OMY DIMPOZ AWEKA WAZI KISA CHA UGOMVI Wao NA DIAMOND PLATINUM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 146

  • @aluiyaomary6281
    @aluiyaomary6281 8 років тому +31

    wallahy huyu kijana ni muungwana hongera omy

  • @maimunamartha8853
    @maimunamartha8853 2 роки тому +8

    Pongezi ommy kwa kutoa ukweli ndipo watu wasiseme harmonize nimuongo ukweli unauma lakini haina budi kama unamwamini mungu usieke kibururi ukiongea unasafisha nafsi yako

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 2 роки тому +3

    Ommy nakupenda bulee nando maan 2021 hii kondee kayapasuwa majipu ya mondi mavoko sijui kafia wap😂😂

  • @OmanCom-ky8tn
    @OmanCom-ky8tn 2 роки тому +9

    Omy ni mtu mmoja ambaye anahofu yamungu ndy maana tunampenda sana omy uxilipi ubaya penye ubaya nakupenda ommy allah akuongoze

    • @BakariKitemi
      @BakariKitemi Рік тому

      Unampndaje huyu mtot wa kiume shoga yni tunaomb Mungu hya mambo yaishe kwnye nchi yetu yey ndo anaendlea kugawa tko

  • @maximiliannorberth471
    @maximiliannorberth471 2 роки тому +68

    Who is watching after tembo's interview!!!

  • @sylviaw4421
    @sylviaw4421 8 років тому +25

    sasa huo ndo utu uzima, wengine kiki tu, alie juu mgoje chini. nakupenda bure ommy

  • @ibrahdimpoz5820
    @ibrahdimpoz5820 2 роки тому +15

    Kiufupi D ni mtu wakusikiliza maneno ya watu nakuyaamini kabisa mtu kama huyo ni mtu wakuamini mambo yakichawi🙌🏾

  • @fatmajambia8858
    @fatmajambia8858 8 років тому +22

    wallah umetumia hekima ommy

  • @lyzekeyz328
    @lyzekeyz328 2 роки тому +8

    Kumbe haya ndo yalimkuta harmo poleni sana

  • @halimasalim5477
    @halimasalim5477 4 роки тому +18

    Diamond mshenzi sana

    • @smukelomkhize9775
      @smukelomkhize9775 2 роки тому +1

      Ni choko Sana Na Ndiyo Maana Anavaa Kikukuu Mguuni kwake, choko Sana Aende zake kigoma, na wakigoma Wengi Ni Nusu wabongo Nusu Waburudi, Ni sawasawa pale South Africa na Mocambique kuna sehemu lnaitwa manguzi watu wanaoishi pale wanaitwa Mashangani so na Yeye Kikukuu Mguuni Ni sawasawa Na Mashangani Tuu

    • @OchoaHomeDecor_
      @OchoaHomeDecor_ 2 роки тому

      @@smukelomkhize9775
      Mbona unachuki na mtu ambae hakusaidii na wala humsaidii....!!?

  • @mariamgirike6877
    @mariamgirike6877 5 років тому +7

    Pole Ommy ni binadamu kwa na subra

  • @mosamossile9113
    @mosamossile9113 2 роки тому +5

    Duh🙄🙄 Aiyaaaa Adi apo bado tu Amjahamini, Nasibu Abdul anamambo yakichoko

  • @rahmamaginga4237
    @rahmamaginga4237 8 років тому +10

    yuh a gentleman big up broo

  • @salmaothman153
    @salmaothman153 5 років тому +9

    Mondo alitaka ajulikane yeye katika gam ommy unajielewa sana bigup kwako

  • @bearbongsbentleys4203
    @bearbongsbentleys4203 2 роки тому +16

    Jumlisha na mambo ya harmonize hapa...ndio naelewa sasa.

