Asante sana kwa mafundisho ak nilikosa mengi juu sikuwa na simu lkn haya yaliongelewa hapa yalinifanyikia mm kwangu nyumbani vitu vya ajabu kufa nyoka na mengineyo aah kumbe mungu analinda kweli watu wake wachawi hawana uwezo tena
MUNGU akubariki Sana mchungaji kwa neno , nimepata nguvu mpya na ujasiri wa kustaimili katika pito langu maana nimesha ombewa na ninalindwa na YESU KRISTO.
Pendo Mateo lelio chuwa asante yesu nafaham unamlinda mtumishi mmbaga yesu nafaham uliombea nafaham yote nayo pitia utanilinda na Yule mwovu yesu wangu
Amen mungu akubariki mtumishi wa mungu
Najifunza kukomaa katika kristo mchungaji....kuamini kunamaanisha mengi katika maisha
Asante sana kwa mafundisho ak nilikosa mengi juu sikuwa na simu lkn haya yaliongelewa hapa yalinifanyikia mm kwangu nyumbani vitu vya ajabu kufa nyoka na mengineyo aah kumbe mungu analinda kweli watu wake wachawi hawana uwezo tena
MUNGU akubariki Sana mchungaji kwa neno , nimepata nguvu mpya na ujasiri wa kustaimili katika pito langu maana nimesha ombewa na ninalindwa na YESU KRISTO.
Ameen
Hakika haya yanapaswa kufundisha wana na binti za Mungu, tatizo watu wanadhani ni moto mgeni! Barikiwa sana na Bwana Pastor MMBAGA 🙏🏼
Je mwanamume mchawi nae
Pendo Mateo lelio chuwa asante yesu nafaham unamlinda mtumishi mmbaga yesu nafaham uliombea nafaham yote nayo pitia utanilinda na Yule mwovu yesu wangu
Amen
Nakupata kutoka mombasa
Asante mtumishi wa Mungu aliye hai, nimeongezewa kitu barikiwe sana pastor David Mmbaga wetu🙏
Ubarikiwe mtumishi Bwana, hakika nimesikia Mungu akisema nami kupita wewe
Amen
Amen, utukufu kwa Mungu juu, mbarikiwe sana kwa huduma, hakika tumeuona mkono wa Bwana🙏🙏🙏
Barikiwa mtumishi,tunalindwa na nguvu zaungu Kwa njia ya Imani,sisi hatuwezi,nimebarikiwa na ushuhuda mama aliyekataa mtoto wake kufa
Karibu utuambie ukweli ni upi
Amina sana mchungaji huduma nzuri imenibariki
Oohhh hallelujah,yesu ni mwema sana kwetu,
Asante Mchungaji kwa neno zuri sana la MUNGU
Halleluyha Jina la YESU Christo lipewe sifa na utukufu.
Amen mr mbaga Mungu akutumie
Ansante Mungu akubariki
Thank you so much for the message be blessed
Amina!!
Yesu nashukuru kwa kuniombea sitaogopa chochote naamini katima wewe Yesu
Amen
Barikiwa mtumishi wa Mungu kwakweli mm ninajifunza mengi kwa mafundisho yako
Barikiwa sana Pastor
Nakushukuru mchungaji
Ameen
Barikiwa sana mtumishi wa mungu🙏🙏🙏
Watumishi wengi wanatufundisha habari za MUNGU kama MUNGU zaidi kuliko BABA zaidi
Wakati Baba inatufundisha ukaribu na MUNGU inafundisha zaidi uumbaji
Somo zuri sema title haijakaa sawaa
Barikiwa sana mtumishi wa mungu
Damu ya Yesu yatosha Amen Thanks Pastor
Barikiwa sana David
Amen
Nabarikiwa sana mchungaji
Ubarikiwe PR Mbaga maana nabarikiw sana na mahubir TV.
Mungu akutunze daima amina
Mungu ni mwema 🙏🙏🙏
Good massage
Be blessed
Ubarikiwe
Asante kwa somo hili
Amen Amen pastor mungu akubariki
Title haijakaa sawa...
Hmm betri iko low!!
MUNGU anisaidiye nisimuhayibishe
Nimetambuwa kama ameniamini
MuNGU akuzisishiue maarifa mtumishi 🙏🙏
Amen!
Yesu Alishatuombea kwa imani natembea kifua mbele
Amina
Ameeen
2:13
Amen 🙏🏼🙏🏼🙏🏼💗💓💖
Mmmmmmm
Mchungaji, Nani ameanza game ya freemason ni wazungu au wanigeria ?
Wazungu
@@MahubiriPrMmbaga hapo sasa
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍.
Kutoka Canada 🇨🇦 Asante kwa mafundisho mazuli.
Mungu ni Mkuu. Nakuombea Mchungaji ubarikiwe kwa mafundisho unayotupatia kututia moyo.
umenigusa 100% nasafa mpaka kesho ni mwaka sasa
Unamaanisha nini??
Amen
Ameen
Amina
Amen
Amen
Amen
Amina
Amina
Barikiwa mtumishi wa Mungu! Asante kwa mafundisho.
Amina