Jinsi ya kutengeneza au jinsi ya kupika Fagi laini za maziwa/soft fudge

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 86

  • @laylatali9203
    @laylatali9203 4 роки тому

    Yummy napenda the way unavoexplain yaan fasaha unafahamika vzr mashaallah😍

  • @noorayaqoot1294
    @noorayaqoot1294 3 роки тому

    Shukran kwa upishi mzuri na mwepesi. Napenda sana fagi

  • @glorymasanja8986
    @glorymasanja8986 Рік тому

    Daaah Mungu akutunze kwa upendo wako

  • @ummunaaleicester4337
    @ummunaaleicester4337 5 років тому

    Maa shaa Allah asante kwa mapishi mazuri utuletee na upishi wa barfini

  • @rugeyyemuhammad1549
    @rugeyyemuhammad1549 Рік тому

    Mashaallah nzuri sana

  • @fatmabarass416
    @fatmabarass416 5 років тому +1

    Mashaallah nzur sana habbty nmependa,,very easy,,
    Shukraaan

  • @atkahasna8960
    @atkahasna8960 4 роки тому

    Masha Allah. Nzury.

  • @wahidamaabad6763
    @wahidamaabad6763 3 роки тому

    Hongera mapishi mazurri!

  • @habibtysalim2304
    @habibtysalim2304 4 роки тому

    Mashaallah allah akubarik

  • @fahas6779
    @fahas6779 5 років тому

    Mashaa Allah. Nitajaribu

  • @lavalava3304
    @lavalava3304 5 років тому

    Shukran habibty tunakuomba utuletee sambusa zakutengeza kwa unga wa mchele unafahamisha uzuri kabisa

  • @tumaomar8999
    @tumaomar8999 5 років тому

    MashaAllah
    Nimependa habibty
    Shukran

  • @nassorhamad8556
    @nassorhamad8556 5 років тому

    Mashallah mamy nzuri Sana

  • @zarinadhukai8996
    @zarinadhukai8996 3 роки тому

    Mashaa Allah 😘😘😘

  • @vibestudio4707
    @vibestudio4707 5 років тому

    shukran zuu kwa fagi nzuri

  • @benadetamasanja3966
    @benadetamasanja3966 3 роки тому

    Inshallah ntajaribu na mimi

  • @binghanim7912
    @binghanim7912 5 років тому

    Mashallah simple mouth watering

  • @fatmabarass416
    @fatmabarass416 5 років тому +1

    Second to view and first to comment,,let me watch

    • @MapishiNaZuu
      @MapishiNaZuu  5 років тому +1

      Mashallah ujo faster😘😘😘

  • @nureyna629
    @nureyna629 5 років тому

    Mapishi mazuri Maasha-Allaah am your new subscriber🎉🎉

  • @rehemamajura7793
    @rehemamajura7793 5 років тому

    Ahsante

  • @fahas6779
    @fahas6779 5 років тому

    Mashaa Allah

  • @awatifabdulrazak512
    @awatifabdulrazak512 3 роки тому

    Wow

  • @asyaomar8757
    @asyaomar8757 5 років тому

    Mashaallah nicely

  • @mwanaminamohd261
    @mwanaminamohd261 5 років тому

    Masha allah

  • @fatma-si5os6ni7
    @fatma-si5os6ni7 5 років тому

    Nice mashaAllah♥

  • @a.856
    @a.856 4 роки тому +1

    Thanks

  • @zunaydaabdalla9718
    @zunaydaabdalla9718 5 років тому

    Hii ice sugar Unanitia yt

  • @aminajuma2778
    @aminajuma2778 4 роки тому +1

    Ile icing sungar usipotia yote haina shida au lazima yote
    Je ukiweka skar ya kawaida itafaa ?

  • @haniyaashur3615
    @haniyaashur3615 5 років тому

    Masha Allah naje ikiwa naweka korosho naweza kutumia maziwa hayo badili unga WA maziwa?

  • @greatiq8234
    @greatiq8234 5 років тому +1

    Hewallah!

  • @laylamohamed5015
    @laylamohamed5015 5 років тому

    Shukran habibty

  • @samiraalhabsi3697
    @samiraalhabsi3697 5 років тому

    Mashaallah

  • @khadijahmohd8576
    @khadijahmohd8576 4 роки тому

    🥰🥰🥰😍

  • @hatibhussein1192
    @hatibhussein1192 3 роки тому

    Nimeipenda fagi ila siagi kiasi gan

  • @zanuraadam4812
    @zanuraadam4812 4 роки тому

    Samahan hiyo condensed milk ni kiasi gani namaanisha ni Lita moja au nusu Lita?

  • @shamsayusuf2521
    @shamsayusuf2521 4 роки тому

    Mashallah Zuu nzuri sana lkn nimejaribu zangu zimekuja za.ubani sio km hizi. Mm nazipenda hizi zako sijui nimekosea wapi

    • @MapishiNaZuu
      @MapishiNaZuu  4 роки тому

      Hivyo ujue umuewahi kuzitoa katika moto hazijakauka uzuri dear

  • @sameeraimaan1789
    @sameeraimaan1789 4 роки тому +1

    Naweza kutumia sukari yoyote au lzm icing sugar

    • @MapishiNaZuu
      @MapishiNaZuu  4 роки тому

      Ukitumia icing sugar kutakuwa na tofauti my dear na hz ambazo nimefahamu sha mm hata ulaini wake

  • @Nurse-Suhaila
    @Nurse-Suhaila Рік тому

    Ukitia sukari ya kawaida lkn ukaisaga kwanza haitokuwa?

