MWANAMKE UKIMPENDA SANA NA AKAJUA UNAMPENDA SANA UTANYANYASIKA "PASTOR MGOGO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024
  • Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: Daniel Mgogo / revdanielmgogo
    Instagram: Pastor Daniel Mgogo / pastordanie. .
    UA-cam : Pastor Daniel Mgogo www.youtube.co....
    #PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo

КОМЕНТАРІ • 110

  • @SilviaPaulNshale
    @SilviaPaulNshale 5 днів тому +1

    ❤❤❤

  • @MarionAsamba
    @MarionAsamba 17 днів тому +2

    Leo tumepatikana wanawake Mungu tusaidie tubadilike...

  • @InnocentMasirika
    @InnocentMasirika 2 місяці тому +6

    Aksanti kwa mungu . Na kaa Kongo. Amen, amen ,amen. Uniombeye Yani ni nashida. Asifiwe mungu

  • @RoseKillian-b8k
    @RoseKillian-b8k Місяць тому +4

    Amen,

  • @TimotheoBulimwengu
    @TimotheoBulimwengu 2 місяці тому +4

    Ubarikiwe sana

  • @sammykatisho2845
    @sammykatisho2845 29 днів тому +1

    Barikiwa mtumishi

  • @nicki1885
    @nicki1885 2 місяці тому +5

    Thank you God for giving me the opportunity to listen to the sermon today

  • @naphtalkingori8811
    @naphtalkingori8811 Місяць тому +2

    Kichwa cha somo kinatosha ku-summarise mafundisho ya Mch D Mgogo. Mungu akubariki Mch na aendelee kukufunulia masomo yaendelee kupatikana.

  • @ChrisnelBonheur
    @ChrisnelBonheur Місяць тому +3

    Ubarikiwe sana pastor

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 16 днів тому

    Amin Amin Mungu wetu wambinguni zaidi

  • @shahamzandamzanda6812
    @shahamzandamzanda6812 2 місяці тому +3

    Mgogo jeuri huja kwa mwanamke kuleta chapaa nyumbani. Pesa ndio sababu ya mtu yeyote kuwa jeuri sio tu watu wenzanke hata kuwa jeuri kwa Mwenyezi mungu aliyeuumba na ndiye anayempa hizo pesa.

  • @albertinajames1391
    @albertinajames1391 2 місяці тому +4

    Wamama kazi tunayo😂😂

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 2 місяці тому +2

    Leo nimefurah sana nakufatilia nikiwa dubai umesema ukweli tupu

  • @fadhilimrope5134
    @fadhilimrope5134 2 місяці тому +1

    Ubarikiwe sana Baba mchungaji, mgogo Mungu akubariki kwa somo hili nimekuelewa

  • @reemaalwad3ani616
    @reemaalwad3ani616 2 місяці тому +4

    Wa mama kuleni chuma icho😀😀😀😀😀😀😀

  • @FilbertRobert-e4u
    @FilbertRobert-e4u Місяць тому +2

    Mungu akusimamie baba nimefurahi na nimechaka sana mama wa kijeshi 😂

  • @MwogeyeEtienne
    @MwogeyeEtienne 2 місяці тому +1

    Ubarikiwe mchungaji kwamafunzohayamazuri

  • @frankkitundu2795
    @frankkitundu2795 2 місяці тому +1

    Amina Mchungaji upo sawa kabisa wazuri ni shidaaa

  • @LucasSabuni
    @LucasSabuni Місяць тому

    Mng adumishe upendo

  • @MuhindoNgoma
    @MuhindoNgoma 2 місяці тому +1

    mzee wangu wa mawe unanifuraishaka sana kabisa ubarikiwe

  • @gloryKibutha
    @gloryKibutha 15 днів тому

    Amen 🙏🙏🙏

  • @INFLUENCER444
    @INFLUENCER444 17 днів тому

    Thank you 🇷🇼🇷🇼🇷🇼

  • @AlexNomser
    @AlexNomser 18 днів тому

    Amen

  • @JACKSONMUTAKANGWA
    @JACKSONMUTAKANGWA 2 місяці тому +1

    Amen! Mchungaji nakukubali sana mungu akubaliki na akuongezee maarifa zaidi mchungaji fika na kwetu huku kahama

  • @abooaboo-rs4uw
    @abooaboo-rs4uw 2 місяці тому +1

    Ukweli mtupu.asante

  • @JoachimNjiani
    @JoachimNjiani 2 місяці тому +1

    Ubarikiwe sana kwa somo hilo!

