MAMA MZAZI WA MATHA MWAIPAJA ASIMULIA MATESO YOTE ALIYO YAPITIA, ITAKUTOA MACHOZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 729

  • @NathanaelBawil
    @NathanaelBawil Місяць тому +28

    Mungu nisaidie kupitia ushuhuda huu wa familia hii,ukabadilishe loho yangu nimsaidie mzazi wangu aliebakia duniani pia ukanipatie upendo kwa wanadamu wote,kwakweli Martha mungu akafungue moyo wako umkumbuke mzazi wako, kama kweli unaamini huduma unayoitoa nizawadi kutoka kwa mungu basi mkumbuke mzazi wako na ndugu zako, kumbuka kuwa biblia inatukumbusha kuwa mtu asiependa wa nyumbani mwake ujue huyo naye nimchawi kama wachawi wengine, na mzazi ni mungu wa pili hapa duniani,usije ukajikosesha ufalume wa binguni kwa ajili ya kiburi,epuka kiburi muombe mungu afungue moyo wako,hatakama kunamaagano mabaya ambayo umesha jiingiza omba mungu akutoe kwenye moto huo mtazame mungu

  • @servantofgod4340
    @servantofgod4340 Місяць тому +16

    yani ukifumba macho usiiangalie hii video usikilize tu sauti, unaweza jua anayeongea ni Martha. mwe mwe mweee Martha umefanana na mama yako mpaka sauti❤
    love you momy❤ Mungu akutie Nguvu mama kipenzi.❤❤

  • @Migapogospel678
    @Migapogospel678 Місяць тому +51

    Martha pesa zake za majini ndiioman hakumbuki hata mam yake mzazi
    Mama ni mungu wa pili ❤❤

    • @aymanlevelian9843
      @aymanlevelian9843 Місяць тому

      kilaki2 kinanafasiyake mngu anasema mwenyeez mngu nimumoja mwenyeezimngu mkusudiwa hakuzaaawala hakuzaliwa Wala hana anaefanananae hatammoja Wala hana anaeshirikiananae katka ufarmewake 😎😎

  • @puriejose
    @puriejose Місяць тому +126

    Martha mwaipaja,, natamani Sana kuwa na mama ,sikiza nikwambie hata kama ni mdogo ki umri soma hii,,itakusaidia sana, Ephesians 6:1-3,,kumbuka mama alikubeba 9month,akakuosha 4 /3 mpaka ukajielewa wewe ni nani,ulikuwa wala kamasi hadi mama ka kufuza kuyafuta,hivi kweli unamcha Mungu wewe,maandiko inasema kutii ni bora kuliko dhabihu, kweli unatii haya mandiko wewe,hauzi kuhesabu makosa ya mama hata kama alikufanya nini,je huyu mama angekutoa,ungetoka wapi? Je huyu Mama angekunywa dawa utoke ungetoka wapi wewe? Kwanza shukuru Mungu Sana kwa ulezi wa mama alijitahidi sana ukajulikana ulimwenguni,angetaka ufe angekuzaa na akuachie baridi ufe tuh,dada yale unayofanya mamako mzazi akiwa anateseka namna hii, sikudanganyi unafanya kazi ya bure na sijakuhukumu, Mungu wa kwanza ni aliye juu mbinguni,wa pili ni wazazi na watatu ni familia yako ,kwa hio Machozi ya mama ni makali sana,changua moja lahana ama baraka,,imeniuma sana hii pole sana mama 😭,kama wakubalia na mimi comment hpo chini na u-like.

    • @ebbykiberenge9106
      @ebbykiberenge9106 Місяць тому +1

      😢😢

    • @purityjames3668
      @purityjames3668 Місяць тому +2

      Nimekupitia nipitie pia tugrow pamoja

    • @puriejose
      @puriejose Місяць тому

      @@purityjames3668 asante sana puri

    • @zamtaa9001
      @zamtaa9001 Місяць тому

      HALAF MBONA KUNA SURA MBILI ZINATREND MTANDAONI SASA YUPI NA MAMA MZAZI HALISI WA MARTHA

    • @jepchumbamildred8265
      @jepchumbamildred8265 Місяць тому

      Nipitie pia ​@@purityjames3668

  • @ruthee1895
    @ruthee1895 Місяць тому +18

    MImi niyapitia haya,nimesomesha watoto,mmoja yuko ngambo America mwingine ana kazi tena ameoa na anaishi vizuri,wa tatu anafanya biashara kitinda mimba tu ndiye bado niko naye lakini mimi upitia mateso jamani na hakuna wakunisaidia..Nimejifunza kufanya kazi wa bidii na ninapokwama huwa naenda kwa magoti ,namliia mungu na ananisaidia..Nimelia sana na nikagundua kweli ni vizuri kumtegemea mungu tu..wazazi wengi wanateseka hapa nje na hawasemi..Ushauri wangu kwa wazazi ni ,unapolea watoto wako,ngangana ujijenge nawe pia kwa maisha yako ya uhusoni..Hiki kizazi halijali wazazi

  • @emmkip602
    @emmkip602 Місяць тому +23

    😢 Martha please 🙏 help your mum,we really loves you here in Kenya..do not let your mum suffer and yet your Lord has done more favours upon your name

    • @dancanomwenga1987
      @dancanomwenga1987 Місяць тому +2

      I second you on this from Kenya too

    • @Dan.......212-d
      @Dan.......212-d Місяць тому +1

      You love her not we

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 Місяць тому +1

      We really "loves" you😂 ongea tu kiswahili achana na umagharibi😢

    • @jeanmusamba8448
      @jeanmusamba8448 Місяць тому +1

      she cant help her money are from ile taasis....... its not that easy there are rules to abide with

    • @susanndieyira8785
      @susanndieyira8785 Місяць тому

      Very true

  • @evelnjuma1834
    @evelnjuma1834 Місяць тому +9

    Daah nampenda mama yangu n asiwez kumsahau Asante mwenyezi mungu kwa kutupa wazaz♥️♥️♥️🇹🇿

