Diamond has a huge fan base here and most of his shows if not for this pandemic he could be here doing shows Yani he doesn't rest like October is booked for America to enter international completely
Wimbo huu Ni Bora kwangu KILA siku sichoki kuusikiliza kutokana na maneno yaliyotumika Kama,nguna,ugali wa muhogo,n.k Pamoja na mdundo wake muruaaaaaa....hasa ikiwa unaanza.
Where he is today,iits a result of number of hits.He is still keep it real.No one does like Diamond platnumz,he is the best in the industry..KOMASAVA 2024.
Leo ii nmeangalia #Waah nkaona huyu jamaa ni unstoppable toka kitambo hta hajaanza leo sa ww ichek ii ngma nahc n ya kam 2012 bt mpka leo ngoma n Kali 2 da we mond ww n nomaaaaa
Now I believe in kibe,hizi enzi avril was really beautiful sahii amebeat vibaya sana.,enyewe ladies have an expiry date na kama hakuolewe io wakati ajitoe kwa market
Diamond ametoka mbali sana na amehustle sana kufika alipo Kwanini wakenya mnadharau hili sasa hivi Willy paul kavuruga performance ya diamond na nyinyi wakenya mnasupport willy paul, recognize kitu diamond amefanya kwa muziki wa east africa now
Utungaji wa wimbo huu katika mandhari safi ya Jiji la Nairobi. Mwaka wa 2024, bado iko moto kama pasi. Katika midundo ya kisasa na utunzi unazingatia Kiswahili sanifu. Kazi safi Simba .
Toka 2012 had leo 06/02/2019 bado napenda kisikiliza na kuangalia song hili # NAMKUBALI SANA CHIBU EVARA ..BABA TIFFA ..SIMBA TOKA MBUGA YA TANDALE ..na watch a boy from MPWAPWA =DODOMA.
One of the few songs from diamond that i love and respect him for...classic bongo flavour he should come back to his roots, where he started from ......
Still rent free in my head living legend 🙌 in the Tanzanian 🇹🇿 music 🎶 industry he has uplifted new talents uplifted the music industry of Tanzania i appreciate him ... am here to listen to the old music 🎶 much love diamond 💎 ❤ 🇺🇬
Mond ur true hussle hakuna anaejua kesho kama unaikumbuka nyimbo yako je utanipendaga utafkiri uliyajua vile but much respect to u umesogeza game ya music sanaaa much respect bro
Kama unasikiliza Wimbo huu 2024 dondosha likes hapa🎉
🎉🎉🎉❤
🫵🏿👍👍👍
2024 march❤
APRIL 24
Utamuu ule ule🎉
Siku akifa ndo mtampa mauwa yake mm yangu nampa asaivi tena hii 2024
Huyu jamaa ni habri nyingine
Diamond ni🔥🔥🔥🔥namuombeag maisha marefu kbx ❤❤❤❤❤🇴🇲🇧🇮
Tuko pamoja tarehe 24 mwezi 6 mwaka 2024
Tuko pamoja 8mwez wa 9 2024
Unaesikiza wimbo huu 2023 dondosha lake apa tujuwane 🇨🇩
Wq3023
We are here
🙏🙏🙏🙏
💪
unaitwa nani
Anae skiliza uyu wimbo 2024 tujuwane
ebu ndodosha makopa❤❤❤❤
From 🇧🇮
Niko huku
So it is 2023 and I am still craving for this jam. Kwa kweli Diamond ni simba
Same here . the real diamond
That feeling is mutual bro, this guy is LYRICS WIZARD👌👌👌👌
‼‼
Big boy
Hhhh
Mwenye anaskiza wimbo huu 2024 drop like🇰🇪 254
Guys let's gather 2024 wapi likes ya Simba pembe zote duniani😅😅
The truth is that Diamond platinumz has come from far na wanaomwongea vibaya hawataweza.
