This was so powerful. Hasa kwenye hustle. Umepata matatizo ya moyo na umetokea kuwa bonge la vocalist. God is real Joel, stick with Him. Yaani huo wimbo ulishushwa moja kwa moja kwako.
Mimi ni hule wimbo baba humejuwa kunifurahisha baba umenfuta machozi nilie hitwa lahana nikafanyika baraka nilionekana sifahi umenieshimisha umenipa sababu yakujidai nakukutukuza hahahaha baba aaaaa umejuwa kunifurahisha uwa nafarijika sana sana mungu akuweke kaka angu🙌🙌🙌
This was so powerful. Hasa kwenye hustle. Umepata matatizo ya moyo na umetokea kuwa bonge la vocalist. God is real Joel, stick with Him. Yaani huo wimbo ulishushwa moja kwa moja kwako.
My best musician . "Mimi ni wa juu" ilinitendea miujiza . Naipenda
From Kenya we love you...
Mungu wa ajabu sana 🥺❤️❤️❤️
Unaweza. one of the best song naupenda sana
Wow. Ushuhuda wakujenga. Familia yangu tuna kupenda
Nabarikiwa sana na nyimbo zko ile ya mm ni wa juu na sitabaki kam nilivyo ushuhuda wako unatujenga barikiwa sana
Mimi ni hule wimbo baba humejuwa kunifurahisha baba umenfuta machozi nilie hitwa lahana nikafanyika baraka nilionekana sifahi umenieshimisha umenipa sababu yakujidai nakukutukuza hahahaha baba aaaaa umejuwa kunifurahisha uwa nafarijika sana sana mungu akuweke kaka angu🙌🙌🙌
Mungu akufanikishe zaidi, nimefurahi kuujua mwanzo wako wa huduma
Hongera sana kaka Joel
Napenda friendship ya Paul Clement na Joel Lwaga
Nyimbo yangu pendwa🙌🏽
Hii interview nilichelewa kuitazama but imenijenga, kwenye muna love aah😂 anapoaga sana sijui kwa nini
Amen
Nimebadilikiwa
Nyimbo zako zinanibariki sna mpendwa na amini hta mim ctabaki kma nilivyo,pia na Ile ya Yote Mema
amazing story
Mungu akubariki San mtumi wa mungu
Sintabaki kama nilivyo!naupenda sana huo wimbo
Ubarikuwe napenda sana Sitabaki kama nilivyoooo!!!
Joel anaongea Kisela mno😂
ubarikiwa kwa jumbe zako ktk uimbaji
Hizi interview zina umuhimu sana kwa wasanii!
Maoni yangu tu, kwanini msiandike kwenye video part one ama two?? Mimi kila siku nabonyeza part sio🥴
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
Kwan lwaga ni mtu wamkoa gan
Mbeya
Mbeya city
Mmh tunafanana aise
Yan kama najiona mimi
Daaah bro umepitia pagumu kweli but God is good all the time
Hyo shati inavyombana lol
Huoni ana msuli au