Kelvin naomba mtuletea shaynizer please tumemumiss sanaa naye awe miongo mwenu kwa movie, tunawapenda sanaa kutoka 🇰🇪🇰🇪tafadhali nipee likes kama unataka shaynizer back
Angalia na muda pia m nadhani mnapoteza muda sana kufanya kazi nyng ambao ungetumika kuweka series moja moja kila siku ikiisha mnabandika mzigo mpya ili mwendelee kuteka mafans wenu
Aisee Ina unyama mwingi sema tuombe msicheleweshe sna vipande vinavyofata ..... Pia jitahd iwe ndef hata daka 30 Hadi 45 hvi jamn ili story iwe inanoga . Pia atleast baada ya sku 2 tuu bas upload kipande kinachofata tusichoke sana kusubr
PART 02 ua-cam.com/video/9-qBeY--8-s/v-deo.htmlsi=wdg483WnOJFBuYAp
Wa Kwanza kutoka kusini
Kelvin naomba mtuletea shaynizer please tumemumiss sanaa naye awe miongo mwenu kwa movie, tunawapenda sanaa kutoka 🇰🇪🇰🇪tafadhali nipee likes kama unataka shaynizer back
Kabisa my ujakosea wamlete tumemiss
Popote niripona fatilia movie za donta TV kama nawewe unafatiriya gonga like
Kelvi daaa pole sanaaaaaa
Umenibowa kelvin kwanini umekubali kirahisi😂😂
Da Vick hufananii na hayo mambo bwàaaana😒😒
Una haraka ad unashindwa kutofautisha kati ya R na L Nimelia sana 😂😂😂
❤❤❤
Nakupenda Sana Kelvin huna baya kwa wanawake ila wana kupiga matukio
Vick umependeza sana
Kelvin nimuandishi mzuri sana huyo brother anaweza kabisa
Muvi nzur hii sana kipande chapili vp sasa jamb 😂😂😂 gonga like kama ume😂 ikubali
MnapiShanaje korido yenyew ndogo iyo shtuka wewe naomben na me like jaman
Napenda sana story zinazoandikwa na smith julius
Jamaa anaweza sana
Hii pia imekuja moto moto
Jamani mnajua sana aseeh... Ni hatariiiii ninapokuwa na stress mnajua kunituliza azeeeeh
Donta kimojawapo ya wasanii wazuri sana kiupande wangu nimemkubali
Angalia na muda pia m nadhani mnapoteza muda sana kufanya kazi nyng ambao ungetumika kuweka series moja moja kila siku ikiisha mnabandika mzigo mpya ili mwendelee kuteka mafans wenu
Dada Victoria Umependa snaa sna sna dada❤❤❤❤❤ Mki cheza hivo Mnapendezana sna Kaka Kelvin ❤❤❤❤❤
Kwa kweli donta kuna warembo wanachanganya haswaaaaa sasa kuna vai amekuja kwq kasi kubwa anafanya vizuri
Donta TV nawapenda sana but nikiangalia mv akiwepo kelvin roho inatulia sana
Kazi nzuri lakini mna deni la kutuambia jina la wimbo wa kwenye kesho yangu
Hillary ft assanize = kesho yangu
Yeez huo wimbo unitia moyo sana
Nyimbo kali kinoma
Nyimbo imetoka
Jina ni kesho yangu song Hadi video ipo
Vicky na kelvin mko sawa nawapenda from kenya shabiki wenu ❤❤❤😂
Kevi unapenda Sana kuwa mkeo Vick kwenye muvi nyingi tu kunausalama kweli apo Ila nawapenda sana❤❤❤❤ mugawane makopa aya
Ni wapenzi kweli kweli
Itabidi hata mover moja awe tina na kelvin mke na mme jaman tunawapenda sana❤❤❤❤
😀😀😀
@@user-ko4tl9tj5tKwani ukuona dada wa kazi mkewe alikua Tina
Akika tuna jifunza vitu vingi sana kutoka kwenu
Naona nikiamia tanzania sasa niwasalimie kidogo😂😂😂
Kelvin ukicheza na nasra asa munapendeza km muwe kwl uyo demu akizinguwa aingie nasra mchezon km kesho yngu mwanzo mwanzo ilivo kuwa tamu
Nafasi ya vick mungemueka love
Mjitahid kumakiza movie mnatoa nyingi
Mwaniboesha huyu Vicky anapendwa na bwanake lkn umalaya tu aaaaah
Nawapenda sana akii movie zenu ziko na mafunzo 🎉🎉🎉🎉
Team dota tv🗣️🗣️🗣️🗣️ popote tuko pamoja
Mashallah vick uko smart pia Nelly mauwa kwako❤❤❤❤
Kazi nzuri Sana ❤❤❤❤ makopa yawafikie nawapenda San kwa movie zenu kweli mnatuelimisha!!!
Kev na Vick mnapendezana kweli mkiwa kama mke na mme
filamu kali sana ilah sijafurahi hapo kwa kubadilisha majina ya kaka Naeli na dada Viky....alafu hivi kwani uzwazu haumnukii Kevin yani???😁
Kazi nzuri cn ila mtuwahishiage kesho yangu nawapenda ❤❤❤
Kaka kevn kipande cha pili lini move hii inatuchanganya
Naliona geto la kunambi kwenye kesho yangu
Victoria umalaya t ukwelii aah! akati mumeo anakupenda😏
Kaka kelvin nakubaki sana
Hii team Nzima naikubali sana
Kelvin napenda hizi filamu zako kazi nzuri kaka
Kelvin vp mbona ckuelew movies nyingi unapende kuigiza ukuliwa unampenda sana Vick????????
