ALIKIBA ni MSANII wa Kuigwa, Ebu Tazama alivyowachangisha mashabiki zake ili kumsaidia PROFESSOR JAY

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • #alikiba #professorjay
    Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
    play.google.co...

КОМЕНТАРІ • 174

  • @saidmwinyi7062
    @saidmwinyi7062 10 місяців тому +29

    Firstly napenda uvaaji wa ali ni simple secondly nice heart be blessed kiba

  • @suzysam6002
    @suzysam6002 10 місяців тому +22

    Ukiona hivyo ujue kipaji kapewa na MUNGU sio chakulazimisha , ndio maana Hana mavazi ya hovyo hana michoro ya ajabu mwili mwake halindwi hovyo , kiukweli MUNGU wa mbinguni aendelee kumjalia kila iitwapo leo

  • @Yolanda-n3x
    @Yolanda-n3x 10 місяців тому +15

    Nakupenda sana uvaaji wako natamani sana mung5akupe maisha marefu ❤❤❤

  • @FroridaBenedicto
    @FroridaBenedicto 10 місяців тому +4

    Mtu mwenye dini anaonekana kw kila ktu anachofanya na ata kw mavazi ona king alvo simple but complex gud lifestyle MashaAllah,
    King all the best may Allah grant u easy in ur lfe

  • @JOJONKASIONEBRANDSTV-z2h
    @JOJONKASIONEBRANDSTV-z2h 8 місяців тому

    Respect king kiba

  • @bama9271
    @bama9271 10 місяців тому +9

    Tatizo wa tz huwa mnapenda wasanii wenye upendo wa nje kuliko upendo wa Nani.alikiba ni mfano mzuri kabisa maana anaeshimu sana mambo ya ndani ya inchi kuliko ya nje maana ndo kwaio.ila wasani wengine wako tayari kutoa interview kwa Media za inje kuliko ndani.big shout-out to one and only one king

  • @hamisathuman9762
    @hamisathuman9762 10 місяців тому +3

    King kiba ni mtu safi sana ❤❤❤

  • @SaadaMsombe
    @SaadaMsombe 10 місяців тому +11

    Safi sana AlliKiba Allah akulipe Inshaallah❤

  • @mandyuwimana7735
    @mandyuwimana7735 10 місяців тому +14

    Kila la kheri King Kiba ❤❤❤

  • @asmahozza8468
    @asmahozza8468 10 місяців тому +9

    MashaaAllah....May Allah bless you more for what you are doing

  • @JAPHETSAFARI-d8r
    @JAPHETSAFARI-d8r 10 місяців тому +2

    Mungu amulinde ali congrats

  • @starlily07
    @starlily07 10 місяців тому +12

    I love you Alikiba❤❤❤❤

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss8485 10 місяців тому +6

    Yuko simple sana hadi raha ❤❤❤

  • @RevocatusSholoma-r4e
    @RevocatusSholoma-r4e 10 місяців тому

    Msanii wa nch king musc

  • @HidayaKarim-wy9yc
    @HidayaKarim-wy9yc 10 місяців тому +3

    Huyu ndo msani wa kuingwa alikiba ana sifa zote za kuingwa ❤

  • @nzeyimanaaisha4071
    @nzeyimanaaisha4071 9 місяців тому +1

    Nimesoma Comment Ila Kuna Kitu Nimegundua Hapa Kama Mtu Hua Hapendwi Mwengine Aonekane Kama Anafanza Vizur Hilo Tuliache Maana Yangu Ni Hii Nilicho Gundua Kwa Ally Kiba Siyo Mtu Wakujionyesha Ili Asifiwe Bali Katumia Khekima Kubwa Sana na Piya Hashindwi Kutoa Zote Kwa Pamoja Maana Yuko Nazo Hakosi Pesa Ila Katumia Busara Na Khekima Mung Akujaliye Uwe Miongoni Mwa Watakawo Ingiya Pepo Yake Ameen