  • @NdayiTitia
    @NdayiTitia Місяць тому +31

    Jamani naomba tusimuhukumu huyu mama hadi kuja hapa mtandaoni nikwasababu amechoka kashindwa afanye nini. Wewe unae muhukumu Jaribu kuvaa kiatu cha huyu mama kama umezaa ndipo utaelewa huyu mama anauchungu kiasi gani. Huo Martha ingawa yupo hai anaishi kama amekufa kwa mama yake hayupo nachoona mimi huyu Mama martha sio kwamba ahitaji misaada kwa Martha hapana anahitaji tu ukaribu na mwanae hilo tu linamtosha. Naomba Mungu amfunguwe akili Martha amurudie Mamake aache kuwathamini watu baki kuliko Mama yake. Pia aache kuimba hizo Taarabu zake anazomuimbia ndugu yake Beatrice ati Hatufanani Hatufanani kira mtu na neema yake ni kweli lakini mimi nasikia kama nyimbo zake nyingi kwasasa zimekaa kitarabu Tarabu ni nyimbo zenye malengo yakukomoa mtu fulani. Martha fanye urudi kwenye mustali uimbe kwa kusifu na kuabudu Mungu wa kweli katika roho na kweli. Ulikua umeanza Vizri. Kuna wakati wakulia wakati wakuomboleza wakati wakusema Mungu wangu mbona umeniacha.

    • @AbiaWilliam-s1s
      @AbiaWilliam-s1s Місяць тому +1

      Kabisa sasa hv aimbi kama zaman

    • @HappyJohn-h8q
      @HappyJohn-h8q Місяць тому +1

      ​@@AbiaWilliam-s1syaaniiiii saiz ndo najua kuwa nyimbo zingine kumbe anaimbia mtu au watu kama hiyo hatufanani. Inasikitisha nlikuwa nampendaaaa Martha mnooooo. Simchukii hata sasa ila namuonea huruma na kinachonikera anajifanya hajali kabisa hayo mapuuza yanakera. Anatoa wimbo katikati ya haya na kujifanya hana habari inakeraaaaa

    • @nuhumwikwabe2647
      @nuhumwikwabe2647 Місяць тому

      Hata mimi nimegundua kuwa mafumbo yote anayoimba kumbe anamwimbia Mama yake na mdogo wake jamaniii Martha ni huzuni

    • @manasemoses6922
      @manasemoses6922 Місяць тому +2

      Ukiona mwimbaji wa injili aliyeanza vizuri na kuwabariki watu kwa nyimbo za kuabudu, kusifu na zenye mguso wa roho wa Mungu lakini kwa sasa akawa anaimba tu hazigusi tena kama zamani jua kuna roho iliyotofauti na ya Mungu aliye hai imemuingia na hapo ndio mambo huanza kuharibika

  • @MichaelMasomba
    @MichaelMasomba Місяць тому +21

    Mungu mkumbushe mja wako Martha kuwa Kuna wazazi tofaut na umaalufu sad story from mather😢😢😢

  • @rahabudave9932
    @rahabudave9932 Місяць тому +19

    Kina diamond wamewatunza mama Zao vizuri.wamepea dada zao jina aafu wakristo mtu anangara aafu mamaake anakaa hivi kweli

    • @Rose-ue2ho
      @Rose-ue2ho Місяць тому +3

      Usihukumu kuwa dini ndio sababu, hio ni moyo na roho ya mtu dini haihusiki.

    • @simonkatole1393
      @simonkatole1393 Місяць тому

      Lakini kamkataa babake,ni kama Martha tu hawana tofauti

    • @evelynewandama9834
      @evelynewandama9834 Місяць тому +2

      It's so sad, Martha should style up and take care of her mother

    • @FurahaNgala-s6s
      @FurahaNgala-s6s Місяць тому

      Hii ni pesa ya kweli au niza kishetani kwa maana za Mungu zina Baraka mbona hizi mama anamachoozi hiisi llaana jamani

    • @EdgarMjanja
      @EdgarMjanja Місяць тому

      Ukrsto umetoka wap xaxa apo Acha uxhmba wa dini

  • @NgamangaNgamanga-d4w
    @NgamangaNgamanga-d4w Місяць тому +204

    Huyu mama mm namfaham jaman mm nmezaliwa ngamanga wakati huo ilikuwa Wilaya ya njombe na Mathar amekaa ngamanga kwa bibi ake na bibi ake alikuwa anaitwa mwilongo walikaa kwa bibi yao mathar msaidie mama yako

    • @begukulemosobe9685
      @begukulemosobe9685 Місяць тому +20

      @wolperstylish uje usikie maana wewe unamsaidia na kumsifia mama yako halafu unasherehekea mwenzako kwa tabia yake

    • @angeljoseph8103
      @angeljoseph8103 Місяць тому +16

      Pia wanafanana useme mama mtumzima pia mazingira yanakuwa ya uzeeke mapema

    • @Shaniatwain06
      @Shaniatwain06 Місяць тому

      ​@@begukulemosobe9685Huyo lazima atetee wasagaji wenzie yy mbona wazazi wake kuwajengea Mlandizi yaani mtu akiwa na chembechembe za hizi ni wakuogopwa 🌈😂

    • @SashaRamadhani-uu1wv
      @SashaRamadhani-uu1wv Місяць тому +3

      Duh jamani aisee huyu mama nilipomuona jana nilijua kuna ukweli ndani yake umekuja kuthibitisha kabisa

    • @aidancosmas9863
      @aidancosmas9863 Місяць тому +6

      Jamani kwani bila kusaidiwa na marther, maisha hayawezi kuenderea. Tupunguze kulia lia, kila mmoja anafungu lake.

  • @SamwelDooh
    @SamwelDooh Місяць тому +5

    ❤❤❤❤❤❤❤❤ nawapenda sana wazazi wote has wanawake wote wenye matumbo ya uchungu mungu awalinde kwa jina la yesu na damu ya kristu iwe nanyi daima amina
    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @victoriasweetbert1128
    @victoriasweetbert1128 Місяць тому +15

    Natamani hii leo ningekuwa na wazazi wangu mm mpaka leo jamani ,Mungu mtie huyu mama nguvu jamani huyu Mather kweli kweli ni akili yake kweli .😭😭😭😭

  • @CatySungula
    @CatySungula Місяць тому +34

    Mama anafanana Sana na Matha mpaka sauti. Sema Tu Matha kajichubua.

