PATANISHO: Pelekeni huyo mtoto kwa mama yake ndio nitarudi (Episode 2, May 2019)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 216

  • @prettybabygalmichelson6557
    @prettybabygalmichelson6557 5 років тому +10

    Patanisho ya leo ni noma. Hii famlia ingepanga tu venye huyu baba atasaindia huyo mtoto ama ajengewe mahali pengine ama a rent hao na awe akisimamia majukumu yao...shemeji nakuelewa Yenyewe ni uchungu sana.na ukubali huyo mtoto pia.

  • @sherrykeya7370
    @sherrykeya7370 5 років тому +7

    Mama khavai huyu mtoi unaita mtu siku moja Mungu hata mbariki utashangaaaa mama

  • @carolcarolyne.musungu.4905
    @carolcarolyne.musungu.4905 5 років тому +7

    Mama Khavai ako na msimamo mkali kama wanamgambo wa kiisalamu. Huyu mtoto unamkataa Mungu atakuja kumuinua utashangaa. Unaona watoto wako ni malaika, kumbuka Mungu sio binadamu, siku moja watoto wako wataenda kuomba msaada kwa huyu mtu ( mtoto ) Don't let your mouth block your blessings. Kuna leo na kesho usione umefika.

    • @annem.w4878
      @annem.w4878 5 років тому +2

      That's a good reminder to her, anaona Tu leo hajui ya Kesho. Mchumia juani hulia kivulini.

    • @carolcarolyne.musungu.4905
      @carolcarolyne.musungu.4905 5 років тому

      @@annem.w4878 Kweli kabisa.

  • @graciellahjoewaweru7430
    @graciellahjoewaweru7430 5 років тому +4

    ATI si wewe ni mluhya😂😂😂😂 truphena ndio mluhya😂😂

  • @madamboss348
    @madamboss348 5 років тому +9

    Hicho kidomo ndio kilifanya bwana akazaa na maid sasa wait ataoa huyo maid coz maid pia n binadamu

  • @caroline3442
    @caroline3442 5 років тому +2

    Waaah!! Huyu mama ako na roho mbaya sana, huyo mtoto Mungu atakuja kumbariki cku moja hutai amini

    • @davidonchweri6526
      @davidonchweri6526 2 роки тому

      Kwanza vile anamuita eti huyo mtu walileta kwa boma

  • @tabithandinda1664
    @tabithandinda1664 5 років тому +10

    Mama roho chafu kaa mchawi mtoto wamuita ule mtu shindwe utakufa tu nauzikwe huwezi barikiwa ukiwa roho chafu hivo

    • @sherrykeya7370
      @sherrykeya7370 5 років тому +2

      Aki ako na roho chafu

    • @fiddiggokirimi9630
      @fiddiggokirimi9630 5 років тому +2

      Roho chafu. wewe mtoto hana makosa.damu ya huyo mtoto na ya watoto wako ni sawa.

    • @tabithandinda1664
      @tabithandinda1664 5 років тому +1

      @@fiddiggokirimi9630 hata hizo baraka anasema hakuna siku atabarikiwa

  • @TiberiusSimiyu
    @TiberiusSimiyu 5 років тому +4

    Today's Patanisho was the best one in this week of MASHEMEJIS.

  • @phanicewangila9335
    @phanicewangila9335 5 років тому +2

    Mama kavai ako na roho ya kishetani sana ati mtu,mtoto wa mwenzio unamuita MTU God is watching over u mama kavai

    • @joanandayi8606
      @joanandayi8606 5 років тому +1

      Walai hajui ya kesho ati baraka hki mungu anamuona hki mama khavai ati huyo mtu

    • @phanicewangila9335
      @phanicewangila9335 5 років тому

      @@joanandayi8606 huyu mama Kavai hujui ya kesho but uzuri malipo ni hapa hapa duniani because huyu anaita MTU atakua wa msaada kwa wale wake menye si MTU sijui hao ni nani

