeleketwa tungekuona kwenye maandamano
HAMNA KESI HAPO SUBIRI MUONE
Kwani wewe ndiye unaye chunguza au kuiendesha hiyo kesi?
Kesi hi itasikilizwa na mahakama yakweli na haki siyo hi mahakama ya mchongo ya Tanzania kk
@@peterjengela1770😂😂😂😂 umempa za USO kwanza hajui hiyo kesi itasikilizwa na mahakama ipi
@@robertphilip385 sawa kiongozi ngoja tuone itaishaje
Chizi wewe, hujitambii na hujui chochote kalale we mtoto wa mama