MISSION IMPOSSIBLE [9] SEASON 2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 1,1 тис.

  • @Chadomastafilm
    @Chadomastafilm  17 годин тому +203

    AGIZA KUTOKA OMAN AU TANZANIA chat.whatsapp.com/FQUw0VkjQBx76clgHWbOJJ

    • @FreyaMorigan
      @FreyaMorigan 17 годин тому +6

      Daaah nimengojaah saanaah asanty❤❤❤❤❤much love on this side❤❤❤❤

    • @SabrinaBon-pu8st
      @SabrinaBon-pu8st 16 годин тому +4

      Asante sana kitengo

    • @kabrazaafrica6197
      @kabrazaafrica6197 16 годин тому +4

      Nipo oman chado nataka izo t-shirt za mission impossible

    • @benimagaya5335
      @benimagaya5335 16 годин тому +3

      Kaka kazi nzuri sana hongera sana 👍👍

    • @NasriRamadhani-po1lz
      @NasriRamadhani-po1lz 16 годин тому +3

      Tulio Oman tuna pataje? Tupewe location 🎉🎉

  • @Zebuu-kp
    @Zebuu-kp 17 годин тому +177

    Chado nakubali sana nakupa sapoti siku zote kama unamkubali mwamba weka alam ya upendo na sapoti zenu muimu sana mungu awabariki wote 🎉🎉🎉🎉

    • @VaiLongo-f2f
      @VaiLongo-f2f 16 годин тому

      Kila mv nakukuta nawakibali sana kp na zebuu

    • @AminaHassan-mn4hl
      @AminaHassan-mn4hl 15 годин тому

      Plan b kp

    • @StellaKugomwa
      @StellaKugomwa 15 годин тому +1

      Lazima 2muelewee kwa 7bu anawahisha moves zakeee mapema sasa so wewe mpaka unakela moves unakaa nayoo mpaka 2naisahau

    • @Swafu0mary-g6k
      @Swafu0mary-g6k 11 годин тому

      ❤❤

    • @MuksiniAyoub
      @MuksiniAyoub 9 годин тому

      ​​@@StellaKugomwa hamna kitu apo. wanazidi kujikubali wakat bado hawajajipata kiviile

  • @AbdulkasimuDossa
    @AbdulkasimuDossa 17 годин тому +413

    Aswaliwe Mtume Muhammad saww, kwa wale wanaompenda.

  • @FidiaMutoniwase
    @FidiaMutoniwase 17 годин тому +175

    Kazi nzuri kitengo 🥰🥰 kutoka burundi tunakupenda sana team chado munipe like ata kumi🤓

    • @djrajtmk
      @djrajtmk 17 годин тому +1

      @@FidiaMutoniwase Aaaaalaaaahhh 😀😀
      Burundian 🥳🥳🥳

    • @Safinamfinanga
      @Safinamfinanga 9 годин тому

      Ukiniambia maana ya izi like nitakua nakupa Kila siku niambie zinafaida gani

  • @BabaBabalili
    @BabaBabalili 17 годин тому +130

    Jamani nyie mkoje mbona mnawai sana mnalala. Online 😂😂😂 haya team chado gonga like twende pamoja

  • @FredrickOmuse-v6c
    @FredrickOmuse-v6c 14 годин тому +25

    Kwa hii filamu ya mission impossible na wakubali sana ngwengwe mtu wa kazi ❤❤ mtu wangu sana

  • @JumaNdume
    @JumaNdume 7 годин тому +11

    Mbona sasa Kila mara nikitegeshea niwe wa kwanz Iko inashindikana lakn daah chado masta mnanionea ban, ila kazi inaenda vzur xan kabisa 🌹🌹🌹♥️♥️🔥🔥🔥

    • @Abdallahissa-s2k
      @Abdallahissa-s2k 5 годин тому +1

      Ok nakupa Siri ikifika Juma mosi saa 6 machan ingia kwenye hii Chanel ya chado mpaka saa 7 na nusu huwa ndio mda wa kuachia hizi season

    • @JumaNdume
      @JumaNdume 2 години тому +1

      Ohooh kumbe ndoivo vzur xan kabisa ndugu yangu inamaana uku marecan itakuw ni jumaa mosi asubui 👍👍

  • @KontawaOmary
    @KontawaOmary 17 годин тому +27

    Chadoo respect sana🙏🤛🤛🤛nakukubali saaan kama unaungana na mimi weka makopa kopa waone wivuu wachawi wa chado😅😅😅

  • @oxyMahewa
    @oxyMahewa 17 годин тому +27

    Da japo nimechelewa sio sanaaaaaa... Wakubwa mpo 🔥🔥🔥 sana. Wote tunamkubari chado au sio.

