Dahhh hiii shuhuda imenibariki na kunibariki mno,imenipa ujasiri Zaidi Zaidi na kujivunia kuchagua wokovu ,ehh Mungu nisaidie nizidi kukua kiroho ,nakuhitaji Wewe tu Mungu wangu ,dahhh Yesu jamanii mwamba sana aisee,barikiwa mtumishi, greetings from Sweden , nabarikiwa na shuhuda kama hizi na kutoacha kujipendekza Kwa Yesu wangu 🙏🙏
Ubarikiwe Sana Mtumishi waMungu jacktan kwashuhuda zako nabarikiwa Sana pia shuhuda zako zanifanya kuwa karibu naMungu zaidi ubarikiwe Sana hizi shuhuda zako nimoja wapo yanjia yakumzalia Mungu matunda ubarikiwe Sana
Aminaaa Walio jazwa na roho wa Mungu ndio watakao kuelewa unamaanisha nini baba acha Mungu mwenyewe akuinue zaidi na uyaone makubwa kuzidi hayo najua ungali mwanzo na utatumikishwa zaidi barikiwa baba .
Nilikuwa namuuliza Mungu..akasema...anamrehemu yule ampendaye kumrehemu....hivyo ndiyvo alivyofanya kwa huyu kijana>>>Haleluyaa..Libarikiwe Jina la Bwana...
Kuna funzo kubwa sana hapa, ni moja ya jumbe niliyopokea Leo kuhusu nguvu ya maombi lakini Bwana YESU amenileta hapa kunifundisha jinsi gani yalivyo na NGUVU 🙏🏾
@Gladness Sidiu Kwani ukisema tuamini MUNGU anaweza mabo yote inamaanisha hakuna Waongo? Hapana Dada, kwakuwa neno lenyewe linasema kuwa msidanganyike. Kwamaana ukisikia chochote usiamini kwanza mpaka uhakikishe. Watu wa Beroya walichinguza kwenye maandiko mpaka wakaelewa kwenye Matendo ya Mitume 17:11
Mwenyezi Mungu ATUNUSURU NA shetani adui mkubwa wa binadamu Unafikirisha Sana. Binadamu wa kawaida eti upae angani Kama yesu then uwaone malaika yesu na lusifa. MUNGU akuongoze umjue zaidi. Ndoto wakati mwengine huwa Ni za kishetani
Mungu utusaidie mbona mimi roho yangu haiamini hata kidogo. Kama unadanganya muombe Mungu ama yupo malaika wa shetani ajifanyae malaika wa nuru. Mungu unihurumue kama nimekukosea
Yaani ukipata Neema, Fanya kisikiliza ushuhuda wa Prof. Nathan Uzorma, upo pia humu kwenye hii channel. Alafu uje usikilize huu baadae utapata jibu moja kubwa sana. Mungu atusaidie.
@Gladness Sidiu Kwani ukisema tuamini MUNGU anaweza mabo yote inamaanisha hakuna Waongo? Hapana Dada, kwakuwa neno lenyewe linasema kuwa msidanganyike. Kwamaana ukisikia chochote usiamini kwanza mpaka uhakikishe. Watu wa Beroya walichinguza kwenye maandiko mpaka wakaelewa kwenye Matendo ya Mitume 17:11
Kupona hata wanaokwenda kwa waganga wanapona inamaana wewe uko tayari kumkufuru mungu kwasababu unapona? huyo dogo ni freemason muabudu shetani kwahiyo maisha yako umeyakabidhi kwa watu hao badala ya mungu itakusaidia nini kama kama angukupa dunia na vilivyomo hali yakuwa unamtumikia shetani acheni kudanganywa kama mambumbumbu kila siku mitume kila siku manabii wako wangapi?huyo sio kwenda mbinguni hata harufu ya mbingu hatoisikia,nabii gani anavaa cheni shingoni?unajua kunawakati wakristo mnaboa sana na mambo yenu mnakuwa kama watu msiotumia akili zenu vizuri.
1Yohana 2:19 Watu hao wametokea kati yetu lakini hawakuwa kweli wa kwetu na ndiyo maana walituacha; kama wangalikuwa wa kwetu, wangalibaki nasi. Lakini waliondoka, wakaenda zao, kusudi ionekane wazi kwamba hawakuwa kamwe wa kwetu.