  • @JosaphatJosaphat-n4m
    @JosaphatJosaphat-n4m 2 місяці тому +1

    Amen san🙏🙏🙏

  • @consolateurmgeni6772
    @consolateurmgeni6772 2 місяці тому +2

    Kazi iko 🕊️🕊️ message

  • @ZainabuZuberi-p4d
    @ZainabuZuberi-p4d 2 місяці тому +1

    Mungu ni mkuu

  • @mmassyferguson4959
    @mmassyferguson4959 21 день тому

    Mchungaji utashtakiwa na watetezi wa haki za wanawake na binadam ww endelea kuwatetea tuuu kwann leo uwageuke sisi wanaume mtetezi wetu ni mungu tu

  • @patricksumaili
    @patricksumaili 2 місяці тому +1

    Amen 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙋 pasteur

  • @FrankManyama-u9d
    @FrankManyama-u9d 2 місяці тому +1

    Sema neno wapone

  • @MonicaCyprian
    @MonicaCyprian Місяць тому

    Mungu nitetee jamani huyu ni mimi kbs

  • @rosejohn6603
    @rosejohn6603 2 місяці тому +3

    Kiburi si chema popote wanawake wenye viburi jirekebisheni kama anavyop fundisha mchungaji lakina wanaume wapung uze umalaya ili ndoa ziwe na amani pamoja na familia

  • @MaddieMoreno-i7i
    @MaddieMoreno-i7i Місяць тому +4

    Tena haswa hao wakimbizi Yani wanaachana mpaka basi. Naona tatizo ni kwamba ulaya na usa wanapagawishwa na freedom na zile child support. Halafu akisha achana na mwanaume anakuwa busy na wanaume wanao kaa africa mitandaoni anajikuta child support zote zinaishia Kwa wanaume wa mitandaoni ila hawajui kama “fimbo ya mbali haiuwi nyoka”hawajui kama wanatumiwa tuu

  • @jacobmuisyo-ph8go
    @jacobmuisyo-ph8go 2 місяці тому +1

    Lete ujumbe

  • @eliudkimari-wt5cl
    @eliudkimari-wt5cl 2 місяці тому +1

    Happy umeniguza mm

  • @IsraelNdikumana
    @IsraelNdikumana Місяць тому +2

    Kbsa muchungaji

  • @vivianrafael19
    @vivianrafael19 2 місяці тому +2

    Ukweli unauma lakini unatengeneza

  • @LennoxLewis-x4e
    @LennoxLewis-x4e 2 місяці тому +2

    Leo tumefikiwa 😂😂😂

  • @nicki1885
    @nicki1885 2 місяці тому +1

    Mmmm wow

  • @MohamedMohammedmarco
    @MohamedMohammedmarco Місяць тому +2

    𝗨𝗯𝗮𝗿𝗶𝗸𝗶𝘄 𝗺𝗰𝗵𝘂𝗻𝗴𝗮𝗷

  • @RestitutaNjau-k8x
    @RestitutaNjau-k8x 2 місяці тому +1

    Heeeee nilijua ni chadema

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 2 місяці тому

      Hata paka akiota huota anakimbizana na panya, kwa sababu ndie alipo kwenye akili yake. Wewe akili yako ipo CHADEMA.

  • @Manujuniorcaxton
    @Manujuniorcaxton 2 місяці тому +1

    Wa mama chuma hicho😂😂😂

  • @theafricanhauler3396
    @theafricanhauler3396 Місяць тому +1

    Hilarious+Facts
    😊😊
    🤦🏾🤦🏾

  • @DanielMufariji-u6t
    @DanielMufariji-u6t Місяць тому +1

    Mungu akupe maisha marefu

  • @Mwasity
    @Mwasity 2 місяці тому +1

    👏👏👏

  • @hamilsaleh-zo3hp
    @hamilsaleh-zo3hp 2 місяці тому +1

    Umeongea ingawa tuko dini Tafauti

  • @EmmanuelKasike
    @EmmanuelKasike 2 місяці тому +2

    Hilo swali la bendera hata mm najiuliza

    • @celestinermantenga2463
      @celestinermantenga2463 Місяць тому

      Bendera hizo ni mataifa yanayoikubali huduma yake. Hata nchi huweka bendera za nchi marafiki.

  • @alexandremanirakiza5884
    @alexandremanirakiza5884 16 днів тому

    Ukiwowa mwanamuke wa kiburi utajuta mpaka n'a maiti Yako itaenda kaburini inajuta.

  • @FredSafari-c7i
    @FredSafari-c7i 2 місяці тому

    👏

  • @LovenessNambeya
    @LovenessNambeya 2 місяці тому +1

    Wamama mpaka

  • @rosejohn6603
    @rosejohn6603 2 місяці тому +1

    Kwa umalaya huo malkia alikuwa na haki ya kugoma malkia alijitambuwa

  • @teresasambu2394
    @teresasambu2394 2 місяці тому +9

    😂😂😂😂wamama mpoo

  • @Lucyiminza
    @Lucyiminza 2 місяці тому +14

    Leo n mm nahubiriwa,au ndio wangu kanisema kwa mgogo😂

  • @LydiaWesonga-l2e
    @LydiaWesonga-l2e Місяць тому +1

    Tupo

  • @IgiraPatrick
    @IgiraPatrick 2 місяці тому +1

    Mchungaji siyo lazima kufurahisha watuki kilichomuhimu ni kufundisha watu kutubu na kufanya vile Mola anavyotaka.

    • @markobonyo-f1u
      @markobonyo-f1u 2 місяці тому +3

      Mtu hawezi kufundishwa Kujua kusoma kabla hafundishwa kuandika, ivo lazima wafundishwe kujua udhaifu wao kwa waume zao ndipo waweze kutubu na kuacha kuwatesa waume zao, hata Biblia yaongea kuhusu matendo machafu yanayofanywa na binadamu na inasisitiza kuwa Tabia hizo zinamchukiza Mungu, walio kwenye ndoa waache kutesana.

