WASANII WANAOVAA MISALABA WANAITA JINI ILI IWASAIDIE KWENYE MVUTO"WANA SIFA HIZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 129

  • @hadijatwahadossa
    @hadijatwahadossa 3 місяці тому +12

    Huyu kijana anaongea kweli....kabisa lakini yote tisa 10 anaelimisha sana ,hayo mambo niya kweli ktk dunia hii tunayoishi,, uamuzi wa maisha yako yaweje utajua wewe,,,yeye anachoongelea ni elimu dunia,mimi binafsi nimejifunza kitu.

  • @MichaelMusafiri-bn8rb
    @MichaelMusafiri-bn8rb Місяць тому

    Alhamdulilahi kwakuwa mweslam, kwasa babu tuna ilmu kuhusu dini Na majini Na bublia pia!!!

  • @omarbinjaa2801
    @omarbinjaa2801 3 місяці тому +8

    Jini yoyote hawezi kukufanyia chochote ila mpaka umuasi Allah na lengo lake mukutane makaoni jahannam( motoni)

  • @SaidKondo-rw8wb
    @SaidKondo-rw8wb 3 місяці тому +12

    Huyu nae anamatatizo,Hana tofauti na sule ,wanapromoti ushirikina,sio msomi wa dini huyu jamaaa ,labda aseme nae ni mganga

    • @user-ht8po7un8p
      @user-ht8po7un8p 3 місяці тому

      Sio aseme ni mganga

    • @DavidMapunda-ge6ff
      @DavidMapunda-ge6ff 3 місяці тому +3

      Huo ndio uislamu tatizo Waislamu wengi hawaijui dini yao, kazi ubishi waki senge tu,. Hawa dini Wana ijua kuliko nyie mbwa mnao wabishia

    • @SaidKondo-rw8wb
      @SaidKondo-rw8wb 3 місяці тому +1

      @@DavidMapunda-ge6ff yaani wee mbwa Mla nguruwe ndio ujue dini yetu sisi waislam ambao tunalelewa nayo na kufundiswa,wee kunguni hapa mjini,tusikilize sisi wenye jambo letu ,utapigwa nje ndani.huyo ni mchawi bwana mdogo utaibiwa

    • @mwinyiabdallah4383
      @mwinyiabdallah4383 3 місяці тому +1

      ​@@DavidMapunda-ge6ffwe pimbi mbwa na nguruwe umewaacha nyumbani kwenu huko unaleta uchoko hapa kenge we

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy 3 місяці тому +1

      ​@@DavidMapunda-ge6ffwe mjinga nenda kausome kwanza Uislamu acha kukurupuka. Uyo jamaa kaamua kukufuru kama alivosema m/mungu ndani ya Quran kwamba imma tushukuru au tukufuru kutokana na neema alizotuneemesha.

  • @aitaufoosilaa
    @aitaufoosilaa 17 днів тому

    ❤mimi ni msikilizaji tu..najifunza mno.asante.

  • @samxx411
    @samxx411 3 місяці тому +3

    Muislamu hamshirikishi Mwenyezi Mungu ila baadhi ya watu wanatumia dini kama kivuli katika kumshirikisha Allah..Pete ukiivaa urembo inafaa zaidi ya hapo ni ushirikina na unashirikisha Allah..

  • @ramadhanimmana3829
    @ramadhanimmana3829 3 місяці тому +7

    Umaskini bye bye kumbe very simple hivi nimechelewa kweli 😂😂 hata iwe kufunga mwez Frsh tu 😊😊😅

  • @Putin331
    @Putin331 3 місяці тому +1

    Bongo touch na huyo azzazaziru unayemhoji watu mnafirwa❤au mnafirana

  • @joseaugust2805
    @joseaugust2805 3 місяці тому +3

    Ila sio mbaya nyie akina Azazel na samyaza mnawaita ni majini , ila sisi wakristo hao wote ni malaika waasi (fallen angel).

