R. I. P umetangulia na sisi tuko nyuma yako safari yako inatukumbuka dunian apa tunapita tu mali zote zitabaki . Ndugu zangun km mungu amekujalia chochote kitu ambacho utaweza kula wewe na mwenzako usiwe mchoyo . Tusisahau wote tuko safarin. Mungu akupe kauli thabiti uko ulipo mumy😭😭
Mwenyezi mungu awalaze mahali pema peponi wale wote waliotangulia mbele yahaki wakiwemo nawazazi wangu
R. I. P umetangulia na sisi tuko nyuma yako safari yako inatukumbuka dunian apa tunapita tu mali zote zitabaki . Ndugu zangun km mungu amekujalia chochote kitu ambacho utaweza kula wewe na mwenzako usiwe mchoyo . Tusisahau wote tuko safarin. Mungu akupe kauli thabiti uko ulipo mumy😭😭
Poleni sana, Mungu amlaze mja wake mahali pema peponi
Inna llillah wainna ilaih rajiuna..pole sana babu tale kwa kuondokewa na mkeo..mungu amlaze pahala pema peponi
Pole babu tale mungu akupe roho ya uvumilivu
Allah amsamehe makosa yake Makubwa na madogo 🤲
R.I.P 😭😭😭 Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi amen.
Ohhh what unfair Life.. why her,,,sooo kind and great woman/ wife
Allahumma ghufirlaha warhamha waaskinaha filjannat 🤲🇧🇪
Amiin yaa rabb
Ameen ya Rabb l Alameen
Innalilahi wainailaih rajiun
Alikuwa mvumilivu pia marehemu
R.i.p
kafala hiyo
GODSON MGISHA nyooo mbwa
Exactly kafara !!
@@caropeter9460 hata Kama ye na mungu wake
Ila so vizuri kuongea hayo maneno kipindi hiki
Pole babu tale mungu Nguvu maneno ya binaddam ayashii