deliverance can solve everything some problems zinaletangwa na strong foundations which has to be broken n rebuked in Jesus'name..ataoa Mara ngapi...spirit of marry n remarrying ...spiritual battles
Pastor unasikika muungwana. Shetani anapigana nawewe sababu unapenda mungu. Shetani anatumia bibi kama vile Adam na Job. Tafuta bibi kanisani ata kama ni wa kutoka Nyeri. Huyu ni mkali zaidi.
Bilha pls lea watoto wako ajana na huyo mwanaume imagine mi nimelea wangu wawili kwanzia wakiwa tumboni hadi sasa na baba yao ako sahi first born anaenda form 1 second class 7 na nimejaribu nimenunua shamba point 2 so wanaume ni stress weka mungu mbele sahau na wanaume fanya mambo yako na mungu one day atakutafuta.
hilo ni pepo pastor ,lililo ndani mwake lkn si mutumushi wa mungu, atafute mungu wa kweli amuongoze na ndoa yake itakuwa salama, lkn bila hivyo atawamaliza wanaweke dunia yote na mwishowe ataenda motoni
Mzee hana network alianguka na gunia pwaaa , kwa nini unataka kumurudia na hana network so kutokanana na maongezi ya Bilhah ana mpago ya kando (ALIKUWA analeta michele na mimi ni binadam ).
Mimi ikifika hapo natafuta visa ya Dubai😂😂😂😂😂😂😂Network I think mti haisimami ama😌😌😌😌😌🙄🙄🙄🙄Pastor mjinga sana Bilha move on dada wachana na huyo konokono🚶
Gidi utaacha za ovyoo 😂😂😂network ya safaricom na airtel ndio unajua 😂😂😂😂😂kama hawezi kukutibu mwili wachana na yy kabisa nkt.......ndio kitu ya maana kwa ndoa
😂😂😂😂😂😂ndoa woooiiiii aki wamama wasichana kujeni gulf tufanye kazi wanaume ni walewale tuh shida tupu coming home soon 2019oct wacha ushagala ni utamu hapa
This woman ni moto ya kuotewa mbali .pastor toroka.
forgive pastor na injili iendelee mbele.na ww mwana dada mwezangu acha mdomo mweshimu mmewako.oh Lord forgive us
deliverance can solve everything some problems zinaletangwa na strong foundations which has to be broken n rebuked in Jesus'name..ataoa Mara ngapi...spirit of marry n remarrying ...spiritual battles
Alice Njoki unamjua pastor mwenye anaeza fanya deliverance? :)))
@@jecintamuchemi5185 okoka alafu uombe Roho mtakatifu akuonyeshe .Soma saana zaburi 23 na 91.Lakini omba saana nayimbo za Roho na damu ya Yesu!
pastor wengine wanahaibisha Mungu wetu..kuna mambo aki acha niochee mwarabu choo bila stress..ati mbwa haiongei na binadamu
waume ni wale wale tu, hamamu is my office,God bless us
gladys ongera amen
gladys ongera Amiin Gladys
Hakuna haja ya kubeg mwana ume, you can move on with your life, tafuta kazi, chapa kazi lea , wanao mtangulize Mungu kwa kila jambo.
Jesus is walking ministry...pwaaaah
I know the church even the pastor hahaha aki bilha
She sounds very bitter. Where is she now?
Wooiiee usimcheke
😁😁😁 yaani moto wa ndoa unazidishiwa kuni kila uchao ni kali waaah pastor poleni sana kwa hayo masaibu
Proverbs 14.1 The wise woman builds her house, but with her own hands the foolish one tears hers down.
Pastor githaria...in the house...bilha move on...team hammam hoiyeee
uyu dem ni maragoli 😂😂
Hahahahahaha uuuuwi kama bibi hajui unahubiri na wewe ni pastor hehehehe wanaume
Ndunia inamambo namambo nyana watu.mimi pastor siezi olewa na pastor kabisaa
Wschungaji waeshimiwe pia ni watu kama watu wengini
Gidi ana jifanya hajui network....
Good man. GOD bless you.
Pastor hana nyota ya ndoa woooiiii 😢😢😢
Heeehee sikuhizi ni bora mwanaume sio mwanaume bora just move on mamaa
huyo mke ata nipewe bure plus 1m sichukui
Pastor unasikika muungwana. Shetani anapigana nawewe sababu unapenda mungu. Shetani anatumia bibi kama vile Adam na Job. Tafuta bibi kanisani ata kama ni wa kutoka Nyeri. Huyu ni mkali zaidi.
