kauli tata ni kama ifuatavyo: 1. lazima uchanganye rangi kidogo sio baba lami mama lami😁 2. nilikuwa naumwa koo jamani sio kiuno 😁 3. nilikuwa naangalia kama mayai yapo😊 4. jogoo hajawika bongo kawika ulaya 😊
Hongera ommy dimpoz, upo makini sana katika kujibu, mtangazaji mwenyewe amekuelewa, afya yako pia imeimarika, Mungu atakuwezesha na kukuongoza kwa kila jambo, InshaAllah.
Mtaenda kujib kwa muumba wenu, yan saiv mmehalalisha zinaa km kitu cha halali kabisa tena mnafrahia..ikiwa pumzi zinakutien kibur subr tuingie kwenye 18 za mungu ndo tutaona cha moto
Soo wivu but That's not a 2012 sport,..........no offense Ommy, I own 2 range rover sports and I can tell you without shadow of confusion , hiyo Ni 2006-2009 .....kwanini udanganye the year????
Jamaa kapita challenge maishani Mungu ambariki ommy DIMPOZ
kauli tata ni kama ifuatavyo:
1. lazima uchanganye rangi kidogo sio baba lami mama lami😁
2. nilikuwa naumwa koo jamani sio kiuno 😁
3. nilikuwa naangalia kama mayai yapo😊
4. jogoo hajawika bongo kawika ulaya 😊
Ee ,ndio ,Mimi pia sitaki kukosoa ,Ila hapo Mimi pia nimepata ukakasi ,
44
Mashaallah unajielewa sana kakaayetu
Halafu ww umenichekesha so baba lami mama lam yan ww
Mungu ni mwema In Sha Allah atakupa afya zaidi ya hapo na akukuzie mwanao na wengine waje pia.
Jogoo hajawika bongo kawika mtoni nice 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌taambia nini wanaozushia watu vibaya
Niwashenzi wamekaa nyuso nyeusiiii
Kawika kwa mzungu😂
Shoga lingine linazaa jmn linakuwa na watoto na punga siku zote halijifichi ipo siku itajulikana tu na lisemalo lipo na halipo laja
Frank Lyne 😂🤣👍
Hongera ommy dimpoz, upo makini sana katika kujibu, mtangazaji mwenyewe amekuelewa, afya yako pia imeimarika, Mungu atakuwezesha na kukuongoza kwa kila jambo, InshaAllah.
😂😂😂😂
Omi mkweli na muwazi jamani sijui wenzangu mnaonaje niambieni
Yeah sure
Sema ommy dzn kama kama kavunjika pua vile anayoongea
Ommy umetisha sana kwa kujibu maswali 👊🏾ndoo vizuri mtu kuwa hivyo
You are the best Ommy Dimpoz
Enx dimpoz
Dah team yeebaba wanajielea sana sijuti kua team roockistaaa
Nilikuwa naumwa koo sio kiuno,Ommy ni noma.
ROCK STAR AFRICA® IS MY FAVORITE YEEEEBABAAAAAHHH
Hahaaa tutaweka wapi sura zetu wenye tulikuwa tunakuombea ufe,,,,All the best man
Waabike
jasmine shemweta 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
aliyeona sanamu pale nyuma ya ommy piga like twende hongera dimpoz
Ongera san kaka team munajielew kwa kwel 🙌🙌🙌
Omy mcheshi Sana😁😁
Waoo hongera sana ommy dimpooz
Eti baba lami mama lami nimechekaaa 😂😂😂
DNA atawakichukuwa Nywele kilakitu kinaenda
Safi sana unajielewa baunajikubal inshallah mungu azidikukupa afya njema
hongera Ommy God bless you.
Eti baba lami mama lami ommy 😆😆😆
Yumna 12 as far as I know over here you could lose your job for saying such a think as it’s seen as racist. He needs to learn
Sasaa Ney wa mitego itakuaje alisema mwenzie jogoo haliwiki!? 😀😀si kavaa fedheha xaxa
hongera Ommy
Hahahahaha..... nilikua naumwa koo sio kiuno
M naangalia sanamu tuu n km inaniita
Hahaha
Mtaenda kujib kwa muumba wenu, yan saiv mmehalalisha zinaa km kitu cha halali kabisa tena mnafrahia..ikiwa pumzi zinakutien kibur subr tuingie kwenye 18 za mungu ndo tutaona cha moto
Mtihan wallah
Allah atunusuru na awanusuru pia na kutuongoa.. amyin
Hamud Seif kweli watu wamehalalisha zinaa
Allah atuhifadhi tuepukane na zinaaaaaaaa
asante Mungu msaidizi 😁😁😁
Kweli wallah tu kumbuke kuna mungu zinaa watu weweka km IBADA kwao
Safi ommy mungu zaidi kuimalisha afya yako
Amiin
Mungu yu pamoja nawe tupo pamoja bro
Usisahau kufanya ibada mungu kakutoa mbali kila hatua dua nakuomba na wewe uwe msili kama kiba nawapenda sana wewe na kiba.
