Namna unavyoongea Shekhe Abuu Khaulah niwazi kua maarifa uko nayo tena mazuri sana ambayo yanapaswa yaheshimiwe. Niwazi pia kua unawaelewa vizuri sana masufi kua niwatu wa khiana na khadaa, wala sio watu wa kujadiliana na watu ili wadhihirishe haqqi, bali ubishi na un'gan'ganizi tu ndio wako nao. Bali wanapenda kudondosha mashaayikh khwa kutumia hila na khadaa tofauti. Sasa kama kweli mziwanda ni mwamba na ana haqqi ameishika aje hewani atueleze kayapokea vipi haya masharti, ili tukienda kwenye niqaash tusende kupotezeana muda. Kama walivyo fanya masufi kule kenya dj side na walimu wake, wakatupotezea muda wetu bure bila kufikia yale malengo yetu tulokua tume yaweka. Walikwepa, na walikusudia kumkwamisha Shekh Muhammad Bachu nasio kujadiliana nae kielimu. Lakini kwa bakhti njema walimkuta Shekh Muhammad Bachu yuko na maarifa mara tatu yao. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Kwaio niqaash ikaishia siondoki, siondoki, siondoki..😂 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Huu utoto hatuutaki kama mziwanda wajimudu kweli lete majibu kwanza.
Huu ni uoga wa hali ya juu amejipima kwa mziwanda ameona hatoshi ingekuwa sisi wengine angekurupuka haraka kutaka mjadala. Shekhe mziwanda kasema nendeni na hoja zenu za bidaa mkamkosoe na bidaaa yake mnafyata mkia apa kufundishana kwetu kuko wapi huku ni kupotoshana na mungu atawalipia nyinyi nyote msiotaka kutuelimisha
Huyu Abuu haula ni gogo la kiwahabi lakini nimoga kuliko kunguru naona anarukaruka tu, unajua mawahabi ni maneno mengi lakini hamna kitu na ufahamu wao ni mdogo sana sana
abuu khaulaa muogope mungu ww acha kuogopa nikashi yeye kasema shekhe walid hawez kupalulana na watoto sio yey mziwanda yeye kasemea shhekh walid sasa ww acha uhabi mwingi njoo kwenye mjadara
Kama hakuna muulizeni shekh wenu kasim mafuta amesha fanya minakasha Mara ngap? Na jee ametangaza ushindi Mara ngap? Acheni ushabik nyi mnaona kuitwa salafiyun ndio tayari n ushindi au ww ndio unajua Kila kitu yani fani zote!
@@jailaniramadhan1788 Sasa mashia utajadili nn nao wao wakat hakuna uislam kwa ushia, ushia ni mchanganyiko wa uyahud,ukristo, na umajus,Kama ushia ungekuwa uislam walau tungejadili nao
Maneno mengi jameniiiiii dooohh watu hujitokeza kwa umakini wakakaa mezani wakaanxa mdahalo lkn cjui maneno tele na ikiwa ni kueka masharti lazma muwe nyote mko apo mwapanga ayo masharti sio mmoja kueka masharti anayoyataka
Ukiangalia hapa ktk comment watu wengi wanashaur abuu khaula aende kwneye mnakasha ila cha ajabu huyo mwenye kutaka mnakasha katoa namba za simu sasa kwa namba za simu wakinakishiana ninyi mtajuaje, ingekuwa labda sheikh mziwanda kasema tukutane mahali fulani tufanye mnakasha sawa lakini katoa namba, swali je pakifanywa mnakasha kwa simu ninyi mtajuaje?
Sijawahi kuona watu vilaza kama viwahabi golo bacho Alitambaa kwa masufi leo kimyaa Sasa huyu kilaza mwengine mwenzie kasema mara moja tu yeye kila leo Ana bwabwaja ili youtu yake Alipwe Aonekane ksifanyia kazi
@@abuuruwaydatvTz Maswala ya firaq baina lmuslim Sio mambo ya kaa huku kaa kule tumtafute mshindi hapana Ebu Rudi kaangalie hayatu swahaba Au Rudi ktk kitabu kinachoitwa (Alfarqu baina lfiraq ) Ninaimani utaona ni jinsii gani tumeambiwa kuhusu namna ya kujadiliana waislamu kwa waislamu
Dawatul salafiya Allah atazidi kuihifadhi kiasi ambacho Zanzibar saivi imepatikana athari kubwa tunamuomba Allah atufishe njia ya sawa sawa ya wema waliopita.