  • @naliakasandra5884
    @naliakasandra5884 5 років тому +6

    Wàaa...ati huyo mtu..mtoi hana makosa jameni..Mungu asaidie tu huyo mtoi

    • @marykawira9266
      @marykawira9266 5 років тому

      Ni kiherehere ya huyo Truphena kwenda kumchukua, kwani asingemchukua mamake angemtunza, kwanini alelewe mtoto akiwa mzima na hai??? Wangempa usaidizi bila kuchukua mtoto

    • @rehemaahamadiahmadi566
      @rehemaahamadiahmadi566 5 років тому

      @@marykawira9266 nakuunga mkono ni kiherehere

  • @diananafula2165
    @diananafula2165 5 років тому +12

    😂😂😂 truphena anasema tu mmh eh Anamis leso na machani

  • @mamayaoharistar4599
    @mamayaoharistar4599 5 років тому +2

    OMG wonders will never cease.Lakini bwana njo mwenye makosa mtoto hana hatia.Hata hivyo mashemeji wako right kwa sababu akikaa na mamake uhusiano lazima uweko na bwanako kwa sababu lazima atume matumizi ya mtoto.

  • @carolmamakebritney5266
    @carolmamakebritney5266 5 років тому +8

    Mama khavai Una roho mbaya aje mtoto hana makosa ni bwanako alikosea kwenda kuzaa sio hao, mtoto ni baraka waah

    • @washingtoneonyango1976
      @washingtoneonyango1976 5 років тому +1

      Carol , ni painful.

    • @소송소송
      @소송소송 5 років тому +1

      Very painful. How can she call a child "That mtu" It can happen to her own children.

  • @sweetmumwake9729
    @sweetmumwake9729 5 років тому +2

    Mama khavai uko na roho Chafu aki ata kama nibaraka uwezi barikiwa mama.Tulia kila kitu itakuwa sawa

    • @aggycherry9400
      @aggycherry9400 5 років тому

      Heheee roho mbaya

    • @sweetmumwake9729
      @sweetmumwake9729 5 років тому

      @@aggycherry9400 Uyu mungu ameshikuwa matamushi yake.Anaita mtoto wa mwenzake mtu oooh my God

  • @ruthnjambi728
    @ruthnjambi728 5 років тому

    😂😂😂😂😂ghaaaaiii kwani sio mtoi kama hao wako.Mama roho mbaya sana.

  • @mariyanegoodone172
    @mariyanegoodone172 5 років тому

    Haki Leo imetisha kweli juu mtoi anaituwa MTU..Mungu bariki uyu mtoi adi uyu mama ashangae vile wasikilizaji wapatanisho wameshanga leo

  • @phoebemukhwana3058
    @phoebemukhwana3058 5 років тому +4

    Unaiita mtoto MTU,that's your own believe mama styleup

  • @everlineakinyi6097
    @everlineakinyi6097 5 років тому

    Mama Khavai,,mdomo parrrrrrr kama mvua ya manyunyu,,ww mjinga sana hujui mtoto kma uyo ndo baraka kw familia,,eti unaongelea baraka,,walai hutaibarikiwa kwa maisha yko coz unatusi binadamu aliyeumbwa n Maulana

  • @paulinepolly7999
    @paulinepolly7999 5 років тому +1

    Hahahahaaa Bibilia haiongei juu ya waluyha!

  • @christinahachieng996
    @christinahachieng996 5 років тому +10

    Somebody to tell this woman to spot misquoting the bible the child is innocent deal with your husband

  • @wacmber2131
    @wacmber2131 5 років тому +1

    Whaaaa kuna wanawake wanaroho ngumu sasa huyo mtoto alikufanyaje mpaka eti shopping huwezi fanya kwa ajili yake ngai!!!!!