    • @mustaphadeo9590
      @mustaphadeo9590 2 роки тому

      Wote lao moja yule tayari ni untachable fanyeni yenu''''simba muacheni afanye yake mbugani'''DDDD

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 2 роки тому +7

    Diamond anagombana na kila mtu, so it means ana tatizo

  • @saumuhamisisaumuhamisikumb9733
    @saumuhamisisaumuhamisikumb9733 2 роки тому

    Unajua nakupenda sn kk Allah akuzidishie umri mrefu wallahi ♥ ❤

  • @nahimanajo8993
    @nahimanajo8993 2 роки тому +4

    Sadala anawivusana na wezake ana rombaya sana kwakweli

  • @devalbano7450
    @devalbano7450 2 роки тому +1

    Uyo dg mond anazngua sana

  • @davianjosephjoseph3121
    @davianjosephjoseph3121 2 роки тому +1

    Pole sana dimpoz ila hongera simba kwa htua kubwa

  • @jillicious6800
    @jillicious6800 2 роки тому +18

    The same thing harmonize aliambiwa jamani 😭

  • @modiasdapaula3039
    @modiasdapaula3039 2 роки тому +3

    Hu ni ukweli tumesikiya,🇲🇿, kumbe KondeBoy amesema ukweli

  • @judithfredy6607
    @judithfredy6607 6 років тому +11

    Uzuri, wote ni waha wa kigoma, ila omy unajitahidi sana kuwa na busara kaka

  • @rachidemaulide1476
    @rachidemaulide1476 5 років тому +3

    Pole sana ommy ujui usemalo aupati kiki ngo

  • @deuslaurent4480
    @deuslaurent4480 5 років тому +3

    JAMAN msimwonee uruma sana omy ndo sheria yamchezo ss ninan apend mafanikio siume ona saiv

  • @mutanganashowtime3699
    @mutanganashowtime3699 2 роки тому +2

    babu tunakubali hapa Rwanda

  • @selemanigogo4669
    @selemanigogo4669 2 роки тому +1

    Huyo mond anakiliza kushukiwa natagombana nawengi SS sinajumziki Kwan ana mapepe

  • @mandyuwimana7735
    @mandyuwimana7735 2 роки тому +8

    Tu rudi apa yale Harmo alingeya juzi. Uyu aliya ongeya kitambo

  • @mustaphadeo9590
    @mustaphadeo9590 2 роки тому +2

    Shida adabu Zako mbona Simba afikiri kumdisi kenge yoyote kama imekushinda kaimbe kwaya,,,

  • @suntzu8959
    @suntzu8959 2 роки тому +1

    Deer ametemgeneza maadui wengi na marafiki wengi in his music carier

  • @mariamalongo8803
    @mariamalongo8803 Рік тому

    Nakupenda bure

  • @januaryyolamu4069
    @januaryyolamu4069 2 роки тому +2

    uwezi kumiliki milioni 200 afu usijiusishe namambo ya ushilikina iyoni uongo kwa sababu wanga niwengimuno metegokibao pigakazi d acha wabwabwaje

  • @peter_paulofficialy
    @peter_paulofficialy 2 роки тому +4

    😂😂😂😂Sadala ana wivu wa kupitwa .....anataka abaki yeye tu 😂😂mchawi kumbe alianza uchawi mbali huko ....duh Sadala naye

    • @mwanafalsafa3613
      @mwanafalsafa3613 2 роки тому +1

      Oya ni kama sijarlewa hapo kwa mshikaji na uchawi nieleze

  • @mhandoomary8539
    @mhandoomary8539 2 роки тому +1

    Ukitaka uzungumziwe mwongelee diamond

  • @faridasaid8724
    @faridasaid8724 6 років тому +4

    Ommy unajielewa sana

  • @petersynto8634
    @petersynto8634 5 років тому +7

    Ili uwezekujua kama clouds wanamajungu pamoja na wanahoji ndio hapa maana huwezi kuwa na uhakika wa jambo bila kuhoji upande wa pili kwamaana ya kubalance story watamwita mond halo?