Watakupotezea muda wako hao masufi haina haja ya mdahalo piga raddi zao bc imetosha watakuekea maji kwenye kiti wakufanyie istihzai tu ao hua hawana hoja
acha maneno mengi shekh kama kakuita huna elimu wewe umemuita hajielewi maana mnalingana Aya kubali munakasha ili tuone aie na elimu ninani na asio jielewa ninani? acha maneno mengi wewe sema nataka munakasha niandae Mimi mahala kadha taratibu zangu ni kadha basi Kisha uwone atakataa mziwanda acha maneno mengi shekh
katoa namba yasimu ili akudhihishie kuwa wewe huna elimu sasa wewe kubali ili mdhihirishie kuwa ninaelimu kuliko unavyo fikiria nenda shekh acha maneno mengi
Kasome Kwanza ndio utajuwa kama masharti yapo au hayapo usiongee tu kiushabiki kwenye mitandao utaulizwa siku yakiyama achaujasiri ambao hujui Jambo lake huu sio mpira wala siasa hii nidini
Yeye mwenyew anajua ndio maana, kweli kicchwa chko kibovu naenda tutajua kama anajielewa au hajielewi, eti comment unataka sifa kupitia comment ww na bachu
Tumeambiwa ( MUSIZOZANE NYINYI KWA NYINYI ZITAPUNGUA NGUVU ZENU MUTAWAPA USHINDI MAADUI ZENU) sasa inakuaje leo ninyi tunaowaita mashekhe munaanikana mitandaoni ? Mivutano imekua mingi Marumbano mengi Inakuaje nyinyi?
Hawa masalafi wahabbiya wamepotosha watu kwa muda mrefu sana alafu Cha ajabu wao wanasema hawana madhehebu lakini mashekhe wanaowataja na kuwa fuata wengi wao ni WA madhehebu ya imamu ahmadi bin hanbal na kilicho kizuri zaidi ni kuwa humo ndani ya madhehebu wameradiwa nawenzao kutokana na daawa Yao ya bidaa waliyoianzisha na mabidaa Yao mengi walioyazuwa pamoja na kumkufurisha imam nawawi na ibn hajari Al asqalaani na ahlusunna wengine katika الشاعرة na kitu kingine ni kwamba Kuna vitabu vingi vimeandikwa na wanazuoni WA ahlusunna waljamaa vikieleza kuwa hili ni kundi baya tena linatokana na mayahudi na ndio maana hata itikadi zao zinafanana. Ukitazama harakati zao kubwa ni kutaka kuwakufurisha waislamu na kuwagawa na kuwatia wasiwasi waislam juu ya ibada zao. Yaani Hawa kwa kifupi Wana alama nyingi ambazo zimetajwa katika hadithi za mtume.
makhulafy ama makhulafai ama makhurafi yani hata kutamka na kuandika hujui ... utaweza kutofautisha haki na batili acheni kelele uwoga huo hamna haki hamna ukweli ...