    • @Mariah-r1o
      @Mariah-r1o Місяць тому +4

      Wamefanana ata na Beatrice

    • @reytonie4362
      @reytonie4362 Місяць тому +5

      Hata hajajichubua ni filter Tu live ni mweusi namuona kanisani kila siku

    • @NafsahRajah
      @NafsahRajah Місяць тому +1

      hajajichubua ni filter tu

    • @ericrakamba7572
      @ericrakamba7572 Місяць тому +1

      ​@@reytonie4362ni kweli mamake mzazi?

  • @kayitesbonito4879
    @kayitesbonito4879 Місяць тому +22

    Mama ni mstarabu Sana nime mpenda bule

    • @esperenceamris
      @esperenceamris Місяць тому

      Wewe acha zako hapo kila mtu anampenda sana too, lakini ukiwa rafiki mzuri lazima utowe ushauri

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 Місяць тому +9

    Pole Mama kipenzi😢naimani Mungu amekusikia na kupitia wewe wakafanikiwe wazazi wote wanaopitia machungu Ya watoto wao Mwenyezi Mungu akasikilize kilio chenu Aamiin

    • @purityjames3668
      @purityjames3668 Місяць тому +1

      Nimekupitia nipitie pia tugrow pamoja

    • @mosesmligo9614
      @mosesmligo9614 Місяць тому

      Umenena vyema Mungu akafungue akili za watu woote waliofanikiwa na kuwasahau wazazi wao.. Amina.

    • @DeusLukas-i5p
      @DeusLukas-i5p Місяць тому

      Matha dada yangu mbona nasahau🎉ulikotoka Hadi kumfanya mama yetu kuumia kiasi hicho hakika mungu anakuona. 😂😂😂😂

  • @سعيدالشكري-ت8م
    @سعيدالشكري-ت8م Місяць тому +11

    Sipend mama kuhojiwa kila media matha dada yangu mpigie mama cm mwambie mama sitaki uhojiwe tena mm ni mtt nilipo kosa nisamehe tuongee mm na ww tumalize mm nina mama kuna mda hua tunapishana lakin siwez muacha nikilud nyuma amenizaa nikiumwa apati usingiz mzaz hakosei inaniuma kuhojiwa mitandaon ongea na mama

  • @petermaroaofficial
    @petermaroaofficial Місяць тому +38

    Mungu naomba unipe hekima ni watunze wazazi wangu na kuwaheshimu mbaka mwisho 🙏

  • @bennamush4616
    @bennamush4616 Місяць тому +14

    Yani hizi mila na desturi kwenye baadhi ya mikoa embu iwe huruma kidogo jamani eeh mtu ukifiwa na mumeo unafukuzwa bado ukirudi kwenu ufukuzwe hali ya kuwa una watoto jamani sasa wanategemea unaenda kuishi wapi dah nimeumia mimi😢 mila nyingine ni za kuumiza tuu wanawake pole sana mama😢

    • @MagrethCharles-ne2ts
      @MagrethCharles-ne2ts Місяць тому +1

      Umenenaa sawiaa mila na desturi za ki africaa, zinaumizaa saana na zinamkandamizaa mwanamke , delivarance za kufutaa hizi milaa inatakiwaa ktk baadhi ya makabilaa, wanawake wanatesekaa na kudhalilikaa saana ! Mimi ni mhangaa wa mirathi!✍️✍️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️

  • @shshygibb2236
    @shshygibb2236 Місяць тому +2

    Martha .. Betty you are twins ...mleeeni mum..😢😢😢😢😢pls plssss. We have only one Mother ..mine is dead and still crying till today. .pls your parents hata Kwa kifo walee pls plsssss eeh ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ImaniTinda-h6x
    @ImaniTinda-h6x Місяць тому +33

    Uyu mama ananiliza kila saaa Kwa sisi tulo zaaa uchungu wa mwana unaumaaaaaaa pole mama huu niwakati wa MUNGU kukujibu

    • @seranyambu3208
      @seranyambu3208 Місяць тому +1

      Kweli kabisa ni uchungu sana kama mama ukiona mtoto wako uliomzaa akiteswa na shetani. Mungu aliye hai ameona kilio chake tumsaidie kwa maombi tunaofahamu kuwa kunazo nguvu za giza na naamini dada yetu Martha atafunguliwa kwa minyororo hiyo kwa Jina kuu la Yesu 🙏🏻

    • @abedysteven4930
      @abedysteven4930 Місяць тому

      Dah pole 😭😭😭

  • @mapachawetuamazingflaterna2657
    @mapachawetuamazingflaterna2657 Місяць тому +8

    Usijali Mama, Yesu kamtumia Bite kufikisha ujumbe kwa jamii ili Martha apone

  • @rosenight272
    @rosenight272 Місяць тому +11

    Ndio maana mm kuna waimbaji nyimbo zao sisikizi kabisa.
    Unless Roho Mtakatifu aniongoze maanake wengi wao....they're just displaying their beauty & nothing else.
    Mm sina mapato but am trying my level best to help my parents...coz sisi hatuna pesa but najitahidi

  • @JenifaJohn-d7t
    @JenifaJohn-d7t Місяць тому +17

    Matha mpumbavu sana wewe unamjali hausgel kuliko mama yako hata Kama Amekukosea una kwama wapi Yesu gani unamtangaza kwa watu! Wakati mama yako Ndiyo mwana maombi yako!

    • @angeljoseph8103
      @angeljoseph8103 Місяць тому +1

      Ajenti huyo dada anavuruga familia zawatu

    • @angelemmanuel7143
      @angelemmanuel7143 Місяць тому +2

      Yani hayo ya Martha na Beatrice yalitokea kwetu na familia yangu pia ila namshukuru Mungu alimrudisha dada yangu Martha kweli anakosea

    • @HappyJohn-h8q
      @HappyJohn-h8q Місяць тому

      ​@@angelemmanuel7143kumbe. Basi Mungu amsaidie Martha kabla Mungu hajamchukua mama yake asijekuja kufunguka akakuta mama hayupo duniani ataliaaaaaaaaaaaaaa

    • @HappyJohn-h8q
      @HappyJohn-h8q Місяць тому

      Yaaniiiii ​@@angeljoseph8103

    • @HappyJohn-h8q
      @HappyJohn-h8q Місяць тому

      ​@@angelemmanuel7143abadilike kabla hajamkosa mama Mungu akimchukua ataliaaaaaa Martha atalia mnoooo

  • @thomasmukoswa6098
    @thomasmukoswa6098 Місяць тому +9

    Shida si Martha,shida ni ule msichana anae control Martha but we pray for you mum.