Eti Insta ni nchi inayojitegemea unatakiwa utoe mapato na matumizi 🤣🤣🤣🤣
Ommy jamani ista nikainchi kadogo kakujitegemea😋😋😋
Omy wapenda kucheka yani..minakupenda bure tu
Nakukubali sana ommy
Mungu aendelee kukulinda
Godbless your natural heart Ommy.From Zambia
Walikusema sanaaaaaaa hongera sanaaaaaa kaka
M
Mashallah
Ommy mashallah
Jazaa llah kheri
Da Omy naona jogoo kawika Ulaya sisi eti m2 anajixifu jogoo wake ana wika Buguruni
Wakwanzaaaaa nipe like yangu plzzzz hapa n chiiiiiiii
T-shirt elfu 12 kama bure...mimi elfu 12 nanunua flana 24
Hahaaa, za jero jero😂😂😂
Hongera Ommy Allah akupe khery kwa kila jambo
Kweli koo ndo ulikua unsumwa kiuno kazi kama kawaida🤣🤣🤣🤣🤣😭😭😭😭😭
Safi sio kila kitu chako kinakuwa wazi
Hongera sana Ommy Dimpoz, much love from +257
Sijapenda tu issue ya kusema weusi lami.
😂😂
🤭🤭🤭🤭
Kali za wana hizi Apa Bofya link
Apo Chini
👇
ua-cam.com/video/FIMY5DzxGiU/v-deo.html
ua-cam.com/video/FIMY5DzxGiU/v-deo.html
Huyu jamaa 'anadanganya' hana mtoto ulaya 'unapo zaa na mzungu Halafu ww Uko afrika' jamaa muongo
Well said brother 👍
Jamani huyu ommoy anakuwanga na point +254 wow thub up
Ommy mwenyewe handsome yuapendesa ata naeza tamani kusaa naye walai
Kweli tusiiishi maisha ya kukariri penda Hilo jibu
Kweny shida tuko wote ila kweny raha uko mwenyew
😀😀😀
Love u Ommy❤
Ommy big up Sana bro
Masha'Allah bro
Ommy umeniuz kuvaa heren
Nilikua naangalia km kuna mayai😀😀
Jamani asante mungu kasikia maombi yetu tumekuona tena
Nilikua naumwa koo jamani sio kiuno 😂 😂 jinga sana ww ommy
Amber lulu upo wap ulimkashifu ommy leo ana mtoto acha zako haukula zimishwa kuwa na wanaume weng ulimwona hawez kaz now
Amber lulu alitumwa na mondi amchafue ommy
Hata mmi aliniuzi sana kauli aliyoongea amber lulu kwenye kipindi cha now you know ,, kumkashifu ommy dimpoz
Jamaaa we watu wanasema shoga ww kweli?????
Soo wivu but That's not a 2012 sport,..........no offense Ommy, I own 2 range rover sports and I can tell you without shadow of confusion , hiyo Ni 2006-2009 .....kwanini udanganye the year????
Nakubali ommy achana nao wasenge
ndio Maana halisi ya Baada ya ziki faraja
Baba rami mama rami
kabisa maisha mafupi tena sana ukipata nafasi tumia ipasavyo ila usikufilu mungu 2 kama domo
remember time friends ndo utajiri!
Uwezo wa kuzaa kautoa wapi bana awadanganye hao hao! Babaake na mamaake pia lami shwaiin. Na ipo siku atazimika kama wenzie vileeeeee
Correct your comment “ Baba lami na Mama lami “ your comment reflects your desires of being white.
Una mengu zakiume
😂😂😂Ommy ongera sana Mansha Allah
Sema maneno yasije yakmponza ommy ucongee uongo angalia jibaba
😘
Mashaallah ongera
Hongera
Big up kak
Nice guy
Uko bongo kila mtu ana pesa ni Atari
Kalii
MashaAllah
Wazii blood down to earth dude.respect homiee
Du sauti ya ommy imerudi
Ommy ulisema huendi nje ww wa tz tu
Wala mafala wakuzushia ujinga watu mtaambia nini watu makuma nyie
Nakupenda bure sophia
@@ommie_nyzer nakupenda pia mpenzi
Io namba ya cmu mrembo
MUNGU asante kukuponya tena
daah ewee upo happy sana,, nice
I love your outfit, u look stunning with white 👌
Mama lami baba lami 😂😂😂😂
Instagram ni nchi inayojitegemea hii nimeielewa!!
Hahaha njoo tujitegemee mimi na wewe
Ongera dimpoz mungu akuzidishie
Hongera sn kuitwa baba ni jambo zuri owa kk unaumwa koo siokiuno ahahahahaha safiiiii sn sio wakinananilou wakinunua gari Dunia nzima itajuwa mmmh
MUNGU akutunze mdogo wangu
mm natokea kilimanjaro jmn ntapat vp no za ommy0
Mungu akubariki Dimpozz
Maisha ya Instagram magumu sanaaa
mmmmh!! kamba hio
Ata aibu hana hovyooooooo
Anamajibu uyu😄😄😄
Omi umeboteya
Amber lulu chizi tu huyo
ndio ndio 001