  • @AishaSeif-dv9bs
    @AishaSeif-dv9bs 10 місяців тому +14

    All the best brother alikiba

  • @stevenckanumba7
    @stevenckanumba7 10 місяців тому +7

    King kiba himself

  • @ZakariaMachibula
    @ZakariaMachibula 10 місяців тому +2

    Hogera Kwa kutoa milioni 5 king

  • @idrisashelimo307
    @idrisashelimo307 10 місяців тому +1

    Hiiii ndio maanaa only one King mashaallah shekhe aliy

  • @abdullahkazungu4025
    @abdullahkazungu4025 10 місяців тому

    Kioo cha jamii toka zamani mungu akuzidishie Ali

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx 10 місяців тому +1

    Mwanangu King anazngua tu kwenye nyimbo hii mpya

  • @timothykengere2535
    @timothykengere2535 10 місяців тому +1

    Shukrani Sana🎉

  • @khalidjafari1172
    @khalidjafari1172 10 місяців тому +1

    King kiba ALLAH BLESSING

  • @khadija5761
    @khadija5761 10 місяців тому +9

    Mashaallah ❤❤❤

  • @emmanuelShayo-dk6vf
    @emmanuelShayo-dk6vf 10 місяців тому +1

    Kiba Yuko poa sana hao wasanii wengine ambao awajaja wanazingua professor amesha toa nao Ngoma wote na zote zika hit .proff..anaga baya na mtu kabisa wangeweka hata namba ya Bank au Simu wengine pia tunaweza kuchangia kidogo tulicho nacho respect sana Kiba

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 10 місяців тому +3

    Eeh!Taji Liundi,sijamuona kitambo.Nimefurahi.😊😊

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj 10 місяців тому +4

    Ma Shaa Allah Tabarakallah

  • @eggysulle7988
    @eggysulle7988 10 місяців тому +9

    Uvaaji wa mfalme hua unanikosha kwakwel hakuna makolokolo jmn

  • @IDDIMASOUD-z4z
    @IDDIMASOUD-z4z 10 місяців тому

    Huyuu mtuuu

  • @mayaalrawahy5470
    @mayaalrawahy5470 10 місяців тому

    Allah akuhifadhi kiba

  • @giztony2009
    @giztony2009 10 місяців тому +12

    Nadhani yy angesema ananunua mwenyewe ila wao kwa kuwa wengi wachangie labda mara 10 yake yani ili iwe 20 plus 02 ya ali kiba

    • @harounbanzi3948
      @harounbanzi3948 10 місяців тому

      Alishatoa mil5 ilo ombi ni nyongeza

    • @erickmillanei4346
      @erickmillanei4346 10 місяців тому

      Kashatoa Hiy ni nyongeza

    • @benno255
      @benno255 10 місяців тому

      hapana approach aliyotumia ni sahihi.wabongo ukisema hvyo hawatoi

  • @binmussahaji4932
    @binmussahaji4932 10 місяців тому +3

    King❤

  • @alibachirofficial3939
    @alibachirofficial3939 10 місяців тому

    Where is diamond now ? They had a great song

  • @w_media_house
    @w_media_house 10 місяців тому +9

    Msanii wa kuigwa, kafanya Kwa moyo sana jana

    • @faumahona5769
      @faumahona5769 10 місяців тому

      Kuigwa kwa lipi sasa kuchangisha watu ndio useme kafanya utu sana daaah wàtanzania tunamambo ya kishabiki sana

    • @w_media_house
      @w_media_house 10 місяців тому

      @@faumahona5769 akifanya vizuri tusiseme?, hao watanzania wangapi?

    • @elhadjbakar7060
      @elhadjbakar7060 10 місяців тому

      Acha chuki na roho mbaya haipendezi

  • @RajabuBojo-j2l
    @RajabuBojo-j2l 10 місяців тому +1

    Bosss king 👑👑👑

  • @daisynyerere5730
    @daisynyerere5730 10 місяців тому

    I hope wote mlio comment hapa mumechukua namba kuchangia foundation

  • @deogerald7828
    @deogerald7828 10 місяців тому

    alikiba una upendo na unajitoa mungu kwa dhat

  • @shazzywakingsmusic8672
    @shazzywakingsmusic8672 10 місяців тому

    Nakukubali Sana kaka

  • @omaryluambano3495
    @omaryluambano3495 10 місяців тому

    Kingkiba bless

  • @chotadonnie4443
    @chotadonnie4443 10 місяців тому +1

    ❤❤ towards the king

  • @MohamedTambara
    @MohamedTambara 10 місяців тому +64

    Kitu nilichogundua n kua King hatoi mbele za watu ili wamsifie na ndivyo dini ya kiislam inavyotaka

