Thanks nimekuelewa vizuri sana! Naomba kujua Ina maana ukitaka kununua hisa lazima ununue kwa mtu anaye ziuza DSE? Mfano na taka nunua hisa za CRDB nilazima kununua DSE au hata CRDB wanaziuza?
Hisa haununui CRDB unanunua kwa mtu anayeuza,na mahali mnakutania(soko) ni DSE. Ndio maana kama hamna mtu anauza hisa basi order yako itakaa ubaoni mpaka atokee anayeuza
Lem ask something guys, kwenye kusajili phone number inabidi iwe ile uliosajilia NIDA au yoyote unayoitumia? Kwasababu mimi registration inakataa na naona kama shida ni number. Help me guys
Hisa ukishanunua dalali wako atahusika katika mchakato wa kuhanisha umiliki kutoka kwa aliyekuwa anazimiliki hapo awali na kuja kwako,huwa inachukua muda wa siku mpaka tano au zaidi. Hivyo sio rahisi kununua na kuza siku hiyo hiyo
Faida za hisa ni kupitia njia mbili Capital gain(ongezeko la thamani au gawio). Nimeeleza kwenye video nyingine hapo juu.....Jifunze Namna ya Kuwekeza Katika HISA na DHAMANA na Mwl. Augustino Mwogosi ua-cam.com/video/uzNgp7IDy9E/v-deo.html
Order iki expire unawasiliana na broker wako ili aingize manually, hivyo atakuelekeza pia muuzaji anataka bei gani,ukiona hauafikiani na bei husika,unawasiliana pia na broker wako atakupa utaratibu wa kurejeshewa fedha.
@@ElimikaMtandaoni tatizo hao madalali hawaonyeshi ushirikiano mimi nimesajili nimejaribu kununua lakini ipo pending na control number haijaja naomba kama unaweza nisaidia nifanyeje account nimefungua imekuja kila kitu kununua sasa ndo tabu
Hii ndo video nilikua naitafuta shukran sana 🙏
asante kwa elimu nzuri
somo zuri sana endelea kutufunza zaidi
thanks much sir
God bless you brother
Tena somo hili nimelipenda nazidi kulifuatilia nilielewe zaidi..
Thanks nimekuelewa vizuri sana! Naomba kujua Ina maana ukitaka kununua hisa lazima ununue kwa mtu anaye ziuza DSE? Mfano na taka nunua hisa za CRDB nilazima kununua DSE au hata CRDB wanaziuza?
Hisa haununui CRDB unanunua kwa mtu anayeuza,na mahali mnakutania(soko) ni DSE. Ndio maana kama hamna mtu anauza hisa basi order yako itakaa ubaoni mpaka atokee anayeuza
Mimi nafunguwa account kwsasa sipati OTP kwnn
nimejaribu kuregister kwenye app ya dse hisa kiganjani lakini kila mda inaleta error ... internal server error .... hivi shida itakua n nini
Kwema kaka, nimesahau password na csd number nafanyaje kuaccess akaunti yangu
Elimu muhimu sana. Thanks nimejifunza sana👏👏👏👏
Nipo nje ya Tanzania hivo nawezaje kutumia hisa kiganjani?
Lem ask something guys, kwenye kusajili phone number inabidi iwe ile uliosajilia NIDA au yoyote unayoitumia? Kwasababu mimi registration inakataa na naona kama shida ni number. Help me guys
Yenye jina ulilosajili na nida
@ElimikaMtandaoni shukran sana mkuu lakini niliipotezaga hii number niliyoisajilia hakuna alternative?
Mr uko vizuri ko naweza kununua hisa na kuuza kwa muda huohuo?
Hisa ukishanunua dalali wako atahusika katika mchakato wa kuhanisha umiliki kutoka kwa aliyekuwa anazimiliki hapo awali na kuja kwako,huwa inachukua muda wa siku mpaka tano au zaidi. Hivyo sio rahisi kununua na kuza siku hiyo hiyo
Hao madalali ni wafanyakazi wa hizo campuni kaka?
nielimishe vizur jinsi yakujua kununua nakujua kuuza issa
My personal review of this APP. Ni kama haijamalizika kuundwa. My worst expirience in a serious platform as this. Ni kama beta App bado
Hisa inalipa kinamna gani?
Faida za hisa ni kupitia njia mbili Capital gain(ongezeko la thamani au gawio). Nimeeleza kwenye video nyingine hapo juu.....Jifunze Namna ya Kuwekeza Katika HISA na DHAMANA na Mwl. Augustino Mwogosi
ua-cam.com/video/uzNgp7IDy9E/v-deo.html
Samahani, Nida namb yangu inakataa
Inakupa msg gani?
@@ElimikaMtandaoni please verify your nida number if is correct and try again
Haujaandika vizuri. Umeweka zile alama latikati ya namba zile za -
@@ElimikaMtandaoni sijawekaa na nimeandika vizur sijakosea maan zipo namba 20
Asante kwa somo zuri, je order yako ikiwa expired pesa zinarudishwa au kuna utaratibu gan na je ninaweza ku cancel order na kurudisha pesa yangu
Order iki expire unawasiliana na broker wako ili aingize manually, hivyo atakuelekeza pia muuzaji anataka bei gani,ukiona hauafikiani na bei husika,unawasiliana pia na broker wako atakupa utaratibu wa kurejeshewa fedha.
@@ElimikaMtandaoni okay shukrani
Naomba namna ya kujiunga na soko la hisa
Hayo ndio maelezo
Samahani je mimi katika kuweka namba ya siri nilikosea so wameifungia accont je nifanyeje
Wasiliana na DSE kupitia broker wako
Sawa je kunambinu nyingine ya kuifungua account na upya?
Mimi shida ipo kwenye kuchagua dalali
Namchagua yeyote tu bila ata mawasiliano nae na yy atakuwa ananufaika nn dalali?
csdr.co.tz/sites/default/files/documents/List%20of%20Brokers%20-%20DSE_0.pdf
KYC Wana proof kwa kutumia nin na nin
sasa kama haiko fulfuld inamaana pesa nilizonunua hisa zinarudi?
Kama haiko fulfilled itakaa ubaoni mpaka status itasoma expired. Then unawasiliana na broker wako ataiweka tena manually kwa bei unayotaka kununulia
@@ElimikaMtandaoni order ikiwa expired unaweza pata hela yako bila broker?
@@ElimikaMtandaoni tatizo hao madalali hawaonyeshi ushirikiano mimi nimesajili nimejaribu kununua lakini ipo pending na control number haijaja naomba kama unaweza nisaidia nifanyeje account nimefungua imekuja kila kitu kununua sasa ndo tabu
Kama umefuta account bahati mbaya ya dse mobile trading...unairudisha visit please🙏🙏 nsaidie nshaangaika saana
Wasiliana na dalali wako tu utatatua
Dalglish kanambia mpa dse ndo wanaweza kutatua ilo tatizo
Bro sory naomba namba yako ya watsap
Mkuu naomba mawasiliyano yako ya WhatsApp