MURO: TOBAAH!! SAJILI 6 ZA YANGA DIRISHA KUBWA NI HATARI GAMONDI ASHINDWE YEYE TU/ AZIZ, PACOME, MAX
Вставка
- Опубліковано 6 чер 2024
- #tpmazembe #timuyawananchi #tpmazembe #rajacasablanca #daimambelenyumamwiko #daimond #timuyawananchi #mkapastadium #sisco #milladayo #tanzania #utalii #simba #simbafans #tff #caf #yanga #michelo #mbwaduke #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #livestream #trendingshorts #manara #teamindia #nguvumoNukuu#mamelodi
- Спорт
Yanga baba lao
Yanga sajilini kwa umakini sehemu ambazo zunapwaya yanga izidi kuwa bora zaidi ya hii hapo🎉🎉💪💪💪
Tunataka Yanga Imara zaidi ya ile ya 2023/2024
Thanks muro
Wananchiiiiiii!
Cc Simba tutajuta😢😢😢
Fact mzeeeee
Yeah tujenge kizazi kingine cha loketo samba 💚🖤💛
Chama ndani
Acha maneo mengi
Unarudiiia maelezo eleza kwauchache ilite hamu au eleza vitu vingi tupate ladha
Amnaloote
Ila yanga. Moo vizuri
Wambie walipe madeni
Peleka patammm kwenye sajili
Lomalisa musonda.okra wasiondoke jamani
😂😂😂😂😂. Yanga mwisho wenuhuu
Mwisho wa NN?
Viongozi musibweteke na ubingwa mara3 mfulululizo tulikuwa na upinzani na team zipi sailing wachezaji wafunga magoli mikimbio ya hatari na kuwajaza magori tusiwe na pleasure za kusubili ushindi wa kibahatibahati achaneni na akina J Gwedy
mulo kumbe unaweza hivi!?
nimekukubali msonda anaweza kwanda
pia guede abaki
mzize abaki
Hiyo mara nne kwa mfululizo yanga ameshawahi kufanya hivyo
Samahani
Mpira unafatilia au una pewa story
Kweli asha wahi
Yanga bado tupo saaana msimu ujao
Rais Wetu.injinia anajua huyu mtukazi.
Sisi kama wananchi tunamhitaji skudu makudubela achezee yanga mpaka atundike daluga
Mmh ww unatafuta watu ubaya sasa 😂😂😂
Wachezaji hawa wandani imetosha tuwape mkono wa kwaheri.🇹🇿
Zawadi mauya
Nkane
Mkude
Metacha
Mkude hapan ivi uliona alivyofany vzr dhid ya mamelod pind aucho hayupo
Zawad abaki aliwasalimia simba kwa jina la muungano
Unamwachaje mkude
Mkude mtu sn
Mkude bd hit abakii 🙏🙏🙏
Yanga wachezaji 5 wa kigeni waende 7 wabaki
Lomalisa
Musonda
Okrah
Skudu
Giftfred
Hawa kwa maoni yangu imetosha💛💚🦾🙏🏾
Musonda aachwe anamovement nzuri na magoal kwenye big matches
Live kbsaaa 💛🖤💚