@francisMwangi1885 Kenya is a country that people live in hypocrisy , defending lies and tribalism it's resources are not equally shared among its citizenry. The politicians and the rich have power over the poor they can do anything they want wether legally or illegally as the Judiciary offers protection ie money talks its only how you approach the all issue. God Help our Mother Africa
I am a Muslim from Kenya and whatever this man is saying is true. In coast region alot of land is owned by the few first family, the mazrui, the swaleh ngurus etc. The mijikenda are squatters in their own land yet the government is not doing anything. Town watu wengi hawana makao. Alichosema ni kweli. Msimpinge huyu bwana.
The wealth gap is shameful! Leaders are corrupt,selfish idiots! While the current president is supposed to oversee austerity measures he is living big, instead,spending a lot and employing his friends as if nothing has happened!! Yet he wants to tax all the low income businesses to sustain his own opulence!!
This Pastor from Tanzania has spoken the real situation in our Country Kenya that the only people who own a big and fertile Kanda are the haves ones. While our neighbors Tanzania every Citizen has a plot of land.
Pastor Mgogo asante kuisifu Kenya kwajili nilikuwa nikidhania kwamba wakenya lingali wanapora mali za wanyewe na kuzigawanya kwa wanyewe lakini Pastor Mgogo mumejitambulisha kama waizi na watu wakupenda za ubwete
@@mpendakiswahili3053 Haha. So you believe that a preacher is God? We look at preachers like normal people and we question everything they say. In kenya, very few people don't have land. Most people have land in their rural areas.
Ya hard work pays,kenya hakuna cha bure lazima utokwe na Jasho ndiposa umiliki kitu cha maana na kukiita chako;hata Bible inadhibitisha hilo,so kenya no laziness and thus y we work hard to get what we want in life
Kweli pastor mgogo juzi nimeona muindi Anawafukuza viongozi katika mjengo wake mpaka Rais mstafu kenyata kuingilia kati kenya ya watu wenye pesa masikini wasindikizaji tu🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍👍👍
Mchungaji MGOGO hongera kwa kujua matatizo ya Ardhi nchini KENYA siyo hayo tu hao watu wa KENYA Wana ugonjwa mbaya wa UKABILA na UFISADI hata unyakuzi wa Ni MATAPELI wakubwa ambao wako radhi kutumia mbinu chafu ili kuhakikisha watawala wa Kenya wapo upande wao ,na kulinda maslahi yao . KENYA Ni nchi ya ajabu Sana na wengi masikini wa Kenya wanaishi Kama wapo JEHANAMU YA MOTO MKALI hawana matumaini ya maisha Bora Tena Nakumbuka SIKU moja nikiwa KIGOMA TANZANIA nilimtembelea rafiki yangu MJINI KISII huko KENYA alinihabarisha kuwa pamoja na upungufu wa ardhi ukibahatika kupata ardhi maeneo mengine ya Kenya hauwezi na hata ukinunua hauwezi kuishi salama siasa ikianza tu unafukuzwa Aisha kwa kuwa hauko upande wao wa kisisa au we sio wa Kanika Hilo kwa hivyo KENYA Ni pachungu ZAIDI . Namshukuru ZAIDI muasisiwa TAIFA LA TANZANIA aliyeunganisha nchi na kuwa KITU KIMOJA bila UBAGUZI natoa angalizo Viongozi wetu wawe macho wasije kuambukizwa UCHAFU kutoka nchi hiyo.
pasta ubarikiwe hata congo tabia hiyo ipo unaonyeshwa shamba kama hivo hivo Tena Bure kalime Kwa nguvu zako,jameni wanosema congo unaubaguzi USIKUBALI ni probaganda mzee wetu jerani mvaa miwani ili aendelee kupora congo Kwa uwongo wake kupitia ukabila
RAIS wa KWANZA wa KENYA hakuwa MTU mzuri alikuwa JAMBAZI . hakuwa hata na sifa ya kuwa RAIS yeye ndiye aliyedhulumu Ardhi ya Wakenya pamoja na mauaji wa Viongozi wengi wa kisiasa ASUBIRI TU HUKUMU YA BWANA.