  • @Naema-x7p
    @Naema-x7p 11 годин тому +11

    Watu wanavipaji mkaka anachamba uyu 😂😂😂😂😂diwani leo kakipatapata nguo kazitafuna 😂😂😂😂😂😂ni bonge la move ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @NanseNanse-h5c
    @NanseNanse-h5c 16 годин тому +23

    Following from gulf ,much love Kwa kipindi chetu Cha mission impossible ❤❤

  • @JacklineBeda-bi2oh
    @JacklineBeda-bi2oh 17 годин тому +21

    Chado kaka more love kwakoo kazi ogii sana umejua kunifurahisha ulivyo vaa jeans ❤❤❤❤

  • @Elibarikijigita-r4r
    @Elibarikijigita-r4r 11 годин тому +7

    Ngwengwe mama yako katoa machozi kwa ajili yako,utayalipa tu,mungu anisamehe kama kuna mahara nilifanya mama akadondosha chozi lake.
    R.I.P OUR MOTHERS

  • @LéonardKyongozi
    @LéonardKyongozi 17 годин тому +61

    Sauti ime sikika chado master kama una penda like apa tujuwane from 🇨🇩 Congo Kolwezi

  • @ConsolataJohn-e5y
    @ConsolataJohn-e5y 14 годин тому +5

    Wew chado na kidem Jau ndo mnogesha movie bwana manyonga anakera

  • @EmmanuelJuma-o6s
    @EmmanuelJuma-o6s 7 годин тому +6

    Tunakupenda shadow kazi njema kutoka kenya❤❤❤❤

  • @RhaeemarRhaeema
    @RhaeemarRhaeema 11 годин тому +12

    Chado upo vizuri ila kusema ukwel jitaidi uimalize ii move maana unapoelekea. Unaenda kualibu kabisa sio kwaubaya lakin

    • @oliverrobert2210
      @oliverrobert2210 6 годин тому

      Kabisa na saivi inakaa hata cku 3 ndo anarusha ataanza kuboa

    • @oliverrobert2210
      @oliverrobert2210 6 годин тому

      Na akumbuke movie ni nyingi atakosa nashabiki maana ushindani ni mwingi

  • @SalimChuo
    @SalimChuo 17 годин тому +27

    Kilasiku mm dimi wakwaza ❤❤🎉kutoka Kenya nakukubali

  • @ThomasKibutwa
    @ThomasKibutwa 12 годин тому +5

    Mi mnanikosha mnavowahi, yan chombo kinawahi alafu chenyewe, mungu awasimamie mzidi sana na sana.

  • @RaymondFils-v6w
    @RaymondFils-v6w 17 годин тому +22

    Wa Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 tuko pamoja n'a chado masta natamani chado masta afike congo

  • @officialeliudcharles3817
    @officialeliudcharles3817 15 годин тому +59

    Bwana Yesu Kristo apewe sifa watoto wa Mungu

  • @omarbakarmalumbomalumbo320
    @omarbakarmalumbomalumbo320 17 годин тому +51

    Wakwanza kutoka Kenya 🇰🇪 nimewakilisha

    • @BintalyB
      @BintalyB 16 годин тому

      Tupo wengi 🤚🇰🇪🇸🇦

  • @موناعبدالله-م1ت
    @موناعبدالله-م1ت 17 годин тому +8

    Mm nimechelewa kumbe nilivyosubiri nimepitwa ako😂😂😂 naombeni like kias

  • @rosekavumbi2413
    @rosekavumbi2413 17 годин тому +7

    Wakwanza from Kenya ❤❤nipen likes zangu ❤❤much love chado 😊😊😊😊

  • @GraceJoseph-u2q
    @GraceJoseph-u2q 15 годин тому +3

    ❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂mnajua mpaka mnajua Tena aiseee sijawai kujuta kuwaangalia move zenu big up up salute ✌️✌️✌️✌️