@@saba-gv3mj mtake mungu msamaha kwa kauli yako hiyo, wakat mtume yupo hai dini ilikua bado inaterema waiyo kama ilikua jambo ambalo swahaba amefanya hukmu yake inakuja kama ni sahihi au laa na ndio mfumo wa kukamilika dini wakati huo lakn baada ya kukamilia dini ibada zote tayari zimefundishwa na mtume huna nafasi ya kuleta bidaa zako kwa kisingizio,au bado kuna aya itateremka kuhalalisha hiyo bidaa yako.ndio maana mtume akasema tutumie ndimi zetu vizr kwa kauli kama hizo mara mtu humpelekea kuwa nje ya uislamu kabisa iv kuna hadithi ngp mtume ametukataza bidaa, na ww ukafanya hiyo bidaa huoni kama unampinga mtume.na jee utajuwaje kama haikubaliwi na allah.bafilika mara moja shikamana na sunna ili ifike kwa allah ukiwa umesalimika.omba msamaha kwa kauli yako na kiigizo chako iwe ni mtume,baswahaba ni watu wanapatia na kukosea acha kabisa
Sasa ww kama una ilimu mwenzako amekuita nenda usisingizie hata mussa alienda kwa firauni akiwa na nduguye madamu uko kwenye haki nenda Allah atakutosheleza ww kupambana na twarika si mchezo usije ukafundishwa kusoma tu mana mawahabi kusoma hamjui
Wewe Abu Khaulah , wacha kelele nyingi , kubali munaqasha , komiti za munaqasha za pande mbili zikutane wakubaliane masharti , mjadala ufanyinke , ama kubwekabweka sana ni dalili kuwa waogopa munaqasha wa face to face wa KIELIMU.
Kwani ndugu zangu mnadhania wale wafuasi wa hawa makhurafi wanajielewa??? Ni watu tu maskini hawana moja wajualo na wanalelewa kwa ujinga bila ilmu!! Wa illaa umeona wapi khurafi asomesha ilmu mbali na upumbavu wa maulidi na masikukuu yao kama krismasi??? Makhurafi hawajui chochote kinachitwa ilmu, ni mapilau na mabiriani akishashiba akae atetee batwil! Yani chama cha kula mapilau....
ua-cam.com/video/6cNuVyXjK3A/v-deo.html&si=_d20bPQjsHDNpYQM
shekh abuu khawlah yupo makinisana mashaallah
mziwanda haki anaijua vzr sema tu namna ya kuacha hizo bidaa ndo shida ila allah atamuongoza.
Hawezi kukizi haya mashart ya mdahalo
Namna unavyoongea Shekhe Abuu Khaulah niwazi kua maarifa uko nayo tena mazuri sana ambayo yanapaswa yaheshimiwe.
Niwazi pia kua unawaelewa vizuri sana masufi kua niwatu wa khiana na khadaa, wala sio watu wa kujadiliana na watu ili wadhihirishe haqqi, bali ubishi na un'gan'ganizi tu ndio wako nao.
Bali wanapenda kudondosha mashaayikh khwa kutumia hila na khadaa tofauti.
Sasa kama kweli mziwanda ni mwamba na ana haqqi ameishika aje hewani atueleze kayapokea vipi haya masharti, ili tukienda kwenye niqaash tusende kupotezeana muda. Kama walivyo fanya masufi kule kenya dj side na walimu wake, wakatupotezea muda wetu bure bila kufikia yale malengo yetu tulokua tume yaweka.
Walikwepa, na walikusudia kumkwamisha Shekh Muhammad Bachu nasio kujadiliana nae kielimu.
Lakini kwa bakhti njema walimkuta Shekh Muhammad Bachu yuko na maarifa mara tatu yao.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
Kwaio niqaash ikaishia siondoki, siondoki, siondoki..😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
Huu utoto hatuutaki kama mziwanda wajimudu kweli lete majibu kwanza.
