Mwanzo-Mwisho Mbowe, Lissu Wakizungumza Maazimio ya CHADEMA Baada ya Uchaguzi S.Mtaa 2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 112

  • @joshuahamis2738
    @joshuahamis2738 3 дні тому +6

    Ee Mungu muumba wa mbingu na nchi ninakuomba sana uwalinde na kuwakinga na mabaya viongozi wote wa chadema ambao kwa moyo mmoja kwaajili ya kupigania haki za watanzania.

    • @mangukasasali7614
      @mangukasasali7614 День тому

      Hapa ilipofika sasa ni wakat muafaka wa Mbowe kumpisha lisu

  • @glorysangova7745
    @glorysangova7745 2 дні тому +2

    Uko vizuri baba mboye hongera umejibu maswi vizuri sana

  • @AnthonyUhembe
    @AnthonyUhembe 3 дні тому +4

    Asanteni kwa tamko zuri na maelezo yakinifu kulibgana na maswali yaliyo ulizwa. Aluta continua🫶✊✌️

  • @HamisiNguche
    @HamisiNguche 3 дні тому +3

    Mungu atawalipa tu CCM. Watateketea kwa jina la YESU. Mungu atawaangamiza

  • @Momackkomba
    @Momackkomba 3 дні тому +5

    Kama leo vyombo vya habari kama ITV, AYO TV, CROWN FM na wengine wanaweka uwepo wao kwenye press ya Chama pinzani tena chama chenyewe Chadema basi hiki chama kimepambana sana......

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 3 дні тому +9

    Mbowe tuko pamoja makamanda tunawapenda

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 3 дні тому +4

    ASANTE SANA MR FREEMAN AIKAELI MBOWE UMEYAJIBU MASWALI KWA UMAHIRI MKUBWAA

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 3 дні тому +5

    Hata farao alikuwa na kiburi hivihivi aliangamizwa kwa maji

  • @DandasiKundi
    @DandasiKundi 3 дні тому +3

    Nimefuatilia sana upigaji wa kura za serikali za mitaa ulitumika wizi wa kutisha mpaka najiuliza wanaopigiwa kura za wizi wanmwongoza nani? Mungu atawaona

  • @magrethsengati2564
    @magrethsengati2564 3 дні тому +3

    Safi sana mwenyekiti jibu ni kwamba kuwa mwenyekiti wa chama lazima mtu akomaee kiakili,kikauli na misimamo bila kupoteza mwelekeo mapambano yanaendelea issue ni kwamba watu hawataki kishirikiana na wapinzani sikumkielewa mtaungana bila kulazimishwa kama ilivyotokea tegeta

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 3 дні тому +3

    ASANTEE SANA MZIMU WA MUNGU UNAOTEMBEA KWA MAJIBU MAZURI

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 3 дні тому +5

    JOTO SANA DAR. POLE SANA MWESHIMIWA MWENYE KITI

  • @charlesnkungu5458
    @charlesnkungu5458 3 дні тому +5

    Kiukweli haki inainua taifa ila kwa mfumo wa chama tawala kinavyofanya dhuluma ndio hali ya wanainch uinavyokùwa baya

  • @mohdnasser3620
    @mohdnasser3620 3 дні тому +3

    msipo shika silaha hamtashika serikali tizameni syria imeshika silaha sasa wameshika serikali fanyeni muamke

  • @geofreyjonas1287
    @geofreyjonas1287 2 дні тому

  • @patrickkalimoja5478
    @patrickkalimoja5478 3 дні тому +1

    Hii dhambi ccm itawatesa sana hata kama wanadhani wameshinda.
    Tulizowea kuandika insha za kusema udikiteta uko Zaire, sasa ni maisha yetu hapa Tanganyika.
    Mungu tusaidie maana wao wana wasiojulikana ambao wewe unawajua vyema.

  • @Thevineyard9889
    @Thevineyard9889 3 дні тому +8

    Mimi siku ya uchaguzi nilikuwa nafuatilia kupitia mitandao mchakato wote. Nilipoona kinachoendelea si uchaguzi wala upigaji kura bali ni ujinga na upuuzi mtupu, niliamua kutokwenda kupoteza muda wangu bure huko!