    • @HaikaFredrick
      @HaikaFredrick 10 місяців тому +3

      Mmmmh wala huyo bahili tu

    • @HaikaFredrick
      @HaikaFredrick 10 місяців тому +3

      Kweli bahili hatariiii 😂

    • @Sofiashabani780
      @Sofiashabani780 10 місяців тому

      Hivyo ndivyo diini yakiislam inavyo takiwa kutoa kwa siri ili ukapate thawabu kwa Allah ila sikusema kila mtu ajue

    • @adriandaniel8304
      @adriandaniel8304 10 місяців тому

      Nakubali

    • @taucseif851
      @taucseif851 10 місяців тому +1

      Hana hela bhn ndo maana anakusanya buku kwa watu 😅 hakuna mwanadamu asopenda sifa kama anacho

  • @FatumaJumanne-p4d
    @FatumaJumanne-p4d 10 місяців тому +3

    ❤❤❤

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 10 місяців тому +2

    ❤❤❤mashaa llaah

  • @BenadFrank
    @BenadFrank 10 місяців тому +3

    👑👑

  • @Saintplamondon
    @Saintplamondon 10 місяців тому

    Good

  • @hansmsangi9828
    @hansmsangi9828 10 місяців тому

    Huyu tunamkubali sana miaka mingi kuliko yule mpombavu mwingine Alikiba hongera sana tupo na ww sana

  • @saadaramadhan7512
    @saadaramadhan7512 10 місяців тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @HoseaCosam-mo6py
    @HoseaCosam-mo6py 10 місяців тому

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SalimuMwashehemu
    @SalimuMwashehemu 10 місяців тому +5

    ingekua uyu mwengne wa cfa mondi angekua na body guard 😅😅

    • @kisutiemanuele1299
      @kisutiemanuele1299 10 місяців тому

      Oya si maisha yake we yanakuusu tafta ela acha makasiliko

    • @SalimuMwashehemu
      @SalimuMwashehemu 10 місяців тому

      @@kisutiemanuele1299 " low brain capacity,...🤫...

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 10 місяців тому +2

    Unavaaa kiheshima ndiyo dini inavyotuamrisha

  • @saidbakari2408
    @saidbakari2408 10 місяців тому

    Amesema nyie endeleeni na shughuli nyingine kuna watu wanaona aibu ahsante kwa kuwajali mashabiki my wako

  • @MasaboDjuma
    @MasaboDjuma 10 місяців тому +1

    Mnatia aibu kwamana mnaongoza mtandaoni kuonekana ma boss mkililia upendo alafu mnatozana kama kiliyoni shame on nw😅😅

  • @mis2ra766
    @mis2ra766 10 місяців тому

    🎉❤

  • @omarmussa5755
    @omarmussa5755 10 місяців тому +7

    Ali emeshatoa 5mil ilo ni ombi jengine amepewa

  • @nzeyimanaaisha4071
    @nzeyimanaaisha4071 9 місяців тому

    Hanaga kiki Mtoto Watu kiba Me Hua Kinacho Nipendezaga Kwake Ni Uvaaji Wake Piya Jinsi Anavyo Shika Na Muonekano Wake Aisee Umejaaliwa Mung Akulinde Na Hasid hasada

  • @mohammadkijana6618
    @mohammadkijana6618 10 місяців тому +3

    😂😂😂 wasije ku tia chuma ulete tu kwenye hilo box tukabaki na bukujero😅😅😅

  • @Boy_director_11
    @Boy_director_11 10 місяців тому +1

    Guys game 🎮 game over 📺📴

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx 10 місяців тому

    Mwamba ana body la kinyama sana ,na muonekano wa kibabeee san

  • @shangwefisima3993
    @shangwefisima3993 10 місяців тому +3

    Ooooh Kumbe Kiba mpaka achangishe mashabiki???