Shekhe khawlah hamtomuweza ikomakinisana masufi mutalupata
Huu ni uoga wa hali ya juu amejipima kwa mziwanda ameona hatoshi ingekuwa sisi wengine angekurupuka haraka kutaka mjadala. Shekhe mziwanda kasema nendeni na hoja zenu za bidaa mkamkosoe na bidaaa yake mnafyata mkia apa kufundishana kwetu kuko wapi huku ni kupotoshana na mungu atawalipia nyinyi nyote msiotaka kutuelimisha
Mtihan sn
Maneno mengiiii kama waimbaa taaarabu yakheeh namba umepewa
Huyu Abuu haula ni gogo la kiwahabi lakini nimoga kuliko kunguru naona anarukaruka tu, unajua mawahabi ni maneno mengi lakini hamna kitu na ufahamu wao ni mdogo sana sana
abuu khaulaa muogope mungu ww acha kuogopa nikashi yeye kasema shekhe walid hawez kupalulana na watoto sio yey mziwanda yeye kasemea shhekh walid sasa ww acha uhabi mwingi njoo kwenye mjadara
Kueni makini na masufi ikiwa wanafanya khiana na dini ya Allah ni wazi zaidi kumfanyia mtu khiana
Mziwanda Jibu Hoja tuingie kwenye Mjadala
Halafu were mwenye elimu naomba tofauti ya mas-alatun khilaafiyyah na mas-alatu ikhtilaafiyyah maana sielewi
Mziwanda njaa lakini haq anaitambua. Na awezi kuweka mijadala na masalaf huu
Unataka sifa abuu khaula
Maneno mengi mwanaume kaongea mara 1 tu
Hakuna wa kupambana na daawa salafiyya, huyo mziwanda masufi wanampa kichwa tu hakuna chochote, sasa acha tuone hii inaishaje sasa
Sahihi
Kama hakuna muulizeni shekh wenu kasim mafuta amesha fanya minakasha Mara ngap? Na jee ametangaza ushindi Mara ngap? Acheni ushabik nyi mnaona kuitwa salafiyun ndio tayari n ushindi au ww ndio unajua Kila kitu yani fani zote!
@@binaamour318 hayo ndo majibu ya kila mtu wa bidaa
njoo kwa mashia
@@jailaniramadhan1788 Sasa mashia utajadili nn nao wao wakat hakuna uislam kwa ushia, ushia ni mchanganyiko wa uyahud,ukristo, na umajus,Kama ushia ungekuwa uislam walau tungejadili nao
Mziwanda ni mbabaishaji tu. Hamna kitu hapo wala hatokubali mjadala.
mwababaika wenyewe hamujababaishwa na yeyeote yule .. poleni mukiwa na haki hamuwezi kubabaika..
Muharami ni mbabaishaji munaogopa nini kukutananao
Hebu ww Abuu khaulaa acha kuzungumka zungumka ww km ni kidume njoo uwanjanii
mashart ni muhimu, kila jambo linautaratibu kumbuka haya sio mambo madogo
Unaogopa abuu khahula, porojo jongi
Maneno mengi jameniiiiii dooohh watu hujitokeza kwa umakini wakakaa mezani wakaanxa mdahalo lkn cjui maneno tele na ikiwa ni kueka masharti lazma muwe nyote mko apo mwapanga ayo masharti sio mmoja kueka masharti anayoyataka
Ukiangalia hapa ktk comment watu wengi wanashaur abuu khaula aende kwneye mnakasha ila cha ajabu huyo mwenye kutaka mnakasha katoa namba za simu sasa kwa namba za simu wakinakishiana ninyi mtajuaje, ingekuwa labda sheikh mziwanda kasema tukutane mahali fulani tufanye mnakasha sawa lakini katoa namba, swali je pakifanywa mnakasha kwa simu ninyi mtajuaje?
Akhy amini nakuambia ujinga mzigo elewa ivyo
Mwenye akili timamu atajua kuwa Depe tupu haliachi makelele..
🚶🏾♂️🚶🏾♂️🚶🏾♂️🚶🏾♂️🚶🏾♂️
Sijawahi kuona watu vilaza kama viwahabi golo bacho Alitambaa kwa masufi leo kimyaa
Sasa huyu kilaza mwengine mwenzie kasema mara moja tu yeye kila leo Ana bwabwaja ili youtu yake Alipwe Aonekane ksifanyia kazi
bachu kimya humfuatilii ndo maana,
Uzuri wa uislam inapotekea khilaf tumeambiwa turudi kwenye kitabu lakini ndugu zetu wanakimbia
acha uongo mbona ulipigiwa na bab deo tv ukaogopa masingizio hutaki kuonekana umeku mungu wewe
Ona tulipofika eti imewekwa
MZIWANDA vs KHAWLA
Aya we mbona unataka kushangaza kwaiyo hapo kosa liko wapi
@@abuuruwaydatvTz
Maswala ya firaq baina lmuslim
Sio mambo ya kaa huku kaa kule tumtafute mshindi hapana
Ebu Rudi kaangalie hayatu swahaba
Au Rudi ktk kitabu kinachoitwa
(Alfarqu baina lfiraq )
Ninaimani utaona ni jinsii gani tumeambiwa kuhusu namna ya kujadiliana waislamu kwa waislamu
@@rajabungatanda630 Wewe habibiy nadhani unaruka point KOSA KA NENO VS LIKO WAPI⁉️
Dawatul salafiya Allah atazidi kuihifadhi kiasi ambacho Zanzibar saivi imepatikana athari kubwa tunamuomba Allah atufishe njia ya sawa sawa ya wema waliopita.
