Wanawake Wawili Katili Watiwa Mbaroni Embu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 вер 2024
  • Wanawake wawili wanazuiliwa na polisi katika kaunti ya Embu baada ya kupatikana wamempa dawa za kumfanya apoteze fahamu mwanamume mmoja katika chumba cha malazi. Wawili hao wanasemekana kuwa walifika kwenye hoteli hiyo , na mwanamume huyo wakidai kuwa mmoja wa mwanamke huyo alikuwa mkewe, ilhali wa pili alikuwa shemejiye, na walihitaji chumba cha kupumzika. Hata hivyo, baadaye wanamume huyo ambaye ni daktari alipatikana akiwa uchi wa mnyama huku akiwa hajitambui.

КОМЕНТАРІ • 38

  • @kfnnnfmnfnf6383
    @kfnnnfmnfnf6383 8 років тому +2

    hehehe eeeee warerererer watatekwa sana nyara kwa sababu uchunge umezorota kwani iko nini

  • @happytimes9896
    @happytimes9896 7 років тому +5

    sasa akiwa wamempa dawa za kumdhuru atawezaje kuwapa burudani mzuri. hahahahahaha hao wanawake na wazimu sasa

  • @miriamgodblessuwanderi2940
    @miriamgodblessuwanderi2940 8 років тому +5

    hao wanawake wako chonjo, dactali diye Malaya alidhani anaenda kunjifijali bali ikamugeukia

  • @gladyskendi4282
    @gladyskendi4282 4 роки тому

    God will bless the work of your hands

  • @Utadowot
    @Utadowot 12 років тому +2

    ai yawa, when you go to embu mr reporter? you speak like them ? mbaloni
    I look forward to a follow up on this, we need to know how this doc is doing

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 5 років тому +1

    Duhh Doctor Katibiwa kisa burudani,jamani tuacheni tamaa.

  • @centreflora5170
    @centreflora5170 4 роки тому

    Tuongeonyeshwa uso... Daah ni kubaya...

  • @dennisorina1682
    @dennisorina1682 9 років тому +3

    Eti wampe burudani...

  • @iminzaiminza5813
    @iminzaiminza5813 6 років тому +2

    Are they married 😨

  • @mahbubdawood2909
    @mahbubdawood2909 4 роки тому

    Daktari hakuwa anataka burudani lakini hawa malaya wawili ndio walikuwa wakitaka kumpatia burudani kwa lazima na waweze kufanya menghine pia

  • @Jasubakende
    @Jasubakende 12 років тому +1

    I think the good fellow meant "mbaroni" as in custody.

  • @uwingeneyeshadia7697
    @uwingeneyeshadia7697 5 років тому +2

    Wakenya mnavituko , wanawake majambazi,maghaidi ya Allah tunusuru waja wako

  • @aronminja9661
    @aronminja9661 6 років тому

    Hi doctor imepatikana

  • @imtherealdeal2367
    @imtherealdeal2367 7 років тому +2

    Buy one get one free business

  • @saitotisapiyo7167
    @saitotisapiyo7167 5 років тому

    Hahahaha noma Sana wanawake thitima

  • @SaddamHussein-nn1oy
    @SaddamHussein-nn1oy 7 років тому +2

    daktari kaenda kutibiwa

    • @ashasheha4483
      @ashasheha4483 6 років тому +1

      Saddam Hussein burudani au wamuibie

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo6105 4 роки тому

    Waaa corona na nzige kibao hazitaisha duniani ubaya ni mwingi sana

  • @nzappazapp8360
    @nzappazapp8360 4 роки тому

    Daktari kwani anataka kula double

  • @maryamkokani4683
    @maryamkokani4683 7 років тому +7

    weeee wanawake mnatuaibishaa

  • @NusuKappeti
    @NusuKappeti 12 років тому

    Hehehehehehee...hata wewe ni kama Franklin!

  • @annmbogo3212
    @annmbogo3212 7 років тому +2

    Men should style up

  • @lawijayy9735
    @lawijayy9735 5 років тому +1

    daktari kapewa dawa

  • @thuraku
    @thuraku 12 років тому

    "Matapeli Virukanjia waliteka nyara hisia za Daktari ili kumpa burudani.".salaala..!

  • @mahbubdawood2909
    @mahbubdawood2909 4 роки тому

    Hawa nalaya wawili wanafa kunyonghwa ndio wanawake wenghi wapate akili ya kutofanyanya harajati kama hizo

  • @NusuKappeti
    @NusuKappeti 12 років тому +1

    Ngai Franklin...can't you make swahili more understanderble...I al totally lost here!!

  • @agathanyaguthii8034
    @agathanyaguthii8034 7 років тому

    Ngai

  • @annemurugiwambui5031
    @annemurugiwambui5031 4 роки тому +1

    Swali langu ni moja daktari alitorewa kwake ama

  • @kelliekelliz5832
    @kelliekelliz5832 8 років тому +1

    matapeli wanawake

  • @MimiXxx09
    @MimiXxx09 12 років тому

    mbaloni? LMAO!

  • @leahmuthoni6163
    @leahmuthoni6163 5 років тому

    Malimwengu

  • @elengichanga7127
    @elengichanga7127 4 роки тому

    Nonesense..go home to your wife

  • @kfnnnfmnfnf6383
    @kfnnnfmnfnf6383 8 років тому

    hehehe eeeee warerererer watatekwa sana nyara kwa sababu uchunge umezorota kwani iko nini