    • @LasvegazzyThutmose-kh5or
      @LasvegazzyThutmose-kh5or 10 місяців тому

      Kwa akili yako anakosa iyo ela apo ni akili boss

    • @harounbanzi3948
      @harounbanzi3948 10 місяців тому

      Alishatoa mil5 ilo ombi ni nyongeza

    • @ricklandennis
      @ricklandennis 10 місяців тому +2

      Hapo hawapo kwenye maonyesho wanashirikisha watu mil 2 sio hela yakumshinda

  • @SekaOnlineTV
    @SekaOnlineTV 10 місяців тому

    umeona mambo yanavyo fanywa kikubwa hakuna kiki wala mbwembwe

  • @dicksonmwenyembegu2523
    @dicksonmwenyembegu2523 10 місяців тому +5

    hapo alitakiwa kuendesha harambee sio kuchangia

  • @anitakamene4656
    @anitakamene4656 10 місяців тому

    KIBA

  • @YunusBlueberry
    @YunusBlueberry 10 місяців тому

    Tatizo waandaaji wa hili tukio ni wabinafsi na mnaendekeza bifu hao hio kampuni haiuzi tena majini, profesa ungemshirikisha msafi hapo shoo ingejaa na michango ingetoka kwawingi hao cls hawanajipyaa kakaa shuhuli imebuma hio, kama WASAFI wangesimamia hapo ingekua ndio stori ya mjini, tatizo hamtaki kukubali kuwa wasafi wanapromoshan ya kazi zaoo.

    • @mbalaga259
      @mbalaga259 10 місяців тому

      Kaka sio wasaf ndio Wana promotion hata hapa walikuwa wanaweza kuja hawaja zuiliwa kuja kumsaidia professor jay

    • @kelvinpeter3768
      @kelvinpeter3768 10 місяців тому

      Jifunze kufikiri weka mapenzi na utimu pembeni utaelewa shame on you

    • @YunusBlueberry
      @YunusBlueberry 10 місяців тому

      @@mbalaga259 kaka hio nishuhuli maalumu ukumbuke kunamualiko hapo kaka

  • @Jibambeshow254k
    @Jibambeshow254k 10 місяців тому +5

    Ndio maana nampenda Ali angekua yule mwengine ungeona mbwembwe n kizungu mingii 😂utadhani anamiliki dunia

    • @SophiaMsindo
      @SophiaMsindo 10 місяців тому +1

      ❤❤❤

    • @mwalizijulius1687
      @mwalizijulius1687 10 місяців тому

      Mbn mnapenda san kumfananisha huyo mwingne na Ali Kiba shida nn,,hamuwez kukoment bila kumhusisha huyo mwingne

    • @mohdkhamis2914
      @mohdkhamis2914 10 місяців тому +1

      Watu hawafanani usilazimishe kila mtu awe unavopenda ww

    • @Jibambeshow254k
      @Jibambeshow254k 10 місяців тому

      @@mwalizijulius1687 cjataja mtu mbona una overthink?😆 ur mind though

    • @mwalizijulius1687
      @mwalizijulius1687 10 місяців тому

      @@Jibambeshow254k 😀😀mwenyew sijataja mtu

  • @johnleonardjohnbosco1048
    @johnleonardjohnbosco1048 10 місяців тому

    Hivi mnatuambiaga ali anajisikia uwa mnakuwaga mnasemea anajisikia kwenye nini mbona kweny event muhimu za na za kawaid za kusaidia watu uwa namuona

  • @kugotwa004
    @kugotwa004 10 місяців тому

    Kutoa hizo pesa za mziki nyoooko

  • @ElogbneyoBreezy-yz4vq
    @ElogbneyoBreezy-yz4vq 10 місяців тому

    Diamond apo km karata imekwisha

  • @sakinaamani1486
    @sakinaamani1486 10 місяців тому +1

    Mbona hujabeba kikapu

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 10 місяців тому +1

    Waandishi nao bwana ko hapa mfano upi sasa wakuigwa?