    • @IbrahimTabu-qh9il
      @IbrahimTabu-qh9il 3 дні тому +1

      Selikali zinawaza kulahisisha maisha yawananchi. Wanawaza kuvumbua vitu. Wao wana waza kuiba uchaguzi.

  • @mussamassawe7624
    @mussamassawe7624 3 дні тому +1

    No reform No Election 20#25....

  • @charlzlyimo1982
    @charlzlyimo1982 3 дні тому +2

    ccm
    laiti mngelijua huku mtaani raia wamewachoka! msingekuwa mnajipaka makeup ili muwavutie raia

    • @salummohamed2689
      @salummohamed2689 2 дні тому

      Kwa kweli watu wamewachoka kisawa sawa, kama itakuwa halali Kwa kura CCM haifikii asilimia 8.Polisi msicheleweshe nchi hii kupata maendeleo ya watu na viatu. Nchi ina uwezo wa kuyafanya haya Kwa pamoja.

  • @FaridSaleh-i8b
    @FaridSaleh-i8b 3 дні тому +5

    Kwa kweli Chadema ni chama mahiri sana na viongozi wake na wanachama wake, napenda kuwapeni moyo sana msikate tamaa coz CCM na serikali yake hao ni Mayahudi weusi na makaburu weusi itikadi zao ni wizi ujambazi ulaghai unafiki ghiliba za kila aina, so hao CCM wanafanya kila hila za Kiyahudi ili kufanya Chadema mkate tamaa. So msikate tamaa please. Viva Chadema.

    • @FrankMwakatundu-cu6bd
      @FrankMwakatundu-cu6bd 3 дні тому +3

      Farida Salehe nakupongeza kwa maoni yako mazuri Sana Mungu akubariki Sana.

    • @MchungajiNzelani
      @MchungajiNzelani 3 дні тому

      Usijaribu kucheza na wayahudi ohooo usiwafananishe na mambo yenu

    • @patrickkalimoja5478
      @patrickkalimoja5478 3 дні тому

      Hawana sifa kuitwa mayahudi ni wezi na vibaka inatosha.

  • @FidelisiKidungu
    @FidelisiKidungu 3 дні тому +2

    Hekooo KAMANDA MBOWE kwa Hoja makini wewe ni kiongozi makini

  • @ritamwakitalu4475
    @ritamwakitalu4475 3 дні тому

    ❤❤❤

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 3 дні тому +6

    Ccm wamepoteana imebaki ubabe tu ndo ulipo fikia ccm.

  • @AbelWabel37
    @AbelWabel37 3 дні тому +2

    mimi binafsi nakupenda sana father mboe.ila chadema mlipungua nguvu.pale mlipokimbia nchi ninyi viongozi wa ngazi za juu.wasiona uwezo wengi walikufa molali.ya mapambano..endesheni chama kwa matakwa ya wanachama wenu.wana mitazamo mizuri sana.sana.....samahani kwa lolote litakalo mkera mtu.wenyekiti wote shukeni pandisheni vijana..

  • @HezronMabeba
    @HezronMabeba 3 дні тому +1

    Chadema ni majembe matupu.

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 3 дні тому

    Ccm wamekalia viti vya moto sio vyao hasira ya mungu ikishuka hakuna atakae pona dhuluma za kura za watu ni nyingi sana mungu SI mwanadamu ameona Kila kitu wananchi kifanya watu wameuawa wao wanajiona SAWA hawatakaa salama ktk nafsi zaooo

  • @JosephSaidJikolo
    @JosephSaidJikolo 2 дні тому

    Siku chadema ikishika dola naamini kutakuwa na sherehe nchi nzima maana raia wengi tunaimani nayo

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 3 дні тому +1

    VIONGOZI JASIRI NA WAFUASI WAO WANAKUWA MAJASIRI HEKO VIONGOZI WA CHADEMA

  • @patrickkalimoja5478
    @patrickkalimoja5478 3 дні тому

    Katika mazingira yaliyo haki kabisa kabisa na huru ccm hawawezi kushindana na CHADEMA. Ni vigumu sana.