  • @JacklinebosiboriMomanyi
    @JacklinebosiboriMomanyi 17 годин тому +10

    Upcoming new UA-camrs tupitianeni aki🎉🎉much love from kenya😂😂

  • @EspoirAsenga
    @EspoirAsenga 15 годин тому +15

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉😂😂 from Congo Lubumbashi météo

  • @PeterNguno
    @PeterNguno 14 годин тому +6

    Pole mama ngwengwe ila ndo maisha na ngwengwe najua anaendaa hata kupindua meza kwa baba yake inshallah 🎉🎉

  • @mpoletv2715
    @mpoletv2715 16 годин тому +11

    ndugu zangu kwema leo nisku nyingine tushukuru mung tumeiyona salama pia tuombe mungu tumalize mwaka salama ishallah 🙏 tuseme Emen

  • @MariamAmir-x3k
    @MariamAmir-x3k 17 годин тому +37

    Mungu tujalie wote tuvuke mwaka salama🙏

  • @SakinaKhalifa-pd6hr
    @SakinaKhalifa-pd6hr 17 годин тому +17

    Kazi nzuri tunawapenda wote ❤❤❤mungu akulinde na kila baya

  • @ourienswalee7386
    @ourienswalee7386 17 годин тому +35

    Kwa wale Toka Kenya unaangalia chado sai nipe like

  • @INFLUENCERWAYNES
    @INFLUENCERWAYNES 17 годин тому +21

    Gen z gongeni like hapaa nakuja kuwaambia kituu ya kufanya next representing 254🇰🇪🇰🇪

  • @NeemaMzur
    @NeemaMzur 15 годин тому +4

    Mchawi mpe mtoto alee...maprosoo hawezi mfanya kitu ngwengwe.....
    Mtoto ngwengwe yupo moto sana. Tunamkubali tumpe mauwa yake🎉🎉🎉🎉

  • @judithdismas2797
    @judithdismas2797 10 годин тому +6

    Chado weeeee nimefurah kumuona emmanuel kakaang ambae alimaliza apo ugombolwa diwan kayavagaaa😂🤣😂🤣

  • @MasauShida
    @MasauShida 6 годин тому +2

    Kazi nzuri sana Mr. Chado Masta🇹🇿

  • @MealiiOmar
    @MealiiOmar 10 годин тому +6

    Mission impossible nataman ishise naipenda sana tu chado upo vzur 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @JumongMiraji-w6n
    @JumongMiraji-w6n 17 годин тому +19

    Wakwanza jamani 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 bigapu yenu jamani 🙏🙏🙏🙏

  • @Mr.bossrivMr.bossriv
    @Mr.bossrivMr.bossriv 17 годин тому +14

    Wale wa chado master mpooooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉like kwangu basi hata kumi tu

  • @Lissahford
    @Lissahford 13 годин тому +5

    Oya huyo alienisuuzia diwani nimemkubali kinoma msijifanye kama hamjamuona😅😅

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 15 годин тому +3

    😂😂😂 kwakwr mm nafulai.kichambo chadiwani pambe😂😂 hongeleni wote.mloshiliki

  • @HassanLicheula
    @HassanLicheula 5 годин тому +2

    Team leader chado masta haikataiiiiii❤❤

  • @KhadijaKhatib-z2l
    @KhadijaKhatib-z2l 14 годин тому +3

    Ngwengwe umesema kweli hakuna asokua nababa atakama atazaliwa njeyandoa atakua nababa damu mzito kuliko maji tuone ndokwanza tuna anza😂😂😂😂😂😂❤

  • @gseh9277
    @gseh9277 17 годин тому +13

    Watu weuweeeeee njooni huku Chado anawaita Team kidem Jau tuna kikao leo tumjadili vdeo Queen huyu dada mbona anakuja mbioo sana 😂😂😂😂