Unaeleza ukweli Kenya 🇰🇪 ni nchi ya matajiri ama maskini na hatujali kuhusu wazazi sana yani nchi yetu inageuka sijui kuwa nini ubinafsi uko hali ya juu. Mashamba hakuna sahii youths mashamba zetu ziko mtandaoni. Yani tunalima mashamba mitandaoni through software engineering/data engineering/ android app development ili tulipe kodi! Nawe unasema ukweli jamani, nothing but the truth!!!!
Mmmh, hili suala la kutaja jina la nchi ndo nalisikia hapa kwa pastor. Majuzi wakati dege linatambulishwa Eng. wa ATCL akielezea kuhusu namna tunavyosafirisha mizigo yetu hasa maua kwenda sokoni ulaya hakutaka jina la nchi husika na siyo kwamba haijui bali ni diplomasia inatumika!! Hata madhabahuni hatajwagi mtu bali "fulani"!
@@johnstoneolefa913 hii ndiyo shida ya wakenya kujumuisha kila mtu.. Wewe kama umesahau na wazazi wako acha kujumuisha wakenya wote, fanya kazi ununue shamba
Am Kenyan bt Tanzania my mother land na hii kweli kbsa pastor umeongea ukweli tutumbue kbsa wakenya tamaa ndio tumeeka mbele na uonevu
Mchungaji mgogo,kaa tu hapa kenya uwaelimishe ,.wakenya ,Mimi nikiwa mmoja wao, tumelala.mtu mmoja Ana shamba ,Kama Western province yote.jameni
The only Tanzania preacher i watch. Wengine ni sarakasi tu. 🇰🇪 Twakupenda Mchungaji
ukweli mtupu,if iam to re locate,i will call TZ my second home very kind people and with a great sense of humanity and empathy
Hapa Kenya tuko na yesu wa Tongare na pastor makende
Pastor mgogo huja na ufunuo na ufundishaji wenye upako ujumbe uliojaa hekima ubarikiwe
Niko Kenya,nimeenda sana sana na mahubiri yako mchunghanji❤❤
Am proud to be Tanzanian 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 Tumbua hayo majipu pastor
I have learned a lot,u are really a mentor
Hiyo maneno yako itapelekea huyo pastor anyimwe nauri alafu arudi Tanzania kwa mguu yake
Nataka kua mtanzania
Hii sermon ina nguvu kweli. Mungu atusaidie.
My best pastor in Africa,, true speaking 😊
This explains why kenyans are so hardworking.
You will find them in all corners of the world 🌎
Juzi nilikuwa kwa bank flani Uganda, the teller who served me was a wafula
u r right bro.nko Israel kutafuta hizi pesa...but watanzania hua na upumbavu Fulani...kama kaushamba.....
Was deep down in burundi,I saw viongos there cooking omlette,so proud of how hardworking Kenyans are.
I just love your comments why speak that other nation is not standing at a better chance... Kenya is Better than Tanzania as a matter of fact
@francisMwangi1885 Kenya is a country that people live in hypocrisy , defending lies and tribalism it's resources are not equally shared among its citizenry.
The politicians and the rich have power over the poor they can do anything they want wether legally or illegally as the Judiciary offers protection ie money talks its only how you approach the all issue. God Help our Mother Africa
Huku Kenya tumezoea🤗🤗🤗🤗🤗🤗🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Bt tunajituma
I am a Muslim from Kenya and whatever this man is saying is true. In coast region alot of land is owned by the few first family, the mazrui, the swaleh ngurus etc. The mijikenda are squatters in their own land yet the government is not doing anything.
Town watu wengi hawana makao. Alichosema ni kweli. Msimpinge huyu bwana.
Mtihan wallay
Mbona mnaanika nchi yetu
BARIKIWA Mtumishi wa MUNGU Mgogo uko sawa kabisaaa, MUNGU Akulinde na Kukutunza.
Great sermon. As a Kenyan, I agree. The wealth gap is too big.
