SHEIKH MZIWANDA MAMBO YAMEKUA MAGUMU KWAKE|HANA MAJIBU YA MASWALI HAYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 5

  • @nassifsuleiman9860
    @nassifsuleiman9860 11 місяців тому +1

    Mziwanda tapeli wa lugha awadanganya watu bila shaka hana pakutokea

  • @MuhidiniNassor
    @MuhidiniNassor 11 місяців тому

    Wewe shehe una nidhamu ya woga ukiona mtu anasema sana mitandaoni ujue anaogopa

  • @jamallymohammad929
    @jamallymohammad929 11 місяців тому

    Mziwanda akubali sharti ndipo sheikh letu kasema atafanya mdahalo lkn ajibu mswali kisha akitupa majib ya maswali aloulizwa akubal ss sharti za mdahalo ndipo tufanye mdahalo na ji sufi lenu hilo

  • @mohdkhamis257
    @mohdkhamis257 11 місяців тому

    Huyo mziwanda kazi yake kucheza dufu hamna kitu humoo

  • @feysalsalum2018
    @feysalsalum2018 11 місяців тому

    Khaula ww ni shekh mkubwa na tunaamini una Elimu kubwa na upo Kwa ajili ya kuelimisha Sasa unachogoma kufanya mdahalo ni nini ?? nenda kafanye mdahalo na shekh mwenzio. Wasikilizaji Wala hatuna haja ya kupewa matokeo ila mdahalo ndio utakotoa majibu nani mchache wa Elimu na nani mjuzi.. Huku kufoka foka hakutakusaidia kitu zaidi waelevu wataamini kwamba ww ni muoga na huna Elimu ya kutosha..