KUTENGENEZA ICECREAM TAMUU//HOW TO MAKE CHOCOBARS// 2019

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 342

  • @hawagomba598
    @hawagomba598 Рік тому +1

    Ahsante mwalim wangu nilikuwa naitafuta sana hiyo nashukuru

  • @madhihaswaleh462
    @madhihaswaleh462 5 років тому +2

    Mungu akubariki dear.tena nirahisi.nawajua namna ya kueleza shukrani

  • @bibiifan8584
    @bibiifan8584 3 роки тому +2

    Waoo aise nimejifunza kesho natengeneza

  • @musyokimumbe2760
    @musyokimumbe2760 4 роки тому +31

    When she said 10k, that's when I discovered she is from Tanzania!
    My heart almost dropped but I did a conversion and from Jumia Kenya is pretty cheap.

  • @husnahamisi6637
    @husnahamisi6637 5 років тому +6

    Thanks so much..nimeipenda nzur kwa biashara pia

  • @naseemnaeem7732
    @naseemnaeem7732 5 років тому +2

    Yummmmy, inaonesha itakua nzuri sana na tasty. Nitajaribu kutengeneza maanake ni rahisi na vitu vyake pia vinapatikana kiurahisi. Asante sana dear. Ubarikiwe

  • @samiarai5530
    @samiarai5530 4 роки тому +4

    Mashallah TabarakAlkah Amaizing👍👍😍

  • @musyokimumbe2760
    @musyokimumbe2760 4 роки тому +8

    I enjoy your videos, am not sure what am learning more, the Swahili or the meals and snacks! 😀..Asante sana.

  • @Dfrio-v7d
    @Dfrio-v7d 5 років тому +11

    Wow i tried this and actually works

  • @joshuamaingi9491
    @joshuamaingi9491 4 роки тому +2

    im learning both swahili and good cooking skills much love from Kenya

  • @tinahwangary8492
    @tinahwangary8492 5 років тому +10

    Wow that was fast and seemed easy, thank you Ika Malle

  • @rahelgika3870
    @rahelgika3870 5 років тому +7

    Unaelekeza vizuri kweli❤❤❤

  • @melissabundi9718
    @melissabundi9718 4 роки тому

    Tamuuu...Asanti kwa hekma ulionipa dada.Napenda

  • @bestbusiness4351
    @bestbusiness4351 4 роки тому +1

    Yaani dada Ika unatakiwa uwe na chuo 🙌🙇 hata kama sijaonja ila kwa muonekano ni ice cream tamu sana 😋 nimejifunza mapya leo tena. Big up 👍

  • @sajdatomar2264
    @sajdatomar2264 4 роки тому +1

    mbona bakharesa hanioni mweee mana amekula hela zangu sana tu jana nimejaribu hii kitu aseeee ni noma sanaaaaaaaaa asante love mungu akuweke tu

    • @paulinacherement2534
      @paulinacherement2534 4 роки тому

      Ha ha ha kweli heri wenye moyo safi maana watamuona mungu dada yuko vizuri anafundisha mak unaelewa.mungu ampe mwema dunia na kesho akhera.amiin.

  • @Wanyiha-G.1
    @Wanyiha-G.1 4 роки тому +1

    Lamba lamba😊
    Video nzuri sana, nimebonyeza kidude.

  • @mektidismbepera4146
    @mektidismbepera4146 4 роки тому +1

    Vifaa Ivo vya kuekea lambalamba vinapatikana maduka gan

  • @omantelomantel5428
    @omantelomantel5428 4 роки тому +1

    Daah rahic sana

  • @haythamabdallah2202
    @haythamabdallah2202 4 роки тому

    Mungu akueke dada umenisaidia sana yan

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 11 місяців тому

    Yani uko vzr saana dada Asante saaaaaaaaaaaaaaaaaana

  • @wadidazone5759
    @wadidazone5759 5 років тому +1

    nice video kwakweli lazima nijaribu

  • @hamisichenji5989
    @hamisichenji5989 5 років тому +2

    😘😘😘😘 Asante dada kwa somo zuri

  • @sarahnagudi9772
    @sarahnagudi9772 5 років тому +1

    wow simple and easy thanks 💕💕💕💕👌

  • @jenipherNalogwa-ph5ww
    @jenipherNalogwa-ph5ww 4 місяці тому

    Jaman mie mwenzenu naomba kama kuna uwezekano wa kupata hivyo vifaa vya kutengenezea