  • @jamesjefwa5316
    @jamesjefwa5316 7 років тому +4

    pongezi kaka ukubwa huo karibu tena Prideinn #ommy

  • @mwanahawabakari718
    @mwanahawabakari718 2 роки тому +4

    Mchawiiiiiiiii diamond haipingiki

  • @ignatiusnyaranga1425
    @ignatiusnyaranga1425 2 роки тому +3

    Kumbe hii uchawi wa diamond ni ukweli

  • @mahelamnazaletimnazaleti6147
    @mahelamnazaletimnazaleti6147 2 роки тому +1

    Fundi ommy

  • @ibrackibrahim6909
    @ibrackibrahim6909 3 роки тому +2

    Imenihuma kinoma Sanaaaaa

  • @richardkazungu1519
    @richardkazungu1519 8 років тому +11

    ommy umetumia busara....

  • @jeytown4698
    @jeytown4698 7 років тому +5

    Hata ukiwafngukia studio hawakp maji san a utatoka navyoko kwny nguo

  • @shineintertainment6491
    @shineintertainment6491 7 років тому +6

    Kitu kamaicho dingi uko vizur waache wajielew sjatia baya lakn

  • @shabanjonh1985
    @shabanjonh1985 2 роки тому

    Icho sio chanzo wew boy ulimtukan mam yake mondi

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 5 років тому +6

    Wewe auna Akil
    Acha kujikosha
    We so ndiyo uliekawaambia
    Watanzania kuwa umemtomba
    Mama ake mond
    Ukajipost Niko namama ako
    Kuanzia Leo bwana DIAMOND
    me ni baba ako c.ndiyo ww
    Acha unafk fala wewe unavizia
    Show za Festival msenge wew
    Auna chochote bwege wewe

  • @jamesmugunda8200
    @jamesmugunda8200 6 років тому +4

    Pole sana waha ndio walivyo.

  • @BrunojnrMz
    @BrunojnrMz 2 роки тому +7

    Baada ya kusikiliza interview ya Harmonize, nimehamini Mondi na team yake ni wanafki

    • @dianamonyo1960
      @dianamonyo1960 Рік тому

      Leo hii wako wapi, hawa wasanii hawa nikama wanasiasa

    • @BrunojnrMz
      @BrunojnrMz Рік тому

      @@dianamonyo1960 😂😂😂😂

  • @musafiripatrick9071
    @musafiripatrick9071 2 роки тому +1

    Haya mambo nisawasawa na harmonize

  • @mapenzimlandamlanda2601
    @mapenzimlandamlanda2601 8 років тому +8

    diamond anamakosa....nkt

  • @festovenas502
    @festovenas502 5 років тому +5

    Ommy ww mnafiki wakati unasema ume mtomba mama ake mondi unazani icho kitendo alikipenda

  • @skydaddy6832
    @skydaddy6832 2 роки тому +3

    MOND ROHO CHAFU, SANA

  • @nuuringoogle4104
    @nuuringoogle4104 2 роки тому

    Be strong 🙏🏽🙏🏽😘

  • @nimubonashabani2827
    @nimubonashabani2827 6 років тому +3

    JAMAA UMEONGEA VYOTE KABISAA. KUMBE AKO KAJAMAA NIKANAFKI. BIGA KAZI NA KIBA HATAKUANGUSHAA.

