Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Powerful and Transformative
Somo Zuri sana
Dodoma branch lenu lipo wapi
Mimi naitwa Gilbert Gombeye kutoka Arusha swali langu nikiwekeza utt naweza kopa benki?
Kwa hapa Moshi KCMC mpo wapi...!??
Nisaidieni namba zenu nipate utaratibu
Arusha mpo sehemu gani nipate kuenda
Jengo la Ngorongoro karibu na ofisi ya mkuu wa mkoa
Jengo la Ngorongoro
Vipi kuhusu market crash inayokuja uta affect vipi investors wa utt
Najiungaje sasa na ofis zenu xikowapi Kwa songwe
Ofisi yenu ipo wapi mbeya?.
Faida naipataje in cash nikiihitaji
Mm ni mwanachama wa utt tangu mwaka 2006 na niliwekeza ya watoto ya kukua. Ni siku nyingi sijapata mawasiliano. Sasaivi naishi kilimanjaro nitapataje mawasiliano?
Ungefika ofisini kwao dodoma
Dar mpo wapi
Sukari House Ghorofa ya Pili. Sokoine na Ohio
Faida unaipataje yaani baada ya miaka mingapi
Faida inaongezeka kila siku.
R na L ni tatizo kwa huyu dada.Good content though.
Kwani inakuathiri usielewe au
Ata wew unatatizo kwny lugha Yako uyo ni UTT siyo mwalimu wa kiswahili
Morogoro mpo
Unaweza kukapata huduma za UTT kupitia branch za CRDB zilizopo karibu na wewe.
Kwa mbeya mko wap

R na L ni tatizo kwa huyu dada.
Good content though.