Tgun Tozzy - Atoa watu Machozi Live, Madam Ritha, Huzuni
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Support your Boy Tgun Tozzy by Listening and Share Link as Much as u can. Don't forget to Subscribe,Like and Comment The UA-cam Channel.
@TGUNTOZZY
Catch Up With Tgun Tozzy on:
Instagram:tgun_tozzy
TikTok:Tgun_Tozzy
Facebook:Tgun Tozzy
Haiwezi chuja hii😢😢kama unakubali bdo ni ya moto gonna like
Ambao bado wanatazama hizi performance gonga like zenu hapo
Ambao bado wanaitizama iyo performance gonga likes hapo
Tupo
2024
😭😭😭 Aki hakuna pigo kama maisha Bila wazazi umejua kuniliza
This boy he is talented let's support him more like a zicame kwa wingi 💪🔥🔥
Kama lait ingekua official song nazan ndio ingekua wimbo wngu bora big up
Mbna ni official jmn
Mmmm Ameimba vizuri,,ametunga nyimbo mwenyewe,huyuangeweza shinda 🙏🏽🙏🏽🙏🏽♥️♥️♥️🇩🇪
Wimbo hajatunga mwenyewe,Wimbo wa kitambo huu
Unaweza sana tgun tozzy pamban sana usipoteze fulsa natamani nikuone final tukumbushie nyimbo ya ndotoni itakuwa poa sana
💕💕💕💕💕
Salama hujui mziki huyo jamaa ni big talent hivii salama utaendelea vip wewe
ajakosea lakini sala ana ana mpa kama chalenji ili aongeze baidi
Daaah nataka wimbo mzm maan nimegiswa duuuuh umetisha Sana mungu akupeleke mbali zaidi ❤️❤️
Daaa😭😭😭 huu wimbo hatakama hutak kulia utaliaty wimbo mzuri ✨🔥
Huu wimbo unanitoa machozi,big up dear tgun tozzy 🥰🔥nakuombea mema
Aipiti mwezi bila kuangalia hii video so talented br 🔥🔥
Huyu jomba ni hatari aisee,uwezo WA ela yote
I like this guy so much sema ananiumizaga mno akianza kuzungumzia uyatima wake Allah ajalie afanikiwe
Nzr
Amina
ni zaidi ya creativity ww ni mshindi😭❤❤❤
Nakukubal Sana mwamba Wangu wa swax unaweza Sana ongeza bidee T gun tozzy bunduki
Hii ndio inaitwa live performance 🔥
tegun tooozy❤❤❤❤ 254 iko ndanii
jamaa kaanza mpka kamaliza sarama ajaongea mpka mwisho bac dg anajua😂😂
Tunaweza🎉🎉sisi watoto
Upo vzr kaka
Sikiliza mwamba tena sikiliza vizuri . Wewe ni star sasa yani namaanisha wewe ushapenya na nakukubali asilimia 50000000 ...mungu akupeleke mbali sana ..proud to be Tanzania
So sad so nice 😢 jama anaweza so proud of him
I love you tgun....and ile ngoma ya kwenye ndoto mmmh
Mm n shabiki wa huyu jamaaa ila tukubaliane Mzee tgun usipagawe hata ukitoka nataka nisikilize kazi zako soon ingekua amri yangu hapo usingeenda unge dili na kuandika nakutoa Ngoma kakaa brand yako itakua kubwa jiamni mzaz
Utafika mbali Kaka upo vizuri ❤️
Since kizwite ulikuwa unaua Sana Martin Gondwe AKA Gunny
Oyoo ni🔥🔥🔥 mbona wamoto hivi💯🙌🙌
that ma T gunny✌️✌️✌️❤️✌️❤️❤️✌️❤️❤️✌️✌️❤️✌️❤️
Mungu azidi kumuongoza amiin
Utafika mbali kakangu.. I wish you all the best bro
😭😭😭😭 inaskitisha nyimbo ....daah naumiaaa sana inanigusaa ....