  • @conniechrist9260
    @conniechrist9260 5 років тому +8

    Gidi ameulizwa kama yeye ni mluhya akahepa swali😂😂

  • @pampamie2375
    @pampamie2375 5 років тому +1

    Waaah mtoi hana hatia ulikuwa wapi mzee wako akienda kuzaa some times women we need to be with human heart.

  • @fridahkathambi9478
    @fridahkathambi9478 5 років тому +2

    It hurts mume kuzaa na maid na uko ww saa izo so hurting i fill mama kavai

  • @euniqshisiali1709
    @euniqshisiali1709 3 роки тому

    Waisukha ni wakali😂😂😂😂

  • @amoswekesa1476
    @amoswekesa1476 5 років тому +1

    Mama kavayi anachapisha gazeti kutumia typewriter..

  • @whiteneyhoston9895
    @whiteneyhoston9895 5 років тому

    Hehe waluyha kucheni hapa😂😂😂

  • @remicksambani7428
    @remicksambani7428 5 років тому +7

    Waluhya jamani...."siezi pikaa simu"

  • @gracendungu5860
    @gracendungu5860 5 років тому +4

    Uku kuna mluhya.anioe tukikosana anipeleke pAtanisho 😂😂😂naskia hawatupangi watoi wao, sio kama wakikuyu wetu ata ukiwa naye kwa nyumba unashughulikia kila kitu.afadhali kukaa single 😂

    • @diananafula2165
      @diananafula2165 5 років тому

      😂😂😂 uwezana na ugali daily

    • @paulinepolly7999
      @paulinepolly7999 5 років тому

      Grace Ndung'u but taking the kid doesn't guarantee caring. Like this child being with the auntie just coz hawawezi mtupa. Motherly love has no replacement. Just my belief.

    • @gracendungu5860
      @gracendungu5860 5 років тому

      @@paulinepolly7999 whatever

    • @gracendungu5860
      @gracendungu5860 5 років тому

      @@diananafula2165 iyo ndo siwezani aki😂😂😂ugali daily is a nah

  • @moreenmbatha1147
    @moreenmbatha1147 5 років тому +1

    wah ati kama mmeeka yule jaluo pale nyumbani😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎

  • @everlynmanigamaniga818
    @everlynmanigamaniga818 5 років тому

    Gidi umenichekesha unaulizwa Kama wee ni muluhya unahepa eti turufena ndio muluhya😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂lakini huyu anapo ongea ana roho mbaya

  • @moulinemoulinr9136
    @moulinemoulinr9136 5 років тому

    😂😂😂😂Gidi walisema uende u confirm kama mtoto wa wao

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 5 років тому +7

    Mama kavai mtoto akirudi kwa mama yake hiyo itampa mume wako arudiane na mama mtoto na watazaa second born so heri vile mtoto ako na Trufena

    • @sarahatieli7642
      @sarahatieli7642 5 років тому +2

      Kweli you have a point

    • @annem.w4878
      @annem.w4878 5 років тому +2

      Caroline Talam, hebu mwambie tena naona amesahau, Kwanza hajui watoi kama hao vile ni baraka Kwa boma. Aweza soma akaja mfaa hata yy pia.

  • @wairimusimiyu
    @wairimusimiyu 5 років тому +1

    Kuzaa nje ni nonesense ata me swezi kuongelesha

    • @wairimusimiyu
      @wairimusimiyu 5 років тому +1

      I support you Mama kavai 100% acha tukue na izo roho za kishetani bt nonesense can't be tolerated

  • @20olga00
    @20olga00 5 років тому +2

    Mama Kavai is right

  • @babygirl-tc5dr
    @babygirl-tc5dr 5 років тому

    ngahi huyo mtu jezo😨😨😨😨😨😨nmejikuta na cheka2😂

  • @carolynemuthoni3205
    @carolynemuthoni3205 5 років тому +3

    Mtoto akae na Mamake baba asaindie

  • @chainbre275
    @chainbre275 5 років тому +1

    Waah shushu asirah Dada coz wewe pia sai no mzazi huwezi jua kesho yako au mtoi wako pia aje afanye kosa Kama LA baba yke ndo utajua dunia duwara kitanda hakizai haram namtoto hana shida coz yukobkwaboma ya babake sasa wewe unataka akalelewe ujombani kisa humpendi doh

