@@Kujason12 hujui? Soma.biblia ikupe ufaham wa kumwelewa mungu humo utapata habari za mbinguni. Uweza wa mungu na utendaji wake nguvu iliyomo. Ndani ya jina la yesu kumtegemea mungu na kumtumaini kumwamini ktk neno lake. ..imani.iliyojaa nguvu za mungu ktk yesu Kristo. Yohana 14:13.. 14.
Namba
Unataka kutapeliwa
1:03
Hujambo nambayako
Ushirikina huwo
Asalam alykum shekh naomba tuwasiliane
Tupe tv on line ya shekhe huyo
Naomba number huyo mwalimu
Nahitaji niongee nawe
Tuna patejee namba zako SAS ayoo mafuta tunayapetej tupatee pesaa
Pia nami naomba namba ya BIN LADEN
Karibu kwa yesu ujifuze elim ya mbinguni.
Mbinguni ndo wapi wewe akili finyu
@@Kujason12 hujui? Soma.biblia ikupe ufaham wa kumwelewa mungu humo utapata habari za mbinguni. Uweza wa mungu na utendaji wake nguvu iliyomo. Ndani ya jina la yesu kumtegemea mungu na kumtumaini kumwamini ktk neno lake. ..imani.iliyojaa nguvu za mungu ktk yesu Kristo. Yohana 14:13.. 14.
Mbinguni ndo wapi noma sana
@@Kagineemmanuel matayo 7:21
Yesu ni muislamu.
AACHENI NYAMBU.....KWENY UISLAM HAKUNA HAYA MATOVOGO YENU.......UISLAM NI MSAFI
Daa shekhe nimekukubali
@AbdhulAzizali rudi kwa qurran na sunna kwwa ufaham wa ssalaf
...Allah akuongoze
Nahitaji namba ya nduguyangu hapa mtaalamu nisaidieni na namba yake
Chukueni mkatapeliw
Plz naitaji number yako plz🙏🙏🙏