  • @stelayunami7779
    @stelayunami7779 Місяць тому +14

    Haya ni mambo ya ndani sana ya kifamilia ila hata kama Kuna sehemu waliteleza wakakukwaza dada Martha achilia wasamehe hakuna mkamilifu chini ya jua ,Tengenezeni Martha nakupenda sana na nyimbo zako zinanibariki sana

    • @Bboy-ek8vn
      @Bboy-ek8vn Місяць тому +5

      Mama hakosei kamwe mungu ndo anaweza mhukumu

    • @esperenceamris
      @esperenceamris Місяць тому

      Ukweli husemwa, Martha hayuko sawa hatakama kuna nini mama ni mama, I can feel there’s something wrong kwa Martha Mungu ahingilie Kati too.

    • @Samiafficial3942
      @Samiafficial3942 Місяць тому +2

      Mama hakoseyi mama ni mama 😭😭😭😭😭

    • @joyblessing191
      @joyblessing191 Місяць тому +3

      ​@@Bboy-ek8vnbibilia pia inatuambia kwamba wazazi wasiwachokoze watoto wao wasije wakakataa tamaa
      WAGALATIA 3:21

    • @GodbetterEmmanuel
      @GodbetterEmmanuel Місяць тому +1

      Mamako anaweza akakukwaza NDOO umtupe usimsaidie,josa Gani au ni dhambi ipi ambayo haisamehewi,hasa Kwa mzazi,uyu Hana huduma kabisa,.

  • @EmmaKirua
    @EmmaKirua Місяць тому +4

    Matha matha nakupenda mno nyimbo zako zinaishi kwenye moyo wangu na pia zimenifanya kua na msimamo,nakuomba sana nenda kwa mama kamfute machozi

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 Місяць тому +7

    Kuna ki2 kati ya Joan Na Matha kinaendelea aiwezekani athaminiwe kuliko Mama yake Nakuita Matha Mama ni Mungu wa pili Apa Duniani Sisi Ambao hatuna Mama wameshalala tunawa wa Miss Sana Mama Zetu

    • @Hanifa4-d4q
      @Hanifa4-d4q Місяць тому

      Wana maagano yakishetani

    • @josephmusagasa
      @josephmusagasa Місяць тому

      Mungu ni mmoja tu hakuna Mungu wawili. Hivyo mama hawezi kuwa Mungu. Jiangalie sana kupotosha watu na kumbuka kila neno litatolewa hesabu. Kazi kwako.

    • @OmbeniMwalupindi
      @OmbeniMwalupindi Місяць тому

      ​@@josephmusagasammm.haya unahuo usemi unaosema baba na mama nimungu wa pili.naile amli inayosema waheshimu baba na mama.hampotosh mtu.kila mtu anaamini anavyojua yeye.na wew unaamini unavyoamini wew.mungu ndio anawajua walio wake.sio wew ukosoe wenzio kama umekamilika sana.kwan mungu amekutembelea kukwambia wew umekamilika

  • @AgreyMsigala
    @AgreyMsigala Місяць тому +25

    mamangu mzazi naye anapitia maisha haya magumu huu mwaka 2024 ee mungu ukiniinua naomba nisaidie nimkumbuke mamangu ndugu wanatutenga sana sisi tuloifiwa na baba zetu

  • @NEEMASWEDI
    @NEEMASWEDI Місяць тому +3

    Kwetu ni mbeya kyela ipinda kafundo, izo mila na desturi zipo ni wanyanyasaji sana ukifiwa na mumewe, hawawezi kumfariji mfiwa, au mama mjane, wanyakyusa watu wa ajabu sana na mila zao Pole sana mama.

    • @pisanotz5348
      @pisanotz5348 Місяць тому

      Mimi kwetu makwale kateela ,huo ni uongo

  • @EBENEZER-z3j
    @EBENEZER-z3j Місяць тому +25

    Wanafanana sanaaa matha unapoteza baraka zako mludie mama yako

  • @marymohammed-wf8tr
    @marymohammed-wf8tr Місяць тому +22

    Kwekweli kwajisi na mupenda mamayangu eeh Mungu nakushukuru kwakunipa roho nzuli ikotofauti nawengine namupenda mamayangu nipate nikose tutacangia wote .sasa mathar kweli unaimbia Mungu kumberohoyako ikovibaya polesana

    • @beatricekisese3272
      @beatricekisese3272 Місяць тому

      My dear hongerah lakin mda mwingine unaweza kutana na mama akakufanyia vitimbwi ad ukajuta kuzaliwa na huyo mama .... Especially wamama wa kibena....... My dear Kuna usem like son like Dady ...... Tusimlaumu sana Martha...... Mambo n mengi wazaz pia wanajeruhi sana mioyo ya watoto wakijivunia wao n miungu ya pili....... Inahitaj hekima..... Mungu amsaidie sana Martha

    • @happynesbaemuhappynes8813
      @happynesbaemuhappynes8813 Місяць тому

      Hiyo ni kweli mpendwa lkn mzazi hakosei inabidi ukubaliane na mapungufu ya mzazi wako wewe kama mtoto ujue namna ya kusolve hilo tatizo. Simu Martha tu namimi mwenyewe yashanikuta niliumia sana ​@@beatricekisese3272

    • @HadijaSwedy
      @HadijaSwedy Місяць тому

      mama n mama hata akae​@@beatricekisese3272

    • @HadijaSwedy
      @HadijaSwedy Місяць тому

      Mama n mama hata Kam akakukata mkono mama n daraj kubw sana katik hii dunia

  • @veronicakayungi
    @veronicakayungi Місяць тому +8

    Mimi ninachoona ni Mungu aingilie kati Martha apate ukombozi maana kuna vita ,huyu mama anawafanana sana watoto wake mpaka sauti.
    Sasa nashindwa kumuelewa Joan anavotaka kuvuruga familia ya watu,Mungu amponye pia Joan anatumika kusambaratisha hiyo familia,Mungu pigana na wanaopigana na hii familia

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA Місяць тому

      NAOMBA NIKUSIKIZISHE SOMO HAPO.Ikiwa JOAN NI YATIMA NA MATHA MWAIPAJA kapewa JUKUMU NA YESU LA KUMLEA JOAN halafu ndugu wanampiga VITA JOANA AU MATHA Mwaipaja.MATHA MWAIPAJA NI LAZIMA ATASHINDA VITA kwasababu AMEMTII MUNGU.Hilo suala mwachieni MUNGU .