  • @GhaniyeHaji-hv3je
    @GhaniyeHaji-hv3je 7 місяців тому

    Smhn hatujui gram twmbue km robo au vp

  • @salimmohammed7768
    @salimmohammed7768 5 років тому

    Masha Allah nimependa sana tunaomba ujuzi wakutengeneza ladu habibty plz

    • @MapishiNaZuu
      @MapishiNaZuu  5 років тому

      Duh ww mchawi ladoo ndio class za mwezi huu unaoanza nilozipanga in shaa allah

  • @yusufsalim3545
    @yusufsalim3545 4 роки тому +1

    Sukari unatiya vikombe3 vingapi

  • @samirambarouk8249
    @samirambarouk8249 5 років тому

    Iv ipimo umeweka gram wngen atuelew kw gram ad utwambie vkombe vnganp au vkiko vngap pliz

  • @MuhlisMubashir
    @MuhlisMubashir Рік тому

    Naomba kuuliza Kama unatumia maziwa ya kawaida unatumia kiasi gani,na sukari kiasi gani

  • @a.856
    @a.856 5 років тому

    Unaweza kutumia sukari ya kawaida?

  • @umruqayya9569
    @umruqayya9569 3 роки тому

    .maziwa yanakuwa gram ngapi man mm cna yavikopo ik ktk packet

  • @innocentjoseph9121
    @innocentjoseph9121 5 років тому

    Waoo naweza Fanya za biashara ama nu ghali mnoo

    • @MapishiNaZuu
      @MapishiNaZuu  5 років тому

      Unaweza kufanya bila ya matatizo

  • @alizahranmohd4095
    @alizahranmohd4095 5 років тому

    km huna icing sugar unatumia bn

  • @ummsalamahrashid7920
    @ummsalamahrashid7920 5 років тому

    Shukran je naweza kutumia icing sugar yakutengeneza mwenyewe nyumbani??

  • @nimraahnassor781
    @nimraahnassor781 5 років тому

    Assalam alaykum, Icing sugar lazma kuweka? Kwa vile tumeweka condsd milk

    • @MapishiNaZuu
      @MapishiNaZuu  5 років тому +2

      Ni lazima kiweka huwezi kupika kwa siagi na maziwa tu

  • @shwhiteblack2735
    @shwhiteblack2735 2 роки тому

    Iyo siagi ni nusu au

  • @brayufulala5748
    @brayufulala5748 2 роки тому

    Ivyo vikopo vinapima kiasigani

  • @fatma-si5os6ni7
    @fatma-si5os6ni7 5 років тому

    Please give ingredients into cups!

  • @damalimagai8588
    @damalimagai8588 5 років тому

    Samahani mpendwa baada ya kuongeza iriki, hicho ulichoongeza mwisho kabla ya kukata jina lake ni nn maana sijasikia vizuri

    • @MapishiNaZuu
      @MapishiNaZuu  5 років тому

      Zinaitwa rainbow sweet au sweetcake

  • @ahlammajid8679
    @ahlammajid8679 5 років тому

    Ukhty Zuu Kama Sina Condensed Milk Naweza kutumia Maziwa Ya Unga Au Ya Kawaida?

    • @MapishiNaZuu
      @MapishiNaZuu  5 років тому

      My dear inabidi tu utafute hio condensed milk bila ya haivyo haitokuja habibty

    • @ahlammajid8679
      @ahlammajid8679 5 років тому +2

      @@MapishiNaZuu Okay Ukhty ntajaribu kununua nipike. Yote Tisa La Kumi Nmependezwa N Mapishy Yako Wallhy. Allah Inarik👍👏

    • @MapishiNaZuu
      @MapishiNaZuu  5 років тому +1

      @@ahlammajid8679 asante sana😘

  • @irenemakuri8648
    @irenemakuri8648 4 роки тому

    Mbon mie haijabadilika😪

    • @MapishiNaZuu
      @MapishiNaZuu  4 роки тому +1

      Haijabadilika kitu gani dear

    • @irenemakuri8648
      @irenemakuri8648 4 роки тому

      Kuwa na iyo rangi ya kahawiya imebaki ya njano ila laiz vizuri tu

  • @ommymbugi249
    @ommymbugi249 5 років тому

    Kama huna maziwa mazito unatumia nn

    • @MapishiNaZuu
      @MapishiNaZuu  5 років тому +1

      Inabidi tu utumie maziwa mazito ndio utapata kama hz

  • @ferouzaltimimi7723
    @ferouzaltimimi7723 5 років тому

    Samaleku mapishi ja zuu mdona umeabnika siagi g tano

    • @MapishiNaZuu
      @MapishiNaZuu  5 років тому

      Sorry kusinzia kote huko😂 nishabadilisha ni 300g

  • @habibtysalim2304
    @habibtysalim2304 4 роки тому

    Mashaallah allah akubarik

  • @salimafakhi9425
    @salimafakhi9425 Рік тому

    Mashaa Allah

  • @yasminomar9946
    @yasminomar9946 4 роки тому

    Masha allah

  • @maydayussuf6524
    @maydayussuf6524 5 років тому +1

    Mashallah

  • @fatmamohd1183
    @fatmamohd1183 5 років тому

    Mashaallah

  • @rahmasalum8642
    @rahmasalum8642 4 роки тому

    MashaAllah