I believe him however on tht part at 37:50 of saying tht demons die hapo nime kata. Demons are spirits & spirits dont die.Maybe he meant anytime Angel Micheal passed the demons got paralyzed.
Soma Biblia na Kitabu cha Enoch utakuta jina la Huyu malaika Tamiel ni mmoja wa waliotupwa kutoka mbinguni kwasababu ya dhambi. Huyu kijana anadanganya AU alidanganywa yeye.
Mungu ametupa akili tuzitumie lakuni tusitegemee sana akili zetu bali tumtegemee Mungu aliyetupa akili, Hofu za wakristo waliyo wengi wameathiriwa na alama za nyakati ambazo zimeandwa katika biblia, Kwani wapo manabii wengi wa uongo na wengine watasema wametumwa na Mungu kumbe siyo, Lakini ushuhuda umebeba ujumbe mzuri wa kuongeza imani yako katika kumwamini Mungu
Hosea 9:7 SRUVDC Siku za kupatilizwa zimekuja, siku za kulipa zimefika; Israeli atayajua hayo; huyo nabii ni mpumbavu, huyo mtu mwenye roho ana wazimu; kwa sababu ya wingi wa uovu wako, na kwa sababu uadui umekuwa mkubwa. NIMEAMINI MTU MWENYE KUJIFANYA ANA ROHO NI MPUMBAVU
I believe in prophet aisee aijalishi simjui huyu mtu lakini manabii wa kweli wapo kabisaa na Mungu anawatumia kilasiku kamanjia ya kuwasaidia watu sema atujui tu...
The End is already here! Be careful! For the false prophets are all everywhere, they will come to you as an angel of light, wolf clothed in sheep 🐑! we shall know them by their fruits! God is true He doesn't observe things the way human does but remember one thing ☝️! REMEMBER one thing ☝️ usiige Namna ya ulimwengu, kuvaa kwako kukampendeze Mungu, kuongea kwako, tambia zako etc kukampendeze Mungu. God is Holy and so we as His children we should be holy. WITHOUT HOLINESS NO MAN SHALL SEE GOD ☝️.
@@Ecclesiastical. haya mambo ni ya kweli Acheni kumwekea Mungu mipaka Mnataka shuhuda zenye mambo madogo Yesu anaweza na haya ni ya KWELI kabisa Kwan maono ni nini Wenye macho ya rohoni Huona mengi tofauti na mtu wa kawaida ko tumwombe Mungu tuwe tunaona so kuishiwa kutoamini
Jaman anaeweza kunisaidia me nlijiona mara mbili kwenye ndoto yan namwona mtu ambaye ni mimi kabisa but alikuwa hanionyeshi ushirikiano me ndo nlikuwa bize kumchunguza hii ina maana gan?
Jamani kuweni makini biblia inamuita shetani mwerevu, kumbukeni Musa aliagizwa kutupa fimbo chini ikawa nyoka, na wachawi wa farao pia wakatupa zao chini zikawa nyoka, sasa ushauri wangu ni msiziamini kila roho bali mzijaribu, neno la MUNGU likae ndani mwenu, msije mkapotea.
Wakolosai 2:18 18 Msikubali kuhukumiwa na mtu yeyote anayejitakia kuwa wa maana kwa sababu ya maono ya pekee na ambaye anasisitiza juu ya unyenyekevu wa uongo na ibada kwa malaika. Mtu wa namna hiyo amepumbazika kwa fikira danganyifu za kidunia
Huyu kaka anadanganya, nenda kasome Biblia vizuri na Uelewe maana ya AGANO NA MUNGU, Sio kitu cha kawaida. Na Agano la mwisho ndio ujio na Kifo cha YESU kwaajili ya Dhambi zetu, ili atakaenyenyekea mbele zake na kuzisema dhambi zake kwa YESU na kuomba kusamehewa ata pata uzima wa milele na kusamehewa dhambi zake zote. Msidanganyike hivi, kama mtu anawaambia yeye ni Nabii kirahisirahisi mshituke na kufuatilia maana ya Nabii wa MUNGU kwenye Biblia.
