Hki kisa chako kiboko.ukipeleka Hollywood au Bollywood unapiga hela ndefu.Nakumbuka picha ya kihindi inaitwa nagin na nyoka anaongea.Lakini ya hii nyoka kuongea na kuingia tumboni ni Kali Sana.Sijui sheikhe ametoa kwenye kitabu gani kilicho sahihi au chakutungwa tu?
@@khuiii9032visa vingine haviingii akili I hata kidogo.ushawahi kusikia katika mitume 124000 ya mungu kufanya haya.kumeza nyoka mdomoni?jiongeze akili Yako.Ndio maana nikasema kwenye sinema ndio vinaoneshwa visa hivi
Kumbuka kama ww n muisilam,ila kama huna kumbukumbu basi fanya haya au fuatilia vizuri utaelewa,hatumii maneno yake ila anatumia maneno maneno matukufu ya quran
@@mbarakahussein9107 wapi kwenye Quran au Hadith sahihi za mtume Kuna story za mtu kummeza nyoka mdomoni zaidi ya kuona kwenye picha za kihindi.Angalia picha ya kihindi inaitwa nagin ndio utaona nyoka anaongea.Neno story za ukweli kwenye dini hakuna.Tunataka dalili.
Shukran sheikh
Allah akuhifadhi sheikh wetu
MAA Shaa Allah barka llahu fika Shaikh 🤲🏻🤲🏻❤️kisa kizur nimeelimika Alhmdulillah 🤲🏻
Maashaallah kisa kizur Allah akujaze kher
Allhamdulilah kisa kinamafunzo sana,Shukran Shekhe Rusaganya
Amiin Amiin Amiin Ya Rabbal Al Amiin
Subhana ALLAH. Hasbuna Allahu Waniemal Wakeel
Allah atujaalie miongoni mwa wenye kufanya mema inshallah Mwenyezi Mungu atujaalie ameen
Jazaakallah kheir
Mashallah. Rabi tuzidishie imani na ucha Mungu.
Subhanalllah
Jazakallahu khair.
MashaAllah MashaAllah
Mmungu akubarik Shk Hashim. Tumesoma tumefaidika
Allah atujaalie tue miongoni mwa wenye kufanya mema.
Allah atujaalie tuwe wa kwenda peponi
Mashalllah kweli kabisa
Wema hauozi na ubaya hausauliki.. Maashaallah
Jazzakumllah Khery
Aaaallllah huma amin
Maashallah mwamba
Masha Allah
Allahu Akbar
Mashallah
Hii dua ingeandikwa hapa ingekuwa bora tukaihifadhi kwa usahihi
Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar
Shukran
Kila mara wenye tunao wafanyia wema njoo wenye kutudhuru
سبحان الله
All kg
Satan can never be trusted. He Is the hippocrit of the highest order
Hki kisa chako kiboko.ukipeleka Hollywood au Bollywood unapiga hela ndefu.Nakumbuka picha ya kihindi inaitwa nagin na nyoka anaongea.Lakini ya hii nyoka kuongea na kuingia tumboni ni Kali Sana.Sijui sheikhe ametoa kwenye kitabu gani kilicho sahihi au chakutungwa tu?
Maneno ya ufethuli hayo na kejeli
@@khuiii9032visa vingine haviingii akili I hata kidogo.ushawahi kusikia katika mitume 124000 ya mungu kufanya haya.kumeza nyoka mdomoni?jiongeze akili Yako.Ndio maana nikasema kwenye sinema ndio vinaoneshwa visa hivi
Kumbuka kama ww n muisilam,ila kama huna kumbukumbu basi fanya haya au fuatilia vizuri utaelewa,hatumii maneno yake ila anatumia maneno maneno matukufu ya quran
@@mbarakahussein9107 wapi kwenye Quran au Hadith sahihi za mtume Kuna story za mtu kummeza nyoka mdomoni zaidi ya kuona kwenye picha za kihindi.Angalia picha ya kihindi inaitwa nagin ndio utaona nyoka anaongea.Neno story za ukweli kwenye dini hakuna.Tunataka dalili.
We kama ni muislam kwel usingeuliza hil swal jaman kafafanua vitabu kivubwa viwil bukhar na muslim zaid ya hapo usihoj sana ukakufuru