  • @halimahalum3008
    @halimahalum3008 4 роки тому

    Mashaaa Allha tamu shukran

  • @ElizabethJoel-r7c
    @ElizabethJoel-r7c 2 місяці тому

    Ila hizi kwa biashara utapata faida kweli

  • @Lillo-ongachi
    @Lillo-ongachi 5 років тому

    Oooh kumbe ni pesa ya Tanzania I was almost giving up.. Now I will try it.. Thanks love from kenya

    • @ikamalle
      @ikamalle  5 років тому

      😂😂😂😂😂😂😂 divide by 23 = Ksh

    • @ikamalle
      @ikamalle  5 років тому

      😂😂😂😂😂😂😂 divide by 23 = Ksh

  • @Lifestylek2l
    @Lifestylek2l 4 роки тому +2

    Haki nakupenda ww mdada kufa...mana kila nikitaka kupika lazima nipitie kwa account yko mpk nawakera watu

  • @MilembeZacharia-mb6jy
    @MilembeZacharia-mb6jy Рік тому

    Asante sana kwa somo zuri Mungu akuzidishie samahani naomba kuuliza kwa mm mkazi wa mwanza nitapata wapi hiyo seti yavikopo pamoja na hiyo chocolate dark? Pia kwakipimo hicho kwa biashara nibei gani kwa kuuza?

  • @halmamuhajj7910
    @halmamuhajj7910 5 років тому +1

    Masha Allah zapendezaa

  • @neemamlay-om4bb
    @neemamlay-om4bb Рік тому

    Simple.... I love that

  • @BEINGANASTAZIA
    @BEINGANASTAZIA 4 роки тому +4

    I just loooove your vids... you are inspiring im a young youtuber too hope someday i can get to your level😅 im definetly going to try the chockstick... can u do two recepies for me my boyfriends birthday is coming up and where i am at (EVERYTHING IS CLOSED #lockdown) id like to learn a simple chocolate birthday cake and how to make sticky wings😅😅😅

  • @Perihoss
    @Perihoss 5 років тому +1

    Wow very awesome luv your ice cream recipe

  • @norahayubu9713
    @norahayubu9713 2 роки тому

    Ahsante sana kpnz

  • @concepterolack8184
    @concepterolack8184 5 років тому +4

    Unaelekeza vizuri dada 😍

  • @margaretmkangala7774
    @margaretmkangala7774 3 роки тому

    Asante kwa somo, nahitaji contena za kutengeneza chokstic ntazipata wpi?

  • @florahmushi748
    @florahmushi748 4 роки тому

    Asante sanaaa kesho natengeneza

  • @fatmatwalib8408
    @fatmatwalib8408 4 роки тому

    Sante dada.Allah akubariki sana 😋

  • @aishahamisi8274
    @aishahamisi8274 5 років тому +1

    Thanks. Nitajaribu inshaAllah

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 Рік тому +1

    Mashaa Allah

  • @sabrinasab2910
    @sabrinasab2910 5 років тому

    Nzur sana nimependa shukran

  • @alexandrinadomaino9868
    @alexandrinadomaino9868 4 роки тому +1

    Kudadeki niko wapi siku zote aisee ningekuwa nshakuwa tajiri haki

  • @FarajaBernard
    @FarajaBernard 6 місяців тому

    Ukimaliz kutengenez hvy unawek kweny friji

  • @SalmaRissasy
    @SalmaRissasy 5 місяців тому

    Habari... Naomba kitabu kama bado vipo

  • @fatumaismael
    @fatumaismael Рік тому

    Wow ..!! Kazi nzuri sanaa naomba namba yako maana nahitaji hivo vikopo vya ice cream please ??!

  • @aishaabdallah4560
    @aishaabdallah4560 5 років тому +1

    Asante kwa receip dear...ila nauliza ukishachovya iyo dark chocolate waeza regesha kwa freezer ama vp.

    • @ikamalle
      @ikamalle  5 років тому

      Unaweza paki kwenye vifuko then uweke kwenye freezer

  • @ashurakabura345
    @ashurakabura345 3 роки тому +1

    Wow taamu saana

  • @lucysanka2570
    @lucysanka2570 2 роки тому

    Ahsante sana

  • @goodnessiheoma6874
    @goodnessiheoma6874 5 років тому +1

    Can i use any liquid milk

  • @aminaabdalha5157
    @aminaabdalha5157 2 роки тому

    Asante kipenzi.ila naomba kuuliza naweza kutumia cocoa?

  • @ishadulla4525
    @ishadulla4525 4 роки тому +1

    Ok nshaiona haha

  • @makusamuli
    @makusamuli 5 років тому +1

    kazi safi....

