PATANISHO : MIMI NISHAPATA MUME,,, JUST MOVE ON
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #patanisho
Subscribe to RadioJambo UA-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220 - Розваги
Waah hii Leo ni noma kabisaa....mwanamke akiamua kufanya revenge hata shetani anakaa chini kuchukua notes 📝 😅🤣🤣🤣
Like this 😆😆😆
Mwanamke achana naye 😂😂😂😂😂
Anarevenge ata zenye ulimfanyia kabla hujamuoa,na revenge yake ni mbaya kuliko ,mume
ua-cam.com/video/cZH2yk24fRU/v-deo.html
Walai
Jamaa afanye kazi ajenge maisha yake..wanawake wachana nao.. ukijenga maisha watajileta ..wanawake ni wengi wacha kulilia mmoja...
Alex man, you are the prize. Usimfuate huyu binti. Usiongee naye. Jikaze kivyako, atakuja kukutafuta. Lakini Wakati huo usimruhusu kwako tena. Mabinti ni wengi sana. Achana na hao wakenya wasumbufu.
My favorite show❤️huku Wajir radio jamno haishiki lakini sipitwi juu ya huku UA-cam ❣️
Huyu Alex anakaa,anaweza kufanya kitu mbaya either to himself ama to the Ex..such people ni Hatari🔥
Giddy na Ghost ,at the time when you're on air,ndio wakati naingia kazini kuhudumia wakenya,but nikipata nafasi kidogo,I must listen to you...your voices is my💊 especially when am stressed up....
Sii mungu awabariki sana.
People say you never know what you have until you loose it. The truth is you know exactly what you had, you just never thought you would lose it. Pride. Ujeuri 🙄
Watu wawache madharau. People et emotionally tired! 😳 If you truly love someone, treat them well. Don't think because they had a child with you they can never leave. Pole sana Alex. This is a bitter lesson.
Aleki mtu wangu life sometimes is so hard lakini.. Wish you all the best brother
Kweli kabisa
Pole Sana Alex,huyo mwanadada ulikua unamdalalisha Sana uliwai mpiga mbele ya umati at Serem market nikishuhudia Aja amove on.
Na vile watiriki wako na madharau hehe
Madharau yenye watiriki walinionyesha siwezi sau
Pole kijana,pia wanaume wanapenda mtu akiwa kazi, najua anampenda juu yeye ako kazi
You never knw the value of something till u loose it😂
True
You can say that again
I disagree. The truth is Alex knew the value of what he had & he was & is still in love with her. HE JUST NEVER THOUGHT HE WOULD LOSE HER! 😳 Probably because he had a child with her.
Many men behave like this in marriage. Once you get children, they start madharau like you have NEVER IMAGINED. They can even make you depressed & loose your self esteem. SHE SAID KUNA VITU ALEX ALIMFANYIA. It's her life, Wacha Alex akule madharau yake.
wah milka usifanyi mwezako hivo pole sana kijana jaribu bahati ingine aki na usiwe na stress
Umejaribu maombi na Sema muendee Yesu kristo nakuakishia ushindi
Usipo mtunza ukiwa na yeye ukaone dhamana yake ...baasi atokapo usione ulichopoteza ...Alex akubali na a move-on
I don't see any problem with this lady she gave Alex enough time to change she even stand with him when he was jobless but the guy was not ready to change .... Watu wengine can't understand story za mlevi until you become a victim it's so disturbing 🤑. Al the best Milkah even though you moved on so fast iwish ungejipea time kidogo.
Milka atakuja regret baadaye wanaume ni wale wale na maisha ya ndoa yana masaibu yake,,alex murudie Mungu omba sana kabla ya kurudi sokoni na kujukua uamusi wowote na mambo itarudi sawa.
Sioni makosa KATIKA hii ndoa kamwe huyu mama anajua anapendwa ndo maana anatesa huyu Collo😏😏hebu mnipe number ya huyo Collins tuoane naye sasa... He seems a good man we can make a good couple. I will mould him and take care of him. Sending love to Collins♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
❤❤❤
Rehema ADONGO orodo shabiki wenu kutoka kenya,,sai nawapata live nikiwa saudi Arabia,,nawapenda sana gidi na gost
It might be love yes ..it's hurts to know who u loves loves someone else its pains but if she wona go let her be because if you force u will never have peace knowing well your wife he'd an affair ur still in denial take your time ,time do heals never force love all the best
😂😂😂😂love is hard to give up and I like how Alex insisted and I'm sure Milkah knows she's in the middle of the seaa.