The wealth gap is shameful! Leaders are corrupt,selfish idiots! While the current president is supposed to oversee austerity measures he is living big, instead,spending a lot and employing his friends as if nothing has happened!! Yet he wants to tax all the low income businesses to sustain his own opulence!!
ongea swahili
@@pvxmovies9611😂😂😂😂😂
@@pvxmovies9611 huku Kenya ni ukoloni mambo leo
IAM a Kenyan and this is pure truth
😂😂😂Kenya kujeni mskie yani hapa umesema kweli Kabisaaa mungu akutetee
Ndio maana nikaamia tz shamba ni cheap
inaitwa capitalism yaani everyone for himself God for us all
Wa Kenya ni ndugu zetu.
The best and open minded pastor,mwenye anaongea ukweli kabisa
This Pastor from Tanzania has spoken the real situation in our Country Kenya that the only people who own a big and fertile Kanda are the haves ones. While our neighbors Tanzania every Citizen has a plot of land.
You are a Tanzanian. Kenyans write better English my dear
Kweli kabisaa , Hebu tubadilike ni wakenya
Weuh kenya sahi tunaona moto but we are proud
Inaongea ukweli kbs wamonja wako vile vile kabida ❤🎉👍
Kweli kabisa Tanzania kumiliki ardhi ni rahisi sana, Tunashukuru Mungu kwa upendeleo❤
Mme barikiwa, kenya ata kiwanja Tu, balaa..
@@mpendakiswahili3053 tunashukuru Mungu kwakweli ni neema hii
Pastor umesema kweli kabisa Kenya ni ya ajabu sana
Mungu akulinde nakutiye nguvu na hailinde familia yako baba
🤣🤣🤣Hapo kwa damu kweli n noma, barikiwa sana pastor, mungu azidi kukufunulia zaidi, Amen🙏🙏
Kweli mtumishi 🙏🙏
waaa
Mungu tusaidie na tupe ufahamu
Sijawahi kuyakubli mfumo wa maisha ya Kenya.Asante sana pastor Mgogo kwa kuwambia ukweli Wakenya.Asante Sana Mwl NYERERE.
Ahsante Mchungaji kutusaidia vijana, imeingia hiyo moja kwa moja kabisa. Umesema kweli tumejisahau.
Yani ametugusha
I listen these sermons cause the spirit behind is Graceful, Merciful and Thanksgiving. Amen
Yaani baba. Nakukubali sana yaani MUNGU akupe maisha marefu
Kenya mpo... sisemi kitu. Mungu ndie mtetezi wawanyonge
Namkubali sana huyu pastor hua anasema ukweli napendasana mahubiliyake mungu ambarik sana
Pastor Mgogo asante kuisifu Kenya kwajili nilikuwa nikidhania kwamba wakenya lingali wanapora mali za wanyewe na kuzigawanya kwa wanyewe lakini Pastor Mgogo mumejitambulisha kama waizi na watu wakupenda za ubwete
Maneno hayo
@@paulinewangila-cs6ys Kama zile za polisi kuwatwanga mashabiki wa maandamano za Raila
Yes my fello country man God bless you.
Upo sawa kaka
Mwambie mtumishi wa MUNGU
Ukweli pastor
Despite owning or not owning the land, that's what drives Kenyans working hard to secure the bag regardless of how life can be challenging.
What bag are you talking about....unajua wakenya kunasaa si uongea kama wajinga....driving what!!! That western mentality is a curse to us kenyans....
Wanawake pia vichwa ngumu... nowonder single mothers kila sehem .....you oppose even a message from a preacher
@@mpendakiswahili3053 we don't believe so much in preachers in Kenya, most've let us down
@@Lule8603 tf! Are you talking about....are you familiar with shakahola.....the nonsense just never stops with us kenyans.....
@@mpendakiswahili3053 Haha. So you believe that a preacher is God? We look at preachers like normal people and we question everything they say. In kenya, very few people don't have land. Most people have land in their rural areas.