Mmmh huwa nafuatilia sana shuhuda hapa na zmenivusha mno ila hii Mzee naona shetani yupo anajaribu kujitutumua na yye atoe ushuhuda haha , mbingu ya pili Ni makazi ya mapepo mmmh
Amen mungu tusameh baba
Dahhh hiii shuhuda imenibariki na kunibariki mno,imenipa ujasiri Zaidi Zaidi na kujivunia kuchagua wokovu ,ehh Mungu nisaidie nizidi kukua kiroho ,nakuhitaji Wewe tu Mungu wangu ,dahhh Yesu jamanii mwamba sana aisee,barikiwa mtumishi, greetings from Sweden , nabarikiwa na shuhuda kama hizi na kutoacha kujipendekza Kwa Yesu wangu 🙏🙏
Ubarikiwe Sana Mtumishi waMungu jacktan kwashuhuda zako nabarikiwa Sana pia shuhuda zako zanifanya kuwa karibu naMungu zaidi ubarikiwe Sana hizi shuhuda zako nimoja wapo yanjia yakumzalia Mungu matunda ubarikiwe Sana
Amen
Aminaaa Walio jazwa na roho wa Mungu ndio watakao kuelewa unamaanisha nini baba acha Mungu mwenyewe akuinue zaidi na uyaone makubwa kuzidi hayo najua ungali mwanzo na utatumikishwa zaidi barikiwa baba .
Nilikuwa namuuliza Mungu..akasema...anamrehemu yule ampendaye kumrehemu....hivyo ndiyvo alivyofanya kwa huyu kijana>>>Haleluyaa..Libarikiwe Jina la Bwana...
Nimefurahi Sana nimejifunza Mambo Katha, mungu mikubwa, amen, kutoka Mombasa Kenya
Hongera sana baba na MUNGU akutumie kwa viwango vya juu sana.
Wow I'm loving this testimony God bless you to bless us
We believe you, what you are saying makes sense as we believers, love from Uganda, thanks for doing God’s work
Absolutely he makes sense
UWONGO MTUPU !!! (LIER)
I agree with him completely because I have gone thru same experience na nimeshuhudia sana pia. Be blessed man of GOD. Utapingwa bali wewe endelea.
Amen Prophet
Love this testimony!! Love from Canada
Which province you live please!! I LIVE IN MONTREAL
Amen....
Mungu ni kweli shuhuda hizi zatujenga sana
Bwana Yesu Asifiwe! Huduma yako ni nzuri sana Mungu Akubariki Sana! Ombi iwapo utaweza itakuwa vyema tupate translation ya kingereza Asante
Mungu akubariki mwanangu nimeipenda hiyo natamani nikuone nimebarikiwa sana
Wapendwa tujiachilie kwa Yesu haya Mambo siuongo Ukimuamini mungu utaona zaidi ya hayo. Mimi nimemuona
☁☁☁☁☁👻
Nimekuelewa sana
Poa
Huyo ni nabii wa Uongo Asiyetokana Na Kristo, japo aliyoyasema yafanana na Kristo
Qqqqw
Huu ujumbe ni wa baraka sana. Mungu apokee sifa na utukufu
Nmebarikiwa saana 💯💥💯💥
Amina kubwaaa niko pande za gairo Tanzania mtumishi tuko pamoja sana
Bwana Yesu tusaidie,ushuhuda umenijenga,Mtumishi Mungu akubariki sana
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu alie hai
Kuna funzo kubwa sana hapa, ni moja ya jumbe niliyopokea Leo kuhusu nguvu ya maombi lakini Bwana YESU amenileta hapa kunifundisha jinsi gani yalivyo na NGUVU 🙏🏾
Ww usiyemjua mungu huwezi kuyajua hayo kwa kuwa neno la mungu linasema neno la msalaba kwanza wanaopotea ni upuuzi
Waoooh thanks iam proud to be a christian
Umedanganywa na huyu MTU sio nabii Wa Kristo. Uwe unajifunza Neno LA Kweli utaifahamu kweli na kweli itakuweka huru
Asante nabii kwaushuhuda Mimi nilijua rusfa anamapembe mungu niokowe mimi
I receive the same Grace in Jesus name
Mungu akubarika zaidi na zaidi katika kumtumikia
Ee mungu tusaidie kuzjua njia zako nkmecheka Sana km siamn
Haah mungu Ana wasomi bhana ,nimependa huyo Kaka anavyo shuudia
That's a wonderful and awesome encounter
Almighty God protect this young prophet
@Gladness Sidiu Kwani ukisema tuamini MUNGU anaweza mabo yote inamaanisha hakuna Waongo? Hapana Dada, kwakuwa neno lenyewe linasema kuwa msidanganyike. Kwamaana ukisikia chochote usiamini kwanza mpaka uhakikishe. Watu wa Beroya walichinguza kwenye maandiko mpaka wakaelewa kwenye Matendo ya Mitume 17:11
YO FAKE PROPHET NOT 4 GOD !!!1
Ubarikiwe sana
Mungu aku bariki kaka
Mwenyezi Mungu ATUNUSURU NA shetani adui mkubwa wa binadamu
Unafikirisha Sana. Binadamu wa kawaida eti upae angani Kama yesu then uwaone malaika yesu na lusifa.