Watching from Dubai Much Love
Same here Dubai tunawapata live and clear. Alex ajikaze tu atazoea
Dubai tupo wengi
@@florencemzungu9979 ata wewe pia
@@ramak.9587 eehhh niko place inaitwa Al awiri 1
hakupedi bro achana naye
😂😂😂😂Alex amepatikana welcome to single life
🤣🤣🤣🤣🤣
It’s a toxic relationship! It’s heading to dangerous point; the way the argument goes, soon or later, there will be a nasty fatal bloody confrontation.
Wanawake ni wengi, vile vile wanaume ni wengi, wacha pombe eti unampenda sana utashangaa
Eti..atashangaa😂
Ukipata Diamond ring 💍 keep it well, the moment it gets lost you will never find it back again, sorry Alex.
True
ua-cam.com/video/cZH2yk24fRU/v-deo.html
I'm from Tanzania jamani wew dada msamehe mme wako huyo mwanaume mwingine hampendi anakutumia TU jaman
“Don’t it always seem to go, but you don’t know what you got till it’s gone”.
Agreed dear you never realize the value of someone until you loose her/him
Mwaume kichwa box ,yaani mwanamke akishakwambia sikutaki unalazimisha acha kua hamnazo Alex ,afuu wanawake ni wengi
🤣🤣🤣🤣Alex shikamoo milka ashaoleka njoo unioe mimi lakini ukinikosea nakukata hiyo kitu ya kukojolea
Jesoo
Noma sana
Kumbe patanisho bado iko
Radio jambo ifike wajir bwana
Mpango wakando apigwe na radi kwa Jina la yesu 😂😂😂😂😂
Amen
Amen
@@moseskiplagat5940 eti amen hahaha doh what if his ur bro
Unataka kumaliza mamilioni ya wakenya
Fans wa pastor Ezekiel congra
Alex don't simp. Know your worth. You're the prize.
Amerix student
Baas
😂😂😂huyu hakuna prize... Who wants a drunk? That lady has moved on. This Alex should know how to treat a woman
What prize...a drunkard?
Now that level of pride is what made him lose her in the first place. You don't take people you love for granted thinking they can never leave because you are the prize. Wacha Alex akule ujeuri wake.
Hilo lijidume jipya mkora ,anandanganya msichana wa wenyewe kama asemavyo Alex....mbona akatae jina lake lijulikakane . I mean his two names
Alex amechanganyikiwa na maisha coz Serekali ya mtu ni kichwayake mwenyewe
Pole kijana,pia wanaume wanapenda mtu akiwa kazi, najua anampenda juu yeye ako kazi ana msimamia kwa nyumba 🤣
❤❤❤❤❤
This marriage is like you have to stay buy focus 😅😅😅😂😂😂
Moving frm pan to fire... Monicah utaachwa tu time will tell
Women conference 2022..... Tulisema we move on while in the relationship n plan your Exit strategically. Once u are out, he might even watch u on wedding show the following weekend as the bride with a testimony of how he was a stepping stone to where u are going in life. That's what we said.
Exactly😂
and vice versa
Waaah this guy ni wale huua ex wao aki
Eeeh my name sake👌,umegonga vyombo vya habari 😊,the decision is yours
U never now value of something or someone until u loose it or them ....sasa ndo jamaa anagundua ishamwagika
Not a laughing matter.hapo kuna mtu atakua marehemu soon.
Huyo mzee wa pili sio straight forward,better angepatia Alex another chance.
Gidi utetea wanawake sana kuliko wanaume😢😢😂😂😂
Radio jambo gidi mliifunga uku meru
Pole Alex 😢
Alex ukiachwa achika bana wanaume huwa munatufanya kama sisi wanawake hatuna kazi kabisa
Huyo anapiganio wengine wana kosa 🤔🤔.Dunia kweri ni ngumu 😉
Waaaaaa hii n kali
This woman will pay for the pain the guy is passing through, na hata huyu Jamaa mwenye anajidai ni Bibi pia ataregreat,
Sikuizi nikuoga na kurudi sokooooo😹😹😹😹😹😹😹😹😹wewe baki apo na ulevi yako
Poor Alex ukiwachwa achika🤔
I fear for milka that man is in denial and very possesive
Alex anatafuta shuka,kumepambazuka. Pole sana Alex🙄
Mpango wa kando waliwe na kunguni,mende in Ezekiels voice.🤣🤣🤣najua atatemwa tu kama waru moto.wacha tumpee 2yrs
Hahahahahaha
Yaani kuna wenye wanapiganiwa na Sisi tumekosa ata mmoja,this earth has no balance
Bana
Tokelezea wako wengi, 🤣😂🤣😂.shida ukupata🤰jua tuu🏃♀️
@@ruthnafuna9245 wanapatikana wapi?hapo chini I will take care
@@gracekamunya6823 Tokelezea ,alot of them .everywhere in Kenya
Uyo jamaa anaskia vibaya akiona uyo Dem amemuacha
Hangemfanyia hivo Alex Milka akumbuke ni mzazi mwenza.Hawezi kujua kesho Wanaume walienda same college.Heri shetani mwenye unajua kuliko Malaika mwenye hujui
I ptty that lady coz akuna vile unatoka ndani ya married then you jump into another married ,,you will dump him
Rafiki wa kukupea Moja mbili knowing very well you're an addict ....hao sio marafiki
Listening
Hii kesi haijaisha. It is just beginning. This Alex is capable of heinous things. He is dangerous
Gidii unachoma eti huyu ndiye bwana mpya wa Milka
Waah n kunoma ak
ndoa na pombe ni kama mafuta na maji
Love c.ya kuongea 2 Bali ni vitendo
Hello
Huyu naye amerudi soko haraka Sana,poor guy
Haka ni ka malaya kivyake.
