WILSON ORUMA AICHEKA AZAM KUBANWA NA APR, WACHAMBUZI HAWAIONI MBALI AZAM KIMATAIFA, WAMTAJA KIPRE JR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 11

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 2 місяці тому +3

    Azam shughuli yao ndiyo imeishia hapo kwenye hatua ya awali " wakiambiwa kuwa huwa wanaikamia Yanga tu,wanang'ola "

  • @aberemanwer2939
    @aberemanwer2939 2 місяці тому

    Wachambuzi wetu mnafeli sana, simba day mlisema timu dhaifu muwe mnachambua mpira achaneni na ushabiki

    • @hiddoces
      @hiddoces 2 місяці тому

      aa kumbe ni wachambuzi wenu hawa😅

  • @EmanuelMwambu
    @EmanuelMwambu 2 місяці тому +2

    Ingekuwa simba mngesema ovyo tu,ipo siku mtakuja kiri kuwa simba ni babalao

    • @maryamnofli2109
      @maryamnofli2109 2 місяці тому +1

      Kweli. Kabisaaaa ndg

    • @musamagulu2023
      @musamagulu2023 2 місяці тому +1

      Simba ni mama lao tu

    • @yohanadavid8055
      @yohanadavid8055 2 місяці тому

      Makolo wana.ubaba gani zaidi ya kubebwa na marefa na TFF yao??😂

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 2 місяці тому

    Kwani inazungumziwa habari za simba, au kiherehere?.

  • @AwadhiAbdi-lv1hd
    @AwadhiAbdi-lv1hd 2 місяці тому

    Baba mkwmpila waazamu hamna kitu wasipo ageza Kasi hawaendi popote

  • @SaidMvugalo-u2o
    @SaidMvugalo-u2o 2 місяці тому

    Simba akuna timu pare genge lawauni tu

    • @taucdulle7460
      @taucdulle7460 2 місяці тому

      Kama ulivo mhuni😅😅😅huwez jua mhun mpaka na ww ywe mhuni pia