MUNGU akuongoze umjue zaidi.
Ndoto wakati mwengine huwa Ni za kishetani
Atayesu alikufa ndio aka pata kibali cha kupaaa na kitoweka na kutokea watu baada ya kufa na kufufuka
It is written that at end times young people will be seeing visions and old people will be having dreams
It has nothing to do with age😀
Glory to God,,,
Nimebarikiwa sana mungu akuongoze katika kazi yake
Awaiting PART 2. Bless
Mungu utusaidie mbona mimi roho yangu haiamini hata kidogo. Kama unadanganya muombe Mungu ama yupo malaika wa shetani ajifanyae malaika wa nuru. Mungu unihurumue kama nimekukosea
Ameni Mungu akutiye nguvu
Muogope mungu siku zako zinahisabika ndio utalia na kusaga meno
so greatfull shaloom
Good testimony
Glory be to God
God is good all the time
Fantastic
Yaani ukipata Neema, Fanya kisikiliza ushuhuda wa Prof. Nathan Uzorma, upo pia humu kwenye hii channel. Alafu uje usikilize huu baadae utapata jibu moja kubwa sana. Mungu atusaidie.
Be blessed brother
@Gladness Sidiu Kwani ukisema tuamini MUNGU anaweza mabo yote inamaanisha hakuna Waongo? Hapana Dada, kwakuwa neno lenyewe linasema kuwa msidanganyike. Kwamaana ukisikia chochote usiamini kwanza mpaka uhakikishe. Watu wa Beroya walichinguza kwenye maandiko mpaka wakaelewa kwenye Matendo ya Mitume 17:11
jaman sikuza mwisho kutatokea ma nabii wauongo nawatakuja na miujizakama ya yesu usishangae
Wasio kukubali waache,tupo tunaopona,YESU akubariki
Kupona hata wanaokwenda kwa waganga wanapona inamaana wewe uko tayari kumkufuru mungu kwasababu unapona? huyo dogo ni freemason muabudu shetani kwahiyo maisha yako umeyakabidhi kwa watu hao badala ya mungu itakusaidia nini kama kama angukupa dunia na vilivyomo hali yakuwa unamtumikia shetani acheni kudanganywa kama mambumbumbu kila siku mitume kila siku manabii wako wangapi?huyo sio kwenda mbinguni hata harufu ya mbingu hatoisikia,nabii gani anavaa cheni shingoni?unajua kunawakati wakristo mnaboa sana na mambo yenu mnakuwa kama watu msiotumia akili zenu vizuri.
@@allyawadh8492 dakhhh! Kweli mze me ni mkristo lakini hapa hapna
Ww unaesema Freemason ww pia Freemason akienda mnafatanaga na lenu moja msipende kuhukum mtu
Na hivi alivo bishoo hivo ushadata🙉🙉
@@allyawadh8492 Ally chuku peps ya bariiiiidi una akili Sana ww
1Yohana 2:19
Watu hao wametokea kati yetu lakini hawakuwa kweli wa kwetu na ndiyo maana walituacha; kama wangalikuwa wa kwetu, wangalibaki nasi. Lakini waliondoka, wakaenda zao, kusudi ionekane wazi kwamba hawakuwa kamwe wa kwetu.
Ameen bro be blessed
I believe him however on tht part at 37:50 of saying tht demons die hapo nime kata. Demons are spirits & spirits dont die.Maybe he meant anytime Angel Micheal passed the demons got paralyzed.
