BUSARA ZA DK NCHIMBI| ZAWANUSURU AKINA MBOWE KITUO CHA POLISI MBEYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 23

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 2 місяці тому

    Nchimbi Mungu amwongezee umri wa kuishi.Ametafakari mengi kama mwanadamu akaona sii sheria mtu kuhamishwa nyumban kwake.

  • @ThobiasMasabire
    @ThobiasMasabire 2 місяці тому +1

    Hio sio Sheria ni maangizo ya mtu 4:36

  • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
    @SmilingFlowerBouquet-hs2hv 2 місяці тому +3

    AIBU KUBWA SANA KWENYE TAIFA YANI TAIFA HALIONGOZWI NA SHELIA BALI KWA MATAKWA YA MUTU HII NINI?

  • @ChrisUromi
    @ChrisUromi 2 місяці тому

    Polis wa Tz kama mazuzu wana2mika vibaya

  • @lawrencekombe2929
    @lawrencekombe2929 2 місяці тому +2

    Tuliosoma Cuba tunajua nini anataka kwa Jami

  • @musa-v3f
    @musa-v3f 2 місяці тому +1

    ukitaka kujua kama jeshi la polisi wamechemsha hakuna mtu hata mmoja aliyekamatwa aliyefunguliwa kesi na kufikishwa mahakamani

  • @zuchuNosha
    @zuchuNosha 2 місяці тому

    Nilikuwa ccm ila kwa utaratibu huu unaofanywa na jeshi la police kunyanyasa raia wasio na hatia akina mama kuvuliwa nguo hazarani aise kuanzaia leo hiki chama nakichukia na nikiambiwa chagua CCM na andazi unachaguwa nn aise kwa hali hii ni bora nichaguwe andazi kuliko haya mambwa ya ccm wanao nyanyasa raia bila kosa lolote na kama viongozi walikosa why waachiwe huru bila shuruti? Kama walivunja sheria why waachiwe? Hii nchi inako elekea tutayaona kama yaliyotokea kenya maana yalianza hivi hiviii afu mh yupo kimya tu inamaanisha yy anayafurahia haya yanayofanywa na jeshi la police

  • @valentineevarist
    @valentineevarist 2 місяці тому

    sasa nchimbi ana husika vipi kama sio yeye nae ana husika

  • @Mohd-wl1tc
    @Mohd-wl1tc 2 місяці тому +1

    Busara ten

  • @FurahaNelson-z6c
    @FurahaNelson-z6c 2 місяці тому

    Tuna viogozi wnaofundiswa na ccm

  • @josephatmathiasgalagalabuh786
    @josephatmathiasgalagalabuh786 2 місяці тому +2

    😂😂😂Zembwela anakwama kuosoma R moja

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 2 місяці тому

    Hajui kusoma kiingereza

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 2 місяці тому

    Media zinajitukana

  • @LitoDossani
    @LitoDossani 2 місяці тому +1

    😂😂😂yani bola Corona kuliko ccm

  • @Zenny89
    @Zenny89 2 місяці тому +1

    Labda kwenye “4R” kuna “RESTRAIN” kwenye R moja!!!😆

  • @Werema3760
    @Werema3760 2 місяці тому

    Mwaka kesho sipati picha.

  • @alexmalyango1405
    @alexmalyango1405 2 місяці тому +1

    Aibu sabu sana hivi Samia anajionaje sasa anakurupuka kisa nn hajipendi hata yy unakua rais half mhuni muhuni kiasi hichi unaruhusu mikutano halfu wakitaka kufanya mikutano unawafnga hivi w ulizaa kwa njia yakawaida kweli sioni utu wako unapresha ani ww si unaupiga mwingi presha z nn

  • @joramkidaga8049
    @joramkidaga8049 2 місяці тому +2

    CCM Wao Ndio Wario Toa Amri Ya Kuzuia Kongamano Ra Bavicha Waripo Ona Jumuiya Za Kimataifa Zimeraani Unyama Huo Ndio Maana Wakaangiza Tena Waachiwe

  • @sallyeliya5213
    @sallyeliya5213 2 місяці тому

    😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