    • @mariammohamed8499
      @mariammohamed8499 17 годин тому

      😂

    • @KisyampuMlumba
      @KisyampuMlumba 14 годин тому

      Kam kafukuzwa alikotok

    • @gseh9277
      @gseh9277 8 годин тому

      Dada yuko res sana😂😂​@@mariammohamed8499

    • @gseh9277
      @gseh9277 8 годин тому

      ​@@KisyampuMlumba😂😂😂kama kapeperushwa na Kimbunga Hidaya

  • @SabrinaMatinka
    @SabrinaMatinka 11 годин тому +3

    Dah soro ulijichnganya hapo huyo ndongwengwe muhulize Diwan chenga atakuelekeza😂😂😂

  • @AikhaOmmy
    @AikhaOmmy 16 годин тому +18

    Nawakubali wote oya wanangu ee bas mnigongee na mimi like ata nijiskie kama ninawatu jaman daa

  • @MfalmeBedi-v9e
    @MfalmeBedi-v9e 17 годин тому +7

    Wa kwanza froom Congo nipeni mauwa yangu🎉

  • @hassankalush7513
    @hassankalush7513 12 годин тому +3

    Chado mjanja kweli Yani umeimaliza sehem yenye kila mmoja yuwataman Kama inaendelea...Ila atujaona reaction ya kidemu jau na chado...likes basi nipeni njidai nami😊

  • @ErickJonhfredy
    @ErickJonhfredy 17 годин тому +5

    Imekuwa kama bahati imefika tu nimekutana nayo kiukweli iyi movie naipenda sana 🎉 kama unamukubali CHADO MASTER weka likes 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jasmineatiffuh3870
    @jasmineatiffuh3870 14 годин тому +4

    Ambae atarudisha ile million 10 ni ngwengwe nipo pale nimekaa nakunywa Azam energy chado sio mjinga amruhusu ngwengwe kwenda kwa Adui

  • @kibibiabdul5312
    @kibibiabdul5312 16 годин тому +12

    Ya leo haieleweki kabsaa,mnapoenda naona mkipoteza mwelekeo😮

    • @Thumaommy
      @Thumaommy 16 годин тому

      Kabsa ya Leo haimo

    • @EliMtanashati
      @EliMtanashati 16 годин тому

      Haibambi ngwengwe amecheza vibaya haikufaa aende kwa babake ligaidi😅

    • @SaumuNyale-s6h
      @SaumuNyale-s6h 16 годин тому

      Haelwk vipi sasa

  • @NeemaBandika-i3u
    @NeemaBandika-i3u 13 годин тому +2

    Wakwanza kutoka kenya 🇰🇪 😍..kenya imekubali chado masta

  • @JosephineJoneslucas
    @JosephineJoneslucas 14 годин тому +3

    Afu natafuta mchumba awe na roho nzur km chado na afu akaze km chado yaan ata mwanamke amtake vp akomae...big p chado.

  • @fatumajuma9388
    @fatumajuma9388 12 годин тому

    Ngwengwe umeamua kumsaliti mmako jmn😢😢😢 Anyway much love from 🇰🇪❤️

  • @LuskawiSaid
    @LuskawiSaid 13 годин тому +3

    Mbaya Zaidi mgombea udiwani Kawa dobi 😂😂😂 mission Haina mpinzani 2024

  • @Wanbullet
    @Wanbullet 7 годин тому

    Chado masta AKA kitengo mwenyewe kazi Iko safi tuikubali sana tukiwa kenya

  • @PiusRumba
    @PiusRumba 16 годин тому +4

    Mungu akuongoze katika kazi yako chado masta ❤❤❤🎉

  • @shuusuu301
    @shuusuu301 8 годин тому

    Hii ndo I like ,,,Mautamu yanzd kunog,,alfu mbiombio zte manyonga kumbe wtk kafara y Ngwengwe😂😂😂 aaah bn weee ktfute uyo dem bikra tuu 🥳🥳🥳 utuachie kijn wetu🤸🤸 alfu mnajua n mnajua tn

  • @GodfreyyusuphBobg
    @GodfreyyusuphBobg 17 годин тому +14

    YEAH Kam I movíe inakubamba weka like apo 🎉

  • @SafiaAlawi08
    @SafiaAlawi08 5 годин тому

    I like the way boda boda walivyo mkingia kifu ngwengwe kwa kijicho ❤ mungu awabariki boda boda wote awajaalie ridhi zinazo endelea na sikudidimia