  • @paulinepolly7999
    @paulinepolly7999 5 років тому +1

    The problem is not the child it's the husband. I understand the pain of the wife, maids need to be smart not to try to overtake the masters home thru getting children. It's wise for this man to support this child n also good if this wife allow the auntie to live with the child so long as the child is not brought to her house.

  • @mumblessed001
    @mumblessed001 5 років тому

    Wah hii ni noma kweli cnje anasononoka mama kavai ulitedewa kweli maid alikugeuka pole rudisheni mtoto kwa mamayao muache kuharibu boma yake

  • @phoebemukhwana3058
    @phoebemukhwana3058 5 років тому +1

    Io roho yako si Ya Mungu Nkt!

  • @joiceanne8195
    @joiceanne8195 5 років тому +3

    Aty MTU surely mama

  • @everlynmanigamaniga818
    @everlynmanigamaniga818 5 років тому +1

    Hiki kitu kinauma Sana lakini wewe mama kavai kumbuka mumeo ndio ako namakosa huyo mtoto unakataa ndio atabeba baraka ya watoto wako afu utaanza kulaumu eti wamewalani vile unasema, lkn mdomo wako mwenyewe ndio utaaribu watoto wako, kumbuka mtato hakuwaambia wamzae, mumeo alicho ona kwa mufanyi kazi basi ndio kilivuna maharage, so vitu Kama hivi huwa vinatokea ndio ni uchungu but ongea ukijua yule MTU unae sema Hana zambi ata kidogo

  • @nomienomie7812
    @nomienomie7812 5 років тому +6

    Sasa wameze huyo mtoto arudi kwa tumbo,huyo mama ako roho mbaya zaidi

    • @missd1828
      @missd1828 5 років тому

      Sana aki ata anaita mtoto kitu

    • @nomienomie7812
      @nomienomie7812 5 років тому

      @@missd1828 na jee ikafanyikia mtoto wake je angefurahi/angerusha mdomo hivyo

  • @prayerchamber1600
    @prayerchamber1600 5 років тому

    Eti anakuzuia....vle unamtema ndo unajizuia
    Beta uletewe mtoi kuliko mke wa pili...tena hujaletewa kwa nyumba yuko kwa dada ya mzee...maisha inabidi ukubali wakati mwengine vle ilivyo

  • @margaretamoit4097
    @margaretamoit4097 5 років тому +1

    ata ka alisaa namfanyi kazi c bado n mtoto ka wako! nukuz wee mama

  • @sabinamamaphiktoria7524
    @sabinamamaphiktoria7524 5 років тому

    Aki sometime's mawife hujipata njia panda wakati bwana amehanya plus kuzalisha.....but sipoa kumlaumu mtoto Kwanza anakua na atakuondokea tuu....uliza mzee wako ilikuwaje mpaka kazaa na maid Siri iko palepale.....labda ataza za na wengine pia.😲😲

  • @agneswanjihia1383
    @agneswanjihia1383 5 років тому

    Mtoto ni baraka kutoka kwa mungu.

  • @bonifacekisina
    @bonifacekisina 5 років тому +1

    Wanaume tusilaumu kitu hapa. Tuwache kufungua fungua zip ovyo ovyo. Huyu mama hata kama ako na makosa, bado huyo mme wake ndio amesababisha haya yote. Wanaume tuwache kuwa na tamaa. Si kila shimo unaona unadunga tu.