  • @miltonagida2095
    @miltonagida2095 2 місяці тому +1

    Wapige nyundo

  • @rosejohn6603
    @rosejohn6603 2 місяці тому +1

    Kwa haya maubiri wanaume waliumbwa kwa tamaa mbaya sana na umalaya wa hali ya juu na wanapaswa wajifunze huyo mama hakuwa na kiburi kwani kama mfalme alikuwa na wake 700 na pembeni 300 sasa anakuja kwenye maonyesho ya urembo wake ya nini ndo maana alikataa wanaume wapunguze umalaya wachungaji muwaombee sana

  • @vhelmakamonya2124
    @vhelmakamonya2124 2 місяці тому

    Leo mm ndo nahubiriwa ,nkama nimesemwa 😂

  • @oskakayombo9335
    @oskakayombo9335 2 місяці тому

    mzee mbona umetanguliza bendera ya mashoga to a bwana weka ya urusi wanaopinga ushoga

  • @AtuganyiraKabigumila-rz7ou
    @AtuganyiraKabigumila-rz7ou Місяць тому

    Acha kumtusi much.wetu huna aibu kafie kushoto

  • @naseeralbishi4726
    @naseeralbishi4726 2 місяці тому

    Seems ukweli China icho

  • @ZilfatSaidi
    @ZilfatSaidi 2 місяці тому

    Ikawezekana pasta ameshaka umba mtu

  • @DjumaNgiko
    @DjumaNgiko 2 місяці тому

    Na mtakoma😅😅

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 2 місяці тому +1

    😂😂😂nakojoa

    • @RedemptaShio-yi9dx
      @RedemptaShio-yi9dx 2 місяці тому

      Mungu angalii kama mwanadamu angaliavyo ila mwanadamu ni muhimu kubadilika Imanueli ni MUNGU PaMOJANASI Isy9:6

    • @RedemptaShio-yi9dx
      @RedemptaShio-yi9dx 2 місяці тому

      Gongo lako na fimbo yako yatufariji tunapata mafuta 23Zb4+5

  • @hubman6780
    @hubman6780 2 місяці тому

    Mzee balance mambo weka bendera ya urusi hapo.Uliotanguliza hujui amekuletea maafa ya magonjwa?

  • @ibrahimkasirye
    @ibrahimkasirye 2 місяці тому

    Mbon unajiteteya kwanza

    • @ibrahimkasirye
      @ibrahimkasirye 2 місяці тому

      Usizunguke zunguke nyouka maja kwa moja

  • @hertierzawako8068
    @hertierzawako8068 2 місяці тому +1

    Toka huko jambazii kuliko uwahambiyee watu maneno ya ufalme wa binguni wew ni mapenzi na mambo yasiyoo na mahanaa mburuu wew kweli

    • @judithkirenga9977
      @judithkirenga9977 2 місяці тому +1

      Neno tu halitoshi kuelimisha jamii,mambo mengi yanatendeka na kunamuda tunahitaji watu wakutukumbusha

    • @shaloom-it4qs
      @shaloom-it4qs 2 місяці тому +1

      Ndoa imetoka kwa Mungu na ndoa ni sehemu kubwa iliyoharibiwa na shetani kwa kua akiharibu ndoa jamii imeharibika so mchungaji yupo sahihi

    • @mariyammariyam-y3u
      @mariyammariyam-y3u Місяць тому +1

      Mungu akurehem Sana utalipa hayo maneno yako mbele za kiti cha enzi utalipa kumuita mtumishi wa Mungu mbulila😢😢😢

    • @jd9triton701
      @jd9triton701 Місяць тому

      So wewe una mtusi mtumishi wa Mungu
      Kama wewe huajui utayajua tu
      Utajua Kiumbe hicho
      Mungu akuongezee neema past.

  • @PetroLogani
    @PetroLogani 2 місяці тому +1

    Nauliza bendela za Taifa nyingine zinakuwaga na maana Gani..? Kanisani

  • @eliudkimari-wt5cl
    @eliudkimari-wt5cl 2 місяці тому

    😅😅😅😂😂😂❤❤❤

  • @dieudonne1235
    @dieudonne1235 Місяць тому

    😂😂😂

  • @graceochieng8759
    @graceochieng8759 2 місяці тому

    Tuuko

  • @MariamuMamu
    @MariamuMamu 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌

  • @EmmanauelKamwela
    @EmmanauelKamwela 14 днів тому

    ❤❤

  • @kiokomwakavi8733
    @kiokomwakavi8733 2 місяці тому +1

    Amen

  • @nicki1885
    @nicki1885 2 місяці тому

    Mmmm wow

  • @MasokaJiko
    @MasokaJiko 2 місяці тому

    Amen

  • @mwisabihendo5202
    @mwisabihendo5202 2 місяці тому

    Amen

  • @Jeannemulondjwa
    @Jeannemulondjwa 2 місяці тому

    amen