COY MZUNGU amchana BABA LEVO kukosoa TUZO za COMEDY "Yeye kama NANI kwneye COMEDY?"/AMUITA mpumbavu.
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe UA-cam channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp
mwamba anaongea points sanaaaaa 🎉🎉
Hababaiki na kamela huyo kazizoeya Kilasiku Akiojiwa Anaongea ponti Coy Muhaya Lakini kama sio muhaya mtupoa Sana
Kwani serikali ikiweka mkono ndo inamaanisha ni kitu cha maana? Kwani vingapi vimeanzishwa na serikali nani vya hovyo. Binafsi nimekuelewa lakini heshimu mawazo ya baga levo haijalishi wewe umeanzisha comedy au la
Kiswahili kinakusumbua au? Usikii anakuambia basata inakaribisha maoni baada ya tuzo km kuna sehemu zimelosewa basi zibadilishwe , pia Tuzo ikiwa chini ya serikali ni bora kuliko ukisikia wasafi au yeyote yule ndio kaanzisha,, sababu upendeleo kwa watu wao lazima utakuwepo,,, na hapa inazungumziwa comedy sio jambo jingine ambalo serikali imewahi kosea,,, Sababu ni mara ya kwanza kuandaliwa Tuzo za comedy it's obvious mapungigu lazima yawepo,, na ndio kujifunza huko
Kwanza kabsa jifunze kuandka😂😅baga levo😅😂
Pili acha makasilik0 then uwe na akil ya kufikil asa mapua kaongea nn pale cha maana😂bwenyenye wew