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.tungeomba utowe ushuhuda wa yote uliyohoneshwa kwa ujumla.
To God Almighty be the glory
You are talking honestly. Jina la Yesu lini nguvu sana.
Prophet David Richard
Angels of God ministries international
Woow,nami natamani..
jaman kwakwel me kwaupande wangu tukazane
kumuomba mungu! shetani yupo kazini kwakwel hao ni malaika wa giza hizi ni siku
mwisho
Huyo aliyetoa Ushuhuda ndio Malaika wa Giza huyo David Richard sio MTU mwingine, kwa matunda yake Utamtambua
Atakae mlaani????.... Atakae mbaliki.....???? Jibu unalo....... The Lord Bless you prophet of God
Soma Biblia na Kitabu cha Enoch utakuta jina la Huyu malaika Tamiel ni mmoja wa waliotupwa kutoka mbinguni kwasababu ya dhambi. Huyu kijana anadanganya AU alidanganywa yeye.
Mungu akuongoze maishani roho mtakatifu akulinde ameni
Mungu ametupa akili tuzitumie lakuni tusitegemee sana akili zetu bali tumtegemee Mungu aliyetupa akili, Hofu za wakristo waliyo wengi wameathiriwa na alama za nyakati ambazo zimeandwa katika biblia, Kwani wapo manabii wengi wa uongo na wengine watasema wametumwa na Mungu kumbe siyo, Lakini ushuhuda umebeba ujumbe mzuri wa kuongeza imani yako katika kumwamini Mungu
Huduma hii ina saidia mwili sa kristo sana
Mwl. Hapa hapana.%
KWENYE KIMBUKA MLITUMIA WAYA GANI KUPITISHA UMEME😅😅😅
Napenda jinsi Mungu hufanya kazi zake 'abudiwe milele'
asanta mtumishi wa mungu
Hosea 9:7 SRUVDC
Siku za kupatilizwa zimekuja, siku za kulipa zimefika; Israeli atayajua hayo; huyo nabii ni mpumbavu, huyo mtu mwenye roho ana wazimu; kwa sababu ya wingi wa uovu wako, na kwa sababu uadui umekuwa mkubwa.
NIMEAMINI MTU MWENYE KUJIFANYA ANA ROHO NI MPUMBAVU
🥳🥳🙏 glory to God. My father @prophetdavidrichard
I believe whatever you are saying
What do you mean whatever?
Hallelluja,glory to Jesus christ.i want to know him more,oh Jesus i need you.manifest yourself to me.
Mungu nifunze kunyamaza.. Niangalie na macho niskie na maskio tu.
Wallah ndugu yangu Allah atunyamazishe kwa haya
🤣🤣🤣hakika Mungu nami nifundishe kunyamaza maana mmh
@@immanuelmwaipopo1605 kabisa
Amen
Nimeamini kua ukiristo ni maigizo. Mnafurahisha haswa🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂
You are blessed
Amen
I believe in prophet aisee aijalishi simjui huyu mtu lakini manabii wa kweli wapo kabisaa na Mungu anawatumia kilasiku kamanjia ya kuwasaidia watu sema atujui tu...
Amen
Kabisaaa jmn bora uamini mungu yupo usimkute kuliko uamini hayupo ukamkuta utajuta
Hallelujah
Nakuelewa sana
Mngu ni mwema kwa kuwainua vijana wa yesu
Amina
Uyu jamaa nimuongo tena sana amejipenyeza kinafiki kwa siri kwenye promover tv ili atafute kiki ya kutengenezea you tube cheli ili akaongee uchafu
Ni uongo gani amezema?
Ww ni mpumbavu
Ww ni mpumbavu
Amen 🙏
The End is already here! Be careful! For the false prophets are all everywhere, they will come to you as an angel of light, wolf clothed in sheep 🐑! we shall know them by their fruits! God is true He doesn't observe things the way human does but remember one thing ☝️! REMEMBER one thing ☝️ usiige Namna ya ulimwengu, kuvaa kwako kukampendeze Mungu, kuongea kwako, tambia zako etc kukampendeze Mungu. God is Holy and so we as His children we should be holy. WITHOUT HOLINESS NO MAN SHALL SEE GOD ☝️.
You are the one
Unamaanini? Kwani huu ushuuda si kweli?
