MAWAKILI ZAIDI YA 100 WAJITOSA KUSIMAMIA KESI YA MPINA MAHAKAMANI..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 58

  • @MonicaTimotheo
    @MonicaTimotheo 2 місяці тому +5

    Hongereni sana watanzania wazalendo mpina na hao mawakili MUNGU awasaidie na kuwapigania maana hiyo si vita ya mahakamani tu maana mnashindana na maroho ya unafiki, uzembe, uongo, usaliti, ubabaishaji, ukabaila, unyonyaji, ukandamizaji, dharau, ufisadi na ushetani zaidi pia majaji wa mahakama hiyo wasipokee maelekezo mabaya toka juu ili mahakama angalau katika hilo shauri iwe huru isifungwe mikono kama ilivyofungwa kwenye kesi ya kina mwabukusi kupinga mkataba mbovu wenye utata wa kuwapa waarabu wa Dubai bandari zetu zote bila ukomo

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 2 місяці тому +3

    Viva mpina ni mzalendo Sana mungu akulinde Sana japo haki inagalama mungu yupo

  • @hadijasufiani6167
    @hadijasufiani6167 2 місяці тому +7

    Hongera mh, mpina upo vizuri inshaallah

  • @selemsigala4771
    @selemsigala4771 2 місяці тому

    Mungu akulinde Mpina na akapigane na majizi na manyonyaji yote.
    Hongereni sana pia Mawakili mlio jitokeza Mungu awaongoze na kuwasimamia 🙏

  • @DellerdoneDeller
    @DellerdoneDeller 2 місяці тому

    Mungu awabariki

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 2 місяці тому

    Hapo imekaa vizuri sana. Atukuzwe Mungu aliyekuumba na heri maziwa uliyonyonya, mh. Mpina.
    Hatuwezi kuwa na viongozi wa mihimili wanaoshindwa kutekeleza majukumu ya mhimili husika na badala yake wanatekeleza majukumu ya mhimili mwingine.

  • @Monja9999-c1b
    @Monja9999-c1b 2 місяці тому

    Mungu akulinde na atende haki juu ya wtz wote tunaonyonywa

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 2 місяці тому +9

    Nadhani hii ndiyo dawa kwa nchi yetu

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 2 місяці тому +1

    Hawa wote wana kesi ya kujibu. Wanaitafuna Tanzania huku tukiona.,Asante mawakili kumuakilisha Mpiina kwa niaba ya watanzania. Katiba mpya inahitajika kuikombowa Tanzania kutoka kwa watu wachache

  • @edwindezidery632
    @edwindezidery632 2 місяці тому

    Monica timotheo uko vizuri sana hongera sana

  • @MustaphaSeleman-z7c
    @MustaphaSeleman-z7c 2 місяці тому

    Uyu mpina mwamba Sana wanamchi tunapenda Sana aya mambo amjui tuu

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 2 місяці тому

    Asanteni , asanteni. Alimugukuza mbunge na kumwambia abebe mizigo yake na atoke. Tonę yake ilikuwa ya kumufedhehesha Mpina. Speaker alitumia madaraka kama Tanzania na bunge ni Mali yake. Wengi tumesikitika sana na kumudharau speaker kwa kutumia mararaka yake vibaya - Huyu speaker hafai kabisa

  • @johakhimu.mgembe.3297
    @johakhimu.mgembe.3297 2 місяці тому +5

    Iwe hivyo.Sheria Itafuata.Mkondo wake.

  • @RoseKimishabhalemi-oz9bn
    @RoseKimishabhalemi-oz9bn 2 місяці тому +12

    Tuchagie miamia tusapoti mfuko tusapoti waumiaji

  • @samwelshepa8443
    @samwelshepa8443 2 місяці тому +3

    Hapo ni sawa lakini kulingana na record za utendaji wa mahakama za Tanzania tayari majibu yanafahamika. Shida na tatizo ni mahakama za Tanzania ziko chini ya mhimili wa CCM. Mahakama zetu mara nyingi husikiliza order kwamba inasemaje. Mpina kupata haki mahakani inategeameana kama CCM na mfumo wa serikali watapata faida.

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 2 місяці тому +2

      Siyo Mpina kupata haki, kumbuka Mpina ni mwakilishi wa wananchi, anatetea maslahi ya wananchi na kutenda kwa.niaba ya watanganyika.