Je kuna usalama ?????????
Au ndo ------
Nawakubal san 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Viki hapo umefeli bwana kaamkq ulikuwa uhairishe kwenda huko upange mda mwengine
Dada Vicky umependeza ❤❤❤❤
Uyo nelly ety anajiita rashid. Umependeza
Niliona Kelvin lazima ni watch I love this hundsome boy from kenya
Rashid noma wewe❤😊
😢😢😢😢😢sijapenda wanavio mfanyia Kevin kabisa 😢😢😢😢
So impressed kazi nzuri Kelvin sikuizi wah umetuamulia unatupea vitu tamu tamu❤❤❤ nmeipenda sana
Yan hii donta inanifunza sana ila sasa sipati yule wa kweli ndio man natulia wacha tuendelee kujifunza sana katika move hizi
Tunaojifunza hatupati wasio sasa wanapata wanashindwa kuvitumia
Njooo mi nopo
@@user-rg8fq8fc3k nije wap sasa toa location ilokamilika😃😃😃 my wangu
Naunga mkono hoja yako et
Donta munafanya kazi mzuri sana ila kwenye kesho yangu munatuangusha sana movie munaichelewwsha sana kuitoa muda mwingine munafika adi siku 5 sio poa
Kumbukeni kama inamugarimu pesa nyingi musiwe munasahau ilo kabla yakulaumu mbona clam anacelewesha lakini sijaona lawama kamaizi
Vikiiiiii mheheee mwenzangu kope hazikupendezi mama wala make up weee natural t inakutosha mamy
Nelly na Vicky mmependeza Masha Allah nileona tu comment ya Kelvin khan 🎉🥰 lazima niitizame apoapo napenda utungaji wake❤
Tunaomkubal vick tujuanee kwa like
Hongera sana 🔥🇨🇩
Nellson amekua Rashidi iyo kali 😂😂😂😂❤
Yani kwsho yangu wamenikera sana mev nzur lakini wanatuchelwwesha sana bna paka kero
Hii movie sio nzuli
Rashidi umewaka mashallah maua kwako ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
daaaah kwel uyo mwnamke, next pleaz
Pigania space kwa you tube,tos full package
Napeda napeda❤
wa kenya tujuwane kwa like
Hapo sasa🎉🎉🎉🎉
Hapo sasa
Kazizenu mzur nazifuatilia sana ila hamumalizi
Nawanapendana kweli
Donta TV Noma san Yani nawapenda Sana jibu commentaires yangu Kelvin
Za mwizi ni arobaini, ukianza kuingiwa na wasiwasi wakati unaiba ujue zako zimefika 39, donta TV mko juu sana
😂😂😂😂😂😂
Aisee umefikiria mbali Sana.
😂😂😂 uku Nelly kawa mzuri
Kelvin napenda sana movie zako www mkaka huna baya mungu akueke jaman
❤
Ah sema vik Leo umewaka bas izonywele weee
Nelly Tena Wewe victoria Ndio hivo mm sipendii hivo
Nelly Maneno Mazuri sana Kwel mwambie asije umbuka
Vicky wamkosea Kelvin 💔 Sijapenda kabisaa
Wanawake tuna mambo sisi❤ kuzi nzuri
Move kali san 🎉🎉🎉🎉🎉❤
Vicky unapedeza🎉❤
Parabéns pelo seu trabalho Donta TV🇲🇿🔥🔥🔥🔥 Akuna matata
Movie la kitajiri hili
Kelvin uko na movies poa tunajifunza apo
daah boy's mbna tunakuwa na tamaa xana kelvin dua xana mwanang
Aki safari hii nelly, kinyozi nakubali ila kwa vicky big up umependeza sana
Nzuri❤
Nmechelewa sana kelvin team nlikuwa bmewamc sana coz now tu pamoja sana
Hii nayo itakuwa tamu Sana Jaman
Aisee Ina unyama mwingi sema tuombe msicheleweshe sna vipande vinavyofata ..... Pia jitahd iwe ndef hata daka 30 Hadi 45 hvi jamn ili story iwe inanoga . Pia atleast baada ya sku 2 tuu bas upload kipande kinachofata tusichoke sana kusubr
Nawafata kila Mara ani butamu ina achaka siko mante sana sana
Ila nelly jamn yaliyomo yamooo 😮😮 maana sio kwa unavyo jisifia we huogopii 😂😂
Inafunza sana mung awabrk
Msitu cheleweshee kesho yangu jamani
Mwambien Nelly nampenda sana😢😢😢❤❤❤❤
❤❤wanyalu tujuwane kumpa vick maua yakee🎉🎉🎉
Please part 2 donta T V
Vicki umependeza sana ❤❤❤❤
Ile muvi yakichawi hamkuimaliza neli na Kevin mnokunywa dam msituni mnatowq nyingi za nyuma hammalizi sio sawa
Vick wewe mbaya unapenda wanaume 2 utashikwa
Kelvin ww na Vicki jamani mm sijui la kusema ❤❤🎉
Mbona pain killer hamjamaliza donta family Jamani 😢
Rashid umeweza jamqni maua yako haya🎉🎉🎉❤
jaman donta TV mbona amutow mwenderezo wa vampire 😎😎
Duh noma sanaa Smith unajua kuliko yeyoteee
Mimi sijazoea kukuita Rashid, ila Nelly umeviwasha sio mchezo🎉🎉
kali sana
Mnao mkubali kelvin gonga like baasi