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 17 годин тому +7

    Wakwanza kidemu jau tuliza kipwito wauni wasebenze😅😅😅

  • @AnnickNimpye
    @AnnickNimpye 11 годин тому +2

    Nawapnda bure jaman ila uyu kijan wa rasta nilitokea kumupnda uyu anay dai jembe❤ mnibaiy namba bas

  • @SalmaOmari-x4i
    @SalmaOmari-x4i 15 годин тому +14

    Kama umemkubali kaka aliemchamba Diwan gonga like

  • @jameskinuthia1472
    @jameskinuthia1472 17 годин тому +8

    Hongera...kenya tuko ndani ya kamati

  • @dtv6734
    @dtv6734 9 годин тому

    Dah!!!! Kubababake!!!
    Mtoto alitaka Kumtoa Kafara, Leo Mtoto kakua ! anaanza kumtaka! Huu c usenge😐 Haya dogo, Umekubali mwenyewe, nenda Ukafe......

  • @EsmailSalimo-u8x
    @EsmailSalimo-u8x 17 годин тому +8

    Wakwanza mimi❤❤❤ gonga like kama unapenda missiom
    Cadodo🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 13 годин тому +2

    Chado daa usikubali wanawake wakuharibu hakili yani your very handsome afu unaakili mingi ata sie wanawake tunatabia za kuchezea wanaume😢😢😢

  • @biommy6700
    @biommy6700 15 годин тому +7

    Mwenye naamini ngwengwe master aendi kwa babake kizembe gonga like twende Sawa...atarudi tu kwa mamake.. Atajua ajui Mr manyonga maji yamefwata mkondo

  • @neemamabena-xx5er
    @neemamabena-xx5er 14 годин тому +1

    Li manyonga likiamua kubembeleza mwanamke linajua 😂😂

  • @michaelmsouth45
    @michaelmsouth45 17 годин тому +5

    😢😢Dkk zetu 10 again chado umetupg changa but still work brw💪💪

  • @VanessaCharles-b9g
    @VanessaCharles-b9g 8 годин тому +1

    Ninechekewa ila huy anae mchamba Diwan uwii nikajua Uncle T mie😅😅😅

  • @Ellybeny
    @Ellybeny 11 годин тому +4

    Mama ngwengwe muache aende,,,, kama baba ni mbaya mtoto atauona ubaya mwenyew!!! Mimi ni shahidi namba moja wa historia hii ya ngwengwe!!!
    Nilikuwa bila baba ukubwan nikamtafuta mwenyew nikaishi nae kwa sku kadhaa!!! Nikamlipia mpka naul kumrudisha kwao alipokulia,,, nikakaa nae kwao lakin hakua na mabadiliko yyte ya tabia yake mbovu!!!
    Mpk leo yupo yupo tu,,, stawah kumlaumu mama nilijionea kila kitu!!

  • @ButoyiRukiya
    @ButoyiRukiya 11 годин тому

    Duuuh Ngwengwe😢 ngoja nisubiri utakapo onana na Baba yako😂

  • @salumsamson6886
    @salumsamson6886 16 годин тому +18

    Oyaa Kuna huyo alefuliwa nguo na diwani😅😅au hamjamuona

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 11 годин тому

    Ngwengwe unamambo 😂😂😂😂unataka kumuuwa mama yako na presha😂😂😂

  • @ClemenceChawe
    @ClemenceChawe 17 годин тому +6

    Hongera kwa kazi nzuri CHADO kitengo

  • @Diyankurze
    @Diyankurze 17 годин тому +13

    Muheshimiwa diwani anachambwa na kumbuka au mtu tu katumwa nakijiji😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 jmn diwani nachoka mmm
    diwan arudie tu utapeli wake wa kiaskari huku kwa diwan watamkondesha😂😂😂