  • @abdullmalik7847
    @abdullmalik7847 4 роки тому

    Maashaallah nzuri😋

  • @abdulmaliktalib1944
    @abdulmaliktalib1944 5 років тому +1

    nzurii

  • @rehemamwinyi5529
    @rehemamwinyi5529 5 років тому +2

    Dada naomba uniandikie vitu ambavyo vinahtajika ili nikifika dukan nivipate

  • @BEAST-yy4hf
    @BEAST-yy4hf 4 роки тому +2

    Love

  • @gilbertk1391
    @gilbertk1391 4 роки тому

    Nimeipenda sana

  • @elizabethsamson4915
    @elizabethsamson4915 4 роки тому

    asantheee sana mpnz

  • @mlonjaabdallah01
    @mlonjaabdallah01 2 роки тому

    Asante kipenzi nikulize dealing chocolate kubwa kama hio inapatikana wapi ?

  • @samiaalriyami3488
    @samiaalriyami3488 5 років тому

    Mashalla ahsante dear😘😘😘

  • @simbomart6186
    @simbomart6186 5 років тому +1

    kudadeki nimeipenda

  • @madamefamy7341
    @madamefamy7341 5 років тому

    Shukran dear ..ubarikiwe..

  • @imeldagathitho8510
    @imeldagathitho8510 4 роки тому +1

    I love the recipes

  • @shalletkinara2409
    @shalletkinara2409 4 роки тому +2

    Lazima nitumie corn flour ama any other flour kama ngano can work?

    • @ikamalle
      @ikamalle  4 роки тому

      Corn flour makes it Thick

    • @ikamalle
      @ikamalle  4 роки тому

      Corn flour makes it Thick

  • @mayasaomar2556
    @mayasaomar2556 4 роки тому +1

    Chostic za kawaida bila chiclet juu tunatengezaje anti

  • @fadhilamalindi7855
    @fadhilamalindi7855 4 роки тому

    Dada nazipataje izo Shep mm nipo masasi

  • @norahayubu9713
    @norahayubu9713 2 роки тому

    Hiyo elfu 10 dear ulinunulia wap au ni muda mrefu

  • @sarachikira2964
    @sarachikira2964 2 роки тому

    Asante kwa elimu

  • @hildamhina5305
    @hildamhina5305 Рік тому

    Samahan hv vikombe vinapatikan wap Dada??

  • @kariukigatimu7237
    @kariukigatimu7237 5 років тому

    A very nice lesson,I like it

  • @cutiethuma9931
    @cutiethuma9931 5 років тому

    Thank you so much....nkishaeka ndani ya chocolate kisha nrudishe Kwa fridge Hio chocolate Halitotoka bado

  • @farwatskitchen13
    @farwatskitchen13 5 років тому +17

    This is simple and amazing, good job mummy ❤and congratulations for 100k subscribers 🌹🌹🌹

  • @beatriceamagove7592
    @beatriceamagove7592 4 роки тому +1

    Good and nice

  • @sheyzm8561
    @sheyzm8561 5 років тому +2

    Najaribu sasa hv apa..am only missing the chocolate

  • @halimahalum3008
    @halimahalum3008 4 роки тому

    Shukran nimeipenda

  • @thegirlfromafrica5726
    @thegirlfromafrica5726 5 років тому +1

    Dada iyo corn flower unaeza tumia atà unga wa maindi wa kupima pia ivyo vijiti umenunulia wapi

    • @ikamalle
      @ikamalle  5 років тому

      Tumia cornflour, vijiti nimenunia duka la vyombo

  • @victormambasa4735
    @victormambasa4735 5 років тому

    Nimeipenda sana thanks

  • @mariasshilla4528
    @mariasshilla4528 4 роки тому

    Sasa ukimaliza kuchovya unarudisha kwenye frieza Tena au vp

  • @michaelonyangoforex
    @michaelonyangoforex 4 роки тому +3

    Nimesikia elfu kumi karibu nizimie ndio nikakumbuka ni Tanzania.

    • @lizziecn2729
      @lizziecn2729 3 роки тому

      😂😂😂😂. Was once in zanzibar, bought a glass of milkshake at langi langi resort. Then asked for my bill ikaja 6k. It took me about 5 minutes to realize niko Tz and its a different currency...

