Gidi God bless you, I like the maturity in you, si rahisi kupatanisha watu...ni kazi ngumu. Napenda Josephine ni mama mzuri na ndugu yangu heshimu mkeo na mzazi wake pia.
It's long tangu niwasikize,I used to listen to you through 104.9 for so long,but nowadays the frequency doesn't go through, I don't know how i can get you please help am longing to hear from you; thanks
That’s not a true fact, only men who are secure,have a good relationship & communication with their partners can understand, many western countries there’s plenty of married women who are involved in politics or rather who get involved in politics to support candidates & majority of those men are very supportive
Ikiwa unatusi bwanako kwa mtandao hivi na kwa nyumba,ndoa Ina mambo mengi huyu mwanamke ako na kiburi sana, mwanaume ako right ako na Bahati alipewa Hadi ATM pin, ndoa watu wanakosana but you don't have to abuse your hubby publicly
Mama Carol usirudie hiyo shetani 😢😢ako na maringo sana na kujisikia..red flags 🎌 hata kwa maongeo yake inasikika ..malaya ndie uthania partner wake ni malaya pia..move on with your life mama Carol
Hiyo tabia ya sisi wanaume kuita bibi wetu malaya na ndiyo walituzalia ni umpumbavu wa juu sana.
Niliwai itwa hivo lkn kifo kilimchikua angali anaiitaji na hakuwai kuniona.
Atlast waelewa barikiwa 😢
Ebu waambie
That's why wanaume wanakufa mapema wanaacha mabibi zao juu ya madharau
@@MaggyKomuso babako ashakufa ama?
Gidi God bless you, I like the maturity in you, si rahisi kupatanisha watu...ni kazi ngumu.
Napenda Josephine ni mama mzuri na ndugu yangu heshimu mkeo na mzazi wake pia.
Ukiona mwanamke kwa politics .siasa..run😂juu hawalalangi kwa nyumba mpaka .....elections ziishe😂
Walahi bilahi got me rolling on the floor😂😂😂😂😂
Yayee ongea sababu naongea na ngombe 😂😂😂
Ghost is realy enjoying the moves😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nyinyi watuu mmekomaa kaeni chini msikizane mlee watoto
Wuee ngombe was just chilling 😂
Mama Rebbeca aliwekwa na Wana Siasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ruto Must Watch this🤣🤣🤣🤣Mama Rebbeca Mama Rebbeca run for your life
yeah na ikampea kiburi
Gidi i recommend you to eat ugali kuku every morning b4 the show coz hii kazi si rahisi😂😂😂😂
Blacker lister was just chilling
Waa! 😂😂😂😂
😂😂😂
Then booooom😂😂😂😅
😂😂😂😂😂here blacker lister.
Habari ya mwaka mpya .
Nko na mungu 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
That part😂😂😂😂😂
Mama rebeca mama rebeca mama rebeca mama rebeca mama rebeca😊😊😊😊 ntakuita marangapi
Umesahao amesems mama rebe 😂😂
Gidi na ghost nawapenda sana
hapa kama si kukaliwa hakuna ndoa
Hapa kuresoi South, Nauru county waves zimepoteya.so nimemis sana patanisho .mi ni silent listener. Wamenijenga sana kwa mawaidha ya mashabik wanatoa
After the call, I hope Gidi was given some milkya kutuliza headache walai
Huyo mwanaume ni mdaku Sana kama mme wangu 🤣
Nipee huyo mume wako ,, 😂😂😂
Kata mdomo yake😂😂😂
Kama baba mtoto wangu
😅😅
Wueh unaeka bwanako apo@carolinemutende7731
Wanaume aki😂😂😂😂😂
Habari ya mwaka mpya tena mama Rebecca 😂😂😂
Unmjua?