Watakupotezea muda wako hao masufi haina haja ya mdahalo piga raddi zao bc imetosha watakuekea maji kwenye kiti wakufanyie istihzai tu ao hua hawana hoja
Salafy kaaeni chini jibarauzeni ila mjue mziwanda hamumuingii hata chembe ni wepesi mno utaeka masharti kama gazeti ila nakwapia hutoboi
tatizo lenu munaend na ushabiki
waambie hawatoboi hawana haki hoja waitoe wapi ndo maana waogopa wakimbia mjadala
Wee si una elimu unaogopa nn
acha maneno mengi shekh kama kakuita huna elimu wewe umemuita hajielewi maana mnalingana Aya kubali munakasha ili tuone aie na elimu ninani na asio jielewa ninani? acha maneno mengi wewe sema nataka munakasha niandae Mimi mahala kadha taratibu zangu ni kadha basi Kisha uwone atakataa mziwanda acha maneno mengi shekh
Haki unaweza kwenda popote waogopa Nini?
katoa namba yasimu ili akudhihishie kuwa wewe huna elimu sasa wewe kubali ili mdhihirishie kuwa ninaelimu kuliko unavyo fikiria nenda shekh acha maneno mengi
sawa sawa kama ume kubali bs twende kwenye nikashi sasa wacha porojo
Ivyoo vigezo vnaushaidi katk hadith....coz ninyi maneno y wanchuon hamtaki sikuzote Leo unatumia kama marejeo......wap bhn... Niny ubabaifu
Maneno yote ya nini? Subiri muda. Muda utaongea.
wallah huyu muwahab nimemaikiliza mwamzo mwisho ameogopa
Huo mfano wa swala ulioutoa sio sahihi
Kwasababu mjadala mahala pake ni katika ijmaai na Qiyaas
kasha ingia hofu huyu abu haula basi tena
Bidah imekua nikitu ambacho sikijui anachokifanya mwingine
umenifurahisha sana ... umeongea ajab 👍👍👍
muwahab yoyote aje kwa mashia mada yoyote
Hujielewi wewe
vijan wapongwe Tanga waliomba mjadala namashia barua ikatembea Kila upande kama hamkuiyona vile, ww ongea mashekh wako nitakupa namba ya vijan wa shekh qasim mafuta usijal
waulize mashia wako watanga kilicho watokea mara mbili kwa shekh qasim had wakaingia mitini
Namna unavyoongea inaonyesha uwezo wako ni duni.
Mbona mm naona ww Abuu khaulaa mbona unazungumka zungumka tu ww hebu km unajiamin kuwa tayar tu
Kasome Kwanza ndio utajuwa kama masharti yapo au hayapo usiongee tu kiushabiki kwenye mitandao utaulizwa siku yakiyama achaujasiri ambao hujui Jambo lake huu sio mpira wala siasa hii nidini
HAHAHA😂😂😂 WEWE ABUU KHAULA UNAONEKANA NI GHURAFI MKUBWA SANA WEWE..
WACHA UWOGA ..
UMEANZA UWOGA
Dawa salafiyya ni habari nyingine
Habari ya kupotosha
Salafi wahabbiya asili yake ni mayahudi muache kufarakanisha waislamu tumewastukia
MZIWANDA anatafuta cheo bakwata
Masufi hawana jipya ...wamejaa ujinga
mbona mwababaika kama muko kwa haki..