  • @samiaalriyami3488
    @samiaalriyami3488 3 роки тому

    naomba kuona ya vikopo vya kawaida na kutumia hii dark chocolate

  • @shaidaally7850
    @shaidaally7850 3 роки тому

    Mambo mazuri

  • @queensiahclassicpoint1485
    @queensiahclassicpoint1485 Рік тому

    Naomba no y sim

  • @ashabarakati4064
    @ashabarakati4064 4 роки тому

    Km huku nilipo mm hamna corn flour wala maziwa ya unga nitumie mbadala gan

  • @nestergavu4970
    @nestergavu4970 9 місяців тому

    Navipataje vikopo vya ice cream

  • @rukxnur3470
    @rukxnur3470 5 років тому

    And what is cornflour

  • @mayasaomar2556
    @mayasaomar2556 4 роки тому +1

    Wengine husikia wanatia tairos tunatia wakati gani tunapika kama hii au unakoroga tu bila ya kupika

  • @winnievienda1623
    @winnievienda1623 4 роки тому +1

    WAAAAAAAU 👌🍦

  • @agathathobias8690
    @agathathobias8690 3 роки тому

    Dada km hizo kwa biashara unaweza uza bei gan

  • @valarie2547
    @valarie2547 5 років тому

    Sijai ona youtuber mtanzania

  • @eddahhawa7471
    @eddahhawa7471 5 років тому

    Mbina Asante sana,,,maana

  • @sialadymosha3355
    @sialadymosha3355 5 років тому

    Barikiwa

  • @Kifarutvzsh
    @Kifarutvzsh 4 роки тому +2

    Hamjambo watazamaji support channel yetu ya UA-cam inayowaelimisha na kuwaburudisha watoto kupitia lugha ya Kiswahili. Asanteni sana 🤓😀

  • @estheryohana3633
    @estheryohana3633 3 роки тому

    Dada nimependa Sana Mungu atembee nawe

  • @mwanatumujuma4973
    @mwanatumujuma4973 5 років тому

    Nimependa asante sana

  • @zaibonge7867
    @zaibonge7867 5 років тому +41

    Shoga angu ika malle njooo nikupe mrejesho shoga .... Nimekosa hiyo chokoleti nyesi shoga banana nzima hakuna nilivyo saa mbovu.... Nimenunua chokoleti zile wanazokulaga supamaketi... Lol nimeyayusha mbaka nimekoma yaani haiyayuki vizuri.... Ila hizo za maziwa zimetoka vizuri ila niliweka konifulawa kijiko kikubwa lol 😂 😂 😂 😂 shoga wacha iwe nzito mbaka haimininiki 😂😂😂😂nikawauziwa watoto 100 nilipaki kwenye vikopo..... Nikipata hasara. Shoga ila najua nikujifunza.... Sasa shoga uanze kutuelekeza unapopata vifaa vyakooo maana shoga tunazalilika.... 😂😂😂😂😄😄😄😄nimejicheka mwenyewe.. Nilivyomwehu sasa nimealika mashoga wangoje chositiki za maziwa na chokoleti lol 😂 nimeumbukaje... Nikazuga... Naumwa na tumbo LA chango. 😂 alienielewa anipe like❤

    • @maryjohn4069
      @maryjohn4069 5 років тому

      oooh

    • @winniekitoi1011
      @winniekitoi1011 5 років тому +1

      🤣🤣🤣Umenifrahisha mpenz ila ndo kujifunza

    • @zaibonge7867
      @zaibonge7867 5 років тому +2

      @@winniekitoi1011 Asante my kwakunitia moyo maana mama kanisema nimeharibu pesa yaani we acha tu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @dottnatt7110
      @dottnatt7110 4 роки тому

      😀😀pole shoga,ndio kujifunza lkn

    • @paulinacherement2534
      @paulinacherement2534 4 роки тому +2

      Jaribu tena best ndo kujifunza...maana hata mtoto inaaanza mimba then mtoto...kukaa..kusimama na harafu kutembea....hivo endelea mpaka utatembea.la msingi nia tu...utafika utakako.

  • @ashuraali5140
    @ashuraali5140 5 років тому

    Maasha Allah nimependa

  • @amidakalinga4485
    @amidakalinga4485 4 роки тому

    Jamani vizuli sana

  • @razansalim532
    @razansalim532 5 років тому +2

    Shukrani dear

  • @joselinebukobero440
    @joselinebukobero440 4 роки тому

    Hayo maziwa ya unga ni yaaina gani ambayo yanafaa kutumika?

  • @priscalukombeso5426
    @priscalukombeso5426 4 роки тому

    unaweza kutumia unga wa ngano instead of corn flour