UTALIA: BABU TALE Alivyocheza Huku Akilia Kwa Uchungu Kwenye Mazishi Ya Aliyekuwa Mke Wake

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • UTALIA: BABU TALE Alivyocheza Huku Akilia Kwa Uchungu Kwenye Mazishi Ya Aliyekuwa Mke Wake

КОМЕНТАРІ • 56

  • @moreenmichael7482
    @moreenmichael7482 4 роки тому +4

    Babu tale unacheza vzr yaan unaenda sawa na ngoma na wimbo ila pole Sana najarbu kuvaa kiatu chako lakin hakinitosh😭😭😭😭hata huko kucheza wajikaza tuuu Kwan huko namaumivu makali sana

  • @rahmanramadhan8483
    @rahmanramadhan8483 4 роки тому +3

    Ukifiwa kuna kitu kinakujia cha kukumbuka uliowazika piah ivyo apoh uenda ata taswr ya br ake Abdul bonge imemjia (kikubwa kuomba mwisho mwema ty ) @notsharoboi IG

  • @davidcurtis8556
    @davidcurtis8556 4 роки тому +3

    Hivi mnavyosema kwenye maazishi ya aliyekuwa mke wake kwani walitengana?

  • @aminatabakari2741
    @aminatabakari2741 4 роки тому +1

    Ni vema kumshukuru Mungu kwa kila jambo, imani yake ni kubwa kwa Mungu hata ingawa ana uchungu mkubwa wa kuondokewa na mwenzi wake, Mungu ampe faraja siku zote aendelee na majukumu yake na kutunza watoto kwa baraka tele🙏

  • @zainabumkanitenda5666
    @zainabumkanitenda5666 4 роки тому +1

    Pole babu tale m ungu akupe nguvu kwenye wakati hi mgumu wamajonzi

  • @faizislam2378
    @faizislam2378 4 роки тому +3

    Katika haya mazishi kuna vitu va ajabu hasa hao wanaoradi allah ma swali ala muhamad wa ally.ndo dini gani.mungu awasamee

    • @khadijaomar8427
      @khadijaomar8427 4 роки тому

      😭

    • @bintimohammed3233
      @bintimohammed3233 4 роки тому +1

      Jina la Allah yatakiwa kuanza na herufi kubwa

    • @yunaisamir2099
      @yunaisamir2099 4 роки тому +1

      @@bintimohammed3233 hahahaha mbavu zangu mie ana kosoa wengine nae ana kosolewa kuandika kwenyew hajui daah 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @davidcurtis8556
      @davidcurtis8556 4 роки тому

      @@yunaisamir2099 hili la kukosoa mbona ni kawaida maana wabongo kwa kujifanya kujua kila kila kitu sijui anadhani wote wanaoshiriki msiba wa muislamu wote ni waislamu? Au wote wameenda madrasa hapa ni kumpa sapoti na faraja mfiwa au mlitaka awe peke yake?

    • @yunaisamir2099
      @yunaisamir2099 4 роки тому

      @@davidcurtis8556 mitandao ya kijamii ina tupeleka puta sana yan mtu hta hafikirii wala kuangalia au kusikiliza kasha comments pumba daah

  • @sleimanwtwaha9983
    @sleimanwtwaha9983 4 роки тому +1

    sijui kama hawajamtoa mwezwao kafara maana haiwezekani mtu afiwe na mkewe halafu acheze mziki kamaa si uchawi kitu gani

  • @hannahwamoro8241
    @hannahwamoro8241 4 роки тому +2

    It’s so painfully

  • @hassanjuma8369
    @hassanjuma8369 4 роки тому +1

    Sasa kwenye Msiba watu wanacheza jmni?? wamepata wapi hii nguvu ya kufanya Uislamu haupo hivi Allah amrehemu Marehemu atusamehe na sisi

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 4 роки тому +2

    Mim kiukwer mnaniboa kwani mkiandika mkewe mnapungukiwa nin mpaka muandike alikuwa kwa waliachana