    • @Awoshy
      @Awoshy 16 годин тому

      Ooh sijapenda kwa nini amchambe diwani wetu jamani 😂😂😂😂

  • @rahmabaraka-f9y
    @rahmabaraka-f9y 7 годин тому +1

    Mmh ilo biwi lamsaidizi wa diwani so powa😂

  • @AnrietteMamy
    @AnrietteMamy 15 годин тому +3

    Kazi nzuri chado from burundi 🇧🇮🇧🇮

  • @MarolaRola-z9c
    @MarolaRola-z9c 8 годин тому

    Hongereni team chado kwa kazi mzuri ,God bless all 👏👏👏👏

  • @HassanPyagula
    @HassanPyagula 17 годин тому +7

    wakwanza from Dubai naomben likeee😂😂

  • @AdamAdam-b2h
    @AdamAdam-b2h 5 годин тому

    ❤❤❤❤❤ chado umeuwa hongereni san tunawakubali sana huku zanziba

  • @OmarShevo
    @OmarShevo 17 годин тому +11

    Wakwanza Leo jamani chadoo mambo mbyaa

  • @Mariamsalim-u7t
    @Mariamsalim-u7t 8 годин тому

    😂😂😂iyo mikono mijembe 🙌😂😂😂uyu ndug yake doct kumbuka

  • @nasrangatanda
    @nasrangatanda 17 годин тому +3

    Dakika moja comment mia😂😂😂tim chado nyinyi ni strong sana nawapenda sa naa❤❤

  • @JosephomariMaishaniyamungu
    @JosephomariMaishaniyamungu 6 годин тому

    Chado nakufatiliya kilashiku kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 kazi nzuri sana brow

  • @DanielNkukuma
    @DanielNkukuma 17 годин тому +11

    Bom trabalho 🇲🇿 Moçambique

    • @MbuliMbuzi
      @MbuliMbuzi 10 годин тому

      Pamoja kk 🇲🇿🇲🇿

  • @NasraBakari-r4l
    @NasraBakari-r4l 7 годин тому

    Huyu kaka naomba asajiliwe rasmi CHADO MASTER FILM😂😂😂😂😂😂🙌

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 12 годин тому +3

    babu upo sawa mzee au ndiyo
    amna kitu maana duh saut
    kama doctor kumbuka wew unaengea
    na diwan

    • @jafarijuma2514
      @jafarijuma2514 8 годин тому

      Choko yule sauti dar chado asimwekete choko huyu eti wewe dobi au diwani

  • @UstadhiRai
    @UstadhiRai 6 годин тому

    Mzee wa misumari chukua viungo vyake huyu shombi shombi😂 vina bei sana.wapi like ya mwishimiwa😊😊😊kikofia

  • @erickilonzo970
    @erickilonzo970 17 годин тому +8

    WA kwanza from Kenya 💝

  • @Amina-v3z
    @Amina-v3z 16 годин тому +2

    S.A.W jomn jomn chadoooo mamb ni motoooo nipo oman ila nakupat vilivooo ❤❤❤

  • @IreneIsambi
    @IreneIsambi 16 годин тому +3

    Chado ulomantic si ndiyo I like mbona sikuoni na najma tena

  • @Elibarikijigita-r4r
    @Elibarikijigita-r4r 11 годин тому +2

    Nilitamani kijicho akutane na chado na mama ngwengwe 😂😂😂😂😂😂

  • @HatibuRajabu-p5q
    @HatibuRajabu-p5q 12 годин тому +6

    Mwenyezi mungu ni mkubwa kama unamuamini mungu gonga like apa

  • @marymele9714
    @marymele9714 12 годин тому

    😂😂huyu mwanaume Kwa kuchamba nae Diwan kz unayo😂😂

  • @maplanitv
    @maplanitv 17 годин тому +7

    Hata Mimi nikiwa wa nine siyo vibaya team chado 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 nipate like zangu hata moja tu

  • @Ummy-cr9nf
    @Ummy-cr9nf 11 годин тому +1

    Jamniii mama ngwengwe watoto wa SAS hafichwi ukweli 😢😢

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 17 годин тому +53

    Asalaamu walekum utakayesoma hii comment mungu akupe hitaji la moyo wako 🤲💕🤲💗💕🤲💗💕🤲💗🇹🇿🤲💗🇹🇿🤲💕🤲💗💕🤲

  • @mussamakinda8076
    @mussamakinda8076 13 годин тому

    Huyu diwan naye sura mbaya kwa udiwan huu mbona kaz ipo😂😂😂😂😂😂😂😂