That Pastor should step down.1 Timothy 3:2
Gost anacheka sana bwana,hyo mama pia anaongea sana pia ako na ujinga
Dada Karibu kwenye UISLAMU
waaah heri kuishi single yawa
Kumbe harusi hata haina maana!
Yvonne Musimbi Yap ndio nimeona hivyo
cku izi ndoa nikama pata potea
Waa noma
ahk
Harusi inaibisha mtu
Siwezi olewa na pastor better niolewe na msee wamkokoteni
pole mama wanaume hatujui MUNGU Atuzingire tu wadada
Wacha nilee watoi wangu na ushagala, najifunia kuwa single
Bilha pls lea watoto wako ajana na huyo mwanaume imagine mi nimelea wangu wawili kwanzia wakiwa tumboni hadi sasa na baba yao ako sahi first born anaenda form 1 second class 7 na nimejaribu nimenunua shamba point 2 so wanaume ni stress weka mungu mbele sahau na wanaume fanya mambo yako na mungu one day atakutafuta.
Wanawake tunashida jamani😁kwa ndoa ya hv bora nililipukiwe na bomu
Chesus.....Bilha move on with your life.Nii maundu maya reke nemwo...😩😩😩😩😩😩
Huyu bilah ni bakora 😂😂😉😂😂😂😂
ukipata mwanaume anakupenda,pendeka jameni
Ndio sisi waIslamu tuko na Kadhidhs court
wololo vindu vicolapsanga team muscat mpo
Reigh Nasser Hi
Reigh Nasser Hi
Muscat;saham.😂😂😂😂vichanjanga...
Hawa wanajuana kwa vilemba
+Shayriza Aisha hey tu
+Qal so touchy nimefurahia saana hehehe
Hahahahaha ati hajawahi nihubiria kwisha 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂hapo ajawai niubiria waàaaah nomaa
hilo ni pepo pastor ,lililo ndani mwake lkn si mutumushi wa mungu, atafute mungu wa kweli amuongoze na ndoa yake itakuwa salama, lkn bila hivyo atawamaliza wanaweke dunia yote na mwishowe ataenda motoni
Team 2021 mpoo ndoa ndoana
Waaaah! ! !ndoa yawa
Hapo tatizo lingine kitandani mzee hawezi nimewaelewa ila mwanamke naye sio mchache sisi tunakula mchele hapa majuu lakini shuguli na wazee hakuna
Waa sio kwa ubaya lakini pastor apana most of them take Gods name in vain
Kuzaa na kutupa kama paka
maneno maneno maneno love is forgiveness,love isn't revenge!
Mbona Bilha anasema bwanake hajasoma na pastor amesema 'I don want'
H huyo yuko na mpango wa kanda kanisani
Huyu mwanamme ana machungu bilha pia ana machungu hovo hakuna patanisho km watu bado wamewekeana hasira
Heee mwogo ni ovyo ndio maanake nextwork mbovu
Isack ong'anyo!
ndoa siku hizi ni ndoa ndoano wanaume ni wale wale tu fanyeni kazi tusitegeme ndoa
bilha ikifika apo tafuta job gulf uje urelax akili.uyo mwanaume nkt
Mzee hana network hahahahahaha
Pwapwapwaaaa 😂 gidi tarimbo haina taste nkt!!! Huyo jama ni mkora pastor na Bilha kuja gulf tuoshe choo team gulf mpo.....kujeni msikie haya
3yrs ndaniiiiiiiiii...naenda kudai divorce next ye staki upuuzi
+Grace Kim abeee..semana na mimi gacugwa wakwa
+Grace Kim fake kiuk then..
linet mudengan heheh tuko
team gulf 3 yrs kwisha
Mbwa haiongei na binadamu, haha network hakuna hahaha ndoa ndoano
Mzee hana network alianguka na gunia pwaaa , kwa nini unataka kumurudia na hana network so kutokanana na maongezi ya Bilhah ana mpago ya kando (ALIKUWA analeta michele na mimi ni binadam ).
Hapa mwanamke ndio namlaume,huezi kuwa unaomba msamaha na kelele,NO
What do you do for a living? Pastor!😊🤭
😂😂😂issac ukilala lala salama kumbatia picha ya bilha😂😂😂
Chris 11 😵😵😵😵😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Chris 11 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
Eish! Huyo wife mgani, tupa hio kabisa pastor. Wife mdomo parapara
Ndoa sina mambo jamani hahahahaha
huyo pastor kweli amelaniwa kwa ukweli.
Hehehe mchawi, msherati, mwizi
Maisha ooh hashira haishaindii matusi ni mbaya woooii dada mapenzi siku hizi ni mbaraa hakuna network .