Yy kaku dogosha kama ww unahisi ni muongo nend uwanjani acha kubweka
Ili sikuzote mneno mafupi ndio huwa mazur km unanitoaa sadaka kwa mawahabi hatutaki maneno ya uwan njoo barazan 😅😅😅
Abuu khaulaa nakuhakikishia hutobowi hutobowi hutobowi yaan ww unaenda kuwabwaga mawahab km bachu alivyo wabwaga
Bachu simba wa mijiti ya bidaa nyote multiway maji
Yeye mwenyew anajua ndio maana, kweli kicchwa chko kibovu naenda tutajua kama anajielewa au hajielewi, eti comment unataka sifa kupitia comment ww na bachu
ABU KHAWLA.Umeiwasilisha haki elimu ya Munaqasha ipasvyo...haya ndugu zetu watetezi wa uzushi nanyi mwanenaje!!..?
Tumeambiwa
( MUSIZOZANE NYINYI KWA NYINYI ZITAPUNGUA NGUVU ZENU MUTAWAPA USHINDI MAADUI ZENU)
sasa inakuaje leo ninyi tunaowaita mashekhe munaanikana mitandaoni ?
Mivutano imekua mingi
Marumbano mengi
Inakuaje nyinyi?
Hapo Kuna watu wawili tofauti lazima ujuwe sheikh WA mayahudi vs shekhe WA waislam.
Hawa masalafi wahabbiya wamepotosha watu kwa muda mrefu sana alafu Cha ajabu wao wanasema hawana madhehebu lakini mashekhe wanaowataja na kuwa fuata wengi wao ni WA madhehebu ya imamu ahmadi bin hanbal na kilicho kizuri zaidi ni kuwa humo ndani ya madhehebu wameradiwa nawenzao kutokana na daawa Yao ya bidaa waliyoianzisha na mabidaa Yao mengi walioyazuwa pamoja na kumkufurisha imam nawawi na ibn hajari Al asqalaani na ahlusunna wengine katika الشاعرة na kitu kingine ni kwamba Kuna vitabu vingi vimeandikwa na wanazuoni WA ahlusunna waljamaa vikieleza kuwa hili ni kundi baya tena linatokana na mayahudi na ndio maana hata itikadi zao zinafanana. Ukitazama harakati zao kubwa ni kutaka kuwakufurisha waislamu na kuwagawa na kuwatia wasiwasi waislam juu ya ibada zao. Yaani Hawa kwa kifupi Wana alama nyingi ambazo zimetajwa katika hadithi za mtume.
Hadithi ipi ambayo imetajwa na mtume, ambayo inafananishwa na hao mnaowaita mawahabi?
Kawasilisha woga😢😢😢mnaogopa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mfa maji haachi kutapatapa abuu khawla wacha kujipa hope we njoo uwanjani kama ulivyoitwa usipindishe maneno
kila kitu kina mipango sio fujo
Kwa huyo aliyeita mwenzie kakusudia uwanjani sehem gani, au apigiwe simu ndicho alichokitaka?
Hawazi kuja muoga, Hana ishu yyte
Khawla ww ni muongo unaogopa 😅😅😅😅
Toa wewe madaaaa wacheni mashrti mingi jitokezeee
Makhulafy ni watu wa baatwil na ni watu ambao Wana khiyana lazima ukubaliane nao mapema
makhulafy ama makhulafai ama makhurafi yani hata kutamka na kuandika hujui ... utaweza kutofautisha haki na batili acheni kelele uwoga huo hamna haki hamna ukweli ...
Kwelii huna elimu njooo shindanee namimii ndosaizii yakoo huna pwentii hatamojaa utayotokaa
Hata hivo hamna kitu
Abuu khaulaa unaogopa ww km huogop kubali tu
Akubali kupiga sim au mdahalo?
Hakuna mtu wa bidaaaa mwenye elimu
Dalili ya Hilo tusaidie ndgu yangu Ili tujifunze
acha porojo we fala twende kwenye dimba hapo unamuelekeza nani hapo unaogopa tu
usimwite fala, thamani ya mtu ambae anakataza bidaa na kukata viuno anathamani mara mia kuliko mtu anaelingania bidaa na kukata viuno.