    • @OmbeniMwalupindi
      @OmbeniMwalupindi Місяць тому +1

      A​@@YOSHUAMWAMPETAaliekwambia Joan niyatima ninan? Au hufatirii vizur intavwe.nahuyo martha alipewa kibali Cha kumlea huyo yatima joan.unamjua?

    • @siamuchunguzi
      @siamuchunguzi Місяць тому +1

      ​@@YOSHUAMWAMPETAUnasoma maandiko vizuri kweli wewe? Mungu yupi anayesema watoto wawatelekeze wazazi wao na kulea watu wengine? Amjali mama yake kwanza ndipo akasaidie wengine

    • @Mariam-w9s3b
      @Mariam-w9s3b Місяць тому

      Wewe unauwakika kama uyo ni yatima? Kwaiyo yatima ndio anatakiwa kutoa ufitin ?​@@YOSHUAMWAMPETA

    • @HappyJohn-h8q
      @HappyJohn-h8q Місяць тому

      ​@@OmbeniMwalupindikwakweli sio yatima

  • @salomedarema304
    @salomedarema304 Місяць тому +17

    Ni ngumu sana Mungu kumfungua mtu anayejiona yeye yuko sawa na hajatekwa kivyovyote. Martha Mungu akupe kutambua uko mahali siyo sahihi. Uimbaji ni kipaji tu hata mpagani ataimba na watu wataguswa. Usipumbazike kwa kuona unakubalika na wengi na kwamba hupandishi mapepo unaweza usiwe na vyote lakini ukawa vifungoni

  • @shshygibb2236
    @shshygibb2236 Місяць тому +1

    This Mum is on of True Hero,s o❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @WitnessSambala-mw4ch
    @WitnessSambala-mw4ch Місяць тому +8

    mlio bahatika kua na wazazi mpaka leo mjitahidi sana kuwatunza wazazi wenu tusio na wazaz tunapitia mengi magumu lakini hatuna pakukimbilia inauma sana

  • @zuhurayusuph4826
    @zuhurayusuph4826 Місяць тому +7

    Eee mwenyez mungu nisaidie mimi ni pate zaid nimpe na mama yangu kila inapoitwa Leo kabla sijafa nimfanyie kitu Cha kumbumbuku

  • @JohanesByamkama
    @JohanesByamkama Місяць тому +5

    Sasa hapo ndo nashangaa wahubili au mtu anayehubili neno la Mungu ndiye anayafanya haya au kuna nini,,mimi stoweza kuamini hiki kinachoendelea,,ila natamani na Martha atoke hazarani naye tumsikie au,kama sio hivyo bc niamini kuwa martha unataka kutuvunja moyo sisi mashabiki wako tunaokutazama kama kioo,,Martha ongea bc tujue nawe yakwako,wimbo wa ushindi nilazima hautoshi kutuaminisha kuwa wewe huna kosa lolote,twambie Bibie martha,One love 💪💪,kheri ya Christmas 🎄🎄🎄🎁🎁

  • @CyprianTraiphon
    @CyprianTraiphon Місяць тому +22

    Hii Dunia satki kutamani kabisa maisha ya watu..kikubwa niwe na hela ya kula na uhakika wa kesho.. Masharti stoyaweza

  • @alishaplate6290
    @alishaplate6290 Місяць тому +5

    Nataman sana kuwa na mama mm 😢 jmn lakn ndio ivo mungu amemchukua 😭

  • @maryaloyce3828
    @maryaloyce3828 Місяць тому +3

    Mungu awe mpatanishi wa hii familia,familia zina siri nyingi sana mama mtegeme Mungu.

  • @RebekaJaphetp
    @RebekaJaphetp Місяць тому +4

    Martha mwaipaja kumbuka mama ni mungu wa pili ko msaidie mama yako

  • @jeffkonki8279
    @jeffkonki8279 Місяць тому

    Martha anampenda sna kumsaidia mama yake lakini yupo kwenye mashart na maagano makali jamani hela sio kitu Cha mchezo unaepambana kupata kidogo Cha halali Cha mwenyezi mungu na unasaidia wazazi wako na ndugu zako mshukuru sana mungu na umuombe akuzidishie

  • @Vematv248
    @Vematv248 Місяць тому +3

    Ila media bwana kwahyo huyu ni mama wa ngapi kwa martha kama wamezingua gonga like😮

    • @mbengotv
      @mbengotv  Місяць тому +3

      Vaa miwani umtazame vizuri

    • @Vematv248
      @Vematv248 Місяць тому

      @mbengotv 😂😂😂😂😂😂😂Naona vizr mpanka nakela kwani huyu na yule yupi wa kweli

    • @lovek6593
      @lovek6593 Місяць тому

      😂😂😂😂​Huyu NI really mama ya martha.ata alitokea video ya mama kwa bitrace@@mbengotv

    • @mbengotv
      @mbengotv  Місяць тому +1

      ​@@Vematv248huyu ni yule yule

    • @dorcassalvatory1518
      @dorcassalvatory1518 Місяць тому

      Ina maana huon na kitambaa Cha kichwan n kile kile

  • @EliasCosmas-qp6gn
    @EliasCosmas-qp6gn Місяць тому +7

    😢😢 Martha tuna kupenda embu rudi kwenye njia ili umree mama watu tunaumia sana kuoma wazazi wetu wametangulia mbele zahke 💔🤧msamni mama Ustaa hauto kufikisha popote acha zalau ipo cku kama ni kweli haya tunayo yaskia Dunia itakufunza uzuri wewe ni mwanamke una jua uchungu😢🙏mama assnte kwa kuniweka hp duniani nakupenda Sana ❤mamaangu😢