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 10 місяців тому

    NYIE MASHABIKI WA KIBA MMEMUANGUSHA....MLITAKIWA KUMWAGIKA JUKWAANI SIO ASHUKE CHINI KUWAOMBA....TO ME NICE BUT BIG NO

    • @rdanmohd8003
      @rdanmohd8003 10 місяців тому

      Humanity

    • @samiraaindi
      @samiraaindi 10 місяців тому +1

      Nimeipenda show ya Yvone chaka chaka na Ali Kiba so mwa😘

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 10 місяців тому +4

    bahili huyu 😂😂😂

    • @jasmineeomary2041
      @jasmineeomary2041 10 місяців тому +3

      Mbona jamni katoa milioni 5 hee binaadam

    • @JonaJuma-g2d
      @JonaJuma-g2d 10 місяців тому +1

      😂 mnataka aseme natoa bilion 2

    • @nuhumaalim4976
      @nuhumaalim4976 10 місяців тому

      Hhhh

    • @harounbanzi3948
      @harounbanzi3948 10 місяців тому +1

      Alishatoa mil5 ilo ombi ni nyongeza

    • @Jibambeshow254k
      @Jibambeshow254k 10 місяців тому +1

      Anaakili ya ukubwa alishapita maisha y utoto c kama yule w mm domo

  • @dignachami7382
    @dignachami7382 10 місяців тому +2

    Alikiba unajishusha Sasa miliomi mbili unachangisha siungetoa mwenyewe duuu kweli hujielewi na ukubwa wote huo unachangisha milioni mbili au ukubwa wa bure huna kitu ,ingekuwa simba hapo angechangia milioni hata kumi

    • @muubaytz4754
      @muubaytz4754 10 місяців тому +4

      😅😅😅😅 acha chuki fatilia kachangia shngapi , hyo alikua anafanya kama harambeee

    • @jasmineeomary2041
      @jasmineeomary2041 10 місяців тому +6

      Yani ww ndo kiladha alikiba amechangiaa milion 5 mashabiki ndo wamechangia hizo milion mbili h3bu jaribu kusikiliza vizur uache kukurupa mxiee ww unayo hata hiyo milion 1

    • @princessplatnum4416
      @princessplatnum4416 10 місяців тому +4

      Hyu mwamba ndowale wafata mikumbo dalasan hv hv samakiba unajua maana yake

    • @frankemmanuel5239
      @frankemmanuel5239 10 місяців тому

      Yupo wap huyo Simba hapo Sasa mtu kutoa sio lazima ujionyeshe lazima kiba alitoa Ila hakutaka kujionyesha

    • @rizikiabdalla2501
      @rizikiabdalla2501 10 місяців тому +2

      Weee umetoaaaa ngapiii

  • @asaadalbusaidi1870
    @asaadalbusaidi1870 10 місяців тому +2

    Kama mfano wakuigwa angetowa zakwake mfukoni , zake anabana anatumia za watu mbahili huyu acheni kumsifia sufia tu

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 10 місяців тому +5

      Ht Diamond pia bahili wagonjwa wangp wanaenda fata msaada pale wasafi na tunachangishwa wiki mbili nzima hd itimie yy uwezo hana wakutoa M 2 au 3 aah acheni uteam jaman😂😂

    • @binaljabirmshihirzanzibar8369
      @binaljabirmshihirzanzibar8369 10 місяців тому +1

      Yeah upo sahihi maneno yako

    • @swalhawerema57
      @swalhawerema57 10 місяців тому +2

      Wew umetoa sh ngapi....juso lilee ... wakati kings Muzik imechangia ml 5 uache chuki zako

    • @elizabethmasitsa6537
      @elizabethmasitsa6537 10 місяців тому +1

      Wewe unajua vipi kama hajatoa zake

    • @ibrahimngulungu
      @ibrahimngulungu 10 місяців тому

      ​@@OfficialA83640Sasa mbna jibu lako ndo kama limeleta utim diamond kausika vipi hapo😅😅😅😅😅

  • @AishaAbdi-f4s
    @AishaAbdi-f4s 10 місяців тому

    Masha Allah❤❤❤

  • @IDDIMASOUD-z4z
    @IDDIMASOUD-z4z 10 місяців тому

    Huyuu mtuuu