  • @kevohwapipelinetransami4351
    @kevohwapipelinetransami4351 5 років тому +3

    Eti Waluhya hawafanyi nini😂😂😂😂 umenimalizeko

  • @zainafwenah7751
    @zainafwenah7751 5 років тому +9

    Mimi mama Khavayi roho chafu wewe unaita mtoto wa bwanako mtu wewe hujaelewa bible kam nikufunze bible

    • @everlynmanigamaniga818
      @everlynmanigamaniga818 5 років тому +2

      Jamani huyu mwanamke ndio unaskiaga amechoma mtoto Wa mwenziwe. Mwanamke roho chafu asipo angalia watoto wake hawatabarikiwa asipo mpenda yule anae ita MTU😭😭😭😭😭

    • @zainafwenah7751
      @zainafwenah7751 5 років тому

      Evarlne huyu akiwachiwa mtoto takika tano tu atakua ashamtoa uhai kulingana namaongezi yake

  • @jakshamim6036
    @jakshamim6036 5 років тому +1

    Hata kama mnalaumu mama kavai ni uchungu baba kuchua mfanyakazi na kumzalisha.mama kavai angemove out kwa hiyo marriage.ndio wangemtafuta kumuomba msamaha.hi maneno ikitulia tena atarudi kuzalisha huyo dem

  • @annnjogu972
    @annnjogu972 5 років тому

    Wah ati Mtu jamani..

  • @kevohwapipelinetransami4351
    @kevohwapipelinetransami4351 5 років тому +1

    First

  • @RoseRose-pr6zu
    @RoseRose-pr6zu 5 років тому

    Hajui huyo mtoto maybe ndio baraka kwake😭😭

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 4 роки тому

    mtoto ni Baba uluhyani,hii mama ni bureeeee!

  • @gsbshshzhxsbxbsnhxh5225
    @gsbshshzhxsbxbsnhxh5225 5 років тому

    Hata mm sikubali

  • @vickylupemba6055
    @vickylupemba6055 2 роки тому

    Hiyo ndio inaitwa roho mbayaaaa ya mama kavai😢

  • @lucyoyiela6718
    @lucyoyiela6718 5 років тому

    Awoyie maskini wa mungu mtoto hana ubaya jamani ata Mimi bwanangu amezaa inze watatu sita with different mother's but nalea tu . Mama gavayi wacha nikwambie Kama unamchukia huyo mtoto baraka za watoto wako zote zitambendea . Hiyo nilaana mama gavayi na itaenda kwa watoto wako

  • @carreneadhiamboagiloagilo6205
    @carreneadhiamboagiloagilo6205 5 років тому

    Ati trufhena ndio Mlunya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @kevohwapipelinetransami4351
    @kevohwapipelinetransami4351 5 років тому +4

    Mama Kavayi yawa si umsamehe yaishe yawa, uko na roho ngumu na bila utu eti wamtupe wapi sasa🙄🙄

  • @jaenixhadazawanda4174
    @jaenixhadazawanda4174 4 роки тому

    Aki huyu mama kavai n roho chafu aje🤔🤔...aki mtoto n innocent

  • @yahabibiyahayatiyahayuni7339
    @yahabibiyahayatiyahayuni7339 5 років тому

    Huyo mama kavai taweee hiyo kiherehere apana taka kwani huyo mtoto ni wa chui ati akikaa na watoto wake atawachuna mwanamke mjinga sana

  • @alinebenja3925
    @alinebenja3925 5 років тому +2

    Hehehehe......yani unadharau mtoi na bwanako ndo babake?tuliza mambo mama makubwa yanakuja

    • @elmainvestment34
      @elmainvestment34 5 років тому

      Huyo mtoto ni baraka kwa hiyo boma, huyo shemeji aache ujinga, hakuna penye huyo mtoto ataenda itabidi wajipange.