2024🎉🎉.. Namuona Avril aliwakilisha Kenya kwenye wimbo huu mtamu👏
"We don't search for old songs"
"We search for gold memories"🎶🎶
2024
Everlasting masterpiece🎉❤
❤❤❤🎉
Kenya imesaidia pakubwa kwa mafanikio ya Diamond Platinumz. Big up to Mzazi M Tuva, Ogopa na mafans
Very true!!
wrong
TANZANIA>EAST AFRICA MUSICALLY
Only God plan and not kenya
Gods plan creativity learning something before entering in it support from your close family and friends and funs
Nani ako hapa in quarantine ,,salam kutoka ug 🇺🇬🇺🇬👊
Mm hapa bwana tuejoyi
Diamond valued Kenyans; Avril in the lead character, Tuva in the background, Macko Charlie and Ogopa in the mix. Wow!
Collo too was there.
Bsr diamond nikofanatike yako
Diamond has a huge fan base here and most of his shows if not for this pandemic he could be here doing shows Yani he doesn't rest like October is booked for America to enter international completely
@@maryannemwangi168 bsr nimiye fanayako
@@rosetsang1431 write English am not understanding
Of all diamond hits ..hii ndo the best song ever ..akuna nyimbo ya diamond itashinda hii ..best of all time ❤
So this song was produced by a kenyan producer shows how far TZ music has really really taken off
Wangapi wana amini Avril ni legend Kenya 🇰🇪😍
Bado kwani wakina red sun wako wapi
mapenzi yana run dunia, kesho,lala salama,ukimwona ,nataka kulewa,moyo wangu,nitampata wapi, na pacha wangu hazitokei tena ngoma kali kama hizi
Wimbo huu Ni Bora kwangu KILA siku sichoki kuusikiliza kutokana na maneno yaliyotumika Kama,nguna,ugali wa muhogo,n.k
Pamoja na mdundo wake muruaaaaaa....hasa ikiwa unaanza.
Kinda chilly January Thursday..in middle of the night engulfed in nostalgia 😢😊2024
Where he is today,iits a result of number of hits.He is still keep it real.No one does like Diamond platnumz,he is the best in the industry..KOMASAVA 2024.
Tunaosikiliza huu wimbo 2024 gonga like
Kama wewe unajuwa nyimbo huu tokeya izo nyakati gonga laki 2024 diamond we ni balaaa
Leo ii nmeangalia #Waah nkaona huyu jamaa ni unstoppable toka kitambo hta hajaanza leo sa ww ichek ii ngma nahc n ya kam 2012 bt mpka leo ngoma n Kali 2 da we mond ww n nomaaaaa
Mimi apa Congo DR, nina ipenda sana 2024
I was 16 years old when this song was released,,I'm here after 10 years aged 26 still listening to this masterpiece 🔥🔥🔥
I think me pia😅😅
@@EstherNjambi-rk1zd you're 26?
@@WilberforceWilber 25 almost 26 in a few month😂
@@EstherNjambi-rk1zd wow,,my age mate,,take care sweet heart😍
@@WilberforceWilber thanks❤️
This song was released at a time Diamond still knew how to sing it really rocked the streets ,kudos Simba I liked your songs because of this
Nyimbo za shimba siku hizi hazileti
Anaesikiliza wimbo huu 2020 dondosha like apa 2juane
🔥
20th Saturday 2020🌟🌟🌟🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nomasana
wafulaerick1993@gmail.com
Nilidondosha like yangu ilikuwa ya 160
Nani anakumbuka izo enzi?, kama unaisikiza 2024 ebu ipe like. 🇰🇪.
Enz hzo wachaaa kabisa kweli cku hazigandi
Tunakubuka vizuri sana❤
Watoto wa afu 2
Anajua san huyu,fund wa music.
