Kufungua Akaunti ya Uwekezaji ya UTT AMIS: Hatua kwa Hatua

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 жов 2024
  • Uwekezaji katika mifuko ya pamoja ni rahisi kuliko unavyofikiria. Ni njia nzuri ya kukuza mtaji kwa wale wenye malengo ya muda mfupi, kati na ya muda mrefu.
    Mifuko hii ni aina ya uwekezaji wa pamoja ambayo inaruhusu wawekezaji walio na malengo sawa kuwekeza fedha zao kwa pamoja kwenye jalada la dhamana au mali zingine.
    Wawekezaji (wenye vipande) hawamiliki dhamana hizo za mfuko moja kwa moja. Umiliki wa mfuko umegawanywa katika umiliki wa vipande. Kadiri mfuko unavyoongezeka au kupungua kwa thamani ndivyo thamani ya kipande huongezeka au kupungua ipasavyo. Idadi ya vipande inategemea bei ya ununuzi wa kipande,wakati wa uwekezaji na kiwango cha pesa kilichowekezwa.
    Kawaida, faida ya uwekezaji kwa wamiliki wa vipande hupatikana kwa mfumo wa gawio la mapato na kukua kwa mtaji, inayotokana na uwekezaji wa pamoja. Kila kipande kinapata mapato sawa, yaliyotokana na kiwango kilichowekezwa kama mtaji katika kipindi chochote.
    Uwekezaji katika mifuko ya uwekezaji wa pamoja, huhamisha utaalam wote wa uwekezaji kwa wale wenye uwezo wa kusimamia masuala ya uwekezaji na hao ndiyo sisi, UTT -AMIS (Wasimamizi wa Mfuko)
    soma zaidi
    "Uwekezaji wa pamoja kwa muhtasari | DHAMANA YA UWEKEZAJI NA USIMAMIZI RASILIMALI TANZANIA" www.uttamis.co...

КОМЕНТАРІ • 40

  • @marymlelwa8471
    @marymlelwa8471 Місяць тому +1

    Asanteee kaka

  • @costantinomwenda9964
    @costantinomwenda9964 4 місяці тому +4

    Kama tayali Nina vupande vya utt nifanyeje ilikupata taarifa zangu.

  • @edisonjoseph4087
    @edisonjoseph4087 Рік тому +3

    Ahsante sana

  • @petterKibona-wq2pp
    @petterKibona-wq2pp Рік тому +1

    Shukran kaka

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 2 роки тому +2

    Tunashukuru kwa elimu

  • @lucasnyerere4295
    @lucasnyerere4295 2 роки тому +1

    Thanks bro

  • @AliKhamis-k9y
    @AliKhamis-k9y 2 місяці тому +1

    Je naweza jiunga utt nikiwa nje ya Tanzania?

  • @EmmanuelMaghabiro
    @EmmanuelMaghabiro 6 місяців тому +1

    Form zipo nne naomba unielekeze namna ya kuzijaza

  • @mohamedame3423
    @mohamedame3423 2 роки тому +1

    Hatua kwa hatua

  • @FrancesJabo
    @FrancesJabo 6 місяців тому

    Elimu zaidi kwenye vipande nenda utube kasome zaid

  • @barakavlogs913
    @barakavlogs913 3 місяці тому

    Msaada nimedeposit ile initial deposit ya liquid fund 100k lakini kutumia nmb yangu lakini ni kicheck balance inaonyesha 0

  • @Shirimatunda
    @Shirimatunda Рік тому +1

    Anaeielewa hii elimu naomba maarifa

  • @maulidmtani8886
    @maulidmtani8886 2 роки тому +1

    Mmmh hakuna ujanja ujanja

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 Рік тому +2

    Na kama umeshafungua form unataka kufungua account simu yangu app unafajanje

  • @zamukahemele1505
    @zamukahemele1505 7 місяців тому

    Jmn mbona mim kila nikifungua haifunguki wala acount siipati

  • @MayambaBwere
    @MayambaBwere 8 місяців тому

    Nikiweka namba ya simu hawaleti taarifa kama nimefungua akaunti mbona?