  • @ombenemanueli1528
    @ombenemanueli1528 2 роки тому +2

    🔥🔥😂

  • @josephbalayata4506
    @josephbalayata4506 5 років тому +5

    Simba sikuzote ni mjanja mjanja

  • @johnliode7432
    @johnliode7432 8 років тому +7

    babaake D huyo

  • @thomasmartinez786
    @thomasmartinez786 2 роки тому +4

    Ukiangalia hii inteview ndo utaelewa maneno ya tembo konde

    • @fadhilimakarani5626
      @fadhilimakarani5626 2 роки тому +1

      Kweli kabisa kaka yani mambo yote yanijirudia tu sana

    • @thomasmartinez786
      @thomasmartinez786 2 роки тому +1

      @@fadhilimakarani5626 huyu jamam anafake life sana utajiri wake kama wa kanumba tu

  • @keifatuke99
    @keifatuke99 2 роки тому +1

    Diamond mjanja mjanja

  • @sabrarak9989
    @sabrarak9989 2 роки тому +2

    Ndio mukaambiwa anaroho mbaya

  • @blackie8772
    @blackie8772 2 роки тому +1

    Kwani huu mziki wa Tz mna uchawi tu

  • @rizikilufungulo678
    @rizikilufungulo678 7 років тому +1

    Nakupenda sana akikuzoweya tena mchane sasa

  • @mustaphadeo9590
    @mustaphadeo9590 2 роки тому

    Umekuja kusema chanzo cha bifu kisa konde amesha sema ndugu yako kasema'''mwambieni uyo paka anae jiita chui'''leo hii anataka asaidiwe na paka''' nawewe angalia usije ukaonekana auna mana kwasababu isiyo na mana.play part yako piga spana brow

  • @crbarik7033
    @crbarik7033 7 років тому +3

    Ya kwako yamekuxhnda ya wenzio domo lnakuwasha hunajpya ww kafyatue tofar

  • @davidjoseph9776
    @davidjoseph9776 2 роки тому +3

    Mondi snitches sana

  • @babueric
    @babueric 2 роки тому +1

    Wapekuzi

  • @odilomadeveka5901
    @odilomadeveka5901 2 роки тому +1

    Dimpo mbona humtaji odilo madeveka Kama nae ni mmoja Kati ya watu waliokushika mkono hata Kama so kipesa;;;

  • @tumainimwakyaka2775
    @tumainimwakyaka2775 2 роки тому +1

    Mond m2 wa wa2 jaman kamakonde hako kashamba 2 nyie endeleen&Diamond ni mwema sna

    • @maimunaabdalla7146
      @maimunaabdalla7146 2 роки тому +1

      Watu wepi?sema tu wataka akuzalishe nawew,mondi mtoto wa kahaba mpaka babs halisi hamjui,konde mtoto wa halali,kalelewa na maadili ya kidini huo ndo mnaita ushamba,???bora harmo kuliko huyo mtoto wa mtaani🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 bwana ni konde gang tu

  • @fatihiaawadhi6696
    @fatihiaawadhi6696 7 років тому +5

    kama bwai bwai tyu

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 2 роки тому +1

    Kumbe uganga toka kitambo hahahah kweli hatar

  • @juliejaphet2700
    @juliejaphet2700 2 роки тому +2

    Tandale boy anahisi yeye ndie msanii pekee Tz hapendi maendeleo ya wenzake mshirikina umenzidi🙄🙄🙄😠😠

  • @omaralmaamary6580
    @omaralmaamary6580 2 роки тому +1

    Wahe pic

  • @shabanmohammed8931
    @shabanmohammed8931 8 років тому +3

    mnafiki wewe

  • @catamandus3628
    @catamandus3628 2 роки тому

    Ndiyo maana unaumwa jeuli masikini Cha Moto umekiona

  • @zakiahamisi9840
    @zakiahamisi9840 2 роки тому +2

    Tembo munamuona muongo

  • @judithfredy6607
    @judithfredy6607 6 років тому +4

    Nae huyo mtangazaji mwenye pua kubwa mpiganishi,

  • @isayawilngton9145
    @isayawilngton9145 6 років тому +1

    Unazingua unapenda mambo ya kufwatafwatana kama madem fanya yako utatoka kaka jitahidi ali nae atakuacha pole

  • @amenashel6473
    @amenashel6473 6 років тому +1

    "Gustave" wewe ni msazi kweli unampa laana wewe ni Allaah? tuombe

  • @yassinkimolo2943
    @yassinkimolo2943 2 роки тому +2

    Lakini mbona haya hayakusemwa vipi ni baada ya dogo tu kwenda marekani kapata vijidola vyake imekua tatizo

  • @OverdozClassic
    @OverdozClassic 2 роки тому +1

    ...