Niko na Mungu
Wakamba aki 😂😂😂😂 hii ilikuwa 🔥🔥🔥
Mm ni wathog nirudishwe kwa msitu😂😂😂
Usirudi mami. Ekana nakee 😢
Mercy nakuuii
I wonder how this two made to 23yrs both of them are on top of the roof top😅
Kunaendanga hivyo 😂😂😂😂
😅😅😅
My parents now 40 years everyone is always on top, is hard to case their misunderstanding
😂😂😂😂@@christineamlinger5630
Mama Rebecca,walahi bilahi😂😂
Wallai Billai 😅😅😅😅😅😅😅 this couples can reconcile when they sit and talk ... N hasira Tu wako nazo 22:30 22:34 22:37 22:40 22:40
This man I know him niwa Sofia matuu
Ñiko na kashambaa hukooo bana
@@don.frank.g9737unakauza how much tuonee?
Following sina comment
Ng'ombe ilikuwa inakula nyasi kiac🤣🤣🤣🤣
I love the way this guy does laugh... 😅😅😅😅
Niko hapo Kwa kucheke hee hee hee heeeeeeeee😅😅😅😅😅
Sasa hapa mama na baba mkae mielewane ,mrundishe family pamoja,
Mzee Ako na ujinga aki,
😂😂😂😂its about to go down
Some men speak hurtful things when you leave wanakuuliza kama walikupiga
So does that make u do bad thing to your husband
@@TonnyMchura you can never do bad things to One you love...but tumeona mengi in marriage
@@TonnyMchuraIs she supposed to sit down and clap for him?
Walahi bilahi....blakalist😂😂😂😂😂😂😂😂ndunia simama nishuke😂😂😂 asking if
Kuna watu waliumbwa tu wasiolewa na wengine wasioe .ni hayo tu kwa Sasa 😂😂😂😂😂😂
🤣🤣Hawana nyota 🤣🤣
@@philicemaradi 🤣🤣🤣🤣
Pia wewe uko single?
@@Tech-ww7dh Imagine Nko single 😒😒
Kiburi ya ken ni pro😂😂😂
Jama ako na makosa na anasidi na uchinga. Ni mchinga sana.
Ni mchinga sana😂😂😂
Ogopa wanawake wanaojihusisha na siasa
Ken ni ngombe kweli
I can't this man🚶🏾♂️🚶🏾♂️🚶🏾♂️🚶🏾♂️
Siezi istana mwanaume wangu mjinga ata kaa nimekosana😢
I love this
The couple needs to respect one another and waongepamoja
Hio ni kali
Mblakalist was chilling 😂😂😂
Kwa kweli huko jamaa ni ng'ombe 😂😂
Na mke ni malaya 😂😂😂😅😅
Hapo iko tatizo
Wakamba my in laws wangu mumeni let down aki😂😅😅
Mama rabeca ni mkali jo😂😂😂😂😂
It's very sad 😭 though at same time it's very funny 😅😂😂😂
Wa kwanza leo😂
Mm wa pili
Hopefully umecheka yako yote😅😅
Baba Rebbe ako na mdomo sana
Kumbe unajua huyo baba
😂😂😂😂wallai billai
😂😂😂😂 walai billai
😂😂😂
Walai bilai😂😂😂😂😂😂😂
😢😢😢😢 familia ni ngumu , ng'ombe 😂😂
Ati ng'ombe ngapi?
It's long tangu niwasikize,I used to listen to you through 104.9 for so long,but nowadays the frequency doesn't go through, I don't know how i can get you please help am longing to hear from you; thanks
😂😂😂😂😂
Gidi talks
Ghost laugh's.
Hiyo ndio Trade Mark yao. Na inapendeza kipindi chao vizuri.