  • @DoreenDorcas-oh2vy
    @DoreenDorcas-oh2vy Місяць тому +1

    Martha kama fedha zako ni za halali msaindie mamako uchunge sana usiimbe sisi tukaingia mbinguni ama wengine wewe ukakosa kule kumbuka chakula ya kwaza ni titi la huyu mama hata kama amefanya aje mama ni mama mama ni mama na kama umefugwa na kitu chochote naye aanze kuteseka nawe ufunguliwe in Jesus name Ameeen Ameeen

  • @nurumwenkale7278
    @nurumwenkale7278 Місяць тому +3

    Mama muamini mungu ipo siku itakuja kukupgia magoti kukuomba msamaha hayo maisha alio pata yanampa kiburi

  • @AminaKyungu
    @AminaKyungu Місяць тому +10

    Pole sana mwanamke Mungu akupiganie

  • @Maryanne-se8el
    @Maryanne-se8el Місяць тому

    Am not judging anyone bt martha atakama mama alikosea msamehe mrudiane mkae kama familia may God visit this family and give them love,unity

  • @lucysingano8131
    @lucysingano8131 Місяць тому +3

    Yule mtoto wa Martha aliyesema Martha na Beatrice mama yao ni tofauti alikuwa anajielewa kwel

  • @elinurukitomali6008
    @elinurukitomali6008 Місяць тому +21

    Hivi hy Martha utatueleza nini tuliokua tunazpenda nyimbo zako...unaziimba tu kibiashara kumbe rohoni mwako hakuna kitu...wapo wanaotamani kua na mama zao km mm ili maisha yetu tufurahikie alafu ww unamfanyia mama yk hivi😢

  • @CafeJohn-n9o
    @CafeJohn-n9o Місяць тому +1

    Yaaani mathar umefanya niriye kweli wewe mathar niwakumufanya mama yako ajizaririshe mtandao kweli hii niaibu kubwa sana mathar huyu nimama yako kumbuka mungu uwa haziakiwa MAM mm tu

  • @siryklyubov7989
    @siryklyubov7989 Місяць тому +4

    jamani huyu mama ni muungwana sana,anaongea kwa utaratibu na anaonekana ni mama mwema sana. na mwenye upendo.

  • @theafricanphilosopherqueen3032
    @theafricanphilosopherqueen3032 Місяць тому +6

    This lady reminds me of the story of my grandma Phoebe who was born an only child and when her father died her uncles expelled her from her village together with her mom because she was a girl and therefore disinherited,but God saw her through together with her mom whose sister raised my grandma and she eventually married,became succesful and a wiman of honor in bunyore society in western ,Kenya ...and beyond.....this practice of disinherting women and girls needs to stop because women rughts are human rights....may God bless mama martha whose songs I love and may she be reconciled with her beloved daughters....pole sana mama kwa yote,imani yako ita kupa matokeo mazuri❤.
    Foll

    • @tinashesved1598
      @tinashesved1598 Місяць тому

      which Phoebe? sounds like my sister Phoebe but our mom was the one from bunyore and when dad died we were expelled and rejected by our uncles(dad's brother's)

  • @TulizoIgnatus-co1jd
    @TulizoIgnatus-co1jd Місяць тому +12

    Ila Martha mwaipaja useme chochote uache unafiki unaliachia litoto lidogo likuongelee ulipokuwa unazaliwa lili kuwepo😢😢😢😢😢😢😢😢

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 Місяць тому +2

      Nashangaa tena litoto lenyewe linadharau familia..😊

    • @WiselightOfficial
      @WiselightOfficial Місяць тому +1

      Sio yeye amefanywa kuwa zezeta 😢 yaan hana usemi wowote juu ya joana,joana anacontrol kila kitu

    • @HappyJohn-h8q
      @HappyJohn-h8q Місяць тому

      Kabisaaaaaa ​@@WiselightOfficial

  • @Adje244
    @Adje244 Місяць тому +14

    Matha tutakuandama mpk umrudia Mungu wa kweli

  • @osodowilberforce2321
    @osodowilberforce2321 18 днів тому

    Pole sana Mama,kwa hayo yote uliyoyapitia na wanao Martha na Beatrice.Mungu atakusaidia.

  • @musnamohamed4199
    @musnamohamed4199 Місяць тому +24

    Huyu mama nimrembo kwerikweri kiukweli nimetokea kumpenda

    • @JamaliMalike
      @JamaliMalike Місяць тому +2

      Yani vijana wa ovyo utawa juwa tu

    • @musnamohamed4199
      @musnamohamed4199 Місяць тому

      @@JamaliMalike haha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mimi sio kijana mm nimwanamke na huyu mama nimetokea kumpenda kama mama yangu mzazi maana nimrembo kama mama yangu mimi ni musna

  • @NuruMukwana
    @NuruMukwana Місяць тому +1

    Martha tafadhali najua una Hadith ya kuadidhia lakini kumbuka tunamhudumia mungu wa second chance,wasamehe umsaidie mama 😭😭😭 jamani nalia kwa badala yako dada

  • @mbuerecarlos1396
    @mbuerecarlos1396 Місяць тому +4

    Mchungaji Mgogo alisema wazazi wanasahauliwa wanunua nguo za mitumba baba ananunua blauzi za kike anajua ni shati. Hii ni somo .