njoo nikupe mchongo
Sina mengi bro mungu akibariki sana utafika mbali sana Na unaweza kiukwel
Mdg wetu noma😂😂😂
T Gunn wewe bora rapper tz mimi fans wako tuka Burundi ♥️♥️ bss Yako bro
Mr boom was here
Wow! Kaimba vizuri MUNGU akufikishe mbali 💪
Nakubali mwamba pambana sana mzeee
On fire home Boy, swax moja
Uhakika pamban baba kwan wao wanaweza sas
Nimeipend sanaa ila namm natamani ninayo tailet ya kuimba ila sijui pakufikia apo ila anaweza ataiweje wewe nibora kuliko
Yaan salama bhana
Umeniliza Kaka good bby ushindi kwako
Nitazif kunifatilia kila hiitwayo Leo nipo Bukoba apa manispaa unaweza na zid kutoa ngoma Kali ss mafans wako tupo na tunakukubali San💯💯👏👏👏👏👏
Salama afaikuwa jaji aache upumbavu.
Mimi mwenyewe nalia apa
This boy got me emotional 😢😭😪🤧😩
Unajua hadi unajua tena kaka,keep going man👊👊👊
Mmmm aise... Bado wasani wapo bongo
Mkaliiii
Ohh 😢😢my God Tgun you are soo talented may God bless you my brother
Wakilisha blood Sumbawanga yetuuu T gunnyTozzy
Anajua sana dogo 💪🎤
Tgun tozzy mwamba unaweza song lako limenifanya nifell kitambo nakukubali mwamba
Mwanangu unajua ile sana amini aty athanasius nahao katuni 🎉
Huu wimbo naupataj
Mpaka nimelia afu sijui nimekulia nn daah noma sana
Toka mashindano yaanze tgun tozy ndio ni one unaweza dogo pamban kiukwl
😭😭Umenikosha mwamba
Jomba we ni mnoma sana 🔥
Hii performance mimi sina maneno kama ya salama jabir tunahitaji vitu vyenye kuelimisha jamii hii ngoma inawahusu wengi mtaani tgun anaweza tuache ubinafsi
Mom binafs nailidia kila wakat muun aliuwag San San nipo Bukoba nazid kumfatilia
Huyu Salima hana quality za kuwa judge,kwa hiyo,yeye anataka tuimbiwe mapenzi tu.
Umeuwaaaaa🔥🔥🔥
Haki nimelia
Machoz yamentoka... E Mwenyez Mungu naomba umpandishe viwango vya juu uyu kijana 🙏
😂😂😂 inanigusa saana
Kaua Sana kaka💪
Huyu mkali wao God bless you don’t give up 🆙
Home boy,keep it up
Jamaa anajua ❤️❤️❤️❤️Swax kipaji hichooo ❤️❤️❤️
Wapo makin utafikilia muislam anaifadhi Qur,ani da shetani
umeimba sana kaka unajua sanaaaaaaaaaa
Brother unajua sana zidisha kipaji brother utafika mbali mwana mungu akusimamie kwenye kazi yako
Nakubali boy unaeleweka
Mungu ajuxaidie kwenye kupambn kwak
Mwamba ata fika mbali
Kipaji halisi,mtu wa maana sana
Dah jamn hongereni san
Salama ahsante
You have talent good 😢☝️👍
Wimbo upeleke studio daaaa moto sanaaaaaa💥💥💥
Wimbo uliibwa miaka ya nyuma huo
Huyu mtoto warahi anajua ♥️♥️💋
GENIOUS
Naumiaaa maisha halisiii tulopitiaa
Talented guy❤
Brooh unajua more than .....
Shikoo tgun tozz ni umetsha🌹 lkn we ambae hupend story zakulia unaonekana unafraha hata kwnye msba hongera
Kaka umetisha kinoma Yani umefanya vyema
Mwanamke roho ya kiume
Amefanya vizuri.sana madam Lita Moe uyo
Hv unamnyima vip ushindi huyu guys serious!!!!
Mwanangu unachana sana big up🔥🔥🔥🔥🔥
Wow ❤❤❤❤❤
Daa nimelia kwa kweli we ndio mshindi naamin hvyo
big yes industry ni yako
Unyama mwingi mwanangu 🔥🔥🔥🔥
From the very first day we ni star wang
Unajua bro,no mara waa bad una vingi vya kufanya na kuthibitisha uwezo wako
We ni jini. NIT tunajivunia ww
Safi.sana
Anajua
Jamaa yupo vizuri
Dah