  • @wilsonandlea8614
    @wilsonandlea8614 2 місяці тому

    Mungu awalinde sana sana tenaa awakumbuke sana

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 2 місяці тому

    Akika mungu awalinde mana ih innchi inachezewa sana asante majaji wetu asante mpina mana unatufungua macho

  • @JosephChacha-oj5xf
    @JosephChacha-oj5xf 2 місяці тому

    Vizuri sana kupata haki ya rasilimali zetu. Kwani tumeendelea kunyonywa kwa namna isiyo haki.

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 2 місяці тому +3

    Mpina toa number mwenye kuguswa atachangia chochote watu wapo teari kuchangisha

  • @NorbethJosphath-hm1zb
    @NorbethJosphath-hm1zb 2 місяці тому

    Asante Mungu komesha ubathifu hapa nchini

  • @JumaKitutu-t4s
    @JumaKitutu-t4s 2 місяці тому

    Mungu awabaliki sana

  • @athanaswilliam6940
    @athanaswilliam6940 2 місяці тому

    Daaaa😂😂😂😂 nchi hii, wakulima wa mchongo.... 😂😂 Sema sawa tu amsha amsha muhimu

  • @johngerald4677
    @johngerald4677 2 місяці тому

    Mungu akusimamie shujaa wetu

  • @KangaMaluguru
    @KangaMaluguru 2 місяці тому +2

    Wapelekwe hao na spika wao.

  • @bishopjacobomwaigaga
    @bishopjacobomwaigaga 2 місяці тому

    Tuko pamoja jamani sisi Mawakili kusaidia panapo Hitajika MUNGU Atasimama Sana Wajanja wanamuonea Mama sana

  • @Jastini-gv3vt
    @Jastini-gv3vt 2 місяці тому +3

    Mimi ninacho jua waziri bashe ni mtata sana ila kwa mpina sidhani kama atatoboa

    • @mosesmacha1080
      @mosesmacha1080 2 місяці тому +1

      Mpina kambana, KIASI mwamba hapumui😁😁😁😁

  • @ramadhanchenga4606
    @ramadhanchenga4606 2 місяці тому

    Nimefurahi to the maximum naona taifa linaenda kupata ukombozi

  • @lameckrange-ol6uz
    @lameckrange-ol6uz 2 місяці тому +3

    Kama wamekiuka Katiba na Sheria ya Tz Mpina yuko sahihi buruza watu Mahakaman kwani watu wamejisahau sana!

  • @mkanjimamkanjimamkanjima2043
    @mkanjimamkanjimamkanjima2043 2 місяці тому +2

    Mpina ndo mzarendo pekee hapo ccm ila wengine wote ni wezi tu tena ni wezi hatali wakiongozwa na mwenyekiti wao wa chama ndo mana mpaka leo wezi na ubadirifu uliotajwa na CAG hata mmoja aliechukuliwa hatuwa kwa kuwa mwenyewe anahusika na wizi hata be lango wa mbeya yupo kimya pamoja na kufika kwenye kiti chake hayo yote kwa kuwa ni mmoja wa wezi wa mali za uma

  • @danielkanso
    @danielkanso 2 місяці тому +1

    Hapo nawaelewa na watanzania tupo nyuma yenu wasimamia haki

  • @mosesmacha1080
    @mosesmacha1080 2 місяці тому +3

    Sisi hatuandamani kama Kenya, bali tunashindana Mahakamani

    • @AlphaxardMRusweka-jr1wi
      @AlphaxardMRusweka-jr1wi 2 місяці тому

      Panapobidi tuandamane tu

    • @MonicaTimotheo
      @MonicaTimotheo 2 місяці тому +1

      Hongereni sana watanzania wazalendo mpina na hao mawakili MUNGU awasaidie na kuwapigania maana hiyo si vita ya mahakamani tu maana mnashindana na maroho ya unafiki, uzembe, uongo, wizi, ufisadi, ukabaila, unyonyaji, usaliti, uzandiki na matumizi mabaya ya madaraka kinyume cha haki na sheria pia majaji wa mahakama hiyo wasipokee maelekezo mabaya ya vigogo wateuzi toka juu ili mahakama angalau katika hilo shauri iwe huru usifungwe mikono kama ilivyofungwa kwenye kesi ya kina mwabukusi kupinga mkataba mbovu wenye utata wa kuwapa waarabu wa Dubai bandari zetu zote bila ukomo

