Kisa Cha Imaam Na Mama Omba Omba / Watu Wema Hujificha / Sheikh Hashim Rusaganya

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024
  • Kisa Cha Imaam Na Mama Omba Omba / Watu Wema Hujificha / Sheikh Hashim Rusaganya
    Darsa la tafsiri Mwinyimkuu 2021 la mwezi Muharramii mwaka 1443H lilotolewa na sheikh Hashimu Rusaganya kwa uzuri na ubora wa hali juu kabisa tiizama na endelea kufatilia darsa zetu na usisahau kushare kwa wingi
    usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
    Support us DARSA TV
    M-PESA +255 765100906
    Paypal 👇👇👇👇
    paypal.me/Dars...
    Get MORE of DARSA TV:
    ► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
    ► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
    ► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
    Subscribe
    Comment
    Like
    And
    Thanks

КОМЕНТАРІ • 81

  • @w4058
    @w4058 2 роки тому +32

    Huyu Sheikh nampenda sana Allah amzidishie Yaarabiy

  • @athumanindauka9023
    @athumanindauka9023 2 роки тому +5

    Mashallah shekhe mawaidha yako yanaingia ktk nafsi Na yanatia iman wallahi Allah akulipe kila la kheri

  • @feiswalislam8465
    @feiswalislam8465 2 роки тому +5

    AA ishallah mungu atakupa malipo yako kesho akhera amen 🙏

  • @mwanamisirama1836
    @mwanamisirama1836 2 роки тому +10

    Masha,Allah tabarakallAlla sheikh umenielimisha Allah akuzidishie elimu ya hapa duniani na kesho Akhera yaraab🤲🤲

  • @mejumaaabuu618
    @mejumaaabuu618 Рік тому

    Mashaallah sheikh wetu mungu akupe umri uzidi kutuelimisha.

  • @mwanarusichambo6760
    @mwanarusichambo6760 2 роки тому

    Masha Allah sheikh nakumaindi

  • @neemainabikorwa5570
    @neemainabikorwa5570 3 роки тому +20

    Walaikum salam warahmatullah wabarakatuh, Allahumma Amiiyn. Allah akuhifadhi akupe mema duniani na kesho Akhera, na akupe umri mrefu wenye kheri na bakara uzidi kutuelimisha.

    • @samirasalim4203
      @samirasalim4203 2 роки тому +1

      Aameen Yaaraabi 🙏

    • @ahmedkhamis4112
      @ahmedkhamis4112 2 роки тому +1

      Bismlahi rrahman rahim wasalatu wasala ala rasulilah allahumasali ala Muhammad yarabi sali alayhi wasalam tunamuomba Allah sw ampe umri wenye afya nzuri na aendelee kuwaelimisha waislam na watu wengine na amlipe mema peponi

  • @nassorohamis3117
    @nassorohamis3117 Рік тому

    Shukran shekhe Allah akulipe

  • @harounsalim927
    @harounsalim927 Рік тому

    Jaza ka ALLAH KHAIRA KATHIRA AANA YA SHEIKH RUSAGANYA HASHEM

  • @sabrinayounisaden7238
    @sabrinayounisaden7238 Рік тому

    JazaakAllah shiekh .

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 Рік тому

    Mwenyezi Mungu akulinde Shekhe....uendelee kutupa ilimu.

  • @AliHassan-oe8sy
    @AliHassan-oe8sy 3 роки тому +6

    Alhamdulilah Allah azidi kukupa afya njema Shehe uzidi kutupa elimu

  • @Khairaat.
    @Khairaat. 2 роки тому

    Mashallah Jazakallah Kheir

  • @mwanashaswaleh3232
    @mwanashaswaleh3232 2 роки тому +2

    Masha Allah.Allah atuongeze sote kwenye mambo mema insha Allah.🙏

  • @ashooraashoora1180
    @ashooraashoora1180 2 роки тому +2

    Jazzakumllah Khery

  • @AbdullahAlZaabi-on4tb
    @AbdullahAlZaabi-on4tb 5 місяців тому

    Maashaallah.

  • @tumhaji8967
    @tumhaji8967 2 роки тому +1

    Mashalla mungu akujaalie mwisho mwema pamoja na ss

  • @aishawangui6635
    @aishawangui6635 2 роки тому +1

    Hayamafundisho naya amini kabisa imetoka kwa Allah na rasullullah sallallahu walihi wasalam..sheikh ametukumbusha Mola amlipe na mema duniani na keso akhera ameen

  • @leylaramadhan8827
    @leylaramadhan8827 2 роки тому +1

    Ma sha allah nmejifunza mengi mno kupitia hii alhamdulilah

  • @rayaallbusaidi2541
    @rayaallbusaidi2541 2 роки тому +1

    Shukran tumepata faida Allah akupe kila la kheir uzima na furaha janaa firdaus.🤲🤲

  • @abdulhakimhasan7673
    @abdulhakimhasan7673 2 роки тому +4

    Pengo la nuru , waislamu wadokeze , ili wanusurike na nguvu kuipata , Insha Allah .