  • @phoebemukhwana3058
    @phoebemukhwana3058 5 років тому

    Huyo mwanamke akona roho chafu sana kwenda uko

  • @carosmwongela7294
    @carosmwongela7294 5 років тому +2

    Aki wanaume mmenishinda na tabia zenu 🤔🤔🤔

  • @reginanelly9183
    @reginanelly9183 5 років тому +1

    Nipeeni huyo mtoto

  • @mkenyahalisi1047
    @mkenyahalisi1047 5 років тому

    Am a luhya yes but hii sijaona hata...mtoto hana shida..ni baraka sana.,huyu mama ni dada ya jini na mama wa shetani 😢😢😢😢

  • @monyivam9821
    @monyivam9821 5 років тому

    Hii bible ya Ibrahim mungu wangu toeni huyo mtu kila kitu urudi sawa truphena na mtu mwenyewe ni mtoto mungu tulikosea wapi

  • @bettyoluoch9774
    @bettyoluoch9774 5 років тому +2

    Sasa watatupa mtoi na mtoi ni wa bwana wako mama Kavai kwani ww ni mgumu peleka uko ujinga pesa zinaisha

  • @elmainvestment34
    @elmainvestment34 5 років тому

    Wabaluhyas wanakuwaga na issues mingi Sana na Kamila, I think it's high time wapewe civic education.

  • @소송소송
    @소송소송 5 років тому +1

    THIS WILL AFFECT THAT CHILD FOR THE REST OF HER LIFE. CALLING ANOTHER WOMAN CHILD "HUYO MTU". MAY GOD PUNISH YOU MAMA KAVAYI SAITAN.

  • @christinenthambi4028
    @christinenthambi4028 4 роки тому

    Yup mama ni wa wapi hajui waluhya watupi watoi wao ?? Akicheza atafukuzwa na hao watoto wake wakae pamoja na uyo !

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 5 років тому +3

    Unajua mtoto kesha zaliwa , hana kosa, na uelewe kuwa vyovyote itakavyokuwa atabaki kuwa ndugu na wanao na pia huko mbeleni inawezekana akaja kuwa msaada kwako. 03.05.19.

    • @elmainvestment34
      @elmainvestment34 5 років тому

      Sasa yeye haujui hivo, angekubali tu matokeo

  • @kevohwapipelinetransami4351
    @kevohwapipelinetransami4351 5 років тому +5

    Next week vacation loading......🛬

  • @salamachombo8246
    @salamachombo8246 5 років тому

    Mama khavai roho mbaya

  • @tinasanta4080
    @tinasanta4080 5 років тому

    Waaa huyu mama kavai mbona anaroho ya pepo hivi?mtoto wa bwanake anamuita mtu🙄🙄🙄🙄🙄

  • @roseirungo1950
    @roseirungo1950 5 років тому

    Katika ndoa ukiolewa niko n.a. experience ya in laws ukiwapenda sana they take your kindness for granted that they have the guts to do and talk Shits behind your back bt when you show them the back they started missing your humble and kindness or if they fail to replace you.....

  • @josephinekhasandlubale8792
    @josephinekhasandlubale8792 5 років тому +1

    Mama kavayi ako na roho chafu,siku moja utatafuta yule mtoto simu moja

  • @lucybakayoko6039
    @lucybakayoko6039 5 років тому +1

    Waluhya na patanisho pooh 🙄🙄

  • @mercyanyango1564
    @mercyanyango1564 5 років тому +3

    Uyo mwanamke akona roo chafu,ma house girl pia wajipea heshimu,umekuja job badae una tiwa mimba

    • @irenenelson9072
      @irenenelson9072 5 років тому +1

      Huyo mama ako right, made anakubali kulalwa na mdozi wake thoo😕😕

    • @washingtoneonyango1976
      @washingtoneonyango1976 5 років тому

      Imagine , Huyo maid anafaa kunyoroshwa vizuri.

  • @wakiama9609
    @wakiama9609 4 роки тому

    Kama kavhai God is watching

  • @entertainmentplace3460
    @entertainmentplace3460 5 років тому +1

    Shemeji ama wifi aki .....