  • @rachidemaulide1476
    @rachidemaulide1476 5 років тому +1

    Jamani kana uyu Jamaa ana nini

  • @johnyonas1429
    @johnyonas1429 4 роки тому +1

    Anajificha kwenye matete

  • @isackkidaso9030
    @isackkidaso9030 2 роки тому

    Aidia kila mtu anaimba sehemu

  • @charlesmbungemasai8176
    @charlesmbungemasai8176 4 роки тому +1

    Tunakoelekea ni pazur sasa

  • @lukesamson6334
    @lukesamson6334 2 роки тому

    Niliwaambia D ni mchawi tu

  • @mustaphadeo9590
    @mustaphadeo9590 2 роки тому

    Yanii umenichefuw mbona Simba ajakutaja kwanin umtaje
    Afu usicho kijuwa we ni mkubwa tutakulinganisha na ""k0nde"

  • @yusuphhussein1627
    @yusuphhussein1627 4 роки тому

    Kweli omi msenge anavyo Fanya midomo ka demu

  • @shabanmohammed8931
    @shabanmohammed8931 8 років тому +2

    diamond mkali

  • @abdallaheji1269
    @abdallaheji1269 2 роки тому

    Huyu diamond kwel ana fitna na husuda KWA kutotaka wenzie wafanikiwe

  • @sheebqpsheebqp8314
    @sheebqpsheebqp8314 7 років тому +2

    Nenda zako bwege ommi hata huku maskat tumekuchukia sana

  • @suleimansulesh8152
    @suleimansulesh8152 2 роки тому +2

    Ujinga tu huo wa Diamond umpite sasa kwani riski anatoa yeye au?

  • @jacklinemasawe8362
    @jacklinemasawe8362 7 років тому +2

    d yupo juuuu una lolote ww

  • @sharriffcharo1915
    @sharriffcharo1915 2 роки тому +1

    Huyu naye anahojiwa Kama Nani?

  • @officialdaddyboy254kenya6
    @officialdaddyboy254kenya6 2 роки тому +1

    Angalia diamond alivyosema alipoona picha za hamisa mobetto na richrose. ua-cam.com/video/q5HhgPf8aGg/v-deo.html

  • @ayansalax4053
    @ayansalax4053 4 роки тому +2

    I hate this guy diamond platnumz ni simba akuna mtu anskiliza wimbo wako mshaba ww

    • @smukelomkhize9775
      @smukelomkhize9775 2 роки тому

      Diamond Kikukuu Mguuni choko Tuu aende kwao kigoma mpakani na Burundi

  • @amenashel6473
    @amenashel6473 6 років тому

    "Gustave" wewe ni msazi kweli unampa laana wewe ni Allaah? tuombeane dua wewe unajijua kama huna laana?

  • @gustavolucian2666
    @gustavolucian2666 6 років тому +1

    Dimpo, mambo mengine ni bora unyamaze...c unaona laana hiyo uliyoipata. Sidhan kama utaweza kuimba tena.!!!!!!

  • @evaristoatanas2213
    @evaristoatanas2213 7 років тому +3

    Acha upumbavu wewe Ommy fanya yako waache usijipendekeze kwa Ali kiba siyo baba yako.

  • @saudahamis1690
    @saudahamis1690 7 років тому

    hana. lolote. shoga. kapake mafuta. yako

  • @remmyprimminc1998
    @remmyprimminc1998 7 років тому

    ww yana kuhusu nn ht km haongei na baba ake ww ni mkongwe ndio maan unamuonea chibu ni mtoto mdogo anawazid nyota nyooooo