  • @irakozeabubakar3223
    @irakozeabubakar3223 2 роки тому +1

    Amina
    Sheh allah akulipe amin

  • @assilaa2007
    @assilaa2007 2 роки тому +1

    Mashallah baraka llah fiq Sheikh wetu😍

  • @abdulmajidiibrahimu3338
    @abdulmajidiibrahimu3338 2 роки тому +1

    Allah akulipe asant kwakutuelimisha shekh

  • @ashashaban6484
    @ashashaban6484 2 роки тому +1

    Mashallah mashallah Allah akulipe kila la kheri inshallah

  • @hamidanassor7077
    @hamidanassor7077 2 роки тому +1

    Alaah akujalie kwa dawa uliyotupatia

  • @faridahramadhan7180
    @faridahramadhan7180 2 роки тому

    MashaAllah mwenyezi Mungu akongeze elmu uweze kutuelimisha zaid

  • @gracelasoi3971
    @gracelasoi3971 2 роки тому +1

    Mashallah mashallah mawaiza mazur sana

  • @rayaahamad5502
    @rayaahamad5502 2 роки тому +6

    Shekhe umenigusa sana hapa mm mwenyewe Huwa nasema hii mitihani tuliyonayo ya nchi ningekuwa kiongozi tungefanya Dua na Istighfar lkn ndio Sina mamlaka hayo nafanya mwenyewe Allah awafunue viongozi wetu waaamrishe tufanye hivo

  • @shukujaibu7143
    @shukujaibu7143 2 роки тому +1

    Mashaallah Allah akuzidishie umri uendelee kutufundisha. Na umjaalie pepo Yafiridausi

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 3 роки тому +4

    Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️

  • @fatmasaleh2707
    @fatmasaleh2707 2 роки тому +1

    shukran sana Allah akupe umri mrefu uzidi kutuelimisha

  • @zamdasaid7248
    @zamdasaid7248 2 роки тому +1

    Mashallah, Shekh visa vizuri, Allah akulipe

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 3 роки тому +4

    Waalaikum msalam Warahmatullah Wabarakatuh ❤️❤️❤️

  • @aishamohammed5347
    @aishamohammed5347 2 роки тому +1

    Allahu Akbar waalykum salaam warahmatullah wabarakatuh

  • @hasanhadj2111
    @hasanhadj2111 2 роки тому +1

    Mashallaah tabarakallah sheikh

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 2 роки тому +3

    الله أكبر

  • @rehemaathhmani357
    @rehemaathhmani357 2 роки тому

    Mashaallah

  • @sammyhassan6033
    @sammyhassan6033 2 роки тому +1

    Mashaallah sheikh wangu

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 2 роки тому +2

    Amiin amiin amiin amiin amiin amiin amiin

  • @halimazuberi9464
    @halimazuberi9464 2 роки тому +1

    wlkm mslm shk

  • @rajabupetekwa5210
    @rajabupetekwa5210 2 роки тому

    Mashallah shekhe jazakhallah khair

  • @samirahahmed2348
    @samirahahmed2348 2 роки тому +1

    Assalam alaykum mashaalah mungu akubariki 🤲🤲🤲

    • @samirahahmed2348
      @samirahahmed2348 2 роки тому +1

      Sheikh naomba kuongea na wewe nina jambo naomba unisaidie.kuifahamu

  • @mariammuscat4300
    @mariammuscat4300 2 роки тому +3

    Mashallllah mashalllah

    • @kulwanyasama825
      @kulwanyasama825 2 роки тому +1

      Shehe nakuelewa sana mungu akupe umuli mkubwa

  • @ayshermwiru418
    @ayshermwiru418 2 роки тому +1

    Mashallah, jazakallah kheir

  • @darsinana2647
    @darsinana2647 2 роки тому +1

    MashaAllah Allah akuripe kila kheri

  • @bumelimlukusu614
    @bumelimlukusu614 2 роки тому +2

    Ma shaa Allah

  • @mwanahawayunus3653
    @mwanahawayunus3653 2 роки тому +1

    Mashallah tabarakallah

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 2 роки тому +1

    شكرا يا شيخ جزاك الله خيرا

  • @fatmakombo7584
    @fatmakombo7584 2 роки тому +1

    Mashallah mashallah

  • @hawahawa8921
    @hawahawa8921 2 роки тому +1

    Mashaallh

  • @umlubnaalisali9366
    @umlubnaalisali9366 2 роки тому +1

    Mashaallaha

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 2 роки тому +1

    الله يحفظكم ياءالله

  • @habibtyhabibty840
    @habibtyhabibty840 2 роки тому +1

    Mashallah🤲

  • @mwahijalukali2387
    @mwahijalukali2387 2 роки тому +1

    Mashallah

  • @mamibaybii2669
    @mamibaybii2669 2 роки тому +1

    Allahumma amiin

  • @swalesale2229
    @swalesale2229 9 місяців тому

    👍💯

  • @mirajikaniki2447
    @mirajikaniki2447 2 роки тому +1

    mashallah

  • @mohammedidi9784
    @mohammedidi9784 2 роки тому +1

    Amiin

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 2 роки тому +1

    Inshaallah

  • @mwanahawayunus3653
    @mwanahawayunus3653 2 роки тому +1

    Kabisa ibilisi yupo

    • @othmanothman4849
      @othmanothman4849 2 роки тому

      Alhamdulillah,Allah ampe maisha marefu huyu Shekh Rusaganya

    • @mrkaabi43
      @mrkaabi43 2 роки тому

      Mwalim allah akulinde na mabaya na akupe shahada kabal yakifo chako akuepesishie kujibu masuali ya munkar na nakir akupe mke mwema akutengenezee kizazichako pamoja na kizazi cha kizazi chako allah auhifadhi ulimiwako na makosa ya aina zote allah aubariki umriwako allah akutanulie kaburi lako allah akupe ufasaha wa kufikisha din yake amin amin amin nakupenda kwa ajili ya allah allah akatueke pamoja kwenye rekhma zae amin

  • @zainabsuleiman5350
    @zainabsuleiman5350 3 роки тому +5

    A/Aleikum Huyu Sheikh Hafunfishi kina mama ? Mimi Nataka nikasomea kwake jamni anapatikana wapi

  • @malikingoma6689
    @malikingoma6689 2 роки тому

    mwenye namba ya ustadh lusaganya anipatie

  • @smadon5638
    @smadon5638 2 роки тому +1

    Mashaallah