  • @BarakaKalawa
    @BarakaKalawa Місяць тому +4

    Matha matha mwaipaja uchungu wa Mama unaumiza sana wewe ni mwanamke

    • @Jackline-s1k
      @Jackline-s1k Місяць тому

      naivo ndivyo atafanyiwa namwanae,ukiuwa kwa upanga utakufa kwa upanga

  • @Malkiamalkiawakimeru
    @Malkiamalkiawakimeru Місяць тому +2

    Martha msaindie mama yako yaani wewe ni msanii mkubwa na mama yako anakaa chokora hii ni maajabu ya musa

  • @JoycePeter-v9u
    @JoycePeter-v9u Місяць тому +1

    Jamaniii yan watt wanahela hvyo mama yuko hivi ee mungu nisaidie mm niwatunze wazazi wangu

  • @HekimaHissa-de3lu
    @HekimaHissa-de3lu Місяць тому +1

    madha dada yangu kipenzi nakupenda sana samehee yote yaliyojitokeza kwenye maisha yako achilia

  • @amidajackson1413
    @amidajackson1413 Місяць тому +2

    Nimelia sana , 😢 i miss my mama i.wish she was still a life .

  • @JosephinaNgoma
    @JosephinaNgoma Місяць тому +2

    Mama nimekusikiliza sana nimekuelewa Kaa chini na watoto wako mshirikishi mungu alihai muyamalize hayo matatizo usimkaribishe shetani akutawale kwani mnajiabisha sana

    • @shamimushittindi1418
      @shamimushittindi1418 Місяць тому

      Anajiaibisha nini?wanawake waliozaa tu ndio watamuelewa huyu mama

  • @maryamabdallah3140
    @maryamabdallah3140 Місяць тому +3

    Mama mzuri hivi tena anabusara sana mwenye uvumilivu na mwenye upendo mkubwa, nàfikiri kila mtu angetamani kumpata mama kama huyu... sijui kwanini baadhi ya watu wakishafanikiwa wanawasahau wazazi na kuwadharau...

    • @stellasheba842
      @stellasheba842 Місяць тому

      Tena kijana.ningeringa nae..ningemuhudumia.
      Hawaoni hata wanamziki wa dunia?kina diamond, kina jux wanavyopenda wazazi wao

  • @MARRYKUNGULUCHE
    @MARRYKUNGULUCHE Місяць тому +3

    Mhuu naishiwa cha kuzungumza zaidi Mungu akuonekanie Mama

  • @LinaSalimu-x7q
    @LinaSalimu-x7q Місяць тому +8

    daa ina umasana tuna tesekasana nawatoto kuwalea mpaka kuwakuza. nilijuwa bitris anaonge uongo. Masa mshilikishe mungu sana mama ni mungu wako wapili maana mungu Ali mwami ni mamayako mpaka ukawa ivyo

  • @Christella12-g3j
    @Christella12-g3j Місяць тому +4

    Mi nafikiri huyu mama hako hapa kutafuta musada wa pesa kutoka kwa manae japokuwa na kumusaidia ni wajibu wake kama mutoto, ila anauchungu sana kwa kumupoteza mwanae anahuzuni na mtoto wake. Inauma sana.

    • @SophiaKufakunoga
      @SophiaKufakunoga Місяць тому +1

      Acha usenge Hela kitu gani

    • @Christella12-g3j
      @Christella12-g3j Місяць тому

      @ sasa unanitukana nini labda hukuelewa message yangu . Nimesema kuwa huyu mama hatafuti pesa kutoka kwa mwanae bali anauchungu na mtoto wake. Soma message vizuri. Kwani nimesema anatafuta pesa ?

    • @purityjames3668
      @purityjames3668 Місяць тому

      Nimekupitia nipitie tugrow pamoja

    • @Christella12-g3j
      @Christella12-g3j Місяць тому

      @@purityjames3668 Thank you , nakuja 👌

    • @MwanaidiHamza-n6j
      @MwanaidiHamza-n6j Місяць тому

      Msamehe, hajakuelewa​@@Christella12-g3j🤣

  • @leahkarangi960
    @leahkarangi960 Місяць тому +15

    Jitolee zako mama nyongo popote afu kamuombe Mungu akusaidie.Stress zinaua vby sana

  • @Jacobmaskedninja-d8n
    @Jacobmaskedninja-d8n Місяць тому

    Martha Be serious the way I love your songs and you sisters song,Kumbuka mama ni muhimu na isiwe ni hasira dada licha ya changamoto pengine za kifamilia ,pesa sio kila kitu wala Raha.❤.I love you my sister kumbuka nyuma dada na umwangalie mama please.

  • @TumainiMkemwa-ee1rz
    @TumainiMkemwa-ee1rz Місяць тому +2

    Jamani sio kilafamilia watoto wote wanaotunza wazazi wao ilawazazi walio wengi wananyamaza ,jihesabuni ninyi kwenu wote mlivyo zaliwa kwenye familia moja mnawatunza wote wazazi wenu

  • @tingomaggie8065
    @tingomaggie8065 Місяць тому

    Huyu mama Mungu amsaidie amwombee mwanae, asimame kwa nafasi yake kama mama kuomba kwa ajili ya uzao wake na siyo kumtangaza vibaya kwa media maana haitamsaidia kabisa. Mambo ya kiroho yanashughulikiwa kiroho na siyo kimwili.

  • @aliciamwalimu582
    @aliciamwalimu582 Місяць тому +7

    Saut na sura ni mama kbs😢😢

  • @JavanTresiah
    @JavanTresiah 28 днів тому

    Munga mtie nguvu huyu mama mana uchungu wa mwana aujuaye ni Mama pole Sana mamangu kiukweli Sisi wenye tuna mioyo na ndoto zakutunza wazazi wetu Ndo hatuna kipato 😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @MagoriWambura
    @MagoriWambura Місяць тому

    Mamaangu umeniliza mno Mungu akukumbuke Martha, Martha,dadaangu mrudiye mamaako nmeumia mno maneno ya mamaako yanaumiza mno

  • @SuleimanGodwin-f6j
    @SuleimanGodwin-f6j Місяць тому +3

    Leo. Umeongea sawa Mungu atamrudisha mwanao

  • @brysonmwakina
    @brysonmwakina Місяць тому +3

    Huuuu ndo mwisho Joan Mungu anakomboa Martha na family yote

  • @ElizabethDesmond-k9l
    @ElizabethDesmond-k9l Місяць тому

    Mwaipaja Mbn wajizalilisha ona Daaaah utu wako maama mzaz analia koz ofu wew mama kwanza ao wengine wasaidie maza akiwa na aman na furaaha