Powerful sermon wazazi ni wazazi we have to love them
Pastor kweli unatujenga sana na mafundisho yako,unachoongea ni ukweli kabisaa
Kweli kabisaa 😊😂😂😂 Ongea pastor usikike❤
You have spoken the full truth pastor
🇰🇪 ukweli kbs waongea ukweli 😢
Kweli kabisa wengi wanaishi kama sionwakenya
Nikija Tanzania, nitatembelea kanisa yako Mgogo, Injili safi sana. kuwa na akili ndio ishara ya kwamba mtu ameokoka kweli kweli.
Very frank of you Pastor Mgogo 🫡
There is therefore no condemnation to those who are Christ.. with or without land… Grace Grace Grace!
Amen to the word of God ❤❤❤
Halleluyah
I True pastor all u preach is truth , 🙏🙏🙏
Ya hard work pays,kenya hakuna cha bure lazima utokwe na Jasho ndiposa umiliki kitu cha maana na kukiita chako;hata Bible inadhibitisha hilo,so kenya no laziness and thus y we work hard to get what we want in life
This pastor was a true pastor
Why " WAS" ? Is he no longer a Pastor or is Dead?
Kweli pastor mgogo juzi nimeona muindi Anawafukuza viongozi katika mjengo wake mpaka Rais mstafu kenyata kuingilia kati kenya ya watu wenye pesa masikini wasindikizaji tu🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍👍👍
Mchungaji MGOGO hongera kwa kujua matatizo ya Ardhi nchini KENYA siyo hayo tu hao watu wa KENYA Wana ugonjwa mbaya wa UKABILA na UFISADI hata unyakuzi wa Ni MATAPELI wakubwa ambao wako radhi kutumia mbinu chafu ili kuhakikisha watawala wa Kenya wapo upande wao ,na kulinda maslahi yao . KENYA Ni nchi ya ajabu Sana na wengi masikini wa Kenya wanaishi Kama wapo JEHANAMU YA MOTO MKALI hawana matumaini ya maisha Bora Tena Nakumbuka SIKU moja nikiwa KIGOMA TANZANIA nilimtembelea rafiki yangu MJINI KISII huko KENYA alinihabarisha kuwa pamoja na upungufu wa ardhi ukibahatika kupata ardhi maeneo mengine ya Kenya hauwezi na hata ukinunua hauwezi kuishi salama siasa ikianza tu unafukuzwa Aisha kwa kuwa hauko upande wao wa kisisa au we sio wa Kanika Hilo kwa hivyo KENYA Ni pachungu ZAIDI . Namshukuru ZAIDI muasisiwa TAIFA LA TANZANIA aliyeunganisha nchi na kuwa KITU KIMOJA bila UBAGUZI natoa angalizo Viongozi wetu wawe macho wasije kuambukizwa UCHAFU kutoka nchi hiyo.
Tanzania kuna hata town ya wahindi huko daresalaam au wadhani hatuna habari
God bless Kenya
You are right the shepherd of God and be blessed
True pastor full of humour but nailing the truth
Ukweli mtupu. Thank you for being so bold in preaching the truth.
So sad what Kenya is heading.
Very true pst Kenya ni ngumu mno
kweli kbs
Hapo umenena .wambia wasikia muchungaji hongera sana
these true gospel waacha zile za miingiza rarua hiyo injili wasikie
Mhubiri wa kweli aliye bakia east Africa, mungu akubariki pastor unahubiri njili mtupu.
Toboa pastor. Vichaa ni wengi kweli
Very true
Ooh my God that is very true
Well said
Halafu kuna watu wanaanza kusema mwalimu Nyerere alikosea sana kuukubali ujamaa kuliko ubepari. Mwalimu alikuwa na moyo wa utu
pasta ubarikiwe hata congo tabia hiyo ipo unaonyeshwa shamba kama hivo hivo Tena Bure kalime Kwa nguvu zako,jameni wanosema congo unaubaguzi USIKUBALI ni probaganda mzee wetu jerani mvaa miwani ili aendelee kupora congo Kwa uwongo wake kupitia ukabila
Tanzania ni nchi ya ubepari haujui kenye unasema.