    • @pharmkiksi7463
      @pharmkiksi7463 3 місяці тому

      Azazel sio malaika, yeye ni mmoja wa kundi la iblis, kwenye dini ya kislamu ilo ni jina la iblis..... Hahusiki kabisa na malaika,

    • @joseaugust2805
      @joseaugust2805 3 місяці тому

      @@pharmkiksi7463 Kwa mujibu ya dini yenu ni sawa alikuwa jini, ila Kwa mujibu wa ukristo alikuwa malaika muasi

    • @DhaharaniJongo-gt2un
      @DhaharaniJongo-gt2un 3 місяці тому

      Hakuna malaika ambaye anamuasi mungu

    • @joseaugust2805
      @joseaugust2805 3 місяці тому

      @@DhaharaniJongo-gt2un kwa mujibu wa uislam ni sawa , ila kwa mujibu wa ukristo kuna malaika baadhi waliasi

  • @nubianqueen6700
    @nubianqueen6700 3 місяці тому +3

    Mtu yeyote anaye shirikiana na ma jini, ila kwa "wema" au maovu nimshirikina. Nabi suleiman peke yake ndo aliyemuomba mwenyezi mungu ampe uwezo wa kumiliki ma jini na akamwambia Mungu asimpe yeyote baada yake. Quran 88:35 Kueni makini waislam, msije mkamshirikisha Allah.

  • @RachaelMchanda
    @RachaelMchanda 3 місяці тому +1

    Sasa mnamkataza n kitabu cha majini wanacho waislam mwataka akasome wapi, kwa bibilia😢😢😢😢😢 ?, hatuna hizo vitu sisi hatushirikiani n majiji yashindwe katika jina kuu la yesu😂😂😂😂😂😂😂

    • @wharang-hg2yx
      @wharang-hg2yx 3 місяці тому

      Hujui unachoongea ww uelewa mbele itikadj zako baadae huyu anaelezea namna mambo hayo yalivyo solo kwamba wa2 wafanye afu wee n kama mpuuz2 kwanza hiyo biblia n kitabu cja nano unavyofikiaria ni nani kaandika yesu kashuka uarabun kwann wanaoipromote hiyo biblia n wazungu tena wao ndo waandike hiyo biblia afu kila kitabu kimejitaja katafute kama biblia imeandikwa katika ktabu crochet n hakuna alas soma iyo Bible yote uielew soyo unapiga 2mistar 2wili tu3 afu unapiga makelel etuislam ndo unafuga majin

  • @Abu-Hamza254
    @Abu-Hamza254 3 місяці тому

    Mfano uyo vala itwa Dotto Magari🇰🇪

  • @almasmkoko1591
    @almasmkoko1591 3 місяці тому

    Hao wanatoa mafundisho mwenye hiyari anaweza kwenda au asiende kwa sababu mwenyezi mungu ameumba binadamu na majini wote tumuabudu yeye tu

  • @calendecalende9289
    @calendecalende9289 3 місяці тому +1

    naomba no ya simu shekhe

  • @MzeeOsama
    @MzeeOsama 18 днів тому

    Ijumaakarim

  • @allymafita1985
    @allymafita1985 3 місяці тому

    Nasaha kwenu mnaohojiwa, na elimu mnayotoa, Litafakarini LENGO la mahojiano haya na elimu hiyo n Nini hasa Kwa mustakabali wa dini ya kiislam na Kwa wasikilizaji Kwa ujumla!, YAEPUKENI HAYA

  • @MeenaHassan-fd9vv
    @MeenaHassan-fd9vv 3 місяці тому +1

    Siyo poa Acha tuuu wawe matajiri, nawafuatilia toka Durban kwazulu natal

  • @SaidiBakari-kl1gu
    @SaidiBakari-kl1gu 3 місяці тому +2

    Hizo mada mnajidhalilisha na mnadhalilisha uislamu.
    .

    • @user-xz8mm5kt5m
      @user-xz8mm5kt5m 3 місяці тому

      Wanajianika tu wenyewe, ukimsikiliza vizuri yeye mwenyewe anakwambia ili jini akufanyie jambo lake ni lazima utimize masharti yake ambayo ni kumkufuru Allah. In a simple language, anakiri kuwa yeye mwenyewe amemkufuru Allah.