  • @MarySteven-k3c
    @MarySteven-k3c Місяць тому +3

    Mama ni mama kweli mm siwezi mwacha mama yangu na pia siwezi waacha watoto wangu na mpenda sana mama angu nasio mama angu tu mama yeyote nampenda

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 Місяць тому +2

    Nimempenda huyu mama ana kumbukumbu na anajua hesabu haya sio mapya mujini nakumbuka munalove nae alijichomoaga betri akasema mama yake amefariki lakin sasa hv anapiga nae picha😅😅😅😅 wasanii wa bongo ni wasanii tu

    • @claudia1500
      @claudia1500 Місяць тому

      😂😂kweli kabisaa alijilipua vibaya sana'sasa hivi kashajirudi kila saa yuko na mama yake

  • @HappynessJohn-q3c
    @HappynessJohn-q3c Місяць тому

    Pole mama hii imeniumiza sana Ata sikuwahi kuwaza kama dada anaeimba nyimbo za injili anaweza kufanya ivyo,mama msamehe tu Binti yako inaumiza san

  • @Josephmwambe-r6n
    @Josephmwambe-r6n Місяць тому

    Mama ni mama ni mama ni mama ❤❤❤ Matha Matha unyama gani mama yako aliyo kutendea mbaka umfanye adui yako

  • @PurityJoy-hs4lv
    @PurityJoy-hs4lv 29 днів тому +1

    🥲🥲🥲🥲Pole nimefeel kama ni mamangu ...pole mum🥰🥰

  • @adeladaudi2047
    @adeladaudi2047 Місяць тому

    Huyu mama hajajianika mtandaoni, sema tu waandishi wamemfuata, kumuhoji baada ya ushuhuda wa mwanae Beatrice, kwanza huyu mama namuona yuko poa sana amemshiba Yesu, haitaji msaada wa mwanadamu kinachomuumiza ni kuukosa upendo wa ndugu hasa watoto wake😭😭

  • @parasidomwananjela-e6u
    @parasidomwananjela-e6u Місяць тому

    Jamani tamaa ni mbaya sana ushuhuda huu ni funzo kwet pia tusipende sifa ni hafadhali dunia akutenge kuliko mungu baba na mama ni mthingi wa duniani mithingi inapotikisika yumba ni lazima ipasuke hili ni fuzo kwetu pia tukumbuke kuwalea wazazi wetu ndio msingi wetu

  • @metrinenyakoe1764
    @metrinenyakoe1764 Місяць тому +1

    Ee mwenyezi Mungu nipe roho ya ufanisi nifanikiwe zaidi niweze kusaidia mamangu asiwai toa machozi 😢😢 juu ya shida nikiwa hai

  • @Jackline-s1k
    @Jackline-s1k Місяць тому

    martha ,martha,sina mama muzazi,sai ata sai najuiliza hi christmas nani atanipokea kama aliekuwa muzazi wangu,your mum angekuwa mukwnya ningemuwomba awe mamangu anipanguze machozi hii,navile your mum iso biutyful aki,tena anakaa roho safi tena mucha mungu,ooi mungu kumbuka huyu mama yangu ju mwaipaja alimukana,mum ilov you ata kama sina chochote chakukupea,ilove you🌹🌹🌹❤❤

  • @aishabakari4686
    @aishabakari4686 Місяць тому +12

    kumbe watoto wake wamerithi sautu ya mama yao 💯💯 📌

    • @angeljoseph8103
      @angeljoseph8103 Місяць тому

      Wanafanana

    • @niyogushimaoscar9248
      @niyogushimaoscar9248 Місяць тому +1

      Lakini kuna mtu anakuja nakusema ohh eti sio Mama yake wakati anasikia sauti inadhihirisha kabisa

    • @purityjames3668
      @purityjames3668 Місяць тому

      Nimekupitia nipitie tugrow pamoja

  • @Danny254
    @Danny254 Місяць тому +4

    Ni dhambi na aibu kubwa sana ati sasa mamako anakuja mitandaoni kuja kujieleza kuprove a point ati ni mamako..Mungu atakurahani sana Martha msaidie mamako.

  • @hamisgonga2137
    @hamisgonga2137 Місяць тому +3

    Pole sana mama huyo Martha si unaona machozi ya mama mludie mungu

  • @ibrahgee1
    @ibrahgee1 Місяць тому

    Mother do this for the love of God. From 254 tunakupenda❤ nb tunakuombea mamaaa

  • @brysonmwakina
    @brysonmwakina Місяць тому +6

    Martha hatopatana amani hadi amsaidie mama😢

  • @SaadiyaMohammad-og5bg
    @SaadiyaMohammad-og5bg Місяць тому

    Nimakosa kusema mama nimungu wapeli ss waislamu tunamuheshimu mungu ni Moja tu na mama atabakia kuwa mama tu tuheshimu sana mungu

  • @HekimaHissa-de3lu
    @HekimaHissa-de3lu Місяць тому +1

    nakombea kwenye maombi ya usiku dada madha mungu akutie nguvu

  • @NoelaKitali
    @NoelaKitali Місяць тому

    Matha mungu akupe kibali cha kumtunza mama yako, hataka kama kunajambo lilikuudhi achilia sababu wewe unatuhubiria kupitia nyimbo za injili,, fanya wepesi kukaa na mama yako.

  • @Ashura-u3x
    @Ashura-u3x Місяць тому

    Duuuu shida kbsa yesu munamusingizia sikuyamwisho atawakanaa lav.hao wanawake wanafwata ibrisi nanyimbo zao ndio mana wanafanya maajabu hayo
    Kwakwer hakuna kama.mama❤

  • @UPENDOMWAKALINGA-t2q
    @UPENDOMWAKALINGA-t2q Місяць тому +1

    Pole sana mama,,,ila huyo joani ni pepo tena inavyoonekana kuna kitu kamlisha martha cha kumbumbaza.

  • @NduwayoAline-c9w
    @NduwayoAline-c9w Місяць тому +4

    Hata Mimi ningetamani Maman arudi Hiii😢namu miss snaa Na Leo ni Happy birthday yangu.miss u Mum R.I.P