Now I believe in kibe,hizi enzi avril was really beautiful sahii amebeat vibaya sana.,enyewe ladies have an expiry date na kama hakuolewe io wakati ajitoe kwa market
Kama unaskiliza huu wimbo 2024 weka like
Still listening to this song after 8 years since my x passed away 😢 it was his best song then and still is , I am still representing him
Anaesikiliza wimbo huu 2023 gonga like hapaa tujuane
today is 10/8/2023 love this songs
❤3/12024
20/2/24
Any kenyan 🇰🇪 hapa tupange kwenda home 😅😅
😅😅
Baaass
At least nilikuwa na mbeibe wa Tz😂
Naikumbuka hii wimbo 2025 Diamond akiperform pale Mombasa beach. Bonge la Show. Lost but not forgotten Gems. SIMBA. Upendo from 254 Kenya 🇰🇪
Hakika Diamond wewe nimfalume kwenye industry yamziki yani wimbo mtamu hutaki hata uishe kusikiliza
Niite nasibu usiniite DAI 😊kama uliipata iyo line gonga like
Mkururo nmeupata😂😂😂
Na usilete swaga za kiNai
Jamani naombenitu hata moja 2024
The song still hit in 2023 Diamond plantnumz never disappoint is people❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥
Nakumbuka huu wimbo ulikuwa dedication na kijana mwingine hapo zile enzi..
Diamond ametoka mbali sana na amehustle sana kufika alipo
Kwanini wakenya mnadharau hili sasa hivi
Willy paul kavuruga performance ya diamond na nyinyi wakenya mnasupport willy paul, recognize kitu diamond amefanya kwa muziki wa east africa now
Leke.back in Chui 🐅pambana NLM🐅 RAVNNYN zimba🐅
2024 Dec 🔥🔥🔥na zimeshika mbaya☘️☘️💪🏾
Was in class eight can't forget ten years down the line still listening to this marvelous song
Comrade
2012 was a special year😢
Utungaji wa wimbo huu katika mandhari safi ya Jiji la Nairobi. Mwaka wa 2024, bado iko moto kama pasi. Katika midundo ya kisasa na utunzi unazingatia Kiswahili sanifu. Kazi safi Simba .
Diamond Wew mungu akupe maisha marefu Hakuna Msani kam wew nakupendag mpaka basi ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥🔥🫡🫡🫡🤝🤝🇴🇲🇧🇮
A round of applause for the audio producer👏🏾. He's lit🔥.
A legend Marco Chalii.. from MJ Records.
Kesho 2024
Toka 2012 had leo 06/02/2019 bado napenda kisikiliza na kuangalia song hili # NAMKUBALI SANA CHIBU EVARA ..BABA TIFFA ..SIMBA TOKA MBUGA YA TANDALE ..na watch a boy from MPWAPWA =DODOMA.
One of my best from Chibu.
Oh, mama Diamo... Mama yangu mama.
Best I've heard of Diamond Platinumz. This is my biggest Diamond Hit!
2019 and the song is still fresh...mziki ambao hauzeeki😊😊
Really
Wacha na mambo na gengetone😂😂😂hii ndio real music
@@whitneychepchumba6962 🤣🤣🤣🤣
CHIBU MNYAMA MMOJA KUTOKA MBUGANI TANDALE
2019 NIPO MWENYEWE HAPA
2020 october👌💃
Bado nangoja kesho yangu nipelekwe nyumbani😅.. Hallo to everyone who still listens to this version of Diamond
Yaani hii ngoma bado inatisha . .. . Noma sana ...
Mistakenly stumbled on this song on spotify in 2021 and I LOVE it! 🇺🇬
Anaeskiliza huu wimbo 2019 tujuane. Niwekee like yako hapa
Niko hapa
Me mwenyewe np apa
Niko hapa tuko pamoja
Uyo wimbo ilikuwa ni upepo wa kisulisuli msisimko balaaàaa
Smpend mond lkn hiii ngoma ✊🏽❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Avfril venye anaficha sura
One of the few songs from diamond that i love and respect him for...classic bongo flavour he should come back to his roots, where he started from ......
Well said.
Reminds me of Watamu to Malindi Matatus route.