    • @user-jc8jo2po9g
      @user-jc8jo2po9g 3 місяці тому

      Hazalilishi mtu Wala usilaam Bali elewa kua nielimu kubwa anayotoa Bali akili kichwani mwako Ila ukubali haha Mambo yapo pia Tina ipo na uchawi upo

  • @RusiaSalehe
    @RusiaSalehe 3 місяці тому +1

    unamtusi Ahu nawewe umo ? hongea ukweli baba

  • @user-hw7ce8gf6v
    @user-hw7ce8gf6v 3 місяці тому

    Huyu jamaa tapeli mkubwa sana sana
    Anajifanya anajuwa dawa ya kunenepesha uume kumbe muongo sana sana

  • @English-SomaliTranslationHub
    @English-SomaliTranslationHub 3 місяці тому +1

    Wakristo wanadhani mtu akona kanzu maumini

  • @Putin331
    @Putin331 3 місяці тому +1

    Huyo unayemuhoji azaazir mdg 😅😂

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 3 місяці тому

    SHEIKH WANGU SIMU KIWEKA KIFUANI APO KISAYANSI UNIJIUMIZA KIAFYA

  • @ayubutwalbu6594
    @ayubutwalbu6594 3 місяці тому

    Jamaa muongo Sana kakilemu kwenye vitabu vya Babu haji Hana lolote kasoma vitabu vya Babu haji ukimskiliza Hana jipya

  • @RahimaJames
    @RahimaJames 3 місяці тому +1

    Hauna tofaut na mwamposa😂 mnatumia jina la Allah kufanya ushilikina

  • @NkurunzizaKevin-vs5lk
    @NkurunzizaKevin-vs5lk 3 місяці тому

    Huyu kaka namuombea neema naheri y'a muumbaji wa arzi na mbingu.usemi naujuzi anao inaonekana niyayake hafurahiye kumpoteza muumba.basi hekima na ufunuo wakweli naomba umpate

  • @allymohd5855
    @allymohd5855 3 місяці тому

    Uislam ni dini ya kwl ila wanatumiw kuchafua uwislam ila uwislam ni dini ya haki dunian kataa usikatae ila uwislam ni dini yakwl na allah ndie mungu mweny ila njaa mbay san daaa

    • @PaulinaJohn-ox5hl
      @PaulinaJohn-ox5hl 3 місяці тому

      Wewe unapotea uwislamu ni ushirikina mtupu

    • @PaulinaJohn-ox5hl
      @PaulinaJohn-ox5hl 3 місяці тому

      Auwez kukupeleka popote ila yesu kristo ndio njia pekee ya kwenda mbinguni

  • @Wamoyothenumberone
    @Wamoyothenumberone 3 місяці тому

    Ushilikina ndo asili yetu binadam,hizo dini wazungu walituletea

  • @SelemaniAbuu-nm3sx
    @SelemaniAbuu-nm3sx 3 місяці тому

    Namba zako dokter

  • @fahadrashid9754
    @fahadrashid9754 3 місяці тому

    Nakumbuka dimond alivoibiwa kofia yke dodoma alipanic kinoma

  • @joemeika3020
    @joemeika3020 3 місяці тому

    hatarii

  • @kipchorngwonektiroto457
    @kipchorngwonektiroto457 2 місяці тому

    Mapete je? Yeye anavaa pete ya kichawi!!

  • @YusufSwaibu
    @YusufSwaibu 3 місяці тому +3

    Yesu Si Mungu

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 3 місяці тому

      Sawa

    • @andrewmhagama9816
      @andrewmhagama9816 3 місяці тому

      Lakini ndio bingwa wa majini yoote mnayoyaabudu break yao ni Yesu Kristo pekeee
      Nyinyi kukurukeni lakini kutokana na maandiko matakatifu wote Nyinyi jehanamu ya moto inawasubili.
      Sisi tuna lala kama wafalme kwa kutumia huyo huyo ambae unamwita sio Mungu ndio anatulinda sisi.No uchawi Nguvu za giza wala majini ya aina yoyote.Mumefungwa ufahamu kwa maana Nyinyi ni wa upande wa pili yaani wa ibilisi mungu wa waovu.

    • @audifansisafari5587
      @audifansisafari5587 3 місяці тому

      Elimu ya jini ndani ya uislamu wewe unasema YESU

  • @IvanBenjamin-fy9lg
    @IvanBenjamin-fy9lg 3 місяці тому

    We azazili sio jin n malaika aliasii [ the watcher] na amepewa azabu n mungo kupitia malaika Gabriel na amefungiwa jangwa lenye giza mpaka kiama

  • @AbdillahFauz
    @AbdillahFauz 3 місяці тому

    Ushirikian umejifich sana na huyu pia ameingia katika hiyo fitna yakufru

  • @user-zk3ql9th2c
    @user-zk3ql9th2c 3 місяці тому +1

    Hawa watu wanatuchanganya mungu tu ndie mlizi wetu jini bila ya mungu hana uwezo

  • @abulfidaassalafiyyah
    @abulfidaassalafiyyah 3 місяці тому

    UPUUZI MTUPU TU.. WEWE KAMA NI MUISLAM WA KWELI HUWEZI KUMSIKILIZA HUYU MSHIRIKINA.