Kweli kabisa nilitembea slum moja nairobi inaitwa kibera,nililia sijawahi ona hivo estate slump huku Tanzania 🇹🇿
Can't be said better pastor thank you that's the truth and very painful;;; Kenya Kenya HaHaHa
Thanks pastor alot for the truth
now will this help their spiritual life and JESUS s coming back soon........forget about owning what or not owning this is vanity upon vanity 🙏
Waah heri nije tanzania aki 😢😢😢😢
Njoo Huku Mrembo
Eeeh mama na baba mungu awalinde, mlipitia mengi ili niwe nilivyo leo 🙏
Be blessed Pastor
Pastor Mgogo ni Pastor wakuabudu majini wa kiizraili na mboro
Nampenda huyu mchungaji
Mimi ni mkenya ni kweli mtumishi
Amen Amen ❤❤🙏🙏🇰🇪
Umenena pastor
Hamia Kenya profeti
Umeongea ukweli mtumishi wa Mungu zidi kubarikiwa
Very true sir 😊
Absolute truth pastor.
Amen.
Kweli kabisa pastor
Nakuomba siku moja utembee Kenya mahali kunaitwa Machakos na upange crusade Athiriver. Zawadi Mungu atanitafutia nikupatie ,, 7nanitia nguvu sana
Ata fikia wapi akati Kira harizi imeshiriwa na wakubwa
Hakika mchungaji tumeambulia dharau na kejeli tu
Amen
Umenena kweli pastor
Hongera sana PST,
Umegonga ndipo mtumishi.kenya ya wachache hii.
Our founder father is the course root of this problems
Kabisa
RAIS wa KWANZA wa KENYA hakuwa MTU mzuri alikuwa JAMBAZI . hakuwa hata na sifa ya kuwa RAIS yeye ndiye aliyedhulumu Ardhi ya Wakenya pamoja na mauaji wa Viongozi wengi wa kisiasa ASUBIRI TU HUKUMU YA BWANA.
Ahsante sana mchungaji na endelea na mafundisho mazuri
Ukiwa na kazi +pesa tukumbukeni wazazi kwanza ndio tubarikiwe zaidi jamani
Unaeleza ukweli Kenya 🇰🇪 ni nchi ya matajiri ama maskini na hatujali kuhusu wazazi sana yani nchi yetu inageuka sijui kuwa nini ubinafsi uko hali ya juu. Mashamba hakuna sahii youths mashamba zetu ziko mtandaoni. Yani tunalima mashamba mitandaoni through software engineering/data engineering/ android app development ili tulipe kodi! Nawe unasema ukweli jamani, nothing but the truth!!!!
Ni kweli kabisa ndio mana wakenya ni wachapakazi sana
Mmmh, hili suala la kutaja jina la nchi ndo nalisikia hapa kwa pastor. Majuzi wakati dege linatambulishwa Eng. wa ATCL akielezea kuhusu namna tunavyosafirisha mizigo yetu hasa maua kwenda sokoni ulaya hakutaka jina la nchi husika na siyo kwamba haijui bali ni diplomasia inatumika!! Hata madhabahuni hatajwagi mtu bali "fulani"!
Unasema ukweli kabisa mgogo mungu akubariki wape wakenya ukweli
@@festokemibala5832 sasa mkuu,
Huyu Pastor yuko nchini Kenya anawahubiri, sasa asiseme ukweli kaka?
Uyu mhubiri kutoka tz nampenda Sana ..... Kenya ni kumoto....ploti ya 50*100 ksh 1million kuendelea na ni huko mashambani ...
Full truth indeed
Siasa
Pastor, labda mahali ulipokitembelea kenya ni sehemu moja tu. Kuna mahali huku Kenya ambapo mambo ni tofauti.
Anaeleza ukweli ni wangapi hii Kenya wakona mashamba? Ni wangapi hukumbuka wazazi wetu manyumbani? Very few Kenyans do that
@@johnstoneolefa913 speak for yourself
@@johnstoneolefa913 hii ndiyo shida ya wakenya kujumuisha kila mtu.. Wewe kama umesahau na wazazi wako acha kujumuisha wakenya wote, fanya kazi ununue shamba
@@johnstoneolefa913speak for yourself
Ni kweli Sema yote
Mbona huu ni ukweli kabisa Kenya 🇰🇪 yetu ni ya matajiri😅😊😊