Sio wazo baya ila nikianza kupima kw akutumia kikombe inabidi nifanye vipimo vyote kwa kutumia vikomne dear ila nikuoe njia rahisi ukenda kuupima unha wako kama ni nusu kilo hio 500g basi utapima nusu kilo inatoka vikombe vingapi sababu pia kama nikikuoa kikombe basi tunaweza kutumia kikombe chenye ujazo tofauti sasa unaweza ukenda wrong ukahisi kama nimeeka vipimo sivyo kumne tumetofautiana ujaxo wa kimombe tu vikombe ambavyo vitakuwa same ni vime measure cups peke yake dear
Niliwahi kuviweka nikavisahau katika bakuli vilikaa mpaka mfunguo mosi mpaka mfunguo 3 wakato nataka kutumia kidoo ndio naona kuwa vimo havijesha na bado vizimq
shukran saana zuu tuoneshe pudding vileja vya tende mandi
Mashaallah allah akubarik
nzur sana
Asalam aleykum daa zuu mashallah vishete vyapendeza nigependa kujuwa unga umeweka kilo ngapi badala ya gramu plz kipezi ❤
MashaAllah TabarakaAllah Habibty🙏 Watu wa Zanzibar na sisi watu wa Mombasa kwa Mapishi tu Alhamdulillah MashaAllah👏👏
Mashallah shukran
Asant mpenz nimependa
Ma sha Allah i like ur recipes ...no drama
Shukran dear
Asante sana nimependa mapishi ya visheti
Vizuri asante
Mashaallah allah akujazi kheri
Ameen habibty
nauliza .lazima kuvibek . hauwez kuvi fry. asante
Nice one🎈
Mashaa Allah yummy yummy
Mashallah habibty nzuri Sana nimeipenda
Afwan dea
maashaallah hbbty Allah akuzidishie .tuletee na upishi wa barfin plzz
In shaa allah barfi zitakuja
Mashaallah tislam yadaki ukhti
Dah siwezi hata kuitikia ameen maana sijui maana yake nini🤣
Mashaaallah nyc😋
Thanx dear
Maa shaa Allah
Mashaallah visheti pambe
Thanx asya for your surport
Mashaaallah nmependa hii style
Shukran sana😘
@@MapishiNaZuu ❤👌😘
Kastad ndo nn?
A.alaykum dear mbn huonekani UA-cam??? Hutuletei receipe
Sorry dear nilikuwa na kitumbo kikinisumbua ila nishajifungua salama wiki naanza in shaa allah
Ok shukran nasubir kwa hamu
Namba yako ya simu pls
MashaAllah nimependa sana kazi yako ,lakini naomba unga utuwekee vikombe kuliko gram
Sio wazo baya ila nikianza kupima kw akutumia kikombe inabidi nifanye vipimo vyote kwa kutumia vikomne dear ila nikuoe njia rahisi ukenda kuupima unha wako kama ni nusu kilo hio 500g basi utapima nusu kilo inatoka vikombe vingapi sababu pia kama nikikuoa kikombe basi tunaweza kutumia kikombe chenye ujazo tofauti sasa unaweza ukenda wrong ukahisi kama nimeeka vipimo sivyo kumne tumetofautiana ujaxo wa kimombe tu vikombe ambavyo vitakuwa same ni vime measure cups peke yake dear
Shukran
naipenda naomba unirushie
Nitakurushiake my dear ww download tu
Mashaallah Mashaallah habibty shukran je unaweza kuweka shira yake ya kawaida kama hunaki iyo icing ?
Huwezi kuwekea shira dear sababu viko laini sana ukiweka shira vitanyambuka vyote
Shukran habibty Allah akuzidishie katika kila jambo lako Amiin
@@Asimcospares ameen kwa sote
Thx
A alaykum naomba kuuliza ukitaka kupika visheti vilaini vya kuchoma kwa mafuta unatia nini na nini ili viwe vilaini
👌🏼👌🏼
mashallah
mashallah I think you are in zanzibar really?
Yes i am
Mapishi Na Zuu sehemu gani mamy wang?
@@wardanna8665 bububu
MashaAllah
Shukran habibty naje hiyo castard niya ladha gani? Nataka nivipike iddi inshaa Allaah
Ni castard yoyote unayopenda ww habibty
Grm 700 ni gapi yani nusu ama
Asalam aleykum...nauliza badala ya kubake unaweza kukaanga?
Nop hukaa haiwezekani vitavurugika kwa mafuta
Kama huna oven nifanyaje
Arki gani umeweka dear
Nimeeka arki ya rose habibty
Asalamu alaykum vipi hali nauliza hivi visheti huweki banking powder
Waalayk mussalaam huweki baking powder hv
@@MapishiNaZuu shukrani habibty nitavipika vinaonesha vitamu naomba upike na vileja vya chumvi pls
@@ummunaaleicester4337 yeah vitamu sana tu na in shaa allah nitafanya hvy vya chumvi
@@MapishiNaZuu shukrani kwa kupokea ombi langu Allah akupe afya njema
@@ummunaaleicester4337 ameen.
Mamy gram 500 unga no sawa na vikombe vingapi
Ni unga nusu kilo
Mi ni mgeni, navitaka hivyo jamani
Mgeni wng karibu kwangu 😂😂😂
@@MapishiNaZuu hahaha 😘😘
Castard ndo nini kwa kiswahili
Fatma Hassan tunaita hivohvo kiswahili
Mapishi zuu naulizaje visheti inaeza kuka mda gani
Niliwahi kuviweka nikavisahau katika bakuli vilikaa mpaka mfunguo mosi mpaka mfunguo 3 wakato nataka kutumia kidoo ndio naona kuwa vimo havijesha na bado vizimq
@@MapishiNaZuu maa shaa allah,inaonyesha vizuri maana vilevyakawaida kwamudahuo vingekuwa kamajiwe