  • @georgenjeri8547
    @georgenjeri8547 3 місяці тому

    😂😂😂😂 No Comment,,,!!

  • @almasmkoko1591
    @almasmkoko1591 3 місяці тому

    Kwa nn huwa tuna swali sunat haja na nimudagani unatakiwa kuswali

  • @faridaAli-td1fo
    @faridaAli-td1fo 3 місяці тому

    Jina pls kwa utub

  • @neemakassan6538
    @neemakassan6538 3 місяці тому

    😮mwenyewe naomba zake naomba maana kataja haraka hataka

  • @FridayKyanndo
    @FridayKyanndo 3 місяці тому +1

    Sheikh No:yako tafadhali

  • @AboubacarcastingKassim
    @AboubacarcastingKassim 3 місяці тому

    Naomba namba ya cm shekhe

  • @LatifaMusa-dy3id
    @LatifaMusa-dy3id 3 місяці тому

    Huyu Kaka ukiachana na hayo mambo yake anayo yafahamu alivyo tu anafaa kuwa mume

  • @DavidMatata
    @DavidMatata 3 місяці тому +1

    Pumbavu !!

  • @bushbabytz
    @bushbabytz 3 місяці тому

    Sara wa Diamond si alisema Diamond anapendaga kulala ghafla ie usingizi...mmmh mbona sheikh kama naanza kusadiki maneno yako😂

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 3 місяці тому

    WALE WALE

  • @BoniphaceKisokola
    @BoniphaceKisokola 3 місяці тому

    Ongera shee kwa elimu yako tupe namba zako

  • @Hussein-gx4qu
    @Hussein-gx4qu 3 місяці тому +1

    huyu ni mshirikina kama wengine shenzi huyu

    • @DhaharaniJongo-gt2un
      @DhaharaniJongo-gt2un 3 місяці тому

      Ameshikisha nn hapo ww siyo muelewa

    • @RizoBwedo
      @RizoBwedo 3 місяці тому

      Nilijua2 ntakukuta ukipinga apa​@@DhaharaniJongo-gt2un

    • @RizoBwedo
      @RizoBwedo 3 місяці тому +1

      Naijua it h

  • @SebitAbubakar-iy8ve
    @SebitAbubakar-iy8ve 3 місяці тому

    Ni elimu ya Quran ama ni elimu ya kishirikina.

  • @abdulmgassa7848
    @abdulmgassa7848 3 місяці тому

    Asalam hivi mbona unamohoji huyu kijana kwanza Hana elimu yeyote ya sini nakushauri wewe muliza maswali tafuta watu wemye kujua dini sio wangamga kama Hawa kwa huyo azazel anaye mtaja anamjua huyu elimu za kuambiwa huyu sindio alikuwa anasema Sule vibaya Sasa anaongea nini alafu acha kufatuta waru kama wewe mtangazaji upo Sawa huyo ana elimu bali amekariri acha kuhoji kama kama na hiyo sio dini

  • @KhamisMohammed-vr4hz
    @KhamisMohammed-vr4hz 3 місяці тому

    Nilikuw naomb no ya uyo shekh

  • @christianmwabukusi8366
    @christianmwabukusi8366 3 місяці тому +1

    Kwa nini mnampinga? Mbona wakriato wakisemwa mnashabikia kasoro? Acha yasemwe yote

    • @HamzaMakobanice
      @HamzaMakobanice 3 місяці тому

      Yesu sio mungu kwa mujibu wa maandiko 8:40 yohana.wapi uislam umehalalisha ushirikina?