@@medimisi6930sasa ww wajua bida maswahaba wamefanya bida ngapi ama pengine hujui bida
@@saba-gv3mj mtake mungu msamaha kwa kauli yako hiyo, wakat mtume yupo hai dini ilikua bado inaterema waiyo kama ilikua jambo ambalo swahaba amefanya hukmu yake inakuja kama ni sahihi au laa na ndio mfumo wa kukamilika dini wakati huo lakn baada ya kukamilia dini ibada zote tayari zimefundishwa na mtume huna nafasi ya kuleta bidaa zako kwa kisingizio,au bado kuna aya itateremka kuhalalisha hiyo bidaa yako.ndio maana mtume akasema tutumie ndimi zetu vizr kwa kauli kama hizo mara mtu humpelekea kuwa nje ya uislamu kabisa iv kuna hadithi ngp mtume ametukataza bidaa, na ww ukafanya hiyo bidaa huoni kama unampinga mtume.na jee utajuwaje kama haikubaliwi na allah.bafilika mara moja shikamana na sunna ili ifike kwa allah ukiwa umesalimika.omba msamaha kwa kauli yako na kiigizo chako iwe ni mtume,baswahaba ni watu wanapatia na kukosea acha kabisa
Ndugu usitukane hii ni dini
Mm hata sioni haja kuweka mijadala mingine na mawahabi kwa kuwa ni kazi bure tu..tuwaachie mitandao watambe sisi tufunzeni madrasani na misikitini
Sasa ww kama una ilimu mwenzako amekuita nenda usisingizie hata mussa alienda kwa firauni akiwa na nduguye madamu uko kwenye haki nenda Allah atakutosheleza ww kupambana na twarika si mchezo usije ukafundishwa kusoma tu mana mawahabi kusoma hamjui
Nini maana ya mawahabi?
@@WazirGoma wahabi huwajui moja wao wahabi soma nyinyi mawahabi wapotoshaji sio ahlusuna
Wewe Abu Khaulah , wacha kelele nyingi , kubali munaqasha , komiti za munaqasha za pande mbili zikutane wakubaliane masharti , mjadala ufanyinke , ama kubwekabweka sana ni dalili kuwa waogopa munaqasha wa face to face wa KIELIMU.
Ndio masharti hayo kayatoa mkikubali basi semeni miongozo tutoe namba
Masikini hata hujielewi
MAWAHABI WANAOGOPA MDAHALO ..
WATABAKIA IVO IVO KUZUNGIMZIA JIKONI MWANAMME ANAWASUBIRI BARAZANII .
WEE BWEKAA WENYE AKILI WASHAJUA KUWA UNAOGOPA MDAHALO ACHA KUJITAFUTIA VIJICHAKA VYA KUJIFICHA .
USITUTAJIE MASHARTI YA MUNAKASHA WEW KAMA UNAJIWEZA ACHA KUZUNGUMZIA JIKONI , TOA NAMBA SIMBA ANAKUSUBIRI BARAZANIII ...
Mtihani masufi hawajielewi.
Kwani ndugu zangu mnadhania wale wafuasi wa hawa makhurafi wanajielewa???
Ni watu tu maskini hawana moja wajualo na wanalelewa kwa ujinga bila ilmu!! Wa illaa umeona wapi khurafi asomesha ilmu mbali na upumbavu wa maulidi na masikukuu yao kama krismasi???
Makhurafi hawajui chochote kinachitwa ilmu, ni mapilau na mabiriani akishashiba akae atetee batwil! Yani chama cha kula mapilau....
Hahahaa mawahabi hawanakitu mtabaki kulalama tu hahahaaa munaogopa nini ingia uwanjani mawahabi hakuna sharti msiogope shekh katoa namba si kwako tu hy yataifa sheikh mbona hauelewi utatoa masharti hata 100 kuogopa
Ni ipi taarifu ya uwahabi?