  • @erickjohn5209
    @erickjohn5209 Рік тому +3

    Kwa mfano mm nipo simiyu nikienda crdb wananikamilishia usajili

    • @ElimikaMtandaoni
      @ElimikaMtandaoni  Рік тому +2

      Ndio ,popote ulipo Tanzania,pakiwa na tawi la CRDB unakamilisha usajili

    • @LUCKYRegnald
      @LUCKYRegnald 12 днів тому

      M nimeenda crdb wameniambia hawaungi watu wakanipa namba 150*82 sa sielew​@@ElimikaMtandaoni

  • @SalhaMsuri
    @SalhaMsuri 3 місяці тому

    Mh

  • @MayambaBwere
    @MayambaBwere 8 місяців тому

    Mimi nikifungua akaunti wanasema niweke namba ya simu niliyojisajiri,

    • @ElimikaMtandaoni
      @ElimikaMtandaoni  8 місяців тому

      Ndio namba ya simu ni muhimu ,maana akaunti yako itahusianishwa na namba yako ya simu

  • @Lora97937
    @Lora97937 7 місяців тому +1

    Naweza kufungua Account mbili kwenye App Moja?!

    • @ElimikaMtandaoni
      @ElimikaMtandaoni  7 місяців тому

      Ndio inawezekana kama ni mifuko tofauti, au iwapo utatumia line mbili tofuati

  • @christinachande2260
    @christinachande2260 2 роки тому +3

    Mimi nimeweka 100000 na nimepoteza ile namba na sijafika ofis zao je nikienda bila namba nitakubaliwa

    • @ElimikaMtandaoni
      @ElimikaMtandaoni  2 роки тому +4

      Namba ya akaunti?kama ni ya akaunti sio shida tumia namba yako ya simu kupata namba yako ya akaunti

    • @beproductive839
      @beproductive839 Рік тому +2

      Huyu muhun

  • @ggmmjasiliamalionline2746
    @ggmmjasiliamalionline2746 Рік тому +2

    Na ukienda crdb pia wanakusaidia kukamilisha form sindio

  • @JamilaMponda-ro5pb
    @JamilaMponda-ro5pb Рік тому +2

    Kwa Dar ofisi yao ipo wapi

  • @philipombwilo133
    @philipombwilo133 Рік тому

    Mbona account haifunguki?

  • @hanschid941
    @hanschid941 Рік тому +1

    Dah ingekuwa rahisi sana kama mtu unajifungulia account mwenyewe pia unakamilisha mwenyewe sio mpaka kwenda kwenye mabenk au kuna namna?

    • @ElimikaMtandaoni
      @ElimikaMtandaoni  Рік тому

      unaweza kuingia kwenye website yao, www.uttamis.co.tz download application form then unawatumia kwenye email uwekezaji@uttamis.co.tz

    • @ElimikaMtandaoni
      @ElimikaMtandaoni  Рік тому

      KYC ni muhimu ,nadhani watafanya namna ya kuiwezesha KYC online kama ilivyo kwa soko la hisa

    • @moxxboydegreat2128
      @moxxboydegreat2128 11 місяців тому

      Mbn kwenye website yao haionyeshi application form?

    • @ElimikaMtandaoni
      @ElimikaMtandaoni  11 місяців тому

      www.uttamis.co.tz/forms/scheme_account_opening_form

    • @ongowi5701
      @ongowi5701 8 місяців тому

      Asante kwa maelezo. Je mfano mimi nina account NMB bank nikishajaza form na kuwatumia online nikitaka kuanza kuchangia naweza hamisha hela kutoka NMB na kutuma huko UTT Amis au naweza kutuma kwa kutumia mfano mpesa au tigo pesa km namba ya simu niliyoandikisha wakati najaza form?