Kusema kweli nimefuatilia promova Tv . Nimeguzwa Sana na ushuhuda mbali mbali lakini hii. ????????
@@Ecclesiastical. Me too brother though we're not judging!
@@Ecclesiastical. haya mambo ni ya kweli
Acheni kumwekea Mungu mipaka
Mnataka shuhuda zenye mambo madogo
Yesu anaweza na haya ni ya KWELI kabisa
Kwan maono ni nini
Wenye macho ya rohoni
Huona mengi tofauti na mtu wa kawaida ko tumwombe Mungu tuwe tunaona so kuishiwa kutoamini
Naomba no yako yasm mtumishi
Mambo ya Mungu ni ya ajabu sana yalishawahi kunikuta na mimi
Jaman anaeweza kunisaidia me nlijiona mara mbili kwenye ndoto yan namwona mtu ambaye ni mimi kabisa but alikuwa hanionyeshi ushirikiano me ndo nlikuwa bize kumchunguza hii ina maana gan?
Nabii hao wanasema sema wasemetu ila sisi wa toto wa Mungu tunajifuza mengi na Mungu hakubariki
Sasa mtumishi nauliza tu umevaa saa mbili au hicho kny mkono wa kushoto ni nini?
Asnte sana kwa mungu
Acheni uongo hakuna mungu mtu huu ni utapeli na njaa nyingi. Wala manabii hawakumuabudu mtu bali mungu mmoja na sii 1+1+1=1 ahhaaa!
Nakuelewa saaaaaaaaaaaaana
Jamani kuweni makini biblia inamuita shetani mwerevu, kumbukeni Musa aliagizwa kutupa fimbo chini ikawa nyoka, na wachawi wa farao pia wakatupa zao chini zikawa nyoka, sasa ushauri wangu ni msiziamini kila roho bali mzijaribu, neno la MUNGU likae ndani mwenu, msije mkapotea.
Haswaaaa
Wakolosai 2:18
18 Msikubali kuhukumiwa na mtu yeyote anayejitakia kuwa wa maana kwa sababu ya maono ya pekee na ambaye anasisitiza juu ya unyenyekevu wa uongo na ibada kwa malaika. Mtu wa namna hiyo amepumbazika kwa fikira danganyifu za kidunia
Sio mkali ila mama wa upendo.woooow.
I feel you bro i can relate....kama huja pitia ni ngumu kuelewa. pray in truth. u will experience
Huyu kaka anadanganya, nenda kasome Biblia vizuri na Uelewe maana ya AGANO NA MUNGU, Sio kitu cha kawaida. Na Agano la mwisho ndio ujio na Kifo cha YESU kwaajili ya Dhambi zetu, ili atakaenyenyekea mbele zake na kuzisema dhambi zake kwa YESU na kuomba kusamehewa ata pata uzima wa milele na kusamehewa dhambi zake zote.
Msidanganyike hivi, kama mtu anawaambia yeye ni Nabii kirahisirahisi mshituke na kufuatilia maana ya Nabii wa MUNGU kwenye Biblia.
Ni Nabii wa Uongo huyo David Richard wa Kiwango Cha Juu saana
*Huyu ni Nabii wa Uongo Kwa matunda yake Ajulikana*
Ninaweza kupata no za huyo jamaa mtumishi
Michael the Archangel ni Yesu mwenyewe
Wacha wongo wewe
Woooow.. I believe him 100%
Why
Why
@@abdallahrenatus6677 have heard the same scenario many many times
@@abdallahrenatus6677 and myself i met Jesus as well
Ubarikiwe xana kijana
Anapoteza muda wangu tu
Acha kusikiliza endelea na mambo yako
Mungu in muweza
Wasio wahi kuona maona hawaamini haya..haya ni mambo ya kiroho zaidi mtu asiyeongozwa na roho awez jua haya
Kabisaaa Niko pamoja na ww
Mmmh huwa nafuatilia sana shuhuda hapa na zmenivusha mno ila hii Mzee naona shetani yupo anajaribu kujitutumua na yye atoe ushuhuda haha , mbingu ya pili Ni makazi ya mapepo mmmh
Hata Mimi bro. Tumombee brother Jactan. Mission take isijeikatekwa nyara.
Huyu atakua mrithi wa kanisa la mama yake. Anachezewa akili sio mungu hapo