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 4 роки тому

    watu wake wagani? ii mama kavai ni ngibwe sana

  • @madamboss348
    @madamboss348 5 років тому

    Mtoto wa bro wangu lazima nilee ......Mama kavai ana roho chafu anaweza uua huyo mtoto kitu naona hapo huyo mme ataachana na mama kavai ataoa huyo maid

  • @naimkangi6027
    @naimkangi6027 5 років тому

    Huyo mm anapoint mfanyikazi wake alimrudi nanyuma its painful, hiyo family inasupport ndugu hao bona walileta mtoto kwa mboma means hata mmke watamleta awe second wife,wakafai jikalishe na ujipange utaona kivumbi ushangae ww

    • @washingtoneonyango1976
      @washingtoneonyango1976 5 років тому +1

      Huyo maid naye anafaa kunyoroshwa vizuri.Si atafute wake.

    • @naimkangi6027
      @naimkangi6027 5 років тому

      @@washingtoneonyango1976 its painful cz mtoto ni innocent na hatauliwa , bt huyo maid ataonea binguni viusasa,.

  • @khamisijuma3167
    @khamisijuma3167 5 років тому

    Mama huyo anaroho mbaya

  • @robertowoko1526
    @robertowoko1526 5 років тому

    Wewe mama wacha panganga mingi ao wako wenye una fikiria ndio watu kama ujarudi utalia

  • @maureenkimeto5892
    @maureenkimeto5892 5 років тому +3

    Mama kavai uko sawa kabisa....but your husband has let you down.

  • @zainafwenah7751
    @zainafwenah7751 5 років тому +3

    Mtoto akisha zaliwa hakuna njia ingine

  • @tarqouisef7362
    @tarqouisef7362 5 років тому

    Truphena is right ...how can she betray you ? Housemaid anazaa nq bwanangu siwezi kubali never ever

  • @wakiama9609
    @wakiama9609 4 роки тому

    Soma pia kuhusu Moses mama kabhai... ndio utajua hakuna kitu unatwambia

  • @zwaziemeli7001
    @zwaziemeli7001 5 років тому

    Kiherehere mama kavai nkt 🤔🤔🤔🤔🤔🤔

  • @jamilaomar2708
    @jamilaomar2708 5 років тому

    Duuuh

  • @aishaelias3867
    @aishaelias3867 5 років тому

    Waluyha mna kwama wapi? Kwani patanisho ni yenu tu? Drama za kisenge sana.. mama roho mbaya huyu sijamuonea mwenzake.. ati toa hiyo jaluo kwa nyumba ??? Like Serious

  • @mariyanegoodone172
    @mariyanegoodone172 5 років тому

    Gidi siwe ni mluhya jibu sawali mama khavai ameuliza..

  • @margaretmuranga1362
    @margaretmuranga1362 5 років тому

    Wewe m'ama kua na roho Safi mtoto Hana makosa

  • @chullakoi3608
    @chullakoi3608 5 років тому +1

    Huyu mama kavaii ni fala tu wa kawaida angekuwa yf wangu hata ningekuwa nimemfukuza kitaambo,Bure kabisa!

  • @marykawira9266
    @marykawira9266 5 років тому +1

    Mama kavai she's right, huyo mtoto angebakia na mamake at least asaidiwe akiwa nae, kumleta hapo nikama kudhalilisha mama kavai , infact that stupid husband should be thankfull Bibi yake hakumuacha ,

    • @madamboss348
      @madamboss348 5 років тому

      Mtoto ako kwao period wakutoka atoke aende

    • @prayerchamber1600
      @prayerchamber1600 5 років тому

      Io ni tricky sana coz ataanza kujipeleka kuenda kuona mtoi na zaidi

  • @khadijamohanani6476
    @khadijamohanani6476 5 років тому

    Huyu mama.ana roho mbaya