Greetings from Germany 🇩🇪
Diamond platnumz msani mkubwa 🤴 👑 king haukuna ata umoja Zaidi yak African
Still rent free in my head living legend 🙌 in the Tanzanian 🇹🇿 music 🎶 industry he has uplifted new talents uplifted the music industry of Tanzania i appreciate him ... am here to listen to the old music 🎶 much love diamond 💎 ❤ 🇺🇬
Duh huu wimbo mpka Sasa naukubal me naona #diamond ungeuweka kwenye album yko aisee
Wapi likes za wenye tuko hapa 2024 🎉🎉🎉🎉❤
Diamond aki Hanoi ngoma kama hizi tena ❤❤
After kuimba kulewa now anaenda kuona wazazi,, well organized album,,,
Rip my buddy zack,ill never get over my freind zack loved this song.
Alie rudi kucheck hii ngoma 2024 gonga like apa 😅❤
Best track from diamond.. Somebody should do a cover for this
Tujuwane apa kama una usikiliza wimbo huu 2024.
Hizi siku sikua na utimu nlikua nampenda diamond kinoma noma , utimu wa kiba na mondi uliharbu mziki
kwa mimi hii ndio ngoma kali kuliko zote ya Diamond Platnumz
kulwa ngatigwa hahahah hahahah
Diamond simba ...
Chibu is the best musician 💯 💓 🇹🇿
Mwasi kitoko Avril,, batoto ba kenya Nairobi London ❤️
My songggg❤
This is the Diamond we all fell in love with.
Nani anaangalia namimi akisubir kupelekwa na baby wake kwao kesho Kama Mimi hapa hit like
Tanzania we proud of you 🙏🏿🙏🏿
Wangapi tunaenda kwa mama mwaka 2021 hands up my people
Mi sijawah kupelekwa nyumbani jaman😭😭😭😭
Aaargh mimi nataka kesho twede home ukamwuona mama 😂❤❤anybody nimpeleka
Hadi 2025 tuko kinoma noma🔥🔥🔥
2024 mpooooo wakuu🤓😂😂😂😂😂😂
I guess this is one of the song that will last forever in diamond's album
Crime 0℅
Nude 0%
Ofencive language 0%
Talent 100℅
December 2019
Gambling?
2024 still listening to this masterpiece
Platnumz 🔥📌
When you feature diamond platnumz You will not regret 😂😂😂❤❤🎉🎉 thanks for this
who is in here 2024???
nakumbuka mbali sanaaa nikiskizaga huu wimbo!
Lucy Salvatory
Enzi Hizo Dem Wangu Hataki Kabisa Kuniona Mm,Sina Mbele Wala Nyuma Leo Hiii Salute#Thnks Allah
Nice song
2024 still hits fresh😂 wapi like za 2024
Mond ur true hussle hakuna anaejua kesho kama unaikumbuka nyimbo yako je utanipendaga utafkiri uliyajua vile but much respect to u umesogeza game ya music sanaaa much respect bro
One of the best Songs..... hey 2024 let's go
Ngoma ipo fresh 2019 ...loading to 2020 kama unaiakiliza hilii goma weka like hapa twende pamokoo.
Nomaaaa
Shidaaa
Jones Ramsden 🤗
Tuko pamoja.
Tweade
It’s 2022 but am still hyping with this beautiful song 🥰🔥
Same😩❤️
same here
Still listening 🎶💥
Same here
2022 ⛽💥
I remember when I used to listen to this hit everyday now 2021 we more hits from king Simba🦁🇿🇲🇿🇲
Na kubali huu wimbo nime ukumbuka from congo🇨🇩 sasa yafika myaka 11
Hyu ndo diamond namkubar siyo wa saiz anaimba mjumba unabomoka
2020, tembeza likes za nguvu
It's September 22nd,2022 but I'm still listening to this masterpiece from the Lion of Africa
Anaesikiliza wimbo hi 2021 ngonga like
when Diamond was platinumz
@@chrisjnr4825 hello
I love this song congratulations pricy 😊
Diamond Ni Simba ulinwenguni mzima Kwa nyimbo zake za bongo..mm mwenyewe Ni fun mkubwa Sana Wa diamond..nasikiliza Nairobi Kenya 🙏