  • @dorothyminja8523
    @dorothyminja8523 3 дні тому +1

    Kuna waandishishi hapo au MACHAWA tuuu

  • @donaldbenedict5761
    @donaldbenedict5761 3 дні тому +1

    Walaaniwe police CCM

  • @VictorMwalulenga
    @VictorMwalulenga 3 дні тому

    Kiukweli ccm Iko madalakani kwakusaidiwa na vyombo vyadola, kwenye box ilishashindwa mda sana

  • @UmmyShaban-j4n
    @UmmyShaban-j4n 3 дні тому

    Kweri kabisa mungu anawaona ipo siku

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 3 дні тому +1

    hiki chama na viongozi wake pamoja na wanachama wao MUNGU WETU WA MBINGUNI NA AENDELEE KUWABAINI NA KUWALINDA

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd 3 дні тому +1

    Mwandishi wa ITV ni TUTUSA.

  • @PAULNESPHORY
    @PAULNESPHORY 3 дні тому

    Asante sana MH.JK awamu yako kuna kitu imeacha kama alama ktk demokrasia ya nchi hii.

  • @DALIGISHIJA
    @DALIGISHIJA 3 дні тому +1

    Chadema chama kinachopambana na Jeshi la polisi

  • @Gaynor1234
    @Gaynor1234 3 дні тому

    S’ingénier mbele URAIS ni CHADEMA WAPENDE WASIPENDE.

  • @jacksonmbonea7411
    @jacksonmbonea7411 3 дні тому

    Imekatisha wengi tamaa

  • @SalvatoryLaurian
    @SalvatoryLaurian 3 дні тому

    Naogopa kifungua kinywa changuu😢

  • @SixMakocho-g8e
    @SixMakocho-g8e 3 дні тому

    Nzr tushachoka san

  • @martinesongelaeli2579
    @martinesongelaeli2579 3 дні тому

    Content tupu❤

  • @HalimaRamadhani-w8l
    @HalimaRamadhani-w8l 3 дні тому +1

    Kweli kabisa 🇹🇿 tunaelekea wapi😊

  • @SwaleheMudrika
    @SwaleheMudrika 2 дні тому

    😂😂😂 nimajonzi

  • @mosaidi2633
    @mosaidi2633 3 дні тому +3

    Waandishi wa habari feki hawajitambulishi majina Yao na nyombo vya habari gani ujinga 😮😮

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 3 дні тому +2

    Unachekesha sana eti chama kikuu !... chama kikuu kina mbunge mmoja 😅😅😅

    • @Mussaphanuel-p1q
      @Mussaphanuel-p1q 3 дні тому +3

      Ili chama kikuu.kinatakiwa kiwe na wabunge wangapi? Acha shobo mjinga wewe

    • @MoEd-k8w
      @MoEd-k8w 3 дні тому

      Bila shaka chama kikuu kinatakiwe kiwe kinafanya uchafuz

    • @EliyaPaulo-uf6hh
      @EliyaPaulo-uf6hh 3 дні тому +1

      Matako weee mpuuuzi kabisa ndo nyie mnaofaidika na mikopo na mikopo yenyewe hamrejeshi mnaona mambo yapo sawa tu

    • @faustinebahenobi3412
      @faustinebahenobi3412 3 дні тому

      Wewe matako

  • @AshrafLema-n5r
    @AshrafLema-n5r 3 дні тому

    Chawa wameimba sana tu,kwasababu ya ukimya wenu! Maadam yamesemwa haya na mwenyekiti&Makamu baasi,ya chadema waachieni wanachadema. Pandeni machawa wengine lakini machawa halisi mmefeli. "Nyoosheni miguu,kunywa uji.Kwanza inakuweje nyie msiokua wanachadema muwachachagulie chadema viongozi!? Huo ni udhaifu na uoga kwamba viongozi wa chadema waliopo ni hatari kwa Ccm.

  • @shabanikigogo2444
    @shabanikigogo2444 3 дні тому

    Kwa nn wanaouliza maswali hawapewi mike??? Kwa maana hatuwasikii.

  • @NikasiMbuya
    @NikasiMbuya 2 дні тому

    Mr president

  • @DandasiKundi
    @DandasiKundi 3 дні тому

    Ninavyojua vilio na shida tunazozipata mungu atatoa hukumu tu kila jambo lina mwisho wake.