Mnaweza nipatanisha na pesa
😂😂😂😂😂
Alikua kwake c kitu akatupwa Sasa ameokotwa ww Alex enda salama, sometymz wanaume wanazoea alafu ati kumbuka penye tumetoka 😄😄SI sai ashapendwa
Wah kama Yenye napitia saai aki pole Mii pia napenda bwanangu lakini wapi alienda akaolewa kwingine
Balaaa hii
Nipewe huyo Alex 😂😂
😂😂😂😂
Value someone when you have them so that you dont sound stupid on radio asking people to get your love back
focus on yourself.
Alex marafiki wake ndio wana mmislead huna kazi lakini unaitiwa pombe aki some friends jooh
Alex's denial sounds dangerously suicidal and homicidal.
Hold yourself Alex. Leave her alone and move on.
God will hold your hand and bless you.
Huyu mwanamke hakua na mapenzi
Untill your heart become tired of someone, you'll understand.
Alex move on with your life. Tafuta bibi mwingine
Rebound relationship let Alex give them time,, they will burn, rebound relationship is distractions they won't last
How long van rebound last?
@@eunicenarotso Science says 3 - 6 months. They never last
@@joanolisa1 Some do... seen some situations which were meant to be rebound lasting for ages though.
Rebound can last, but mostly not, because that relationship doesn't begun on strong foundation,it starts lke running over to the past relationships and the person is not healed from the past, so I start relationship first before knowing each other,, so after some months u start getting knowing each other that's where red flags start,,,
Earth is hard😂😂😂
giddy hasira ni ya nini ukipatanisha watu bure kabisaa
Huyu mwana mke alikuwa na mwanaume mwingine ndo maana alikuwa anatafuta visa
Hapo Hakuna ndoa cku huyo mzee atamtema milka ndio atajikuta kwa Alex n hio ndio atakua ametupa huu n hasara juu Alex atakua ashaoa tayari so haraka haraka Haina baraka
The new husband talking 😆
GIDI AND GHOST SHOULD LISTEN TO BOYZ CLUB HBR! Hawatetei mtu hata!!!
My friend achana na pombe, jitume kikazi na kila kitu kitakua sawa. Hawa marafiki wa ulevi wataku cost life yako yote, wife utapata mwingine huyu ashajitoa msahau tu. Nikama alikua anakuhanya mkiwa pamoja.
Haki c nipateko bwana mwenye atasema napenda ww 🤔🙄😏😪😌
Faida gani akwambie nakupenda saa ile umeondoka saile mlikuwa pamoja mlikuwa mnalala njaa nayeye anarudi amelewa chakari!Angekuwa mzuri bibi hangetoka kama bibi anapata kazi ww mwanaume unaweza kosa kweli? Alafu unakuja umelewa fadhali umwabie mwenye kukununulia pombe nipe hizo pesa nikanunulie mtoto mayai na mkate!Men be serious as a mum i can't drink when i know i have no food or i have no rent.Imagine ww unahagaika kwa mjengo kama mama mtoto akule alafu mtu anarudi amelewa kama hio nimapenzi jje kama hakutaki ata do?
😂😂😂sasa hata akikataaa na mwanamke ashaolewa
Ni stupidity
🤣🤣🤣
Mayoooo awuoro
Hii mapenzi ya 20ts inachanganya ,bt
Waah 🤦 the earth is hard
Alex you've lost it ukiwachwa wachika
It is true that a woman can move on while you still live together.......one day she will just vacate and that will be the end of it.
very true
This guy is bitter 😠 inaeza kuwa ata anataka kurudisha uyo bibi wake aende amue becoz of disappointment,,, mwanaume is always jelious en the way the lady alimove on haraka,,
Waaah. Am sure this man will eventually dumb her and she will look for Alex but it will be too late for milker