Wallahi bilahi😂😂
😂😂 wakamba tumefikiwa 😂😂😂
Habari ya mwaka mpya Iko na Mungu😂😂😂😂
😂😂😂that caught me
Mmi nitakuwa msomali wa kwanza wa kupigia patanisho mtu anisaidie nmba yao
😂😂
Bibi ametoroka😂😂😂😂😂😂
Walai bilahi nataka kutapanishwa na Halima wetu moja mtu anipee namba ya radio patanisho am also big fun since 2018
@@irineadisa7289 ni girl friend nataka kujua msimamo wake
👍🏾🙏🏾 Halima wacha za ovyo Moha anakutafuta
Huyo mwanamke venye ni mnjanja hivo lazima n mkora
Walai b lai heshimu bibi gidi 🤣🤣🤣
Hapo ndio nimekwisha 😂😂😂
wueeh ati walai bin lai hahaha aki huyu mzee .
Mwanamke anaingilia siasa achana naye kabisa
Listen to her defence, she is too mature for that petty man
That’s not a true fact, only men who are secure,have a good relationship & communication with their partners can understand, many western countries there’s plenty of married women who are involved in politics or rather who get involved in politics to support candidates & majority of those men are very supportive
Wallahi bilhahi
Waaaaaaa😮
Gidi: Josephine
Ken: yes, eeeh 😂😂😂😂
😂😂😂
mama Rebecca 🤣🤣🤣
Wallahi Billahi 😂😂😂😂😂
Wee i can relate
My blatha is in blaka list 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣mimi ni ng'ombe
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯
Mbona ken hataki kwenda kwa kina mama warudiane maongez ya sm na baba mkwe haysaidii
😂😂😂😂😂ngombe 😂😂😂😂😂
Kweli ako na ujinga
Huyu mwanamme ako na shida 😅😅😅
walahi bilahi😅🤣🤣🤣
Awa ukjwaingilia utabaki katikati
Wakamba jameni na madawa😂😂
Ikiwa unatusi bwanako kwa mtandao hivi na kwa nyumba,ndoa Ina mambo mengi huyu mwanamke ako na kiburi sana, mwanaume ako right ako na Bahati alipewa Hadi ATM pin, ndoa watu wanakosana but you don't have to abuse your hubby publicly
Huko right haki,lazima ujishukishe kidogo
Umesikia ATM and forgot the rest… you didn’t hear where he abuses her? Or it’s ok to do it in private?
Wah..huyo jamaa ni maiti
No woman will leave her home just like that
U may not understand but they do
Hiyo kiti ya Traffic, kwann ipo Studio?
He should man up,ako na udaku huyo mwanaume 😅😅😅
😂😂😂😂
Huyu mbaba ako na mdomo jamani😂
Mdomo aje na anajieleza???nyinyi ata ni poa mubaki kua single mums
Patia Mkamba pesa kidogo tu na atakutusi pamoja na familia yako.
Ngai hii ni kweli
Very true 😂😂😂
Na Ni ukweli
Wakamnba lakini. Najua watu kadhaa wanapenda kubishana na huyu mwanaume
Wallai Billahi🤣
Niko na swali kwa Ally Baba wa doctor love.ni kweli kabisa hawa watu wanapatanishwa wanaishi 4reva?
Walai bin lahi😂😂😂😂😂😂
Huyo mwanamke ni mkora acheni kuficha
Mama Carol usirudie hiyo shetani 😢😢ako na maringo sana na kujisikia..red flags 🎌 hata kwa maongeo yake inasikika ..malaya ndie uthania partner wake ni malaya pia..move on with your life mama Carol
Kabisa anaweza mkatakata 🙆🙆🙆
Mm nko side ya ken
kwa nini
Ata Mimi, ken Hana makosa😂he is protecting sanity😅
Mama ni mjinga sana
Huyu mzee ako na umama mingi😮
Mbona voi hatuwapati jamani naboeka sana
Na huyu mwanaume ni mmeru siezi sahau vile mwingine alitukana mbele yangu
Mwanamke akiingia kwa siasa huyo sio bibi tena. Heshima upotea
mama nimkali kasuku ningumu kupatana