    • @Assam8885
      @Assam8885 4 роки тому +1

      Nkt😭😭😭😭

    • @jumamofu9573
      @jumamofu9573 4 роки тому

      Alikekuwa sababu alishakufa

    • @yunaisamir2099
      @yunaisamir2099 4 роки тому

      Kwan we elim yako mpka drasa la ngap ndugu maana hta drasa la nne anajua wakat uliopo ulio pita na kadhalika wanasema alie kuwa kwamaana yaan alisha kufa kwahyo yupo ktk wakat ulio pita

  • @mariajohnas5553
    @mariajohnas5553 3 роки тому

    Masikini sio ana cheza hiyo ndio zikili ya kislam kani furahisha sn na kuni uzunisha

  • @husseinbenson3357
    @husseinbenson3357 4 роки тому +1

    Sikuiz waislam wanazika na majeneza huku wanacheza mziki

    • @khdijaahmed8458
      @khdijaahmed8458 4 роки тому

      😂😂wallah nimechekaa kwa sauti wallah

    • @gwaraboy814
      @gwaraboy814 4 роки тому

      Kwaa akili yako inavokutumaaa

  • @esternkwabi181
    @esternkwabi181 4 роки тому

    Jamani aloyekuwa mke wake ebu waandishi muwe mnasoma na lugha ,.mizingatie lugha

  • @hawasoumare5836
    @hawasoumare5836 Рік тому

    Hum lakini dunia inakwenda wapi

  • @esterbegina1022
    @esterbegina1022 4 роки тому

    Aisee nimejikuta na mwaga machozi poleni sana wote mlioguswa na msiba huu mzito

  • @zainakipingu3488
    @zainakipingu3488 4 роки тому

    Poleni Sana jamani mpaka machoz yananitoka nikimuangalia tale mungu akutie nguvu

  • @rukkynassor2279
    @rukkynassor2279 4 роки тому

    Hizo nyimbo za kikwao kimila sikislam

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 4 роки тому

    Babu Tale anacheza kwa uchungu mkubwa

  • @sikushabani5263
    @sikushabani5263 4 роки тому

    Inaumaaa jamani kifo kisikie tu mwenzako

  • @mawananasoro4405
    @mawananasoro4405 4 роки тому

    Muridi utasimama kiama insh aallah mungu awepe mioyo ya subira

  • @jumamofu9573
    @jumamofu9573 4 роки тому +1

    Pole tale

  • @hannahwamoro8241
    @hannahwamoro8241 4 роки тому

    I feel for him sorry babu tale mungu akupee nguvu

  • @rosemarympugi5356
    @rosemarympugi5356 4 роки тому

    R. I. P shamy pole babu tale Mungu aktie ngv so sad

  • @khamseysagrado7547
    @khamseysagrado7547 4 роки тому

    Ngooooma, letelete muridi

  • @saidmussa2792
    @saidmussa2792 4 роки тому

    Mung awatie nguvu wanafamiliy wote

  • @mc_mrope
    @mc_mrope 4 роки тому

    Poleni saana familia ya Babu Tale🙏

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 4 роки тому

    Diamond kama anacheza inama ya msiba

  • @seifhamid8329
    @seifhamid8329 4 роки тому

    haya

  • @tinamuta8019
    @tinamuta8019 4 роки тому

    Pole sana

  • @faizislam2378
    @faizislam2378 4 роки тому

    Tanzania kweli kuna balaa.hayo mazishi au nnini?

  • @hajijuma4160
    @hajijuma4160 4 роки тому

    Sijaelew ni kabila lao au ni uislaam

    • @seifmohamedseif9467
      @seifmohamedseif9467 4 роки тому

      Kabila hyo hakuna kwenye uisalm hii hata wanayo sema maneno ya kilugha

  • @ravozz3301
    @ravozz3301 4 роки тому

    daah!!!! Inauma sema ndo mngu

  • @jaffdaddy6602
    @jaffdaddy6602 4 роки тому

    Amechenganikiwa boss tale kwa uchungu hayupo sawa kabsa mungu hamtie nguvu 😰

  • @zubedaaliy6821
    @zubedaaliy6821 4 роки тому

    Pole sana babu tale

  • @faridamwinyi5857
    @faridamwinyi5857 4 роки тому

    Pole tale

  • @happylusinde9215
    @happylusinde9215 4 роки тому

    Mmh