Mr Lissu akili kubwa sana na vision ya hali ya juu sana, Mimi binafsi nakuelewa sana sana na kwa mtazamo wangu hakuna mtu ye yote kwa sasa anaefaa kuwa Rais wa TZ tofauti na Mr Lissu.
Hakuna mgawanyiko...mheshimiwa anaeleza namna siasa kwa sasa zilivyobadilika na kuwa ngumu, kwahiyo sanjari na siasa za chama chake, inahitaji kiishi na kutoa marudi yenye nguvu pasipo kuogopa (si kwamba hayapo hivyo, ila bali anaamini na anajiamini yeye kuwa ataweza hayo) Kwahiyo, ili kutekeleza hayo, ndiyo maana anatolea mkazo "uchaguzi huru na demokrasia" kwanza katika chama chake. N.B Mwingine ajazie jazie hapo 😅
Safi saan❤😮
Napenda sana uwepo wako na ndio maana Mungu alikutetea na ataendelea kukutetea na kukuinua.
Una mdomo mkubwa na unajua kuutumia sawa sawa 😅😅😅😅😅❤
Safi sana lisu mungu hatakuacha
Mr Lissu akili kubwa sana na vision ya hali ya juu sana, Mimi binafsi nakuelewa sana sana na kwa mtazamo wangu hakuna mtu ye yote kwa sasa anaefaa kuwa Rais wa TZ tofauti na Mr Lissu.
Kwa maoni yangu kama mwanachama wa chadema nashauli mh freeman Mbowe akae pembeni na kuwapisha wenzie kwa maslahi mapana ya chama hiki🙏🙏
Kabisa awe mshauri tu itakuwa vizuri sana
Kwahuyu lisu. Akishinda msigwa analudi chadema
Huyu ni muelewa saana
sasa nitaanza kukipenda chama
Kwan kunan jmn, Mbona km kuna mgawanyko? Anaejua naomba anfahamishe kwa hekma
Hakuna mgawanyiko...mheshimiwa anaeleza namna siasa kwa sasa zilivyobadilika na kuwa ngumu, kwahiyo sanjari na siasa za chama chake, inahitaji kiishi na kutoa marudi yenye nguvu pasipo kuogopa (si kwamba hayapo hivyo, ila bali anaamini na anajiamini yeye kuwa ataweza hayo)
Kwahiyo, ili kutekeleza hayo, ndiyo maana anatolea mkazo "uchaguzi huru na demokrasia" kwanza katika chama chake.
N.B Mwingine ajazie jazie hapo 😅
Tuunde tume huru ya uchaguzi ndani ya chama. Mimi nihitaji kuwa mjumbe
NJOO HUKU UTAPEWA UBALOZI BURUNDI 😢😢😢😢😢
Kama msigwa kapewa hata kazi ya kufagia saw😂😂
Hiki chuma kiki shika chadema cc hawata pumua
Kwani mbowe Hana roho ngumu
Siku kama hii nilikua naisubili sana mbowe mshenzi sana
Mshenzi baba ako
Mbowe kakijenga chama ad mnavo kiona Ila kwa sasa tunafaa tuwe na lisu CCM hawapendi siasa za ustaarabu
WAPO WATU HAPO WALIOTUMWA NA CCM NA MACHAWA WA WATAWALA. WANAOGOPA SANA MSIMAMO WAKO LISU. SONGA MBELE MKUU. TUKO MYUMA YAKO.
Kipindi huki kinahitaji watu. Wagumu kama lisu na sivinginevyo
Na wanao mpinga niwafuasi wa fcm
Lisu unajisumbua hakuna mwananchi atakae kuchagua wewe mwenye akili ya mangaribi
Wewe ni punguani
Mbona tulimchagua 2020?
Akili ya magharibi ndio nini?