  • @MagrinZellah-tm1ng
    @MagrinZellah-tm1ng 3 дні тому

    Kama cdm wamepungua ushawishi waambie police waache vitisho maandamano yanapotangazwa kama mitaa itapitika kwa nyomi ya mwitikio wa watu

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 3 дні тому +1

    ""MTASUBIRI SANAAA """👏🏻❤️

    • @ezekielkiduge8730
      @ezekielkiduge8730 3 дні тому +2

      Kwa wizi huu wa CCM nilazima wasubiri sana hapo umesema kweli

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 3 дні тому

      ​@@ezekielkiduge8730Mungu atajibu soon kwani hawana tena miguu yao bali ya TISS na Polisi. Ngoma ikilia sana hupasuka

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 3 дні тому +3

    Kuna ukweli mwingi ktk hoja za chadema Mungu wapiganie

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 3 дні тому

    Ccm habari yao imekwisha hawana utawala tena wanakjikaza tu kwashida watubu siku inakuja mwana wa adamu yu karibu sana

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn 3 дні тому

    Wanaharakati, wanamapinduzi, CHADEMA, ACT WAZALEMDO, wapenda haki, hii ni vita na vita ya kupigania haki na ni ya muda mrefu, kikwetu: "war campaign." Hii itahusisha vitimbwi, propaganda dhidi yenu na kushindwa mapigano madogo (loose battle) mfano ni huu uchaguzi wa s'mtaa mliopoteza kimauzauza, msikate tamaa bali mjifunze kutokana na hila za "adui" mlizogundua na elimu hiyo iwaimarishe katika kusonga mbele na hatimae kushimda hii vita ya muda mrefu.

  • @AthumaniAbeid
    @AthumaniAbeid 3 дні тому +1

    Kweli waongowapo wengi mmoja wapo ni hiyu agenda zenu hazikamiliki😢 mara hiki mara kile hapo nipomna povurugwa hata wenzenu waliohama chama chenu

  • @mangukasasali7614
    @mangukasasali7614 День тому

    Nduli alaaniwe popote alipo

  • @donaldbenedict5761
    @donaldbenedict5761 3 дні тому

    Ule ulikuwa ni uhuni wa CCM wala sio dhamira thabiti ya uchaguzi huru na haki alafu kuna watu wanajipongeza eti wameshanda kwa asilimia 99 police wamekamatwa na kura kigoma kwa wote waliofanya uhuni huo wenyewe wanajua nafsi zao zinavyowasuta kwa Mungu watu ila watalipa kwa hili

  • @dorothyminja8523
    @dorothyminja8523 3 дні тому

    WENYE chuki wanaadhirika. Wapi "Kuku kishingo Msigwa"

  • @felistagerrard2375
    @felistagerrard2375 3 дні тому

    Binafsi malalamiko ya uchafuzi yalitakiwa yatoke kabla ya uchafuzi na kuambatana na maamuzi

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 3 дні тому

    Tuko pamoja

  • @boscomfundo7953
    @boscomfundo7953 3 дні тому +1

    Salute Mheshimiwa Mwenyekiti

  • @nyamwalevenance5994
    @nyamwalevenance5994 3 дні тому +1

    Hujui na hujui kuwa hujui unacholalamikia.

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 3 дні тому +2

    Mtanzania mwenye akili timamu hawezi kuichagua chadema never never!

    • @philemonsnyanda9450
      @philemonsnyanda9450 3 дні тому +1

      Wewe ambae huna akili timamu huwezi kuichagua chadema 😂

    • @faustinebahenobi3412
      @faustinebahenobi3412 3 дні тому +1

      Ni kweli😂kwasababu huna akili timamu uwezi chagua chadema

    • @HamisiNguche
      @HamisiNguche 3 дні тому +2

      Wenye AKILI wakubwa wasomi wengi wapo Chadema kuliko Chama Cha majambazi. Genge la wahalifu

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 3 дні тому

    Chadema iyo waandishi kama wote shamlashamla

  • @michaelhaule6678
    @michaelhaule6678 3 дні тому

    CDM itisheni mkutano mkubwa wa wadau wa ndani na nje kuwasilisha hoja zenu kwa kumshirikisha Rais na balozi za nje.