Mimi ikifika hapo natafuta visa ya Dubai😂😂😂😂😂😂😂Network I think mti haisimami ama😌😌😌😌😌🙄🙄🙄🙄Pastor mjinga sana Bilha move on dada wachana na huyo konokono🚶
Harriet Kemunto Saudi pap
Lilian anyona apo xaxa
Lilian anyona Riyadh ndo kusema sweetheart...ebu tuchape job kama kawa
Harriet Kemunto sure gindi anajifanya hajui
Harriet Kemunto ndio hiyo sasa
Jesus walk ministry 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Kwani pia kwa marriage kuna "draw" nilithani tu ni kwa football 😜😜😜😜
Waahh mambo ya ndoa ni magumu
Eeh!!Gidi mna kazi...
kuna mambo kweli
Gidi utaacha za ovyoo 😂😂😂network ya safaricom na airtel ndio unajua 😂😂😂😂😂kama hawezi kukutibu mwili wachana na yy kabisa nkt.......ndio kitu ya maana kwa ndoa
Mimi Siwezi hata kusimama kwa barabara eti natongozwa na mchunguji
chichi back y na mayb god amemuonesha ur the one hehe
😂😂😂😂😂😂😂
Hi mambo ya kuolewa na kuachana joh
Stecy beib it's a sin actually you should never divorce
Billah wajua kuwa nalea watoto watatu mimi hata sikuwai hata letewa mchele
NYINYI WANAUME!!!! TABIA ZA KUOA NA KUWACHA WAKE ZENU USHAGOOOO KWANINI???? KWANINI HAMUISHI PAMOJA TOWN???
Haha mbwa haiongei na binadamu hehe
Waaaah huyu mama nae hapana mdomo ndio ako nayo walahi
Iren Tirop hahahaaaaaauuuuuuuiiiiiiiiiiiiii nailed
Ety wambui ni mwizi..lol
Hehehehe aki ladies 😂😂😂😂😂😂😂😂
Watu wa gulf mumejaa hapa jichocheni tu na wi-fi ya mwarabu
Salome Ndigai
Kutoa stress za mwarabu
Shiro Tabz uko riyadh
Salome Ndigai tumejaa tuchekecheke hawa wana dada wenzetu badala wakuje huku tupike ngawa wanajistress 😂😂😂😂😂.
Aki heli kua single and independent
Lazima tujichoche Kwa sababu Ile patanisho tulipata ni kusugua hamam
This Pastor need to forgive his wife na ushughulikie watoto
ata nimeongeza muda wangu kwa warabu nk.........
Ata ushiwai kuja😃
😂😂😂😂😂😂ndoa woooiiiii aki wamama wasichana kujeni gulf tufanye kazi wanaume ni walewale tuh shida tupu coming home soon 2019oct wacha ushagala ni utamu hapa
Josphine nyangeci mm pia 2019 February
mwimbi miheso tukutane tukule 🍕 ama namna gani
+mwimbi miheso mm pia 2022
Mimi 2018 February hehehe LORD WILLs
Josphine nyangeci waambie tena
Gidi na Gost plz angalieni hii mambo na huyo mtu nimtumishi wa Mungu Lazima apatane na temtion hawezi kua kiroho
gindi nataka patanisho.But yangu nikutafuta mume.
Mdomo pepepepepe
🙄🙄ubwa hatuogei na binadamu
Ghai,huyu pastor anaitaji maombi ya kufunguliwa hiyo ni maroho
hahaha maguu maguu maguu.....
Bilha ana machungu yenye haitamsaindia, matusi haisaindii kamwe
Hakuna matusi hapo,she is fighting for her rights.ulikuwa unataka akanyagie hio story ama?
Haki pastor,you will preach forgiveness in the church,who is supposed to be forgiven. 3 wives and none is staying, i have a question mark????
Ndoa ndoani,,,,
Gidi hajui network??? 🙈
Hahaaa aki nyinyi gidi na Ghosti
waaah MUNGU saidia
Urumiaeni watoto
that lady ako na chukiiiiiiiiii
Bilha waaa,
akutafute akufanyie nini? kula hayo matusi.
😂😂😂😂haikosi kua Bilha Ni mluhya lol
Ebhindu bichechanga
Zubeda Seif vikolapusanga😂😂😂😂
Aaaah vindu vikomplicater pwana😉😉😉
Gidi hawa watu wote wako na shida hakuna anayerudi chini hao wanaitaji kukalishwa chini na wazee wakubwa nyi hamwezi