  • @emanuelymichael9759
    @emanuelymichael9759 2 місяці тому

    mahakama yenyewe wale wale tu sion haki

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 місяці тому

    Ccm ya Awamu ya awamu ya sita kiboko tunachoomba Amani tu Tanzania

  • @RaphaelElikana
    @RaphaelElikana 2 місяці тому

    Aliyetengeneza skendo ya sukari kupanda ni waziri wa kilimo hata msimtee

  • @DellerdoneDeller
    @DellerdoneDeller 2 місяці тому

    Wanasheria wa tz Sasa mmeamua kusimamia ukwel

  • @RaphaelElikana
    @RaphaelElikana 2 місяці тому

    Huyo spika Tulia kiti kinampwaya awapishe wenye uwezo wa kusimamia haki

  • @Luhumbika
    @Luhumbika 2 місяці тому +2

    Mpina ni chuma

  • @juliusmlula1658
    @juliusmlula1658 2 місяці тому

    Kweli tuwachangie Mawakili waliojitolea kumsaidia Mpina jimboni kwake waaze kutandaza mkeka kwa kufungua account taratibu zifanyike

  • @fredgonga
    @fredgonga 2 місяці тому

    Ule mwanzo wa mwisho umekaribia, tutaelewana tu

  • @bishopjacobomwaigaga
    @bishopjacobomwaigaga 2 місяці тому

    Wekeni Namba ya kuchangia

  • @bishopjacobomwaigaga
    @bishopjacobomwaigaga 2 місяці тому

    MPINA Hana kosa Kabisa

  • @deogratiaslukoo5163
    @deogratiaslukoo5163 2 місяці тому

    Tunaomba numbs za simu titachhsngia fedha za kesi ,wekeni titume hela kuwezesha na sisi hii kesi ,

  • @daudimaniseli759
    @daudimaniseli759 2 місяці тому

    NASOMA COMMENTS TU ...

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 2 місяці тому

    Mpina baba tunakuhitaji bungeni. Wewe ni mbunge pekee mutetezi wa watanzania. Karibu wote woga imewashika kuchunga ubunge wawo

  • @HamisLeo
    @HamisLeo 2 місяці тому

    Nan anamjua huyu baba anayezungumza naomba jina lake

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 2 місяці тому +1

    Namuona spika wa mchongo na waziri jambazi wa kilimo wakiumbuka awamu hii

  • @juliusmlula1658
    @juliusmlula1658 2 місяці тому

    Mpina mzalendo Wabunge kama kibajaji na msukuma ni hatari katika usalama wa Taifa kwa sababu ni mzigo bungeni wanakula pesa zetu bure kazi ku attack mzalendo kama Mpina anaye tetea wanaichi kwa dhati

  • @MwajumaMashaka-qm2nf
    @MwajumaMashaka-qm2nf 2 місяці тому

    Mbona wakati sukari inauzwa elfu 11000 kilo nyinyi mawakili hamjajitokeza kutetea bei ishuke nendeni huko wajinga nyiye nyuma yenu kunawatu wanawatuma wanaouhitaji urais wa nchi hii mbona ngorongoro imechukuliwa nawadubai hamjajitokeza mbona wakati wa dp word hatujawaona au hizo sio lasilimali za taifa hili acheni ujinga wenu mnataka mtuvuligie nchi

    • @athanaswilliam6940
      @athanaswilliam6940 2 місяці тому

      Mwajuma mbona una'mashaka?😅😅

    • @YassinRajabu
      @YassinRajabu 2 місяці тому

      ukitaka sukali huuziwe Bei raisi kalime miwa yako yani wewe unang'ang'ania mjini alafu unataka vyakula viuzwe bei ndogo

    • @ramadhanchenga4606
      @ramadhanchenga4606 2 місяці тому

      Rudi shule

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 2 місяці тому

      Mawakili siyo sehemu ya tume ya bei ya sukari na mazao mengine bali inapoonekana katiba inaharibiwa hapo ndopo wao wanapata nafasi ya kuingia kuchanganua nani kaivunja na kututia hasara kama taifa. HONGERA KWENU MAWAKILI.