Mch kimaro kila nikiweka mb zinaisha kwakuangalia shuhuda zako, ninamumba mungu muumba mbingu na nchi izo shuhuda unazo toa na maombi unayoomba na Mimi nayataka, ila Mimi ninacho kuombea wewe naomba uishi maisha marefu ufikie uzee nzuri yaan hata ufikie miaka 100 na kuendelea.
Anza na nusu sku then uende sku moja unywe kikombe ya maji au chai au juice baada ya mwezi ongeza masaa 24 kunywa maji ongeza sku mbili tatu tano then utafika saba tuu usjal
Haleluya kwa Mungu juu mbinguni nafurahia mahubiri hayo nauona UKUU WA MUNGU.Mungu akawe daraja la ushindi kwako Rev. E Kimario🙏🙏
May your God be my God,
Mch kimaro kila nikiweka mb zinaisha kwakuangalia shuhuda zako, ninamumba mungu muumba mbingu na nchi izo shuhuda unazo toa na maombi unayoomba na Mimi nayataka, ila Mimi ninacho kuombea wewe naomba uishi maisha marefu ufikie uzee nzuri yaan hata ufikie miaka 100 na kuendelea.
Naomba Mungu niendelee kuangalia na mb zangu ziishe maombi yako yananisaidia sanaaaa
Waooooo namtaka Mungu wa namna hii
Tafadhali njoo na mlima Loleza Mbeya
Nabarikiwa Sana Na maubiri yoko
Munguamekupa karama
MCHJ kweli MUNGU anakutumia. MUNGU amenibariki nimewasaidi NDUGU zangu wote. Kwa sasa wanataka kunipa sumu
Mwenyezi MUNGU akutunze mchungaji ❤
Namshukuru Mungu kwa ajili yako umetumika kuniamsha tena.
Amina tunajiunganisha na mahubili Mungu ututeteee na utufanye tujue ukuu wako zaidi na zaidi
Mchungaji Mwenyezi Mungu akupe haja za moyo wako andelee kukutunza kwa shuhuda zako za kushangaza
Mungu akubariki Mchugaji 👏👏👏
Amen
Hili ni neno langu, Mungu nisaidie
Hallelujah hallelujah mungu akulinde zaidi mchungaj wangu
Utukufu kwa Bwana Yesu.
Mungu mpe afya njema huyu mtumishi wako maana ananeema yako
Amen 🙏
Amina
Mchungaji nakuelewa eee Yesu nipe Moyo mkuu mbona huyu Mchungaji analog neno la Mungu
Seven days kavu.... Me one day nahis kuzimia. Mungu atusaidie
Pole dear, taratibu utaweza tu
@@estherlemburismollel5901 Amina 🙏
Anza na nusu sku then uende sku moja unywe kikombe ya maji au chai au juice baada ya mwezi ongeza masaa 24 kunywa maji ongeza sku mbili tatu tano then utafika saba tuu usjal
@@carolinederi5690 ahsante
Thanks so much rev kimaro, kindly send me your number plz live in Nairobi
Amen
Amina
Amen
Amen
Amina