  • @marijanikhalifa7445
    @marijanikhalifa7445 3 дні тому

    Duh mnagombani kiti msahau mzee kasem hawez kustfu

  • @HamisiNguche
    @HamisiNguche 3 дні тому

    Yaani ccm hata waitishe mkutano siendi ng'o na viongozi wao wa mchongo

  • @nyamwalevenance5994
    @nyamwalevenance5994 3 дні тому +1

    Kama mlitambua makosa hayo kwa nini mlishiriki kwenye uchaguzi .kushiriki kwenu kwenye uchaguzi huo tafsiri yake mliridhika na utaratibu huo kuwa ni mzuri

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 3 дні тому +1

      Watu wengine bwana sijui hawasikilizi vizuri? Umeambiwa kusudio ni kuona na kubaini panapovuja na siyo kuridhia kwani kama ni kushiriki ilikuwa wanashiriki under protest!! Wewe shabikia hii laana si muda yatakukuteni kama siyo ya mocambique basi ni ya Assad na Syria yake! Mungu hadhihakiwi!

    • @IssaAlly-lp4uf
      @IssaAlly-lp4uf 3 дні тому

      Jibu lishatolewa sijui unashida ya akili

  • @LeonardUrassa
    @LeonardUrassa 3 дні тому +1

    Public coments

  • @mabalamayunga
    @mabalamayunga 3 дні тому

    Mbowe mwanasiasa kamili

  • @Stevenmwanisawa-dt5vb
    @Stevenmwanisawa-dt5vb 3 дні тому

    Waliopora uchaguzi ni wapumbavu

  • @johnlucian6167
    @johnlucian6167 3 дні тому +3

    Sasa mliendaje kwenye uchaguzi

    • @gidongailo7174
      @gidongailo7174 3 дні тому

      Wamekwenda kwenye uchaguzi kuweka ushahidi wa maovu ya CCM

    • @ShabaniHamis-fx8my
      @ShabaniHamis-fx8my 3 дні тому +2

      Haukuwa uchaguzi ilikuwa uchafuzi mpaka watu wasiojiamdikisha wamepiga kura mpaka makarani wamepiga kura zaidi nne nne hapa haikuwa wanakomolewa wapinzani Bali ni taifa limeharibiwa vibaya vijiji,vitongoji, na mitaa havijapata viongozi Halali waliopimwa na wananchi matokeo yake taifa limeingia kwenye hasara ya kukosa viongozi bora wanaotokana na wananchi

    • @FrankMwakatundu-cu6bd
      @FrankMwakatundu-cu6bd 3 дні тому

      Wandishi wengi nadhani ni wala makombo ya mafisadi wa CCM!!! Maswali Yao yanawatambulisha hivyo.

    • @felistagerrard2375
      @felistagerrard2375 3 дні тому +2

      Ndo maana nasema malalamiko haya hayana tija kwa sasa

    • @gowekogoweko5803
      @gowekogoweko5803 3 дні тому +1

      Kuweka data wa udhalimu wa maovu

  • @marijanikhalifa7445
    @marijanikhalifa7445 3 дні тому

    Mda wako umepita mzee sera zko zile zile ,bora lisu anauswawishu sera mpya

  • @feliciankavishe6792
    @feliciankavishe6792 3 дні тому +1

    Sasa maamuzi yenu kama chama niyapi ilihaya ysitokee tena....?

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 3 дні тому

    63 uhuru

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd 3 дні тому

    CCM NI UJAMBAZI MTUPU , WAMEAMUA KUISHI KWA HARAMU NA KUTAWALA KWA HARAMU!!! NI AIBU KUBWA.

  • @AthumaniAbeid
    @AthumaniAbeid 3 дні тому +1

    Wengi wanasfia ujinga TU hamna chama hapo

  • @BakariOmari-l8c
    @BakariOmari-l8c 3 дні тому

    Mbowe unaongea pumba kumbuka watu wanaongezeka kwa kuhamia hivyo hayo maotea sio kigezo cha ongezeko

  • @mohdnasser3620
    @mohdnasser3620 3 дні тому

    Hizo ni ndoto hamtopata serikali kwa maneno tu bila kushika silaha na kwahuyo mpango wenu .paka mwaka 1000 hamtapata serikali kwa maneno

  • @DandasiKundi
    @DandasiKundi 3 дні тому

    Ninavyojua vilio na shida tunazozipata mungu atatoa hukumu tu kila jambo lina mwisho wake.