  • @taichi5370
    @taichi5370 3 місяці тому +1

    'Satanic Verses '😂😂😂😂😂

  • @user-ie3lw9eb6p
    @user-ie3lw9eb6p 3 місяці тому +1

    Tapeli mkubwa yeye na huyo suleiman wake wanata gisi wataibiya watu pesa

  • @athumanally8493
    @athumanally8493 3 місяці тому

    Namba ya huyu maalim tafadhali

  • @Itsblackghost
    @Itsblackghost 3 місяці тому

    Huyu jamaa kanyooka kunavitu anaongea anawabyoosha waongo😁 ila usikazi kul chm ich

  • @thebroski9763
    @thebroski9763 3 місяці тому

    Anaitwa nan? Tafadhali

  • @youngtomuller-vh2pu
    @youngtomuller-vh2pu 3 місяці тому

    É verdade irmao mesmo eu tou asofrer muito mal as vezes fico nervoso sem querer e também às vezes faço algo derepente parece alguém mi mandou irmao eu preciso da sua ajuda para poder aprender muitas coisas por favor🙏

  • @aminasalum-yh4fh
    @aminasalum-yh4fh 3 місяці тому +1

    TUNAOMBA TUWEKEE JINA LAKE LA UTUBE

    • @zulekhaa6817
      @zulekhaa6817 3 місяці тому

      Usimguate mshirikina huyo, dini haijafundisha hivyo.
      Sio tiba hiyo ila ni uchawi

    • @aminasalum-yh4fh
      @aminasalum-yh4fh 3 місяці тому

      @@zulekhaa6817 ASANTE

  • @KhamisMohammed-vr4hz
    @KhamisMohammed-vr4hz 3 місяці тому

    Shekh nilikuw naomb namb ya please

  • @samuellubunga1728
    @samuellubunga1728 3 місяці тому +1

    Njooni kwa Yesu akunaga mambo ya hivyo

    • @fahadrashid9754
      @fahadrashid9754 3 місяці тому

      Na msalaba uko wap

    • @hamismohamed3541
      @hamismohamed3541 3 місяці тому

      Ww ni fala nani aje sehemu mnasema Kuna mungu watatu

    • @zulekhaa6817
      @zulekhaa6817 3 місяці тому +1

      Yesu ni mtu, na huyo msemaji pia ni mtu, sisi tumuamini Allah ambae ni Mungu sio mtu.

    • @samuellubunga1728
      @samuellubunga1728 3 місяці тому

      Elimu gani hapo mnafundishwa Kama si uchawi yote hayo ni shirki tu
      Utafuteni kwanza ufalme wa Mungu na haki yake hayo mengine mtazidishiwa
      Ombeni lolote kwa jina langu nami nitalitenda hayo ndo maneno ya Bwana Yesu Kumbukeni Mungu ndie mtoa riski

    • @samxx411
      @samxx411 3 місяці тому

      hiyo misalaba ipo wapi msikitini au??? washirikina wapo katika waislam na nyie ndo wote

  • @betinvestment3204
    @betinvestment3204 3 місяці тому

    Tutafute elimu hata kama ipo umbali wa China ila tu tusimshirikishe mwenyezi mungu

  • @user-xy4kt8wk6l
    @user-xy4kt8wk6l 3 місяці тому

    Sheikh twataka No Zakoo

  • @abdulmgassa7848
    @abdulmgassa7848 3 місяці тому

    Yani wewe unawapigia ramli wazi kabisa alafu unamsema shekh Sule vibaya huyu kijana ukimtaxama akili Hana uongo mtupu

  • @BarreMushi-yz4wt
    @BarreMushi-yz4wt 3 місяці тому +1

    Huyu ustadh anaitwa Nani na mawasiliano yake napataje

    • @emaneman7899
      @emaneman7899 3 місяці тому

      Namjua A to Z yuko vizuri sana alishawahi kutufundisha elimu ila kwa sasa yupo Yemen namba zake ninazo

  • @user-zk3ql9th2c
    @user-zk3ql9th2c 3 місяці тому +1

    Hv jamani huyo mganga anapewa nguvu na nani km sio mungu

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 3 місяці тому

      Shetani ndio anampa nguvu ni jini sio M'mungu

  • @user-jh1vr1vt2k
    @user-jh1vr1vt2k 3 місяці тому

    Miye naamini Allah pekee yes ninani kam yeye ni mungu mbon alikufa duniya ilibaki nanani wakilistu acheni kuzarau dini za we zenu mungu ndoajuaye walio sahihi na wasiyo sahihi

  • @zulekhaa6817
    @zulekhaa6817 3 місяці тому +1

    Hiyo sio tiba ila ni uchawi.
    Usidanganye watu.
    Mche Allah.
    Namuomba Allah atuongoze sote.